Рет қаралды 10,147
Familia moja kutoka eneo bunge la Likoni kaunti ya mombasa inaiomba serikali kuingilia kati ili kupata haki ya mwana wao aliyefariki nchini Saudi Arabia. Mwanakombo Bahmad anadaiwa kufariki Februari ila familia inadai kufahamishwa mwezi Agosti kuhusu mauti hayo wanayodai yamechangiwa na madhila aliyokuwa akipitia kutoka kwa mwajiri wake.