FANYA HIVI UPATE PESA ZAIDI

  Рет қаралды 84,112

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Haya ni mambo 13 ambayo masikini wengi wanapuuzia kuhusu pesa. Mambo ambayo wale wanaofanikiwa wanayazingatia sana na kuendelea kufanikiwa. Kwahiyo ili hali yako kiuchumi ibadilike ni muhimu sana kubadili baadhi ya mambo hasa kwenye tabia kuhusu pesa. Karibu tujifunze.
.
VITABU VILIVYOPO:
1. Elimu ya msingi ya fedha 20,000 TZS
2. Elimu ya msingi ya biashara 20,000 TZS
3. Biashara ndani ya ajira 20,000 TZS
4. Una nguvu za kutenda miujiza 20,000 TZS
5. Jiondoe katika utumwa wa kidigitali 20,000 TZS
6. Mfundishe mwanao kuishi 30,000 TZS
7. Mwanafunzi wa kiafrika (Mambo 100) 15,000 TZS
.
Tuma ujumbe neno "KITABU au VITABU" katika namba 0759191076 utapewa maelekezo.
.
JIUNGE NA GROUP LANGU LA VITABU (WHATSAPP):
(SPN BOOK CLUB):
Karibu ujiunge ikiwa wewe:
Unapenda kupata faida toka kwenye vitabu
Ni mvivu kusoma na ungependelea kusikiliza (Audio) zaidi.
Unataka kufahamu/ kupata vitabu vizuri vya mafanikio.
Utapata AUDIO CLIPS kwenye simu yako zilizosomwa kwa ufasaha na hazichoshi kusikiliza.
Ili kujiunga tuma ujumbe "whatsapp" andika: SPN BOOK CLUB kwenda namba 0759191076
.
ADA NI SHILINGI 2,000/= TU KWA WIKI
.
SUBSCRIBE - COMMENTS - LIKE - SHARE
.
UNGANA NAMI MITANDAONI:
INSTAGRAM (SPN): / successpath. .
INSTAGRAM : / ezdenjumanne
FACEBOOK : / ezdenjumanne
TWITTER : / ezdenjumanne
LINKEDIN : / ezdenjumanne
KZbin : / ezdenjumanne
.
BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
WHATSAPP : (+255)759191076
.
SUBSCRIBE CHANNEL YA HAMASA YA LEO HAPA:
/ hamasayaleo
.
.
#Pesa #Fedha #Zaidi

Пікірлер: 209
@ShonyangaAbdoulrashid
@ShonyangaAbdoulrashid 6 ай бұрын
Allah akuhifadh
@ndiemadavid6734
@ndiemadavid6734 3 жыл бұрын
Nimependezwa sana Kwa somo hili,na nimeelewa vizuri kwa nini kuzaliwa maskini si kosa lakini kufa maskini ndio kosa.Asante sana kaka Ezden jumanne.
@charlesfaida1515
@charlesfaida1515 3 жыл бұрын
Asante sana bro ezden, Elimu ya PESA,, NI ELIMU AMBAYO NAHITAJI KUJIFUNZA ZAIDI. Asante Kwa haya madini god bless you 🙏🙏
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
pamoja sana
@MosesZungu-fx6iy
@MosesZungu-fx6iy Жыл бұрын
Izohera nazitaka ngoja nifanye
@stephanomsangi
@stephanomsangi 5 ай бұрын
@@successpathnetwork asante
@charzysimion9055
@charzysimion9055 3 жыл бұрын
Video hii nimeipenda hasa ulivyo nikumbusha kusave kilamwez niliachaga kusave mambo yalivyo kuwa mengi kuliko kipato lakin nitajibana xanks bro maisha malefu
@PaulChalress-ke9rq
@PaulChalress-ke9rq Жыл бұрын
Asante San nitajimeck kwanzia Leo teacheli pia mungu atubarik san
@dinahelias6125
@dinahelias6125 3 жыл бұрын
Ahsante sana bro, hakika mimi nimejifunza kitu, namimi naharibu sana pesa kwa ukweli, na ndoto yangu nikifanya biashara. Mungu akubariki sana kwa hili lesson bro. Mimi wakwanza hakika umenisaidia. sana
@WatuTuu-nz4gw
@WatuTuu-nz4gw Жыл бұрын
Kuanzia leo sipotezi muda au siku bila kufanya kitu ambacho kipo ndani ya malengo shukrani ziwe kwako kaka vyote nimependa
@Tomasikikoti
@Tomasikikoti 11 ай бұрын
Ahsante Kwa somo lako kaka nimelipenda na nimelielewa tumepewa funzo kubwa Sana
@robartmbilinyi2274
@robartmbilinyi2274 2 жыл бұрын
On point bro respect for you unazidi kunipa morari ya ku do it vitu hata nlivyo kua nsha vkatia tamaa🙏
@merryjohn9391
@merryjohn9391 5 ай бұрын
Asante sana nimejifunza kuwa namatumizi mazuri ya fedha
@anordyusuph9119
@anordyusuph9119 3 жыл бұрын
Asante nimejifunza kuusu ufanyaji wa biashala
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
Asante sana Kaka nimejifunza kitu kikubwa Kutoka kwako Allah akuweke mda mrefu uendelee kufunguwa macho ya watu yaliyo pofoka
@bakarmsangi963
@bakarmsangi963 Жыл бұрын
Mashaallah nimeelewaa sana kufikiria kuaajiri nasii kuajiriwa na linginee kusev mudaa taim
@AsdAsd-qq1iv
@AsdAsd-qq1iv 3 жыл бұрын
Asante kaka kwa funzo lako
@nancyaroko4572
@nancyaroko4572 2 жыл бұрын
Thank you you are the best
@makamgimba5795
@makamgimba5795 Жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri sana
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 6 ай бұрын
Pamoja sana nimekuelewa kaka mungu akubariki
@nuriathnurdin1115
@nuriathnurdin1115 2 жыл бұрын
Shukran sana somo zuri sana.
@hashkhantantrasiraji118
@hashkhantantrasiraji118 7 ай бұрын
Shukruni kwa Elimu ya pesa
@salimkamanza1555
@salimkamanza1555 2 жыл бұрын
Asante sana kwa hilo,,,, niko njia sawa kabisa
@simbavamper7542
@simbavamper7542 2 жыл бұрын
Thank you brother nimejifunza kitu
@yohanageorgekika2240
@yohanageorgekika2240 2 жыл бұрын
Asante kwa somo nzuri
@grandsonmasoud9753
@grandsonmasoud9753 3 жыл бұрын
Pesa nlioisave niya kuinvest sio ya matumizi ,,,ino lesson of the day
@halonmwenda1673
@halonmwenda1673 2 жыл бұрын
Nimejifunza vitu vingi sana kupitia hi channel yako and am sure a m going to change . I nor were iam loss thanks so much and I have to continue to study about life Big up my brother jumanne nakupata vizuli sana nikiwa zambia .
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!
@zelfat4956
@zelfat4956 3 жыл бұрын
Nice ideas
@bensonjohn5400
@bensonjohn5400 2 жыл бұрын
Ahsante,,, Nimekuelewa
@drramadhaniman1529
@drramadhaniman1529 2 жыл бұрын
Kaka Nanzakuwekeza kwnziy leho
@mohamedyusuph890
@mohamedyusuph890 2 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa kunipa hamasa nan uliza swal mm napoteza sana pesa kwa kupitia soel net work kwa mambo ambayo yana tanuwa fikra zangu zilikua has na kuwa chanya
@AlysiousHategekimana-ku7kz
@AlysiousHategekimana-ku7kz 5 ай бұрын
Aksantesana kwamafundisho yapesa
@winniecrissy719
@winniecrissy719 2 жыл бұрын
Perfect, thank you brother.
@saidiabdallah3705
@saidiabdallah3705 2 жыл бұрын
Kaka kiukweli mi naelewa sana dalasa lako ni dalasa ambalo Lina zungumzia uhalisia mkubwa sana katika maisha ya kila siku mi naitaji nipate kitabu Cha biashala ndani ya ajila
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Tuma ujumbe andika "KITABU - (Mahali ulipo)" kwenda namba 0759191076
@merylatieno3731
@merylatieno3731 5 ай бұрын
Thanks my brother
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 ай бұрын
You're welcome
@husnaibrahim7987
@husnaibrahim7987 Жыл бұрын
Jazakkah Allahu bro
@medsonstarlon0805
@medsonstarlon0805 3 жыл бұрын
Shukraniiii kwa Elimu hii
@jamilayusuph2375
@jamilayusuph2375 3 жыл бұрын
Nimejifunza kuifanyia kazi master plan yangu ahsante
@jamrocksolomon38
@jamrocksolomon38 Жыл бұрын
Asanti sana kwa kielezo yako hii ni bora sana katika maisha ya watu.
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 3 жыл бұрын
Asante kakangu ❤️ ubrikiwe mpak ushangae🦁
@bissimichel3182
@bissimichel3182 3 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa hili somo nimesikiya napata juudi yaku fanya kazi bila Ku choka
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Ahsante kwa Elimu hii
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg 3 ай бұрын
❤❤❤Asante sana kwel Muda ni mali
@LillieApiyo
@LillieApiyo 4 ай бұрын
Nipo tayari kukua mtajiri nilizaliwa masikini lakini nitafuata somo hili nimeamini nitafanikiwa katika jina la Yesu 👏👏
@kadebepamike4914
@kadebepamike4914 Жыл бұрын
Asante sana mkuu
@fighterkaleme7296
@fighterkaleme7296 2 жыл бұрын
Asante Sana brother
@agiraali7693
@agiraali7693 Жыл бұрын
Assante sana kakaangu nimekwelewa kuanziya sasa nitajifunza jinsi akutumia pesa.
@davidmbwilo4954
@davidmbwilo4954 2 жыл бұрын
Asante sana
@merylatieno3731
@merylatieno3731 5 ай бұрын
Thanks
@Gesunte-mn3qn
@Gesunte-mn3qn 5 ай бұрын
Nimeipendaa Sana Iko Vzur
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 ай бұрын
Shukrani sana
@tasha3556
@tasha3556 2 жыл бұрын
Thanks alot
@AsdAsd-qq1iv
@AsdAsd-qq1iv 3 жыл бұрын
Zuri ajabu mungu akuzidishie
@giovanniotto8
@giovanniotto8 3 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri🙏
@amosirutibu1242
@amosirutibu1242 3 жыл бұрын
Dah asante 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JamesKinyonge-nm8ob
@JamesKinyonge-nm8ob Жыл бұрын
Ezden,nimeelewa sana swala la kubali tabia za hovyo ilikufikia mafanikio
@amirhamisi914
@amirhamisi914 2 жыл бұрын
Asalamwalekum zaleo bro nimeikubali Sana somo ili Allah akuweke Sana ameen
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Allahumma ameen...
@agostinhojosejose2795
@agostinhojosejose2795 Жыл бұрын
Nimekwelewa vizur
@Laila-zl8lj
@Laila-zl8lj 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki kaka yngu somo zur sana
@kenethmtati641
@kenethmtati641 Жыл бұрын
Kwer brother upo sahihi
@bekamacheni7462
@bekamacheni7462 2 жыл бұрын
god bless you brother
@noelsaidi7144
@noelsaidi7144 2 жыл бұрын
Nakushukuru saaaana nduguyangu zaidi île yakununua vitu
@daudinyello4033
@daudinyello4033 3 жыл бұрын
thanks bro
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Any time
@nuhumoreninkoko8639
@nuhumoreninkoko8639 2 жыл бұрын
Ahsante Sana kaka
@NeemaKhamis-n8h
@NeemaKhamis-n8h 5 ай бұрын
Nimekuerewa sanaaa kamauko kwenye moyo wngu ila chanzo sina ndio nakitafuta zen niyafanyie kazi
@juliusmageni9139
@juliusmageni9139 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@kmcmmd9445
@kmcmmd9445 3 жыл бұрын
Asante Sana Kaka😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@welcomefrank2429
@welcomefrank2429 3 жыл бұрын
Asante kaka
@brianamichale5528
@brianamichale5528 2 жыл бұрын
Asantee
@odellmbembel6410
@odellmbembel6410 3 жыл бұрын
Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ibrahimAhmed-zq5hj
@ibrahimAhmed-zq5hj 3 жыл бұрын
Allah bless you bro 🙏❤️❣️💕❣️
@nshimirimanadjamilla7270
@nshimirimanadjamilla7270 3 жыл бұрын
Shukran
@mrneysherin9109
@mrneysherin9109 3 жыл бұрын
Shukran bro
@delphinchimanukabuhendwa8778
@delphinchimanukabuhendwa8778 3 жыл бұрын
Nakubali kabisa
@eliasokapu3597
@eliasokapu3597 3 жыл бұрын
Good work brother
@ayoubomary270
@ayoubomary270 Жыл бұрын
Good bro mola akusimamie
@farijanibakari9018
@farijanibakari9018 Жыл бұрын
Kaka asante sana welcome tanga
@allymwananyamala4386
@allymwananyamala4386 3 жыл бұрын
Ezden unakua umejiajili unakuta mwezi mzima ujapata pesa unapata ya kutumia kwa siku iyo tu upati ya kuweka akiba ya kuwaza kununua kitu flani unacho taka
@hashimwilliam7462
@hashimwilliam7462 2 жыл бұрын
Asant Dana mungu akubalik
@Wazawaclassic
@Wazawaclassic 3 жыл бұрын
Habari samahani kk mimi na kikundi cha uigizaji kinacho fahamika kama KIVYETU TV, nilikuwa nahitaji support yako kama underground katika tasnia hii ya kuigiza vichekesho kwani wewe una uzoefu kwenye hili jambo naomba unisaidie kaka.nafikili itakua ni jambo kubwa sanaaa tunaomba support yako
@kisambankindwa1873
@kisambankindwa1873 3 жыл бұрын
Kuweka akiba shida kwangu ni moja huluma
@cideboy4676
@cideboy4676 3 жыл бұрын
Huruma gani Tena😁😁
@nizigamabosco6057
@nizigamabosco6057 3 жыл бұрын
Asant san God bless you
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 2 жыл бұрын
One love 👌
@owlbig
@owlbig 3 жыл бұрын
Asante
@hamedaabdultaleb5341
@hamedaabdultaleb5341 3 жыл бұрын
Nikimsikiliza hii inanipa nguvu kupambana wallah asnt kaka
@dimelafire7639
@dimelafire7639 2 жыл бұрын
Fact bro.......
@ignaslukowa4174
@ignaslukowa4174 2 жыл бұрын
Nimejifunza kuweka akiba brother
@vitusvedastus3781
@vitusvedastus3781 2 жыл бұрын
Nakukubari sana bro
@ZawadyKapitagwa
@ZawadyKapitagwa 9 ай бұрын
Nimependa hili somo
@successpathnetwork
@successpathnetwork 9 ай бұрын
Karibu sana
@MzamiduSwarehe
@MzamiduSwarehe Ай бұрын
Inshaallah
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
It's a very helpful lesson be blessed Brother
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
shukrani sana...
@joelparmwat6029
@joelparmwat6029 3 ай бұрын
Nikweli kabisa nimependeswa sana masoma yako
@kelvinshirima8847
@kelvinshirima8847 2 жыл бұрын
Kweli brother hili somo nimelielewa weng wana sema km hupo kwenye familia ya chin huwez kuwa juu kwanin naomba ushauri apo weng wananikatisha tamaa ila mara nying na pend kiskilz masom yako na kuna vitu nimeanza kufanya wana aza kusha ngaa
@elizabethhashimu
@elizabethhashimu 6 ай бұрын
ishi miaka mingi kaka mm kuamka ndio huwa nachelewa kaz yang inaitaji kuwahi san mapema tafadhalnielekeze namna ya kufanya
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 3 жыл бұрын
Naqubaliii bro unaongea point Sana
@yumbujackson869
@yumbujackson869 3 жыл бұрын
daah! mungu akubark soma lenye madini2!
@kessychuga1455
@kessychuga1455 3 жыл бұрын
Good nimekuwerewaa saana
@deathrow8004
@deathrow8004 3 жыл бұрын
No 6 iko vzr
@cideboy4676
@cideboy4676 3 жыл бұрын
Ngoja nijaribu Tena Kaka Mana Kila nikiweka Akiba nikifika kiwango flani hela inaisha kwa matatizo madogomadogo nakua naaza mwazo Tena sjui shida inakua wapi
@salmahanai3601
@salmahanai3601 2 жыл бұрын
asante cna
@kibandamodern
@kibandamodern 3 жыл бұрын
Mm naitaka elimu hii
@halonmwenda1673
@halonmwenda1673 2 жыл бұрын
Safi sana
@rizekalenga8254
@rizekalenga8254 3 жыл бұрын
Kaka unajua sana
@loyceakuku6019
@loyceakuku6019 2 жыл бұрын
wow
@ramadhanmohamedy5931
@ramadhanmohamedy5931 3 жыл бұрын
Upo sahii san kka
MAMBO 10 YA KUKUJENGEA POSITIVE THINKING
19:47
Success Path Network
Рет қаралды 53 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 117 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 128 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
MAMBO HAYA YANAKUCHELEWESHA KUFANIKIWA
17:24
Success Path Network
Рет қаралды 97 М.
UNAPOPITIA NYAKATI NGUMU KWENYE MAISHA
16:05
Success Path Network
Рет қаралды 28 М.
Why Elon Musk’s Robotaxi Is Such a Risky Bet for Tesla
9:24
Bloomberg Originals
Рет қаралды 390 М.
Njia 16 za Kutoa Sumu Mwilini | Detox na Kuboresha Afya
9:35
Success Path Network
Рет қаралды 198 М.
SHERIA 12 ZA FEDHA ZISIZOPITWA WAKATI
21:11
Success Path Network
Рет қаралды 48 М.
TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO
20:09
Success Path Network
Рет қаралды 33 М.