Familia yakabidhiwa mwili wa anayedaiwa kuuawa na mkewe kwa ‘mchepuko’

  Рет қаралды 35,145

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Moshi. Familia ya Ephagro Msele, mfanyabiashara anayedaiwa kuuawa na mkewe inajiandaa kwa maziko baada ya hatua uchunguzi wa Polisi kukamilika na kukabidhiwa mwili.
Msele anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni na mkewe, Beatrice Elias, Mei 25, mwaka huu, katika tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi.
Kulingana na taarifa za Polisi, Msele alikuwa nyumbani kwa mzazi mwenzake wakati Beatrice alipomvizia na kumshambulia.
Polisi wamemkamata Beatrice kwa tuhuma za mauaji na anashikiliwa huku uchunguzi ukiendelea.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mei 27, ndugu wa marehemu, Philip Msele, amesema tayari familia imepokea mwili wa ndugu yao baada ya uchunguzi wa kitabibu katika Hospitali Rufaa ya KCMC na sasa inakutana kupanga ratiba na taratibu za maziko.
Maziko ya Msele yanatarajiwa kufanyika hivi karibuni kwenye eneo la familia.

Пікірлер: 177
@annamussa185
@annamussa185 4 ай бұрын
Sasa kanisani na mke wa pili wapi na wapi,haya sasa ngoja akapumzike na ukitombi wake
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Yaani we ANNA sikuwezi na nini vile😂😂😂😂😂😂
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
😂😂
@ZalkiaBendera
@ZalkiaBendera 4 ай бұрын
Mmmhhh so kweli mkiolewa kutoa k mpaka ugomvi
@ubongosahihi
@ubongosahihi 4 ай бұрын
Annaaaa 😮😂😂😂 kwa kweli nitakutafuta tuzungumze kidogooo 🧐🤭😇
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 4 ай бұрын
du
@ummySheikh72
@ummySheikh72 4 ай бұрын
Mchepuko huo umesababisha Mauti, una wtt 6 bado unachepuka mpaka umezaa na mtt huko 1? Inaumaa kama mke
@judicalosika7642
@judicalosika7642 4 ай бұрын
Dini Yako huwezi umia
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 4 ай бұрын
Naomba kuuliza marehemu alikùtwa ameshakufa sasa kati ya hao wake wawili nani anajua aliyeuwa???wangekamatwa wote ukweli ukajulikane mbele ya mahakama.kama ni kimada aliuwa?,tafakari...
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g 4 ай бұрын
Duh jamani sasa uyu kafa nahuyukafungwa mmeacha mali zote izo
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
Imegeukatena baada ya wanaume kuuwawakezao sasa wanawake wanajibu mashambulixi. Subuhanallah sweitwani yupokazini. Allah atujaalie mwishomwema
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Ameen
@ubongosahihi
@ubongosahihi 4 ай бұрын
Amen 🥹🙏🏿
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 4 ай бұрын
hii nini lix
@rosehaule6765
@rosehaule6765 4 ай бұрын
Wamama wamechoka cos siku hizi mapambano ya kimaisha ni ya pamoja wanawake sasa huv wanatafuta pesa kama.wanaume na wanapita wanaume Sasa a pambana kulinda nyumba mnaangaika wote baadae baba anapeleka.kwa.kimada wakati jasho ni lenu wote zamani mama zetu walikuwa awana say cos walikaa tu nyumbani baba ndio anapambania kila kitu ilikuwa inawapa udhaifu baba akienda huko anarudi analeta magojwa wanawake walikufa sana zamani kwa unyonge ..Sasa huv wamama wamegeuka awataki tena unyonge Mungu atusahidie kutuepusha na hasir zinazopelekea mauaji ingawa inaumiza sana baadhi ya wanaume wanaumiza.mnoo kuleta chuki na.mgawanyo wa familia
@ubongosahihi
@ubongosahihi 4 ай бұрын
@@rosehaule6765 Amina Wajinaaa 👏🏾 umesema kweli Zamani Mama Zetu waliwekwa kwenye Kona kipindi hicho sisi Wazamani Tuliita Kona Ya Mjerumani Ambaye ndiye baba yetu Mzazi 🥲🥲 na mama yetu aliteseka sanaaaa na baba juu ya kuwa na Vimada kila Kona lakini Bado akirudi nyumbani Mama yetu Lazima Apigwe sanaaaaaa 🥹 sina uhakika kwa nini Mama aliyakubali haya mwisho Alikufa kifo cha Ghafla hiyo Miaka Ya Tisini na Baba Alifunga Tena Ndoa Takatifu na mmoja wa Vimada wake na mmpaka Leo hii wapo Pamoja 🥹 namshukuru Mungu kwa Yote Ila Namuomba Sana Mungu Niuone Mwisho wao japo Mimi kwa sasa nimekuwa mtu mzima sana ila Wamama wa Zamani ni DHAHABU ⭐️⭐️⭐️⭐️🤣👏🏾
@pendomvungi6960
@pendomvungi6960 4 ай бұрын
Mtu akiwa tajiri anachepuka na mmetoka mbali na mke..watoto sita bado unazaa nje?na hapo mwenzie anasema ni mtu wa kanusani?Mungu hadhihakiwi japo siteti kuua ila wanaume saingine muwe na huruma
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 4 ай бұрын
Dada anakwenda jela anaacha watoto sita.Ila akipata mwanasheria mzuri atashinda hii kesi.Hakukusudia kuua sema labda alimpiga sehemu mbaya.Ila wanaume jamani sasa una mji mwingine si ungemuweka wazi mkeo.
@SophiaChmpaya
@SophiaChmpaya 4 ай бұрын
Hakukusudia wakati kampiga na kitu chenye ncha kali si inaonekana alikuja nacho na alijiandaa
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 4 ай бұрын
@@SophiaChmpaya Tunaona kesi itaendaje.Labda hicho kitu alikiokota hapo hapo getini. Who knows ?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@florencebudoya3814hajamkuta yeye au ndugu wa karibu, hili ni zao la jeuri kibri dharau na manyanyaso ya pande zote mbili kwa mwanaume na huyo bi mdogo ila atakuwa huru alipata huyo mwanashiria, mtu ana watoto 6 na halitulii
@gracegeorge4848
@gracegeorge4848 4 ай бұрын
Umetumwa​@@florencebudoya3814
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Kesi ya fumanizi anaweza kukaa kama unavyosema akatoka maana atasema wivu wa mapenzi hasira na vyote vilivyompelekea kupanik sote hatujui alikuwa anapitia changamoto gani .Ila Mungu atusamehe na atusaidie mioyo ya uvumilivu la sivyo hii ni hatari kila kukicha ni majanga.
@faridaaloyce4330
@faridaaloyce4330 4 ай бұрын
Wengi wanajificha kwenye dini Leo analala gest kesho anaamkia kwenye ibada
@SiwaKombo-ze9ol
@SiwaKombo-ze9ol 4 ай бұрын
Eee Mungu tunakuomba hili pepo liondokke ktk Kila mwenye mji wake..tunakuomba tuishi Kwa Amani na upendo .Mungu ,,,Mungu,,,tunusuru
@فيصلالبادي-ح1غ
@فيصلالبادي-ح1غ 4 ай бұрын
Muachage umalaya alafu wakristo ndoa nimoja kanisani haya huyo mke wapili katokea wapi umalaya wenu mmesababisha watoto kubaki yatima 😢😢😢😢
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 4 ай бұрын
Hasira hasara
@colletatesha5265
@colletatesha5265 4 ай бұрын
Mhhhh mungu apitishe mbali unamuonea wivu umemzaa jamani
@dottojumbe-jk5gg
@dottojumbe-jk5gg 4 ай бұрын
Ngoja yakufike ndo utajua ,,umetafuta wewe anakula mwenzio tena kahaba tu pole aisee hujui unachotetea uzinzi hauruhusiwi ndomaana walipigwa mawe hadharani hilo ni andiko japo tunaamriwa pia kusamehe na tunazuiwa tusiue ila yakikukuta Mungu atuhurumie.
@ShuuKonti
@ShuuKonti 4 ай бұрын
Apooo chacha ,kama huna pata mahitaji yote mwache aende tafuta nmchepko maisha yanasonga
@annamashauri7421
@annamashauri7421 4 ай бұрын
Hasira mbaya sana jaman nawahurumia watoto jaman watabaki na nani
@ElizaberthGodfray
@ElizaberthGodfray 4 ай бұрын
Mshahara wa dhambi ni mauti Bali karama ya mungu ni uzima wa milele mungu tusaidie na hizii ndoa zetu👋👏
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 3 ай бұрын
Mwanaume wakizungu anaweza kukaa na mwanamke mmoja ila akichoka anakuacha. Kirahisi tuu.
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 ай бұрын
Utasikia mtuumiwa kakamatwa anafanyiwa uchunguzi
@annamussa185
@annamussa185 4 ай бұрын
Marehemu kapata alichokuwa akikotafuta mshahara wa umalaya ni mauti
@junessalama9129
@junessalama9129 4 ай бұрын
Cheating ni unafiki sana 😢😢
@KonkMasita
@KonkMasita 4 ай бұрын
Mshahara wa zambi nimaut, acha afa tuu ndicho alicho kihitaji, mnatuonea cna wanawake mtu anavumilia na kuzaa kama kuku lkn wapi malipo yake nikusalitiea tuu kweli, selikar mumpunguzie azabu huyo mama aendelee kuealea watoto wake kashateswa cna
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 4 ай бұрын
Dhsmbo Ni mbaya Sana okoka upone.
@YustinaNemes
@YustinaNemes 4 ай бұрын
Wanawake wa kaskazini ni kawaida yao
@judicalosika7642
@judicalosika7642 4 ай бұрын
Hasa wa kitongoji hicho
@NancyKerubo-c2s
@NancyKerubo-c2s 4 ай бұрын
Hasira hasara
@JonhJonh-fm7tg
@JonhJonh-fm7tg 4 ай бұрын
Mdamwingine wanasabisha tutafute sehem ya kutuliza stress maana unaweza ukawa unakila kitu ila hunafrah ndani ya ndoayako amemzihaki buretuu punzika kwaamani mselle
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 3 ай бұрын
Mwanaume mwafrika hawezi kuwa na mwanamke mmoja. Waafrika wanazaa sana . Hata uwe mzuri kiasi gani mwanaume wakiafrika anakuwa na wanawake wengi
@fridaminja7191
@fridaminja7191 3 ай бұрын
Dah!nikweli lkn inauma acha tuu
@janethgenes1074
@janethgenes1074 4 ай бұрын
Iko hivi Kama mtoto wa mtu amekusumbua akili ondoka mwache salama unamuua wa nini? Ana wazazi na ndugu zake ambao pengo halizibiki ila kwa wewe mwanamke ukiamua unawezakuliiziba na wanaume wengine wengi tu. Mwache nenda zako ukiwa salama na yeye salama. Watu wenyewe mmekutana ukubwani.
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 4 ай бұрын
Acha hizo ingekuwa mwanamme ndo kauwa ungesema
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 4 ай бұрын
Mimi sipendagi kabisa kusema neno kwenye matukio kama haya kwakua naamini ukiona mbka yamefika kuuwana yametoka mbali sana sizani kama uyu mama alipenda kwenda jela jamani ilijambo nigumu sana tatizo sisi tutaongea tu ila mungu nawao wawili watajuana
@HamisiForogo
@HamisiForogo 4 ай бұрын
Wanaume wakiua wao ni Safi Ila tukiwaua sisi ni taharuki akapumzike huko umalaya ndo shida
@janethgenes1074
@janethgenes1074 4 ай бұрын
@@SaumuSaidi-z2v ndio ningesema hivo hivo kwasababu hata kama ni mwanamke ni mtoto wamtu pia. Hakuna mtu mwenye haki ya kutoa uhai wamwenzake. Sasa mkiona mnasumbuana achaneni kila mtu akapumzike kivyake mpange namna ya kulea watoto tu. Hilo la kulea watoto hata ustawi wa jamii watakusaidia
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 ай бұрын
Ila sababu kubwa inasababishwa na wanaume michepuko ni hatari ndo yaliyoleta maafa mlishaambiwa ishini na wanawake Kwa akili maana wanawake hao wote ndo waliosabanisha haya mwenye ndoa na asie na ndoa unaishi na mume wa mtu Kwa Siri hakuna Siri ndani ya anga hili je? Wanaume mke wako akikufanyia hayo ndani ya ndoa ukahakikisha utafanyaje? Wote Wana roho lawezatokea lolote km alivyofanyiwa huyo. Tena mwanaume angewaua wote mke na mume Ambae angemkuta nae hivyo tusilaumu sana tumwombe mungu atusaidie utulivu kwenye ndoa hapa duniani tunajifunza mengi sana pole familia shida inabaki Kwa watoto wasio na hatia
@FatumaAhamad-fr3mn
@FatumaAhamad-fr3mn 4 ай бұрын
Nawatanyanyasika sana maana ndugu wa mume huwa Wana roho mbaya itakua haya yote kayataka mama enu duh 😂😂😂
@miriammbwambo-cr4jn
@miriammbwambo-cr4jn 4 ай бұрын
Miningekuwa serekali ni gemsamehe bureee maana hakuna kitu kinauma kama kusalitiwa Tena live,hadikuzaa mtt minaomba serekali ivae viatu vya huyo mama,alaf itende haki kwasbb kiapo chandoa kilisema mpaka kifo kiwatenganishe alaf mwanaume analeta usengefu,Yaani naelewa maumivu yakusalitiwa natamani namm nikamuuwe wakwangu sasaivi,mtu mmeanza maisha kwaugumu Alf Leo anakutelekezea watt,unamuachaje Kwa mfano??hongera mama kwakazi nzuri
@ummuwawili
@ummuwawili 4 ай бұрын
muone vile
@ShuuKonti
@ShuuKonti 4 ай бұрын
😢😢😢😢
@mamita336
@mamita336 4 ай бұрын
So mwaaaa
@khambhai360
@khambhai360 4 ай бұрын
Kampe hongera jela.Ujinga mtupu yeye ndio wa Kwanza kusaligiwa?
@jeangodelo5349
@jeangodelo5349 4 ай бұрын
Unamuonea wivu kiasi hicho mwanaume...poule sana...hasira hasara..
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Mimi na dhani ni pale tunapogeuka na kuanza kashfa kauli chafu na kuona chombo cha zamani ni chakavu kipya ndio kinachati .Na haya hufanyika vyumbani .Hakuna kitu kinamtia hasira Mwanamke kama kumdharau kumkashifu maumbile yake
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 4 ай бұрын
​@@leokamil6284 umesema kweli kabisa manyanyaso ndio upelekea haya wala sio kuzaa wanawake wengi wavumilivu sana ukiona kafikia hapo kuna jambo mimi nawaombea tu mana sijui kesho yangu
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 4 ай бұрын
Penina alyouwawa na mume juzi mbona hamkusema
@PaskaliaTuji
@PaskaliaTuji 4 ай бұрын
Jamani jaman
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 ай бұрын
unauwa mtoto wa mtu ?, kama kakushinda si umuache kwa amani ? , kila mtu anatoka kwao , mkishindana peaneni nafasi, haya sasa ? , kifooo hicho na kifungo cha maisha... ovyo sana..,
@annajohn3377
@annajohn3377 4 ай бұрын
Hayo mambo yapo tangia enzi za mababu nahakuna mwaume rijali anaezeeka bila kua na mchepuko mwanaume nimtu wa tamaaa
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 ай бұрын
@@annajohn3377 nazani si tamaa wakati mwingine wenzetu wana matatizo mengi sana , wanaume wengi uwa hawasemi matatizo kama wanawake,
@conjestamashallo8458
@conjestamashallo8458 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 ай бұрын
kanisa liache kuwazuia waumini wake kuoa mke zaidi ya mmoja!!mbona hiyo sheria ya mmke mmoja HAIPO kwenye BIBLIA?
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 4 ай бұрын
Hapo kanisa alihusiki kwakua kanisa alikumjazia form ile form inauliza unataka ndoa ya aina gani kwanini yeye alichagua ndoa ya mke mmoja akiwa na akili timamu? Kanisa alikulazimisha wewe mwenyewe ndounaenda kuomba ndoa ya mke mmoja kama unajua uwezi kwanini ukubali? Mungu atusamehe wote
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 4 ай бұрын
Haisaidii hata wakiambiwa waoe 20, hiyo ni tabia mbona kuna Waislam tena wameshika dini, lkn wameoa mke mmoja tu na wanauwezo,ok km dini hairuhusu kuoa wake wengi ndio Mme wako akioa au akichepuka umuue? Hiyo ni miroho tu Ibirisi anavuruga amani.
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 4 ай бұрын
Na wanawake waruhusiwe kuolewa na mwanamme zaidi ya mmoja, kuwepo na usawa kwa nini wanaume wao tu waruhusiwe kuoa wake wengi na wanawake wakatazwe
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 4 ай бұрын
Jaman acheni wachepuke maisha mafupi ni kuishi kwa akili tuu mnauwa nini dada umetuaibisha sana kama wanawake
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 4 ай бұрын
Hakujua kama atauwa na syo ajabu jerahq alilopata angeweza kujitetea lkn akapata presha yakufumaniwa
@lidyakisoka-is4ru
@lidyakisoka-is4ru 4 ай бұрын
Mara hoo ndugu walijua ana mke wa pili,huyo sio Mke ni mchepuko
@KiboTrading-wk8px
@KiboTrading-wk8px 4 ай бұрын
Pole sana msele
@SofiaYusufu
@SofiaYusufu 4 ай бұрын
Wanawake wengine tunasababisha wenyewe wanaume wetu kutoka nje ya ndoa hatuwaheshimu waume zetu hata akirudi kazini hatuonyeshi upendo wowote ule ndio maana wanatafuta sehemu ya amani, mume ni kama mtoto anahitaji kubembelezwa acha kumlaumu huyo marehemu mengine tunasababisha sisi wanawake
@FekiHappy
@FekiHappy 4 ай бұрын
Pole.kwa familia mnomno
@ManeMich-ci6zb
@ManeMich-ci6zb 4 ай бұрын
Nyie matahira wageni katika ndoa mnachefuaga,wewe unamsemea ulikuepo
@ElinaHarusha
@ElinaHarusha 4 ай бұрын
Siku yakikukuta utasema mpaka useme tena, unahisi wote wanao cheatiwa wanawadharau waume zao, Pole sana.
@judithminja6386
@judithminja6386 4 ай бұрын
Dada yasikie uku uku mtandaon
@mamita336
@mamita336 4 ай бұрын
Tulia mwalimu asiende dada,hujui lolote na Mungu akusaidie yasije kukukuta,
@MamaEva-jv2xv
@MamaEva-jv2xv 4 ай бұрын
Jaman wanadm tuwe na huruma unamtoa uhai menzako
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 4 ай бұрын
Siku hizi dini imekuwa kichaka cha uovu. Ndo maana si ajabu kusikia shehe/mchungaji kabaka
@CatherineMassawe-pb2jd
@CatherineMassawe-pb2jd 4 ай бұрын
Duh
@NeemaMmary-kl7no
@NeemaMmary-kl7no 4 ай бұрын
Hakuna aliyekamilika kwenye hii dunia na kila nafsi itaonja maut ila sio kwa staili hii.huruma watoto jamani ni wadogi
@faridaaloyce4330
@faridaaloyce4330 4 ай бұрын
Hasira hasara..
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 ай бұрын
Wanaume muwe mnaridhika, sasa kama kashamzalia watoto 6 halafu dharau inaanza! Mtu umetafuta naye kwa shida Leo hii anakuona hufai anaenda kusuuza kwa mchepuko halafu anashindwa kubalance unadhani kutakuwa na usalama hapo?
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 4 ай бұрын
Ila sio kuuwa tujue kuna maisha baada ya kufa
@estherpaul3864
@estherpaul3864 4 ай бұрын
Ni hasira hakujua kama angeua, na Kuna watu hawawezi kucontroll hasira zao​@@rahmaabdallah4514
@angelabanzi8253
@angelabanzi8253 4 ай бұрын
Mmmh,
@lucypeter7804
@lucypeter7804 4 ай бұрын
Ee Mungu watoto mnawaachia nani jmn???????🥱😭😭🥱😭😭😭😭🥱😭
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 4 ай бұрын
Mtu wa dinii
@sweetberthawilliam6587
@sweetberthawilliam6587 4 ай бұрын
Kwa nini umemuua mtoto wa watu?
@mimarsalehe9315
@mimarsalehe9315 4 ай бұрын
Wanaume nyoko sana.
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 4 ай бұрын
Hei? apo faida iko wap sasa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Hii ni zao la jeuri kibri dharau na manyanyaso kufika ukomo
@HamisiForogo
@HamisiForogo 4 ай бұрын
Kakuzalia watoto sita unaenda kuzaa tena nje kwani huyo mtoto wa saba alikwambia hawezi kumzaa kama watoto sita kaweza??mambo ya ajabu sana wanaume sijui baba yenu nani
@judithminja6386
@judithminja6386 4 ай бұрын
S ndio apo afu Sasa kachepuka karibuuu
@HamisiForogo
@HamisiForogo 4 ай бұрын
Akapumzike huko na umalaya wake wanajuaga kutuua sisi tu sasa kakutana na chuma Cha reli icho Safi Sana umetuwakilisha vizuri mwanamke mwenzangu
@StellaJohn-dz6gv
@StellaJohn-dz6gv 4 ай бұрын
Yaani😭😭
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 ай бұрын
Jasho litamtoka uyo demu kiranga komoo
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 4 ай бұрын
Huwajui wachaga weww anatoka vizur sana
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 ай бұрын
Sawa ngoja tuone kama wachaga ndivyo walivyo
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 4 ай бұрын
Mbaya ndugu wanajua na wanakuwa upande wake
@rashidkatundu9674
@rashidkatundu9674 4 ай бұрын
Uyo mchepuko arudi kwenye mjengo amsaidie kulea watoto ila sijui kama wachaga watakubali apo watasumbua sana awo watoto wakitaka uridhi daah
@jullykweka4502
@jullykweka4502 4 ай бұрын
Jmn baba praxeda
@WitinessJoseph
@WitinessJoseph 4 ай бұрын
Watu wanachiti ndoa zao mbali yy apo karibu katakia aoni wanaume wenzake wanae chiti mbali
@judithfrancey7068
@judithfrancey7068 4 ай бұрын
Ila hii ilikuwa is ishavuka sana hiyo steji mnayoita cheating , hawa walikuwa informal wake wenza, walikuwa hadi wanawasiliana na kuombana watoto miaka sita sasa bado tunaita cheating, na wanasema after tukio mke alikuwa anamwambia police kuhusu mwenzie(so called mchepuko) "mimi na mama Dory wala hatuna tatizo"
@HonestaAloyce
@HonestaAloyce 4 ай бұрын
Poleni;'familia
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 4 ай бұрын
mama yupo wapi
@GetrudarCelestineAmede
@GetrudarCelestineAmede 4 ай бұрын
Dada ww ovyo kwel kwa ukamilif upi ilonao hata umuue kaka wa watu?? Hukukumbuka hao watoto 6 mfyuuu!! Sasa umepata nn jela inakusubiri
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 ай бұрын
huyo hakai jela mayb 2yrs..atashtakiwa kwa manslaughter..kuua bila kukusudia..sana sana atapewa kufungo cha nje .upo nyonyo
@neemamtangi4818
@neemamtangi4818 4 ай бұрын
😂😂😂​@@masalakulwa7601
@lakasid3860
@lakasid3860 4 ай бұрын
​@@masalakulwa7601nani kasema?
@dottojumbe-jk5gg
@dottojumbe-jk5gg 4 ай бұрын
Kuua si jambo jema ila wanaume jifunzeni tamaa mbaya watoto 6 bado unahangaika na zinaa pumbavu kabisa!
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 4 ай бұрын
Ukiuwa kwa upanga hicho kifungo cha nje si atauliwa hata kabla ya kumaliza kifungo cha nje na anaweza kufa kwa msongo wa mawazo vile jamii itamchukulia bora ukakae jela tu😏😏majuto ni mjukuu
@rosehaule6765
@rosehaule6765 4 ай бұрын
Yaan mume sijui awe masikini yqan.mkiwq na.p ex sa tu atapambanq.mpqkq.qpoteze amani nyumbani wanaume wakiwa awana.kitu wanatiq huruma.mnqqngqika weee akipatabtu lazima.awe na.mchpuko na akudharau ww mliyepqmbqna wote sijui ahida hipo wpi kwa wababa baadhi yao ni ahida akiwa na.kipati tu basi ukicheza anakuuwa ww kwa.kukupq maradhibya moyo..na akiwa kwa mchepuko mali zote anapeleka huko na kuanzisha mji mpya tena tena hukonndio anawekeza zaid matokeo yke mauti alafu wakichokq wakikqtqliwa huko wanarudi hoi nyumbani so sad Mungu ampe.pumziko la milelee
@RachelVenance
@RachelVenance 4 ай бұрын
Inauma sana likikukut utaona kafanya saw kbs
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 ай бұрын
safiii
@ABDIMHINA
@ABDIMHINA 4 ай бұрын
Kufeni tu
@annajohn3377
@annajohn3377 4 ай бұрын
Haaaa jmn mimali yoteee hiyooo
@jinnahsameer
@jinnahsameer 4 ай бұрын
😢😢 daaa nyie mapenzi ya nauma mno
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
R.I.P poleni sana
@geraldabel8784
@geraldabel8784 4 ай бұрын
Duh hao watoto wameshabakia yatima sasa maana huyo mama ataozea jela hata akipata kessi ya kuua bila kukusudia bado atasota sana jela
@judithminja6386
@judithminja6386 4 ай бұрын
Bora jela kuliko KUENDELEA kuona mtu msalit anaishi na usalit
@mercyrehani2470
@mercyrehani2470 4 ай бұрын
​@@judithminja6386mchagaaaa mmmhh
@gambigambi7254
@gambigambi7254 4 ай бұрын
Utamuona tu mtaani atapewa manslaughter kuuwa bila kukusudia kuna vitu vingi wataangalia kuuwa ukiwa hali gani hasira nakadhalika its sad
@njuka3515
@njuka3515 4 ай бұрын
Huwajui wanawake WA kaskazini hiyo mama atatoka tu jela
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 4 ай бұрын
Nakweli atatoka si kama wa msuya yule na wanajuwa kessi balaa​@@njuka3515
@france2640
@france2640 4 ай бұрын
Hiyo ndio kaskazini bhana
@judyngowi391
@judyngowi391 4 ай бұрын
Kwani mikoa mingine hayatokei haya, ?
@AgnessMsacky
@AgnessMsacky 4 ай бұрын
Mwanaume yoyote aliyefanikiwa uchagani lazima malizake zote zinajulikana kw family hamna mtu anaweza kuiba Mali za mchaga hata awe mchepuko
@winnesakara6957
@winnesakara6957 4 ай бұрын
Duuu
@imanmodern
@imanmodern 4 ай бұрын
Tuanzie kwanza hapo mwanamke kabila gani eti
@rosemarykimath9337
@rosemarykimath9337 4 ай бұрын
Mchaga
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 4 ай бұрын
@@rosemarykimath9337 😁😁😁😁😁😁 hiii coment ndo nilikua naitafuta.
@pendo8082
@pendo8082 4 ай бұрын
​@@myunaniniahmad6463yan😂
@pastorytety3935
@pastorytety3935 4 ай бұрын
Mmachame
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅...........Chagas and pares oyeeeeeeee
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 4 ай бұрын
wanawake wengi ni matatizo sana,ukiwa huna pesa manyanyaso,ukiwa nazo nyingi ndio kabisa,atafikia hatua hata tendo la ndoa shida,wanawake wanatakiwa kujua maumbile yao ni tofauti na maumbile ya mwanaume,hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja,ila mwanamke anaweza,akina mama chukulieni mfano hata wa kuku,jogoo mmoja anazungukwa na majike hata 7,na anaweza kuwapanda wote kwa siku moja,sasa nyie kina mama mnafeli wapi?baba mpaka anaenda nje ya ndoa tatizo ni wewe mama jitathmin.
@ushindimwakipesile1969
@ushindimwakipesile1969 4 ай бұрын
Usiongee pumba ndugu,wanadam ni tofauti na wanyama,kama unajijua ww hawezi kutulia na mmoja ni heri usingeoa ubaki kufanya umalaya ,Ulioa ili iweje?🤔
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 4 ай бұрын
Kuna ukweli flani hapo, wanaume mbegu zinatengenezwa kiwandani mamilioni Kila siku sasa wewe mwanamke Mmoja unauwezo wa kupunguza? Mwishowe anapata mabusha, mwanaume toka uumbaji hata ukifuatilia biblia vizuri hawi na mwanamke Mmoja japo wengi wanashikilia sehemu Moja tu kmuwa mwili Mmoja basi, narudi Kwa wanaume mkichepuka muwe wastaarabu Kwa wake zenu mliochuma nao Mali, muheshimu na kumtimizia haja zake yeye na familia Kwa ujumla, pia shetani mkuu muharibifu wa ndoa ni simu pamoja na marafiki, usimuamini mtu na kumueleza Siri zako utatengeneza maadui wengi, wapo wanaoaema mshahara wa dhambi ni mauti sawa lakini jiulize woote wanaokufa wametenda dhambi?
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 4 ай бұрын
@@ushindimwakipesile1969 Sasa utauwa wanaume wangapi huo ndo ukweli wenyewe,usijidanganye uko peke yako,sio kweli😄😄😄🤣🤣🤣
@ushindimwakipesile1969
@ushindimwakipesile1969 4 ай бұрын
@@samsonkatigiri2344 wanaume wengi hutulia na mmoja kama ww umejiona mnyama zidisha umalaya wako lakini jua wanaume wengi Sana wanajiheshimu wametulia na mmoja
@MohamedMkota
@MohamedMkota 4 ай бұрын
Una piga goti kanisani Kumbe mzinzi mshahara wa dhambi nimauti
@mariahgaudence543
@mariahgaudence543 4 ай бұрын
Hakuna dhambi ndogo,hta wewe unayedanganya hta kwa simu tu ukisema nakaribia wakati upo mbali,nayo ni dhambi hukumu yako na ya huyo mzinzi ni moja, Tusihukumu hakuna mkamilifu tuombe kifo cha neema.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 4 ай бұрын
​@@mariahgaudence543ubarikiwe
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 ай бұрын
Adhabu ni kubwa kuliko kosa.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 ай бұрын
ni sawa kbs bakanced
@dottojumbe-jk5gg
@dottojumbe-jk5gg 4 ай бұрын
Uzinzi ni kosa dogo! ,,unasali kweli wewe aisee jujui ni kiini cha maovu yote duniani acha kutetea ujinga bhana
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 4 ай бұрын
Afeee TU
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 4 ай бұрын
Ujinga tu eti wivu wa mapennz. Umefanya watt wako wabak yatima kwa upumbavu wako
@judithminja6386
@judithminja6386 4 ай бұрын
Wacha wabaki bana s tyr wanamal
@fideavenceslaus
@fideavenceslaus 4 ай бұрын
wamama wangapi wanakufa na watoto wanabaki yatima...watakuwa tu..wababa acheni ungese
@MwileMkangwa-y1n
@MwileMkangwa-y1n 4 ай бұрын
Kabisa unajua maumivu ya usaliti MUNGU yupo watakuwa hizo Hela zinawatosha na changia hoja ​@@fideavenceslaus
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 138 МЛН
Waombolezaji watoa ya moyoni kwenye mazishi ya anayedaiwa kuuawa na Mkewe
4:14
Mama wa 'mchepuko' anayedaiwa kufanya mauaji ya Msele afunguka
2:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 15 М.
7 Weird Facial Expressions of a Narcissist
12:22
Danish Bashir
Рет қаралды 397 М.
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН