FAILI LA P DIDDY LIMETUFIKIA, NI UCHAFU NA MADHAMBI.

  Рет қаралды 128,971

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Күн бұрын

Пікірлер: 190
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 6 ай бұрын
Pesa zamasharti ndokazi yake iyo ajue km yy vile amekwisha ulmunati wanahanza kuchukua vitu vyao 🙆🙆🙆🙆😭😭😭 ndosababu mtu kua n'a utajiri kutoka kwa mungu mahana ahuna mazara wala masharti ni wewe utihi sheria yake tu 💪💪💪💪 Jéhovah asifiwe
@willymtnmsafi8875
@willymtnmsafi8875 6 ай бұрын
Same case Michael Jackson,r Kelly, and now p didy, ogopa freemason
@tariqsalum20
@tariqsalum20 6 ай бұрын
Weng tu bad boy, sugar night
@Jurbeg
@Jurbeg 6 ай бұрын
MiMi naona Kama sielewi Hapa eti kuwaingilia wanaume wenzie kinyume chama umbile sii wazungu ndyo wana penda sasa wanamshitaki naHilo ili iweje maana marecani ninchi ya mashoga 😡
@RomeoJulia-vz7tr
@RomeoJulia-vz7tr 6 ай бұрын
Napia wamealalisha ushoga .mi naona hyo shtuma ya Diddy ni sababu but pia Kuna vile wazungu wanapiga vita ma black kuafilisisha wazungu wanawivu na mablak wao ndo wameleta usenge hawashikani wenyewe
@Jurbeg
@Jurbeg 6 ай бұрын
@@RomeoJulia-vz7tr kweli kabisa nimekuelewa 🙏
@bdonMakaveli
@bdonMakaveli 6 ай бұрын
Ndio hapo tujiuLize
@charitymorgan1068
@charitymorgan1068 5 ай бұрын
Alaf mzungu aliekua anamfanyia hivyo pdidy hata hawamfuatilii
@lilyg2134
@lilyg2134 23 күн бұрын
@@RomeoJulia-vz7tr hiyo ni kwa wanaotaka!!!! na sio aliowalazmisha!...walimshtaki walee aliowalazmisha na kuwalaghai....Justin Biber akiwa mmoja wa wahanga wa p diddy
@rahimadam5706
@rahimadam5706 6 ай бұрын
Hongera sanaaa jastin🙏🏻🙏🏻🙏🏻👊🏻 kwa taarifa nzurii
@mrkupoa7181
@mrkupoa7181 6 ай бұрын
Q
@newbornhaule
@newbornhaule 6 ай бұрын
Shetani mikataba yake si ya kudumu
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 6 ай бұрын
Kabisa ndugu yangu ! Vp kuna haja ya kuskliza muziki ?
@Joycenangonga
@Joycenangonga 6 ай бұрын
Hakuna haja kama ni miziki ya kidunia​@@mussamgonola3983
@robertsuna
@robertsuna 6 ай бұрын
Msemo wa mtumikie kafiri upate mtaji wako waafrika wengi hawauelewi kuhusu maisha. WAZUNGU usibaki nao milele unachuma na kutembea
@Satwant-t9c
@Satwant-t9c 6 ай бұрын
Dah! Kumbe P.Diddy! Mwanamme wa Ovyoo Sanaaaaa!😏👎🏻
@omariminazi579
@omariminazi579 24 күн бұрын
Jamani watu wasikariri kuwa kila aliyeenda kwa diddy basi alifanyiwa vitendo vichafu na diddy! Na pia watu waelewe kuwa si kila mwanaume au mtafutaji yeyote yuko tayari kufanyiwa vitendo vya kinyama au kidhalilishaji ilimradi apate kile anachokitaka, hapana. Kuna watu wako na shida au njaa ya mafanikio lakini hawako tayari kupitia short cut au kudhalilishwa kimaumbile ili wafanikiwe, kwa mfano mtu kama katy Williams yeye alishapewa ofa ya $50m mara nne na diddy ili amdhalilishe kimaumbile lakini alikataa kwaiyo hata AFRICA wapo watu kama kina katy Williams, tusikubali kujazwa ujinga kwa chuki za watu dhidi ya mtu au watu fulani na badala yake tutumie AKILI zetu kufikiria, sio kila jambo linahitaji AKILI kubwa kuweza kulijua, ahsanteni.
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 6 ай бұрын
Wazungu washenzi sana wanakupandisha alafu wanakushusha wao wenyewe
@denicmasha
@denicmasha 6 ай бұрын
walimpandisha nani na wakamshusha nan fatilia kwanz ndo uje ucoment
@guccij6236
@guccij6236 6 ай бұрын
Ivi dem akisema muachane na hujawai kumla ila yeye kala hela zako unatakiwa kufanya nini😢
@zakihakim-mf3lt
@zakihakim-mf3lt 6 ай бұрын
We muache tu
@guccij6236
@guccij6236 6 ай бұрын
@@zakihakim-mf3lt kala hela zangu tatizo😣
@stanzamobb4410
@stanzamobb4410 6 ай бұрын
Kudai Hela zako
@aloycelyakurwa7417
@aloycelyakurwa7417 6 ай бұрын
Unatakiwa kumuacha
@ernest9001
@ernest9001 6 ай бұрын
Apo ni juju tu hakuna kingine
@martinfrancis9808
@martinfrancis9808 6 ай бұрын
SAFI SANA JUSTIN HII NI HISTORIA NZUR
@zaraally2295
@zaraally2295 6 ай бұрын
Mimi ni Justin sheddy Sasa twende kazi.😜😜😜
@Kidavoxebanzjro
@Kidavoxebanzjro 29 күн бұрын
Hahahaaaaah 😂
@amilyabdu1563
@amilyabdu1563 23 күн бұрын
Nikhatali... Umesahau subscribe
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE 6 ай бұрын
My brother 🎉🎉🔥🔥🔥🔥
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Twende kazi brother 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@TaarabChannel
@TaarabChannel 6 ай бұрын
Kumbe didi ni Mauzinde.... Njooni na kwangu kwa umbea
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 6 ай бұрын
Duh
@KingChugha
@KingChugha 22 күн бұрын
Duuuuh jamaaaa hafanan na viiityu anavyovifaaanya I
@tobadinamhegele8055
@tobadinamhegele8055 6 ай бұрын
Kweli moyo wa mtu kichaka.
@lilianmungure8374
@lilianmungure8374 22 күн бұрын
Kwa shetani kubaya jamani
@FREE_NEWS-c1g
@FREE_NEWS-c1g 6 ай бұрын
Nikikulike nawewe nilike tulikiane
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Sawa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 ай бұрын
Daahh jamaa alivyo na tabia yake tofaut. Usher pia kamtoa marinda
@HafsaAbdullah-zm4qo
@HafsaAbdullah-zm4qo 22 күн бұрын
Usher tuu mpka burna boy
@NassoroRamadhaniMbenzi
@NassoroRamadhaniMbenzi 21 күн бұрын
Mwenye mtindo huo lazima amsapot uyo didy wenu
@MwitaManyinga-u7x
@MwitaManyinga-u7x 20 күн бұрын
Haujui
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 6 ай бұрын
Diamond namwenzake si ndo waliendaga huko kwake vip lakini ?
@niahpike8593
@niahpike8593 2 ай бұрын
Ukienda uko unatoka billionaire vp unataka kwenda kijana
@felixmakinda7689
@felixmakinda7689 26 күн бұрын
Wamekuwa huko
@CostancioMoza
@CostancioMoza 24 күн бұрын
Nae ametombwa
@AbdallahMtopa-g3x
@AbdallahMtopa-g3x 23 күн бұрын
Wote wamefilwa waliokwenda kwake
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 6 ай бұрын
Mshenzi Huy jamaa khaa
@ElisioVicente-ug4ov
@ElisioVicente-ug4ov 6 ай бұрын
Izi kesi mbona za zamani sana wamechelewa kwenda makamani kwanini?
@Kidavoxebanzjro
@Kidavoxebanzjro 29 күн бұрын
Freemason ishafikia muda wa kumnyonya
@Rennyanselim
@Rennyanselim 23 күн бұрын
Huyu jamaa hadi namwonea huruma,Mungu amsaidie jmn
@OmmyDseven
@OmmyDseven 6 ай бұрын
WEUSI TUNA NYANYASIKA SANAAA P DIDDY Anasumbua sana kwahela Alizo nazo wanataka kumushushatu hizo tumaa zakulawity mbna ndy zinatumika sana kwasanii weusi Michael Jackson nae hiii tumaa ilimukumba Daah mngu Atulinde😢😢😢😢
@erickmisilakuba6426
@erickmisilakuba6426 6 ай бұрын
Acha fikra potofu, ukiangalia history ya ss wa Africa tumejawa na tamaa na kukurupuka kati kamaisha, watu weusi wa mmarecan ni wakatili balaa walioyafanya hapo nyuma ndio yanawatesa
@denicmasha
@denicmasha 6 ай бұрын
jamaa kabla hujsema chochote fatilia kwnza p diddy ni mchafu tofaut unavyo sema wew ameharbu wanaume wenzie huyu jamaa
@aminakipande5645
@aminakipande5645 6 ай бұрын
@@denicmashaamewaharibu au wametaka wenyewe😂😂😂
@edwinchisala4954
@edwinchisala4954 23 күн бұрын
Kila Habari mbaya wanasingiziwa watu weusi
@dijohbanks4312
@dijohbanks4312 6 ай бұрын
kumbe justin bieber na usher raymond hawana malinda
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 6 ай бұрын
Mama Usher amewahi kusema hawezi kumsamehe Didy Kwa aliyomfanyia mwanae.
@RolooKaleme
@RolooKaleme 6 ай бұрын
Mbona Justin beiber kaanza mziki mdogo sana na alikua maarufu tangu mdogo alimuingilia lini
@izzahboe1442
@izzahboe1442 6 ай бұрын
😂adi lily Wayne
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 22 күн бұрын
@@RolooKalemeakiwa mdogo mpk akampa gar aina ya ferrar , Sikiliza wimbo wa justine -lonely
@MbuziNasibu
@MbuziNasibu 6 ай бұрын
Doho kacheza na tupaki uyu jamaa kumbe kaz yake ndo hyo doho🥺🥺🥺
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 6 ай бұрын
Adi tale
@EmmanuelMwandemele
@EmmanuelMwandemele 24 күн бұрын
Didy ana kosa ni mabepali tu ao wanataka kumfilisi
@EmanuelMongitech
@EmanuelMongitech 6 ай бұрын
Yote wanayosema ni uongo. Wanamsingizia Diddy
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 6 ай бұрын
Tupe ukweli
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 17 күн бұрын
Ukweli
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 17 күн бұрын
Lete ukweli unaojua
@EmanuelMongitech
@EmanuelMongitech 17 күн бұрын
Naishi Miami 🇺🇸 nimejua diddy personally for over 6 years. UONGO
@EmanuelMongitech
@EmanuelMongitech 17 күн бұрын
@@sikukuuchuo3093mimi siyo msimuliaji
@HappyCassettePlayer-tm8vg
@HappyCassettePlayer-tm8vg 6 ай бұрын
Uyo dada nimuongo kwanini asinge sema wakati yuko nae ila wanawake bana
@felixmuvengei4472
@felixmuvengei4472 6 ай бұрын
Yaani yote maisha 😅😅
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 6 ай бұрын
SASA TWENDE KAZIIIIII
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 ай бұрын
Pamoja sana Justin ✊🙏
@ibramakula2303
@ibramakula2303 6 ай бұрын
Kwann yote hayo yawe leo mwanzo yalikuwa wap Ila wazungu kuchimbua mambo ya weusi
@Kidavoxebanzjro
@Kidavoxebanzjro 29 күн бұрын
Kila jambo na mwisho wake
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 6 ай бұрын
hapo huyu jamaa amekiuka mashart ndio maana kawekwa kati
@Bles-x1v
@Bles-x1v 18 күн бұрын
umeona eeh
@eliakimfrancis6594
@eliakimfrancis6594 19 күн бұрын
Ww uyujamaa afai
@lowbudgetcreation.
@lowbudgetcreation. 6 ай бұрын
Roman Catholic hymns before and after receiving the sacrament
@angelibrahim5539
@angelibrahim5539 6 ай бұрын
Amen
@AziCure
@AziCure 23 күн бұрын
Wasaaafi😂😂😂😂😂😂
@hasaniabdullah
@hasaniabdullah 6 ай бұрын
unatakiwa umlee kwanza ndy umuachee
@shedrackamani8916
@shedrackamani8916 6 ай бұрын
Asante return ndio aende
@Genkipanga01
@Genkipanga01 6 ай бұрын
Kila mtu ana dhambi!!
@mohamedmatogoro4067
@mohamedmatogoro4067 6 ай бұрын
Leo wakwanza mm
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 6 ай бұрын
Sasa alikuwa group la bad boys so Ndio hivyo he’s bad boy
@TinahFrank
@TinahFrank 2 ай бұрын
Uyu kaka nampenda paka naumwa
@Kidavoxebanzjro
@Kidavoxebanzjro 29 күн бұрын
Heee PI DIDY 😂😂😂
@FREE_NEWS-c1g
@FREE_NEWS-c1g 6 ай бұрын
Leo wapili
@alphacassian3655
@alphacassian3655 6 ай бұрын
Bro me ni shabiki yako mkubwa, ila naomba uimprove Quality ya video zako
@benOfficial36
@benOfficial36 6 ай бұрын
Kama hujafa hujaumbika ❤❤
@Ahmada15
@Ahmada15 5 ай бұрын
Pesa ni haramu😢mutu akiwa na pesa anafanya kila kitu😢watoto jo wanatiya huruma
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 28 күн бұрын
Duu huyu jamaa nimshezi
@pezasally8204
@pezasally8204 5 ай бұрын
Mondi alienda kwa huyu jmaa 😅😅
@MbalasaJRMwakabalile
@MbalasaJRMwakabalile 5 ай бұрын
Mwamba huyu apa ukiwa na hela lazima usakamww sanaaa
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 6 ай бұрын
Mwanetu Mond vp 😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌
@AbdallahMtopa-g3x
@AbdallahMtopa-g3x 23 күн бұрын
Monday ameuchezea
@MasoudSaid-cz4pr
@MasoudSaid-cz4pr 6 ай бұрын
Muongeze pesa uliompa ndogo
@RobertNjoroge-dt6yc
@RobertNjoroge-dt6yc 6 ай бұрын
Pia mimi nipo njiani kuua mtu kala hela zangu kaniacha na yupo karibu nashindwa kuvumilia mauvu bora aende kaburini niende jela ❤️‍🩹❤️‍🩹❤️‍🩹❤️‍🩹
@kamandaraster7899
@kamandaraster7899 6 ай бұрын
Usiuwe..ha.ha.ha..njoroge
@RobertNjoroge-dt6yc
@RobertNjoroge-dt6yc 6 ай бұрын
@@kamandaraster7899 brother sio kupenda unajua ninavyo uma
@MNexNexI
@MNexNexI 6 ай бұрын
Good
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
✌️👆👍.
@JustinGeofrey
@JustinGeofrey 27 күн бұрын
Sasa twende kazi
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 6 ай бұрын
Hii nihatali sana tutaona mwisho inakua je
@mg_panther
@mg_panther 6 ай бұрын
Wewe unacheleea kupata habali kenge hauna jipya
@happynelson1136
@happynelson1136 6 ай бұрын
Demu anamchafua jamaa sababu ya wivu ni sababu alikuwa na wanawake wengine hiyo ndiyo sababu wivu ni mbaya sana aliona wengine wanaenjoy wanapendwa zaidi ndiyo maana akaona aondoke zake
@MwaseseMichael
@MwaseseMichael 6 ай бұрын
Hizo ndio kazi ya mzungu wapi jacko,Kelly and more bla ck wakipata maokoto wake mwakaleli bro
@roi2554
@roi2554 6 ай бұрын
Ivi kwan ulaya akuna uchawi?
@rajabuabdallah7283
@rajabuabdallah7283 6 ай бұрын
Kunakitu apa sibure
@trezzbwoy4910
@trezzbwoy4910 6 ай бұрын
Wakwanza mimi
@lewismpangala927
@lewismpangala927 6 ай бұрын
Hoy nina maconection ya did akifanya yake
@saidbalila
@saidbalila 6 ай бұрын
AYAA NA MONDI NA TALE
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 6 ай бұрын
Waliendaga😁😁
@saidbalila
@saidbalila 6 ай бұрын
@@ndorobocarworks-dx4pf 😁na wakasema waliyofanya uko n ya siriii
@AbdallahMtopa-g3x
@AbdallahMtopa-g3x 23 күн бұрын
Mhh
@chingychingy2066
@chingychingy2066 6 ай бұрын
Movie iyo
@KichembeKichele
@KichembeKichele 6 ай бұрын
Illuminati wanammaliza tayari
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 6 ай бұрын
Hakika
@banguha
@banguha 6 ай бұрын
Wanakupandisha na wanakushusha watu wanahukum p didy ila hawajui hili suala ni la kiroho wamsubli wakina Chris brown na wengine weusi
@riziwan9709
@riziwan9709 6 ай бұрын
Mambo ya illuminati ayoo..
@CatherineKabelege-te3yo
@CatherineKabelege-te3yo 5 ай бұрын
Mh
@MajidiSelemani-mt7tr
@MajidiSelemani-mt7tr 6 ай бұрын
Itabidi upigane nae akuna namna😂😂😂😂😂😊
@angelibrahim5539
@angelibrahim5539 6 ай бұрын
Shetan hana uruma
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Rappers Who NEVER Feared Diddy
22:46
Music Vibe
Рет қаралды 4,8 МЛН
Incredible Moments Caught on Camera
30:40
UNSORTED
Рет қаралды 4,6 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН