HALIMA ALIYESINGIZIWA NA BOSS WAKE KUWA AMEIBA MILION 5 UKWELI WAFICHUKA PART-1

  Рет қаралды 47,897

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

Күн бұрын

HALIMA ALIYESINGIZIWA NA BOSS WAKE KUWA AMEIBA MILION 5 UKWELI WAFICHUKA PART-1
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion

Пікірлер: 192
@FrankJackson-s4n
@FrankJackson-s4n 6 ай бұрын
Huyo ndo kiboko Dunia nzima hayupo wa kufanana na wewe mungu akupe maisha 10000000000
@HappySambo-e9d
@HappySambo-e9d 7 ай бұрын
Bwanayesu asifiwe mtumishi yani Mimi napenda unavyo wahambiya watu ukweli
@MsafiriMrisho
@MsafiriMrisho 4 ай бұрын
NABII NISAIDIE NAITWA MSAFIRI MRISHO KIPONZA.UCHUMI WANGU UMEANGUKA NINA UMWA NINA MALAZI MENGI TU NA FAMILIA NI MATATIZO MKE WATOTO HAKUNA MAENDELEO.
@edgercyprian964
@edgercyprian964 4 ай бұрын
We dada kua na moyo wahuruma msamehe mwenzio wewe Unamkosea mangapi Mungu naanakusamehe ukweli huyo dada hajachukua hiyo pesa mumeo ndio aliyo chukua unatakiwa umlipe fidia ya kumzalilisha Hadi mie imeniuma .
@MwasitiHegga
@MwasitiHegga 7 ай бұрын
Nabii mungu akuweke utukomboe na xixi bado hsujatuona japo unajitahidi. Kusikilliz vipindi vysko Amiin mtetexi wa wanyonge
@MagukuMilaji
@MagukuMilaji 2 ай бұрын
Kiboko.ya.wachawi,nisikirize.namm.uku.ninamtoto,anaumri.miaka.6.hakai.hatembei.wara.kuongea.nisikirize.namm.uku.tunaria.tumemariza.hera.kwawa.ganga
@MeshakShedrack
@MeshakShedrack 5 ай бұрын
Kiboko.ya.wachawi.niombee nipate.pesa kila siku na wachawi.wafe
@RizikiMbuki-xd3rr
@RizikiMbuki-xd3rr 3 ай бұрын
Umasikiwetu unatuponza hata ukisema ukweri ausikirizw mungu yupo pamoja nawe
@tatumaganga-zx1qo
@tatumaganga-zx1qo 4 ай бұрын
Nimekoswa nauli mchungaji ningekuja huko unaweza kwamungu hashindwi kitu
@hildamahanga5767
@hildamahanga5767 4 ай бұрын
Mtumishi naomba unisadie unifunguekiafya kiroho kiuchumi baba pesa haikai
@AsumaniKalundja
@AsumaniKalundja Ай бұрын
Nabil nnitabiriye maishayangu naunitumiyenambayako
@HawaOman
@HawaOman 18 күн бұрын
Kweli nimeamini wstu wengine wanafuwa bila makosa huyo dada lazima antifungal au alive pesa
@RizikiSangawe
@RizikiSangawe 2 ай бұрын
Mchungaji niombee kamisheni yangu ipande
@HawaOman
@HawaOman 20 күн бұрын
Uwii jamana mungu afanye njia pasipo njia rudi ujee kutudumia
@anithamgina3365
@anithamgina3365 2 ай бұрын
Nabii naitwa Stella naomba uniombee mwanangu amexhumbiwa na mahari imetolewa mara ghafla upande wa mwanaume wakavunja uchumba na wkiwa wamesha mzalisha naomba unisaidie
@tamashasembuli115
@tamashasembuli115 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akusimamie kiboko wetu,
@mozstorrytv7982
@mozstorrytv7982 2 ай бұрын
Iki kipindi nakipenda kama ivi ni kweli ya wasafi tv wanajua kuigiza dadeki,muwe munatuonesha behind seen na nyieee
@RehemaSaidi-dj8bg
@RehemaSaidi-dj8bg 3 ай бұрын
Nabii tuonelee na familia zet roh za umaut zitutooke kwenye familiaa zet
@HawaOman
@HawaOman 19 күн бұрын
Ahsante baba umemsaidia dada wa wstu antifungal jela
@SumaAbduly
@SumaAbduly 2 ай бұрын
Huyu mtumishi ni shetan unachonganisha watu pumbavu sana
@bonabonala5559
@bonabonala5559 7 ай бұрын
kiboko ya wachawi ni kiboko pia kuimba pia anajua kuimba
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 3 ай бұрын
Nabii nakuomba umponeshe mmewangu anaitwa rutungo masatu anamiaka mitano haongei nibubu na wanadai kapooza
@PhestoChidobi
@PhestoChidobi 2 ай бұрын
Naomba mwanangu apone, hata sasa amesafir kuja dar ili kupata huduma ya maombi. Ana miaka mi tano na amesafir na mama Ake.
@HawaOman
@HawaOman 20 күн бұрын
Dalii naomba niombie nikutanishwe na wstu sahihi
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 5 ай бұрын
😂😂😂duh najuta kurudi Tanzania na nisifike hapo wah
@hildarajab2891
@hildarajab2891 5 ай бұрын
Ivi miwani nyeusi ndoinakamilisha ubaunsa😂
@FloraAlphonce-w8k
@FloraAlphonce-w8k 3 ай бұрын
Kiboko mi nataka tu biashala yangu iendelee
@JaneLaizer-tb6zl
@JaneLaizer-tb6zl 3 ай бұрын
Hv nyie mnaosema nisaidie nabii mna akili timamu kwel au n nyie mkapimwe uwezo wenu wa akl mh,
@StanleyChibwete
@StanleyChibwete 3 ай бұрын
Nakuomba umusaidia mke wangu haoni ndani ya miaka 3 nakuomba sana na bii uni saaidia juu muke wangu haoonikabisa
@TeresiaLazaro-p6e
@TeresiaLazaro-p6e 6 ай бұрын
Wewe ni mfano wamungu SEMA ukweli baba mngu akusaidie
@HawaOman
@HawaOman 20 күн бұрын
Yanin huyo dada angilipa pesa za bure
@AgathaChales
@AgathaChales 2 ай бұрын
Baba uishi miaka mingi baba tunaomewa Sana na wachawi
@AffectionateClipperButte-sv7mp
@AffectionateClipperButte-sv7mp 3 ай бұрын
MUNGU ndoanajua ukweli
@martinbarabara4370
@martinbarabara4370 4 ай бұрын
NABII NAOMBA UPONYAJI KWA. MKE WANGU MARIAM
@MichaelMwambene
@MichaelMwambene 4 ай бұрын
Baba watu tiuna shida sana endelea kutusaidia
@NakuYona-kn6us
@NakuYona-kn6us 5 ай бұрын
Baba umenichekesha hela imeenda kwa ujenzi wa ashura jamani hwa wanaumw watuhurumie
@hildarajab2891
@hildarajab2891 5 ай бұрын
😂😂😂ashura kafikiwa
@pendorobert3552
@pendorobert3552 4 ай бұрын
yaan hayo yote yanajuana mashetani yanazuga
@IrfanMwinyi
@IrfanMwinyi 4 ай бұрын
Unajua kuokoa watu baba ubarikiwe
@ElizabethJoseph-oj9lj
@ElizabethJoseph-oj9lj 5 ай бұрын
Adinimecheza Mimi nikiwa nimekaaa jmn daaaaa achan na mungu
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 ай бұрын
Apigwe kwa jina la Yeeeeeeeeeesu
@FrancoiseNtimpirangeza
@FrancoiseNtimpirangeza 2 ай бұрын
Ni kiboko ya wachawi n'a wamalaya
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
Na hilo dume lako siyo jizi?
@mudirama8114
@mudirama8114 5 ай бұрын
Matapeli kazini
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 8 ай бұрын
Mungu ni mutetezi Wawa nyonge pole halima 😭😭😭
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 3 ай бұрын
Du Huyo mwanaune afe TU ,
@juliennenzeyimana3274
@juliennenzeyimana3274 8 ай бұрын
Na mme wako ataweza kukuibiya pesa dada?ivyo biwumbe abiyaminike
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 ай бұрын
We love you Daddy
@janenakawala644
@janenakawala644 4 ай бұрын
Naombamaombi yakobaba
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 8 ай бұрын
Lichomwe moto,halina tofauti na mchawi,kweli dada wa wa2 ameteseka hivyo?Aibu kubwa sn,tena likaja kujidai kwa Mchungaji kumcndikixa mke.Lipigwee.
@MichaelMwambene
@MichaelMwambene 4 ай бұрын
Baba nabi unatisha
@AngelChanda-s3c
@AngelChanda-s3c 4 ай бұрын
Isha waikunikuta mbaka nikaenda segelea😭
@NeemaGauso
@NeemaGauso 6 ай бұрын
Kivumbi leo
@Undond
@Undond 4 ай бұрын
Mungu mkubwa
@ShadreckMaombi
@ShadreckMaombi 4 ай бұрын
Nabii nisaidie
@ChristopherThomas-b7w
@ChristopherThomas-b7w 4 ай бұрын
Baba ubarikiwe sana kiukweri nko safari congo kirasiku uwanabarikiwa sana naposikiriza maubiriyako nakufatiria sana baba nataman sikunifike kwako baba
@AnateliaShitindi
@AnateliaShitindi 4 ай бұрын
Nakataa kifo
@EstevãoFernandoFernandoFernand
@EstevãoFernandoFernandoFernand 5 ай бұрын
Baba naomba unisaidie niombee nijue tatiso langu nina hali mbaya ya maisha nisaidie
@JeniphaFredrick-hz5ll
@JeniphaFredrick-hz5ll 3 ай бұрын
😂😂 daaah
@AngelChanda-s3c
@AngelChanda-s3c 4 ай бұрын
Pat2ikowap
@angelsaid7869
@angelsaid7869 8 ай бұрын
Ila mi mchungaji nakupenda sana yaani nikiangalia vipindi vyako mpka najikopesha bando
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 8 ай бұрын
Kwa hili tutapona kwa roho ya usingiziaji,Mungu anisamehe.Wanadamu wengi tutaingia motoni kwa kuhisi na kusingizia.
@TasinimuAlly-pm3vg
@TasinimuAlly-pm3vg 8 ай бұрын
Kilanga komo Hahahaa jamani namuonea adi uluma jamani 😂😂😂😂😂sema baba sema
@AngelChanda-s3c
@AngelChanda-s3c 4 ай бұрын
Kiboko yawachawi🙏
@tahnsorg3855
@tahnsorg3855 8 ай бұрын
Nabii Wewe ni kiboko kweli. Mungu akutunze akulinde utusaidieee
@Ma4leMamiro
@Ma4leMamiro 6 ай бұрын
Baba naomba nisaidie uchumi wangu umekuwa mgumu baba
@salmaChituta
@salmaChituta 8 ай бұрын
Pole dada usiriye wanawake tunadangayika na wanaume akikwambiya Sina mke unakuwa upo pekeyako
@SofiaMvungi-zu5tg
@SofiaMvungi-zu5tg 8 ай бұрын
Kama ni mwizi amefuata nini madhabahini
@HawaOman
@HawaOman 18 күн бұрын
Aseee kuraha hiv
@shukurusimba9866
@shukurusimba9866 4 ай бұрын
Mtumishi nasi tunakesi hiyo hiyo tumeambuwa tumeimba hela bank za trucine
@MichaelAkyoo-o6c
@MichaelAkyoo-o6c 2 ай бұрын
Mtumishi bwana yesu asifiwe Mimi Kwa majina yangu ninaitwa maiko kutoka Arusha nimekubali sana unabiii wako endelea kuwakomesha wachawi
@SalimChisomeko
@SalimChisomeko 8 ай бұрын
NISAIDIE NABII ninasumbuliwa NAKICHWA kuuma kwa mda mrefu
@AgnesJohn-cx2hy
@AgnesJohn-cx2hy 3 ай бұрын
Nabii niokowe Mimi Agness Niko manyara nakusikiliza wew mtumishi
@AngelChanda-s3c
@AngelChanda-s3c 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 7 ай бұрын
Mtumishi we ishi TU Mimi sikati tamaa kutoka Zanzibar kuja huko ibadani Kila mwezi namimi ipo siku nitafunguliwa tarehe6 j4 ijayo nakuja Mimi Lucy sikati tamaa nampambania ndowa yangu
@CathelinYeremiah
@CathelinYeremiah 3 ай бұрын
Naomba unisaidie mwanangu apone nakuomba mwanang hatembei hakai mimi siolewi kila ane niowa nikizaa ananiacha naitwa catherine jeremia nipo migoli ya iringa
@JohnMrama
@JohnMrama 4 ай бұрын
I just like how you do your prophecy nabii kiboko kweli mtetezi wa wanyonge
@kelvinLusana
@kelvinLusana 5 ай бұрын
😂😂😂
@jacklolenjackson5511
@jacklolenjackson5511 6 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kuyakosa maalifa,yani nilichogundua hata waumini wenyewe ni wambea kama nn,hivi hapa kuna mahubiri gani ya neno la Mungu,nyakati za mwisho ndo hizi kabisa
@AISHAATHUMANI-no3xg
@AISHAATHUMANI-no3xg 4 ай бұрын
Nabii kiboko yawachawi kwa majina naitwa asha samilu naishi bangulo naomba unisaidie mume wangu aache pombe naawe naupendo na familia yake
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 6 ай бұрын
DADA UMENCHUKUKIA MWANAMKE HUYO.BORA UWE NAE KAMA DADA YAKO AKULIWAZE..UMEMSINGIZIA KWA KUAMINI MUME ANAEKULA😂😂
@fatumakimaro3186
@fatumakimaro3186 7 ай бұрын
Daaah aiseeeh mungu yumwema
@AISHAATHUMANI-no3xg
@AISHAATHUMANI-no3xg 4 ай бұрын
Nabii naomba unisaidie nipate mtoto wa pili nina mwaka watano sipati mimba naomba unisaidie baba
@DmMh-kl4bz
@DmMh-kl4bz 4 ай бұрын
Nabii naomba uponyaji naitwa Daudi Alfred sina uwezo wa kufika kanisa maana uchumi wangu nia afifu sana naomba msaada wako nabii
@TumaiValentine
@TumaiValentine 4 ай бұрын
Waa samese kwakuwa hawajuwi walitendao maka ata yesu alevokuwa akiteshwa alisema eeeee baba wasamehe kwakuwa hawajuwi watendalooo kwahyoo naa ww kiboko yawachawi wasamehe bule ww nimjumbe kutoka kwa mungu
@KhamisKinobad
@KhamisKinobad 3 ай бұрын
Naitwa johana joakimu makaba ninafaninyingi lakini kazi sip at I Manisa naomba unisaidie
@AnestaNziguje
@AnestaNziguje 3 ай бұрын
Bwanayesu asifiwe mtumishi ninaitwa anesta jakobo mutumishi ninateseka na mafuwa kwamuda murefu sana namuomba mungu anitendee nipone
@MsafiriMrisho
@MsafiriMrisho 4 ай бұрын
Baba inua uchumi wangu na niondolee maradhi mwilini mwangu na mwanangu swaumu masikio yafunguke
@rachaelmkacharomwaisabu293
@rachaelmkacharomwaisabu293 4 ай бұрын
Ilove how u prophesy, ineed that favour and annoiting
@danielmuhochi
@danielmuhochi 8 ай бұрын
nabii nitabalie maisha yangu
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 8 ай бұрын
Hahahqhq nafatilia hivi vipind jamn nafrah mpka yaan mume kamwibia mkew huk dad wawatu analia jamn kwel hadi kafukuzea kwa dad ake hii kesi nikama ya yule mwanamke aliyemlalia mwanae akamwekea mwenzio na akamchukua wa mwezio akiw hai
@TeresiaYohana-w8v
@TeresiaYohana-w8v 6 ай бұрын
Amina Mungu ni mwema
@Nage-vl7uo
@Nage-vl7uo 8 ай бұрын
Nabii Mungu alibariki sana unasaidia wanyonge
@democritenzoisaba9117
@democritenzoisaba9117 2 ай бұрын
its wandering congratulation nabii Dominic
@ElizaMolle
@ElizaMolle 6 ай бұрын
baba nawomba umwombee mwana afailu Yuko sekondari nawomba uniambiye nani anayeniaribiye maisha yangu Mimi supat kukay
@SalmaYusuph-jb1sx
@SalmaYusuph-jb1sx 3 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe baba nabii nakufatilia sana naomba nisaidie niongezewe mshahala npo Oman nafanya Kaz
@MageGohage
@MageGohage 2 ай бұрын
Asante mungu kwakua unawasumbua waovu na kutuweka Hulu wanyonge
@KabibiiNassa
@KabibiiNassa 8 ай бұрын
Nina mgonjwa wangu ni mpenz wangu alipata ajal yupo ICU Benjamin mkapa hospital hajapata fahamu ni wiki sasa nitabirie baba
@MagdalenaBayaga
@MagdalenaBayaga 8 ай бұрын
Naomba nifungue biashara ya saloon na mama yang apone vvu na biashara zake zifunguliwe
@fidonifidel
@fidonifidel 8 ай бұрын
Kama vile mov sielewi???? Sasa huyo mme aliendanaye kanisani ili????
@NeemaGauso
@NeemaGauso 6 ай бұрын
Daaaaah na mimi naadamwa na mambo yakuzingiziwa mpaka sipati usingizi nisaidie babaa
HALIMA ALIYESINGIZIWA NA BOSS WAKE KUWA  AMEIBA MILION 5 UKWELI WAFICHUKA  PART-2
6:01
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 27 М.
ALIYEKUWA AKILETA NYOKA WA KICHAWI KANISANI AKAMATWA NA HIRIZI NYEKUNDU
10:32
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 53 М.
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Fishers family hamwe na #Nzabakiza  mu gitaramo cy abarazwe kuva i Bukavu 🇨🇩
39:24
#MNATUCHANGANYA NA NYIMBO ZENU# REV.MOSES MAGEMBE
5:21
NY TV
Рет қаралды 418 М.
CHUKI YA WIFI PART 1 || NEW BONGO MOVIES 2023 || PILI MABOGA
23:55
BIBI MCHAWI ALIEROGA FAMILIA YAKE AGARAGARA MADHABAONI AKIOMBA MSAMAHA / USINIUE PART-1
8:06
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 44 М.
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 74 М.
UKWELI WAFICHUKA JAMAA AMFUMANIA NA SMS MKE WAKE KUMBE HANA KOSA NI NDUGU ZAKE
15:40
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 62 М.