Mfano huo hauendani mtumishi,nakukubali Kwa mahubiri Yako lakini Kwa mfano huo hapana
@amanamazanda1028 Жыл бұрын
Endelea kubisha! Unafikiri mwenye maono ya kujenga ghorofa ni sawa na mwenye kujenga chumba na sebule? Usifanye Moyo wako kuwa mgumu mpendwa❤
@mcback4384 Жыл бұрын
Tunaamini uzao wa binadamu una kusudi kubwa la kimungu ndani yake, hakuna uzao wa binadamu wa bahati mbaya mbele za Mungu, kuufananisha uzao wa binadamu na panya, mende, mbuzi, kuku hapo kakosea
@michaelmelita5273 Жыл бұрын
@@mcback4384 nono hajafananisha ni kwamba tu hujamuelewa mtumishi na ofcourse sio kila mtu ana neema ya kuweza kutafsiri mifano
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
@@amanamazanda1028 muache mtoto acheze
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
@@mcback4384 kakosea Nini?na wewe kama humpendi huyu kimaro unamsikiliza ya nn?jomba Mimi sikuwazi asee kimaro ni mchngaji WA Kilimanjaro pesa tunakuzidi,elimu,pesa ,mazingira,wewe dhambi tu unatuzidi