Wafanyabiashara wa miraa katika soko la Kongowea wateta

  Рет қаралды 5,040

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

4 жыл бұрын

Wafanyabiashara wa miraa katika soko la kongowea Mjini Mombasa wamelalamikia ongezeko la Ada ya kuuza bidhaa hiyo sokoni. Ongezeko la Ada limeathiri pia bei na huku nzige wakivamia baadhi ya mmea huo huko Meru na Embu uhaba wa miraa huenda ukasababisha bei kupanda zaidi.

Пікірлер: 9
@ahmedanwar1210
@ahmedanwar1210 4 жыл бұрын
HILO SHAMBAA LICHOMWEE KABISAA KUJENGWE NYUMBA
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Muko kabisa miraa ukorofi mtupu
@aliaden5512
@aliaden5512 4 жыл бұрын
Nzige ikule mogokaa yote inaharibu watu
@habibamahamed5587
@habibamahamed5587 4 жыл бұрын
Kilamtu na raha zake
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 2 ай бұрын
Ruto alipoongeza ushuru mbona hatukuwaona mkilalamika
@mohameduniang7750
@mohameduniang7750 4 жыл бұрын
Hao wenye wanapanda hio mairungi au mogokaa watafute njia mbadala Kama kupanda majani chai,kahawa,Pareto n.k maanake vijana wengi wamepotea kwa hio uraibu.
@omarbachu1074
@omarbachu1074 4 жыл бұрын
Miraa ndio imeleta coronavirus Mombasa..
@shailahmwende5199
@shailahmwende5199 4 жыл бұрын
Kama nikushikwa si mmeshikwa tayari hapo, mungu atusaindie.
@zainabooker2724
@zainabooker2724 4 жыл бұрын
ipingwe marufuku kabisa miraa
President Ruto holds town hall meeting with Mombasa residents (Part 1)
1:02:11
Mama moja ajifungua watoto watano kwa mpigo eneo la Embakasi
2:42
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3,7 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 470 М.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
Je, polisi walionaswa wakiwaua waandamanaji watahukumiwa?
2:56
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
SOKO LA MARIKITI NI KIVUTIO CHA WATALII MOMBASA
3:05
VOA Swahili
Рет қаралды 1,6 М.
Usalama umeendelea kuyumbishwa na vijana mjini Mombasa
10:39
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 24 М.
Mwanaume ashambuliwa na wahalifu Mtopanga, Mombasa
10:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 51 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 470 М.