FAMILIA YENYE WAREMBO NA WENYE VIGEZO VYOTE VYA KUOLEWA LAKINI WAMEFUNGWA NA MADHABAO YA WACHAWI

  Рет қаралды 43,033

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

Күн бұрын

FAMILIA YENYE WANAWAKE WAREMBO NA WENYE VIGEZO VYOTE VYA KUOLEWA LAKINI WAMEFUNGWA NA MADHABAO YA WACHAWI
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

Пікірлер: 204
@ChinaKamama-oi8ue
@ChinaKamama-oi8ue 7 ай бұрын
Tufungue na SS mtumishi maana mamangu toka mamangu hameondoka hajawi kupatikana mpaka Leo nimiezi ymitani hat simu haipatikani
@HawaMtayogola
@HawaMtayogola 7 ай бұрын
Tufungue na sisi baba tuko wazuri lakini hatuolewi na hata tukiolewa tunaachwa bila sababu. Hata tukifanya biashara hatufanikiwi kabisa. Tumeishia kuombaomba tufungue na sisi Baba kwa jina la yesu.
@DaniNnyari-sn7ye
@DaniNnyari-sn7ye 4 ай бұрын
Naitwa dani naomba utuombee tunauza kiwanja na nyumba wateja wakija awarudi
@IssaPara-bt9hg
@IssaPara-bt9hg 4 ай бұрын
Niambie ndugu
@AfreyBahalaye
@AfreyBahalaye 3 ай бұрын
Mamb ety hauolew mi nipo
@AfreyBahalaye
@AfreyBahalaye 3 ай бұрын
Ety
@FatumaKales
@FatumaKales 6 ай бұрын
Mtumishi.tunaomba.uje Mbeya.utusaiie.mbeya.uchawi.umezidi.
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 5 ай бұрын
Nimeamini mtu unaemuota kila siku ndo mchawi wako na nimekuja 5z😢 ndani 6a miez mi3 mil 3 imepukutika sasa kwa jina la Yesu adui zangu mwaka huu mtakufa
@tomatonyanya6731
@tomatonyanya6731 7 ай бұрын
Hii nguvu kuna mahali inatokea sio Mungu aliyeumba mbingu na nchi jamani huyu kuna Lugha ya kuzimu katumia yakuita nguvu duh nilisikia mchungaji katekela anafundisha duh hatari sana
@TABWEAlyne
@TABWEAlyne 5 ай бұрын
Mungu akusame ni kwasababu unatumaini wangaga
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 4 ай бұрын
We nae kujifanya unajua lugha za shetani😏
@MaryamNassor-l7y
@MaryamNassor-l7y 6 ай бұрын
ndio ivo tuna fungiwa riziki kweli maneno yk Russified baba
@Mwaminihabarugira
@Mwaminihabarugira 6 ай бұрын
Naomba nifunguriwe niweze kupata mtoto kupitia mazabau haya
@ClarisWayesu-qh4ty
@ClarisWayesu-qh4ty 3 ай бұрын
Baba namm nsaidie napitia hali ngumu kiuchumi mumewangu niyeye nakudhulumiwa nandugu tuombee mchungaj
@VeroKawisha
@VeroKawisha 4 ай бұрын
Naomba unifungue na mmmchungaji nikishika ela zibaishia kwenye maden na shida za nyumban na
@Rizikivumilia
@Rizikivumilia 3 ай бұрын
Nipo jiani mim nakuja uko mim nimechoka kuteseka mim jamani😢😢😢😢😢
@HappyNyangasi-w7l
@HappyNyangasi-w7l 2 ай бұрын
Tufungue na sis baba hatuolewi kazi hazieleweki na tumesoma
@tahnsorg3855
@tahnsorg3855 9 ай бұрын
Nabii Mungu akubarik. Namshukuru Mungu kwa ajil yako naomba uniponye na familia yangu. Hao mabinti wanachopitia ndicho familia yangu tunapitia.
@MeshakShedrack
@MeshakShedrack 5 ай бұрын
Kiboko ya wachawi niombee nipate pesa kila siku wachawi wafe
@rahmamwakyusa5843
@rahmamwakyusa5843 4 ай бұрын
Baba mbona redioni hatukupati mbeya na Huwa unapatikana redio gan Mwanzo nilikuwa nakupata saizi sikupati tena. Hata sisi kwenye familia yetu tunashida kama hiyo ninaomba utuombee baba
@PetroMhoja
@PetroMhoja 3 ай бұрын
Nami naitaji kuokolewa niko bali naumaskn umenikadamiza najitahidi kutoka lakini inakua gumu naitaji kuokolewa mimi petro mhoja
@IssaPara-bt9hg
@IssaPara-bt9hg 4 ай бұрын
Mungu akuongezee maish marefu mchungaji
@kashurusho863
@kashurusho863 7 ай бұрын
Tufungue bure bila pesa atuna ela tumepigwa kiuchumi
@mbunistar4780
@mbunistar4780 5 ай бұрын
Baba setini mitambo ya redio inakatakata naitwa Steven nikiwa arusha
@JessicaKapona
@JessicaKapona 6 ай бұрын
Naitaji kujua Radio 📻 inaitwaje?? Niwe nasikiliza
@PetroMhoja
@PetroMhoja 3 ай бұрын
Mugu akubaliki sana sana kwamsaada unao utoa kwamasikini walio zulumika haki zao zamafanikio
@tatumaganga-zx1qo
@tatumaganga-zx1qo 4 ай бұрын
Fanya utalatibu huohuo kwenye familia ya watoto wangu
@tatumaganga-zx1qo
@tatumaganga-zx1qo 4 ай бұрын
Funguwa familia yamtoto wangu mchungaji
@ReginaKaizirege-sd3hn
@ReginaKaizirege-sd3hn 3 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe,, naomba kuongea na pasta please
@OliviaBenias
@OliviaBenias 3 ай бұрын
Bwana asifiwe nabii Samahani naitwa Oliva Benias naomba na Mimi kifunguliwa make familia yangu sielewi
@OliviaBenias
@OliviaBenias 3 ай бұрын
Bwana asifiwe nabii Samahani naitwa Oliva Benias naomba na Mimi kifunguliwa make familia yangu sielewi
@OliviaBenias
@OliviaBenias 3 ай бұрын
Bwana asifiwe nabii Samahani naitwa Oliva Benias naomba na Mimi kifunguliwa make familia yangu sielewi
@SamwelDonald-ln3rr
@SamwelDonald-ln3rr 5 ай бұрын
Anaezibs riziki yangu afe na ninataka joji aniliipe pesa zangu
@ErickYohana-ys1nz
@ErickYohana-ys1nz 2 ай бұрын
nabii naitwa erick naomba unifugue na mm nikipata pesa haikai pesa inashuka kabisa biashala haikai baba
@NoelChristian-oi2yf
@NoelChristian-oi2yf 5 ай бұрын
Niko Congo nataga sikumoja nikuone lakini sina lolote kuja congo
@saimonjuma2411
@saimonjuma2411 4 ай бұрын
Pasta bwanayesu asifiwe mimi niko arusha mjini nisaidie nabii kira nikipga cm skupati pia mbna sms nikituma zinafell kwako tunaomba namba ya pili baba
@RukiaMpambanaji
@RukiaMpambanaji 2 ай бұрын
Baba naomba namma unifungulie nilikuwa napesa nimefilisika baba naomba nisaidie maishayangu yamekuwa magumu sana napambana sana lakini wapi Pesa haikai baba namba nisaidie baba
@WinneWinnemzmbe
@WinneWinnemzmbe 3 ай бұрын
Nafunguliwa na mimi kipitia Hawa wadada najiunganisha
@WilsonJLaizar
@WilsonJLaizar 4 ай бұрын
baba naomba msaada kwako nashida nyingi hata nafanya kazi ucku na mchana cfanikiwi napata pesa cjui zinakokwenda
@WilsonJLaizar
@WilsonJLaizar 4 ай бұрын
baba naomba msaada kwako nashida nyingi hata nafanya kazi ucku na mchana cfanikiwi napata pesa cjui zinakokwenda
@EdnaSwai
@EdnaSwai 2 ай бұрын
Baba ninakuomba msaidie binti yangu kila akitafuta kazi apar anaaidia lakini aitwi
@LatifaSelemani-ft8of
@LatifaSelemani-ft8of 5 ай бұрын
NAITWA LATIFA NPO TANGA MTUMISHI NIOMBEE NIPATE WATT PACHA MBILI NINA MIAKA 43 KWA JINA LA YESU AMINA .😂
@zakariamwamburi-7940
@zakariamwamburi-7940 4 ай бұрын
Kweli mimi nimefanywa maskini maliza Adui yangu
@AngerMusa
@AngerMusa 2 ай бұрын
Amina natamani kufika mazabahuni kwako baba nisaidie
@ReginaKaizirege-sd3hn
@ReginaKaizirege-sd3hn 3 ай бұрын
Pastor nakuomba sana nakuomba niongee na wewe
@stephengervas8762
@stephengervas8762 5 ай бұрын
naona tuwe na kipindi cha kurusha kwenye TV
@LylieUwamahoro
@LylieUwamahoro 6 ай бұрын
Namimi naitaji ufungulivu wamaisha yangu
@CathelinYeremiah
@CathelinYeremiah 3 ай бұрын
Naomba uniombee nipate mme mwema na ndoa nifunge kabisa
@dorothymueni-fz8xx
@dorothymueni-fz8xx 9 ай бұрын
Pastor ukiompa niompee nimetoka kenya kijana wangu alikua police nahakawacha kasi nahanaongea mpekee nakukula miraa kama mpusi nampimpi yake alienda kwao pastor nimetempea kwokwote sijavanikkiwa pastor nisaindie kijana hapone nahajijue yeye ninani narundi kasi
@DmMh-kl4bz
@DmMh-kl4bz 4 ай бұрын
Nabii naomba uponyaji na mimi nipate uponyaji
@ReginaKaizirege-sd3hn
@ReginaKaizirege-sd3hn 3 ай бұрын
Naomba niunganisheni na Mtumishi wa Mungu
@SofiaMvungi-zu5tg
@SofiaMvungi-zu5tg 3 ай бұрын
Mungu wajalie wanangu wapate wenza sahihi
@antelmidonasian7950
@antelmidonasian7950 7 ай бұрын
Mungu wa Nabii DOMINICK "naomba unisaidie nipate kazi ya kudumu .Nipate kufunga ndoA na GracE singaNo _amen
@DaniNnyari-sn7ye
@DaniNnyari-sn7ye 4 ай бұрын
Naitwa dani naomba umuombee mama yangu apone miguu
@STARJAMAL-my4mq
@STARJAMAL-my4mq 7 ай бұрын
Jameni watching from Uganda
@magekimei4676
@magekimei4676 2 ай бұрын
Baba nabii naomba nifungue namim mim magreth john
@ConsolataKhasiala
@ConsolataKhasiala 3 ай бұрын
Asande mungu kwa ukombozi
@rebeccakibona
@rebeccakibona 3 ай бұрын
Amina baba naomba ifungue family yetu
@JanethBikorimana
@JanethBikorimana 4 ай бұрын
Nabii naomba uniombee nateseka sana na miguu
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 4 ай бұрын
Pia sisi hakuna kwetu aliye olewa.
@WinneWinnemzmbe
@WinneWinnemzmbe 3 ай бұрын
Najiunganisha nafunguliwa namm
@aikamringo
@aikamringo 4 ай бұрын
Nabi naangaika sana kazi sipati nikipata hela haionekani naomba maombi yako
@MaryLyimo-y9z
@MaryLyimo-y9z 6 ай бұрын
Mtumishi , kañisa liko wapi
@ShellaAliya-q4o
@ShellaAliya-q4o 8 ай бұрын
Papa.namiye.nivo..ivi.nafamiriya.yangu.nisayidiye.mawobwi.niko..Burundi..ninayitw. Niyonzima.Groriose
@nassibumauriddy
@nassibumauriddy Ай бұрын
Amina baba naomba ifunguwe familia yangu
@HamisiForogo
@HamisiForogo 2 ай бұрын
Sio kwa kushushua watu hivyo duh
@denisscarion6661
@denisscarion6661 4 ай бұрын
Nakataa roho ya chuma ulete
@SililaManda-q7g
@SililaManda-q7g 2 ай бұрын
Nayitwa silila manda natokeya malawi nawomba tisayidiye kwa family yenthu kuna matatizo mengi Baba namama awayerewani nawatoto piya atiyerewani Namimi piya mwiri wangu najisikiya vibaya 16:46
@furahaabonga6642
@furahaabonga6642 6 ай бұрын
Leo hii nakuja kuwaowa wote
@AnaMauricioPatricio
@AnaMauricioPatricio 2 ай бұрын
Amém 🙏🇲🇿 tunaomba namba baba
@JoyceChacha-i3w
@JoyceChacha-i3w 5 ай бұрын
Mimi roho yakutokuolewa hipo moyoni kwangu sijui kwanini nitabilie
@asajileraphael1951
@asajileraphael1951 3 ай бұрын
Hii pole Sana
@sikitugeorgette
@sikitugeorgette 5 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏 🙏
@JayMusic-fd7dm
@JayMusic-fd7dm 3 ай бұрын
Nabii tabirijuu yangu
@NyiranezaWarda-bk1yn
@NyiranezaWarda-bk1yn 5 ай бұрын
Amen amen amen 🙏🙏
@JOHNJOSEPH-tv4bk
@JOHNJOSEPH-tv4bk 3 ай бұрын
Aminaa🙏🙏🙏 nionee na mimi
@ScolasticaJoseph-r8y
@ScolasticaJoseph-r8y 4 ай бұрын
Muombee babaangu apone
@CathelinYeremiah
@CathelinYeremiah 3 ай бұрын
Amina amina
@saromepchimosi
@saromepchimosi 8 ай бұрын
Amina
@HawaMtayogola
@HawaMtayogola 7 ай бұрын
Amina
@nurunassor-k9p
@nurunassor-k9p 2 ай бұрын
baba tusaidie nasisi
@RahmaAbdallah-hd7xt
@RahmaAbdallah-hd7xt 5 ай бұрын
Amina
@GeorgiaRweyemamu
@GeorgiaRweyemamu 3 ай бұрын
Barikiwa sana Baba
@Feisalmatandula
@Feisalmatandula 2 ай бұрын
Nice🎉🎉🎉
@ZainabDesouza
@ZainabDesouza 6 ай бұрын
I trust you
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 4 ай бұрын
Tusaidie baba🙏
@gfrayjulius5207
@gfrayjulius5207 8 ай бұрын
Naomba maombi yako katika familia yangu pamoja na uchumi wangu pastor
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 5 ай бұрын
Amen amen
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 ай бұрын
Amen
@JeovaniNionzima-xz3gb
@JeovaniNionzima-xz3gb 8 ай бұрын
Amen
@Faiza-q1o
@Faiza-q1o 6 ай бұрын
Amen
@felistermorungu7976
@felistermorungu7976 3 ай бұрын
AMEN
@davidkilajaga8842
@davidkilajaga8842 6 ай бұрын
Amen
@AnsilaBruno
@AnsilaBruno 8 ай бұрын
Ameen na Mimi naomba nyumba yangu ifunguliwe na familia yangu pastor naamini
@ngenabuloze9984
@ngenabuloze9984 5 ай бұрын
Baba nisadie nahagahika
@RosemaryYohana-m8o
@RosemaryYohana-m8o 9 ай бұрын
Ameen paster mungu akubriki sana natamani nifuke kwako unisaidie
@renaldegidi
@renaldegidi 5 ай бұрын
Tusaidia
@WinneWinnemzmbe
@WinneWinnemzmbe 3 ай бұрын
Amena Aminaaaaaaaaaaa
@CalisterpauloKilingo
@CalisterpauloKilingo 6 ай бұрын
Amina mchungaji nipo napitia magumu nisaidie
@donaldlubasha1812
@donaldlubasha1812 5 ай бұрын
Naomba namba ya nabii niko shy
@BatulMohammad-l4x
@BatulMohammad-l4x 5 ай бұрын
Ameen
@JayMusic-fd7dm
@JayMusic-fd7dm 3 ай бұрын
Naitwa abrahamu eliuze mgonja nimeteseka sana nikipatahela zinaishia kwamagonjwa naamba tabirijuu yangu 🙏🙏🙏
@JosephMbithi-ic3if
@JosephMbithi-ic3if 8 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu napitia maisha magumu saana,nafanya kazi napata Hela na hazinisaidii,mwaka Jana bibi yangu mpendwa akalala hosipitali akiugua ugongwa wa sukari na pressure,baadaye akafa na tukamzika mwezi wa saba.mengi magumu napitia na ninaitaji msaada wa amani,kumpenda Mungu na kufanikiwa katika maisha yangu.mipango mizuri ya maisha yangu nipanga sifanikiwi,ni naimani kwamba ukiniombea Mungu atanite dea na maisha yangu itangaa,ningekua na namba yako ningepiga simu tuongee na ninaimani ukiomba nitasaidika.Barikiwa sana ,Niko kenya .
@MerryUlaya
@MerryUlaya 7 ай бұрын
Tusaidiye baba tumechaka kuka a uses baba tusadiye
@MsekwaLoli
@MsekwaLoli 4 ай бұрын
AMINAAAAA
@EvaGawile
@EvaGawile 7 ай бұрын
Eva Florence Gawile, nisaidie mume wangu Gerald Mkama Misana aache pombe na apate kazi za mkataba.
@atuganilemosses5268
@atuganilemosses5268 4 ай бұрын
Bwana asifiwe pastor Mdogo yangu anaumwa miezi 6 sasa Tumbo lake linajaa mani yakitolewa yanarudi anateseka sana naomba maombi yako apone
@EsterMasota
@EsterMasota 4 ай бұрын
Baba naomba unifunguwe niweze kupata mme sahihi wakunioa kila nikingia kwenye mahusiano yangu hayadum
@ImakulataLazaro
@ImakulataLazaro 4 ай бұрын
Mabinti zangu wafunguliwe na waje. Kuolewa kwa sherhe kubwa BABA
MAAJABU YATENDEKA DADA MWENYE KANSA YA TITI APONYWA NA KIBOKO YA WACHAWI
25:10
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 29 М.
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,7 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 119 МЛН
TAZAMA BINTI ALIEOLEWA KWENYE FAMILIA YA KICHAWI MZAZI WAKE ASEMA MAKUBWA
17:13
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 41 М.
BWANA UTUHURUMIE.Misa yenye hisia kali.
2:42
Tyson Kisogole
Рет қаралды 10 М.
HALIMA ALIYESINGIZIWA NA BOSS WAKE KUWA  AMEIBA MILION 5 UKWELI WAFICHUKA  PART-1
15:52
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 47 М.
MAMA ALIEROGEWA FAMILIA YAKE NA MTOTO WAKE WA KWANZA ANAEMTEGEMEA KUTUPIWA JINI
18:03
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 102 М.
ALIYEKUWA AKILETA NYOKA WA KICHAWI KANISANI AKAMATWA NA HIRIZI NYEKUNDU
10:32
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 53 М.
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,7 МЛН