Waombolezaji watoa ya moyoni kwenye mazishi ya anayedaiwa kuuawa na Mkewe

  Рет қаралды 18,937

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 5 ай бұрын
Kama nawaona wanaume wenye michepuko sasa hivi wanamawazo tele. Jamani watu mkichokana tabia ni vema muachane kwa amani ili muwalee watoto ambao hawana hatia. Ona sasa watoto bado wadogo ivo inaumiza sana. Nimelia aki
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 ай бұрын
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki, poleni sana watoto... Na huyo aliyempelekea huyo mama umbea, machozi ya hawa watoto yanamuhusu...leo watoto watateseka ki mwili nafsi na kisaikolojia kwa ajili yake....
@hildamushi9112
@hildamushi9112 5 ай бұрын
Na hiii midomo ya hao tunaojifanya ni mashoga zetu ,tuachane nao jamn sio kila mtu anapenda kuona unaishi maisha mazuri na mme wako
@ElizabethMollel-vn9qz
@ElizabethMollel-vn9qz 5 ай бұрын
Moyo wa mwadamu ni kichaka kikubwa sana huwezi kujua Mungu mwenyewe ndiye uchunguzaye poleni sana
@paskalinamassawe5283
@paskalinamassawe5283 5 ай бұрын
Ila jaman siwezi mlinda mwanaume kama nimezaanae naangalia watot , ukitaka mwanaume wapekeako katengeneze waudongo 😢😢
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 5 ай бұрын
Uyo Mbeya aliyepeleka maneno umepata nini? Unajisikiaje uko uliko maneno yako yamesababisha watoto wamekua yatima
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 ай бұрын
Kweli wanawake jamani tuacheni umbea...ukiona mtu ammnakuja kukuambia khs mumeo, ujue huyo ni mnafiki na muuwaji! Au anamtaka mumeo...
@sazanahussen6715
@sazanahussen6715 5 ай бұрын
Jmn umbea hauna faidaa jmn😭😭
@sazanahussen6715
@sazanahussen6715 5 ай бұрын
Jmn umbea hauna faidaa jmn😭😭
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 5 ай бұрын
Poleni na msiba inaumiza watoto. Wanaume ishini na wake kwa akili.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 5 ай бұрын
Wanawake waache ubinafsi uliopitiliza, mwaume ni mbegu na mwanamke ni shamba
@EmsonSambo
@EmsonSambo 5 ай бұрын
Kweli mama Ndosi umenena vyema
@annemlay11
@annemlay11 5 ай бұрын
Ama kweli mwenye pesa anaheshimika hata kama madhaifu anayo.Iweje mtu kafia kwenye nyumba ndogo halafu anazikwa kwa heshima zote za kanisa.Wengine mnawafundisha nini.Kumbe hata masuria wakifariki nao wazikwe kwa heshima zote za kanisa.Kwa kweli kanisa linayumbishwa na baadhi ya viongozi.
@matronamwacha4949
@matronamwacha4949 5 ай бұрын
Unafikiri amependelewa? Mnajua aliyokuwa anamfanyaje mumewe huko ndani? Kuna mwanaume anapenda kudharauliwa na mkewe even mbele za watu. Acha kuhukumu kwa stori za social media. He was a standup guy aliyekutana na a nutcase of a woman.
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 5 ай бұрын
Sasa mbona alimkuta huko
@juditholotu7249
@juditholotu7249 5 ай бұрын
Ndoa Zina mambo mengi wanaume wanaweza kupelekea mkewe akapata kichaa Cha ndoa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Mungu tunaomba utoe pepo baya la mauwaji kwenye kila ndoa ya dini zetu
@hildamushi9112
@hildamushi9112 5 ай бұрын
Yani jmn
@AminaTanzania
@AminaTanzania 5 ай бұрын
😢😢
@SengaMushy
@SengaMushy 5 ай бұрын
Dah jaman tajiri yangu niivyo sitakuona tena😭😭
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm 5 ай бұрын
Mimi nashangaa mnaomlaumu huyo mama, hapo chanzo cha watoto kubaki yatima ni baba yao. Hamjui wanaume wanavyokera....
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 5 ай бұрын
Mpole lkn chini vp ?
@HamisiForogo
@HamisiForogo 5 ай бұрын
Chini shida nyingi
@Prisca-z8g
@Prisca-z8g 5 ай бұрын
Ombi langu kwa wanafamilia mtunze hao watoto muache Tamaaa ya mali hao watoto wamesha poteza wazazi wote wawili kwa mara moja.
@hildamushi9112
@hildamushi9112 5 ай бұрын
UkiShindwana na mtu ondokaaaa jamni nae ana mama jmn
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 5 ай бұрын
Wanawake wa Moshi Mimi nawaogopa sana maana matukiyo kwenu yamekuwa mengi sana mala kuuwa wazazi Kisa Mali mala muuwe wame zenu namengineyo mengi njiee TU duuuu
@juditholotu7249
@juditholotu7249 5 ай бұрын
Sifa za marehemu zimekua nyingi alikua mwema alikua mwema akashindwa kuwa mwema kwenye ndoa yake
@Prisca-z8g
@Prisca-z8g 5 ай бұрын
Huyo baba hakustahili athabu hiyo kabisa!..
@AminaTanzania
@AminaTanzania 5 ай бұрын
Wanaume kwakweri munao oa wachanga nawapa poreni sana wachanga siyo pakukimbiria akiona mume kawa na pesa razima awekee chini hata huku kwetu kunamwanamke mchanga kauws mmeo kwaajiri ya wivu huo wachanga waacheni wawe wasimbetuu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 5 ай бұрын
Hayo ndiyo madhara yatokanayo na feminism. Kwani huyo mama huko kwao hakuna watu waliozaa au hakuna watoto wa mama tofauti, anzia kwa babu, baby mdogo /mkubwa mjomba hakuna aliye na watoto wa mama tofauti. Mbona huku kwetu ni kawaida, yaani ukute baba wa familia ana watoto wa mke mmoja ni ngumu
@madaniel9290
@madaniel9290 5 ай бұрын
Kwel dunia ipo ukingoni na afya ya akili inazidi kutamba kw wanawake na mwanaume tuzid kuwaombea watoto wetu waote /hiyo tayari ni laana kwenye kizazi cha huyo mama sisi wanawake tukae na kujua mwanaume yeyote akiwa na hela hawezi kuwa na mwanamke mmoja labda awe wa udongo akili za kuambiwa changanya na zako.
@IreneMassawe-tk7jg
@IreneMassawe-tk7jg 5 ай бұрын
Kumbe ni mmachame uwiii basi ndio tabia yao
@rosemarykimath9337
@rosemarykimath9337 5 ай бұрын
Ni mkibosho
@florencekombe5503
@florencekombe5503 5 ай бұрын
Acha unafiki so mmachame chuki itakuua
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 ай бұрын
Mmachame sio mke wa kumuoa hawafai mbwa hao
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 5 ай бұрын
Nyie wanaume hamuuwi
@heriethsamwel7190
@heriethsamwel7190 5 ай бұрын
Kiboooo
@gililwise
@gililwise 5 ай бұрын
Acha ujinga huyo ni mkibosho tangu lini kway akawa mmachame.pili roho ya uuwaji haipo kwenye kabila .
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 5 ай бұрын
Kwn hao wanaouwa wanawake ni tz kila mkoa pia ni wachaga au acha usenge km angeuwawa nyumbani kwake haposw lkn unamsaliti mkeo umezaa nje ya ndoa na bd hujui wamehangaika vp mpk wakafanikiwa mali leo una msaliti ht km mimi ningeuwa tu
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 5 ай бұрын
mbwa mwenyewe shenzi wewe hao wanaowaua mikoa mingine huwaoni au kwa vile ana hela shenzi mwenyewe
@eveliynejoseph7944
@eveliynejoseph7944 5 ай бұрын
Kweli umbea mwingine unagawa familia na kuharibu pia,wanathirika ni watoto ona mama anenda jela,watoto wanaishaje ??
@judyngowi391
@judyngowi391 5 ай бұрын
Kumbe alipelekewa ubuyu?
@AshuraMaulid
@AshuraMaulid 5 ай бұрын
Nawaz hao watoto tu kwenda kulelewa na ndugu na hao ndugu wa siku hizi walivyo na roho mbaya mama anaenda jela
@leokamil6284
@leokamil6284 5 ай бұрын
​@@AshuraMaulidhasa ukiangalia walikuwa hawampendi huyo mke nawaonea huruma sana watoto 😭
@leokamil6284
@leokamil6284 5 ай бұрын
R.I.P poleni watoto
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 5 ай бұрын
Kawaida wanawake w kichaga,
@sangaweemili8136
@sangaweemili8136 5 ай бұрын
Rusheni Full Video ya msiba wa Msele mkuu hv vipande havieleweki hata yan
@yunismwazembe6501
@yunismwazembe6501 5 ай бұрын
Wanaumee mmbwaaa kabisaa maleem ndo chanzoo
@juditholotu7249
@juditholotu7249 5 ай бұрын
Sio mbwa ni mbwa koko
@hildamushi9112
@hildamushi9112 5 ай бұрын
Hivi wewe una watoto sita ushakuwa mshangazi kabisa ni kulea tu apo imebakia
@HamisiForogo
@HamisiForogo 5 ай бұрын
Mshahara wa dhambi
@marymanoni5536
@marymanoni5536 5 ай бұрын
Familia inahistoria yake
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Sasa ndiyo ataishia jela wivu gani wa kijinga mpaka unaua Mumeo
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g 5 ай бұрын
Wamama wa kichagga acheni wivu
@annasolomon9855
@annasolomon9855 5 ай бұрын
Atakuwa Machame huyo 😂😂 hapo utakuta wivu wa Bure hata mapenzi hayawezi.. hata kikata kiuno hajui😅
@judyngowi391
@judyngowi391 5 ай бұрын
Wachaga hawahitaji kukatiwa viuno,
@annasolomon9855
@annasolomon9855 5 ай бұрын
@@judyngowi391 sio hawahitaji ni kwamba wachaga wanawake hawajui lolote , ni kwamba akienda kupata mbinu mpya kwingine anapagawa , ndo kama hivo mambo ya kuuana. Nani asiewajua wachaga bana. 🤣🤣 .
@madaniel9290
@madaniel9290 5 ай бұрын
Sio wamama wa kichaga tu sisi wanawake wote tutambue hakuna mwanaume wa pekeako hasa akiwa na hela ndio kabisa zunguka dunia nzima hakuna
@heriethsamwel7190
@heriethsamwel7190 5 ай бұрын
@@madaniel9290waambie
@upendogreutert199
@upendogreutert199 5 ай бұрын
Jamani wanawake wa Kichaga hatuna historia kuua jamani , si Bora ungefanya uchunguzi na kuongea na viongozi wangekusaidia mawazoo, jamani umewaweka watoto kwenye mtihani usiohusu jamani kuongea linalokusibu ni Afadhali ukapata ushauriii
@annasolomon9855
@annasolomon9855 5 ай бұрын
Wanawake wakichaga hamna historia ya kuua?🤣🤣( Machame + Kibosho) we ni mchaga wa wapi Upendo!
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 5 ай бұрын
​@@annasolomon9855haha Mwenyewe namshangaa
@roseafrael75
@roseafrael75 5 ай бұрын
​@annasolomon9855 yani mm ndugu yangu alitaka kuoa hii kabila tulikaa kikao cha ukoo mbona aliacha,,hii kabila haswa wanawake ni hatari kwa kuwachimbia wanaume zao chini.
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umetupiga
@annasolomon9855
@annasolomon9855 5 ай бұрын
@@roseafrael75 saana , sisi alifungiwa na ndo kabisa Tena Machame lakini alishindikana , mbona waliachana duuh..
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 5 МЛН
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 46 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 28 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
FRANCIS DANDE (Habari Mseto)
Рет қаралды 30 М.
STEVE NYERERE AAHIDI KUMSOMESHA MTOTO WA MAREHEMU FREDDY
7:58
Millard Ayo
Рет қаралды 34 М.
KUNGWI DUME sehemu ya 27
29:55
Ibrah Thedon
Рет қаралды 3 М.
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 5 МЛН