MAMBO 10 YA KUKUJENGEA POSITIVE THINKING

  Рет қаралды 53,370

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Mtazamo au mawazo chanya vinaweza kukuongoza katika mambo mengi sana ya maendeleo katika maisha yako.
.
Lakini maisha yana juu na chini kuna hali yaweza kutokea ukashindwa kuwa mtazamo sahihi au mawazo chanya.
.
Kwahiyo ni lazima kuwa mlinzi wa mawazo na mtazamo wako wakati wote kwani gharama ya kukutana na athari ya mawazo hasi (negative thinking) ni kubwa sana.
.
Kuna mambo 10 hapa unaweza fanya kuhakikisha unakuwa na mawazo chanya siku zote:
.
1- Kuwa na watu sahihi wanaokuzunguka
2- Kubali kosa ukifanya na badilika
3- wapongeze wengine wakifanya vizuri.
4- Jijali/ Jipende.
5- Shukuru kwa yale uliyonayo
6- Jione wewe ni mshindi kila siku
7- Kila siku fanya kitu kuhusu malengo au ndoto yako
8- Soma vitabu au makala zenye kukupa nguvu na shauku ya kuwa bora zaidi
9- Saidia wengine au shiriki shughuli za kijamii
10- Usiache ibada kila siku
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
TUFUATE INSTAGRAM:
SPN CHANNEL: / successpath_network
EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
DR. ISRAEL: / drisraelofficial
.
BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
WHATSAPP : (+255)759191076
.
#Positive #Thinking #SPN

Пікірлер: 234
@amourmtungo623
@amourmtungo623 3 жыл бұрын
Watu wengi wana dhana ya kuwa kama Mungu hajataka huwezi kufanikiwa. Never, hii ndio ile negative thinking. God helps those who help themselves. Mungu husaidia wale wanaojisaidia wenyewe kwanza. Unataka kwenda peponi halafu husali. Au unataka kuwa tajiri bila ya kazi. How come, it is impossible. Kazi ndio msingi wa mafanikio. Asante sana bro kwa kutoa elimu nzuri na kwa hakika wanaokufuata watafanikiwa kimaisha.
@jovinmutakumwa9611
@jovinmutakumwa9611 3 жыл бұрын
Asante Brother kwa chakura kizuri kama hiki hakika Mungu ni mwema sana Azidi kukupa uwezo wa kuenderea kutupa somo 🙏🙏🙏
@HuseyinAfrika
@HuseyinAfrika 6 ай бұрын
mashaAllah Allah akujalie zaidi ya ichi ulicho tuelekeza na aweze kutujalia tuweze kupata nguvu za kubitekeleza na kubifanya vitu ivyo
@leilatyabbasi482
@leilatyabbasi482 3 жыл бұрын
Who else is watching/listening while cleaning,another boom from bro Ezden, point that hits me harder 1 ibada 2 good friends/ right people 3 self positive talk 4 every day do something towards ur goals Bro keep on inspiring Allah akuzidishie Maalim
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
thank you ukhty
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
@@raiffaabdallah7705 karibu sana
@janynkya7319
@janynkya7319 2 жыл бұрын
Yhhhh Gy ; bbu
@amiriabdul6305
@amiriabdul6305 Жыл бұрын
kwel bro yamwishoo fact
@iddmambo3218
@iddmambo3218 3 жыл бұрын
Blessed brother may Allah Grant u more in return than what you have inspired us..
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
ameen
@beatricendungu6460
@beatricendungu6460 3 жыл бұрын
Thanks soo much. I appreciate..
@anisamohamed7333
@anisamohamed7333 2 жыл бұрын
Good advise and so nice
@timamahendo4172
@timamahendo4172 3 жыл бұрын
Yani bro umenifanya nimekua na courage sijui imetoka wapi .....kupitia lecture zako nimejifunza mengi sana
@zistmassawe2189
@zistmassawe2189 3 жыл бұрын
Unani_inspire sana God bless you
@MwamediMahobela
@MwamediMahobela 10 ай бұрын
Me mohammad kutoka kigoma napenda unavyo tujenga nakupenda bro
@rachealmwale3897
@rachealmwale3897 3 жыл бұрын
Mafunzo mazuri sana. Nafundishika kila siku ninapokuskiza. Be blessed brother.
@misschado1385
@misschado1385 3 жыл бұрын
Nilikutafuta watsap ukaniskilza ukaahid kunichek then from there najitahd kukutafuta wanidharau. Akhui hujui wengi tumetoka pabaya kuelekea pazur kupitia this channel but tunapokutana n hii ni athar kwetu. Atleast nisubirishe tu kwa busara n hekima Kukaa kimya kunanipa tafsir nyng. OK then Allah akulipe kher kwa hili ulifanyalo umenibadil alhamdulillah. Still goin
@petrongosha7914
@petrongosha7914 3 жыл бұрын
Msamehe bure huenda anakuwa bize sana
@coletashirima2193
@coletashirima2193 3 жыл бұрын
Mambo ni mengi sana na unakuwa sio wewe tu umemtafuta wakati mwingine mambo yanakuwa mengi hadi unasahau ... Msamehe tu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Pole sana... nafikiri sehemu sahihi pa kunirudia ni kwenye whatsapp. napata sms nyingi sana, sana. niandikie tena tafadhali kama bado kuna uhitaji.
@ksnjos001
@ksnjos001 3 жыл бұрын
Sheikh unashida gani? Tunaweza kukushari hata hapa
@mercymercy8660
@mercymercy8660 3 жыл бұрын
Asante kaka.umenifungua xna stay blessed
@danielelwin1778
@danielelwin1778 3 жыл бұрын
Nadhani ukitumia lugha moja bila kuchanganya misamiati ya lugha nyingine ita kuwa poa sana kaka, sababu hadhira yako ni sisi waswahili
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 3 жыл бұрын
Lakin ananafafanua kidogo babu kwaiyo usiogope sana
@kaisimwichande5014
@kaisimwichande5014 3 жыл бұрын
Kaisi mwichande kaka nimekuelewa sana
@shazilahmad9586
@shazilahmad9586 3 жыл бұрын
bbrrahza nimekuelewa sana nakuombeya kwamungu
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 Жыл бұрын
Dida dadaangu sijui ilikuwaje ukaachaana na hii nuru.huyu ilikuwa umnganganie wallah.mume Bora sana.aa ndo mambo lakini
@noornasir4378
@noornasir4378 2 жыл бұрын
Mashallah topic nzuri sana na inatutia moyo na kumshukuru Allah kwa kila neema alotujaalia. Alhamdulillah
@zakiahaeuna1849
@zakiahaeuna1849 3 жыл бұрын
Mashaallah saf san mung akubark ezden
@martinmhelela1393
@martinmhelela1393 2 жыл бұрын
Mifano yako ipo hai sana,unagusa ukweli kinyama, Motivation zinasaidia sana mtu kufanya vizuri kwa kazi na ubunifu zaidi,Ali ya kujituma na kujiamini na sio kulalamika .mind it that kulalamika niwazi umeshindwa kufanya Jambo Hilo, Asante
@flavianayusuph1309
@flavianayusuph1309 3 жыл бұрын
May Almighty God bless and protect you for good inspired
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
thank you so much Flaviana
@zahrakitchen5880
@zahrakitchen5880 3 жыл бұрын
Shukran hubby ❤❤
@motiveperson143
@motiveperson143 8 ай бұрын
I used to be mtu asiekubali kosa kwa sababu when I was young. I used to be criticized for a mistake whether I did or not, so it became a habit ila when I started learning myself, "I controlled myself when I wanna deny my mistakes ila am still a learner hope I will make it." ❤😊
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 2 жыл бұрын
Kaka Edeni mwenyezi Mungu akuhalie kila siku, Asante nimejifunza vitu vingi sana
@decastillognabry529
@decastillognabry529 2 жыл бұрын
Thenks bro we need to at all times have positive auto suggestions (kujiambia mambo mazuri kujihusu) till we attain positive thinking as a daily habit ❤️🇰🇪👑💪🧠
@motiveperson143
@motiveperson143 8 ай бұрын
On the first point brother you are 💯 right. I used to have poor setting boundaries, and most of the people never respected me, and they use to use me, then couple months ago nime jifunza setting boundaries 😂 guess what alot of them dropped and left
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 Жыл бұрын
Allah akupe shahada wakati wa kufa kwako.wewe na sisi pia.unatusaidia sana bro.alhamdulillah.unatutoa kwenye mawazo mamoja kwenda mengine ambayo ni sahihi Zaid.Allah akubarik
@FahmaAbdallah
@FahmaAbdallah Ай бұрын
Nimejifunza vitu vingi sana Allah akutunze inshallah
@user-qd9qt7ro6b
@user-qd9qt7ro6b 10 ай бұрын
natokea mwanza niatwa rajabu. mashaallah mungu atupe uzima aminn
@Salsabiil12
@Salsabiil12 8 сағат бұрын
Maashaallaah
@hatimahalikhamis1333
@hatimahalikhamis1333 3 жыл бұрын
Mashalla positively received
@anithahoza4016
@anithahoza4016 3 жыл бұрын
wow thank u bro ezden . i appriciate u , u alway show me the light in my lyf GOD BLEES U
@francissixmundy8654
@francissixmundy8654 3 жыл бұрын
Pongezi sanaaa kwakoo hakika weeewe ni mtu mwenye knowledge Pana sana ya kutoa ELIMU.endelea kutupa mafunzo kak naamin kupitia wew nmeanza kuwa na mawazo chanya
@shizzmntanatziii7066
@shizzmntanatziii7066 2 жыл бұрын
Unanijenga sana kifikra nashukuru sana ubarikiwe kila uchwao
@hussensangoda3855
@hussensangoda3855 2 жыл бұрын
Nakubali Sana bro mungu akuzidishie Ktk Elim tunanufaika mno
@RobbytheTrainer
@RobbytheTrainer 3 жыл бұрын
I like what you do, I see myself changing
@marcolucas2160
@marcolucas2160 3 жыл бұрын
sorry to be offtopic but does anyone know a trick to log back into an instagram account?? I somehow lost my login password. I would appreciate any help you can offer me
@sageseth5483
@sageseth5483 3 жыл бұрын
@Marco Lucas Instablaster :)
@marcolucas2160
@marcolucas2160 3 жыл бұрын
@Sage Seth I really appreciate your reply. I got to the site on google and Im in the hacking process now. Seems to take quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@marcolucas2160
@marcolucas2160 3 жыл бұрын
@Sage Seth it did the trick and I finally got access to my account again. I'm so happy! Thank you so much, you saved my ass!
@sageseth5483
@sageseth5483 3 жыл бұрын
@Marco Lucas Glad I could help :D
@khadijasaidi911
@khadijasaidi911 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah, Shukran sana
@sitapaul5835
@sitapaul5835 2 жыл бұрын
Nakwelewaa sana kaka
@user-mv7uf7jo1j
@user-mv7uf7jo1j 10 ай бұрын
Bro mm hata sijui niseme nn ila mejifunza sana kiukweli na nakuahidi nitawashawishi na wengine naanze kukufatilia ili na wao wapate elimu ninayoipata mm toka siku ya kwanza nilipoanza kukufatilia, asante sana kwa elimu nzuri sana mm nakuombea kwa MUNGU akupe nguvu na uelewa wa mamb zaidi ili na sisi tupate kujifunza kupitia ww zaidi na zaidi.... Me nakukubali sana
@successpathnetwork
@successpathnetwork 10 ай бұрын
Amiin. Nashukuru sana
@kahejashukuru4797
@kahejashukuru4797 2 жыл бұрын
Sijawai jutiya kufuata videos zako. Mungu akubariki sana
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 Жыл бұрын
Na sijui kama utapata Tena mwanaume kama huyu.natamani nije nisikie siku Moja mmerejeana.mwanamme huyu SI wa kumuacha apite TU hivihivi ilhali chance uliipata.lkn haya bwana Allah alikuwa keshakadiria iwe hivyo vilivyokuwa.
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
me more....
@mashaurinelson7106
@mashaurinelson7106 3 жыл бұрын
Thank bro Ezden for this concept
@masolaz_boy
@masolaz_boy 3 жыл бұрын
100% mpk mwisho in shaa Allah
@HonestaMwita-wf4ow
@HonestaMwita-wf4ow 4 ай бұрын
Thanks
@vincentmhoro1952
@vincentmhoro1952 Жыл бұрын
Kitabu changu Cha kwanza kukisoma mara tu nilipoanza kazi mwaka 1976, kinaitwa: " THE AMAZING RESULTS OF POSITIVE THINKING" By Vincent Peale. Actually maisha yangu yote nimekiishi kitabu hicho. Kimenisaidia sana katika maisha yangu kama baba, kama mzazi kama daktari na kama binadamu wa kawaida.
@user-yy4sh2pm2n
@user-yy4sh2pm2n 28 күн бұрын
Daaah kweli kak
@counselingandmotivationcenter
@counselingandmotivationcenter 2 жыл бұрын
Thank you brother apart of being my brother your My teacher.
@khalidhamad4132
@khalidhamad4132 3 жыл бұрын
Ahsante na shukran sana Brother. Hongera sana kwa hichi kipind nimekua nikiendelea kujifunza sana kupitia success path. Allah azidi kukubarik na kukupa mafanikio mema. UNATISHA SANA
@motiveperson143
@motiveperson143 8 ай бұрын
😂😂😂 the voice changed made my day thanks for making us laugh 🎉
@mzaliwajohn1395
@mzaliwajohn1395 3 жыл бұрын
good sana mr. Ezeden, youn should also provide enterpreneurship skills
@HamzaAthumani-um8bw
@HamzaAthumani-um8bw 7 ай бұрын
Ubarikiwe kaka shukran sana❤
@successpathnetwork
@successpathnetwork 7 ай бұрын
Karibu sana....
@RukiyaButoyi-sk5nm
@RukiyaButoyi-sk5nm Жыл бұрын
Assaalam aalaykum warahmatullah kweli Kaka duuuh hakika nimejifunza mengi.
@kelvinchristopher1853
@kelvinchristopher1853 2 жыл бұрын
Ooh bro unaupeo mkubwa mungu akubarik na akuzidishie neema you changed my life
@nasibukhaled8709
@nasibukhaled8709 3 жыл бұрын
Kaka nazid kkuelew kila cku nakubal xna kaka unatutoa ucngzn,,, bless xna mzeee
@hopezakskincare6745
@hopezakskincare6745 3 жыл бұрын
Thanks so much najifunza kitu japo nimechelewa kukufahamu brooo
@zamanjohn4612
@zamanjohn4612 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kaka
@petrongosha7914
@petrongosha7914 3 жыл бұрын
Tangu nianze kukusikiliza umenisaidia sana be blessed brother.
@danielelwin1778
@danielelwin1778 3 жыл бұрын
Lakini unafanya kazi nzuri sana kaka
@newicononlinetv
@newicononlinetv 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kaka Napenda kifanya mausiano ya jamii ili kukuza na kufikisha mbali elimu hizi
@Jouniorkids_
@Jouniorkids_ 3 жыл бұрын
Mbona Yesu alitembeaa na wenye Dhambii
@IbrahimDaudi-bo7ke
@IbrahimDaudi-bo7ke 4 ай бұрын
Shukran Jazila
@rahmahussein6579
@rahmahussein6579 3 жыл бұрын
Very inspirational video,. thanks for sharing together with su
@mbaloplatnumz646
@mbaloplatnumz646 2 жыл бұрын
Daaah kakaumenifunza mengi Sana kk mwenyez mungu akubarkh kk
@rajabujuma8725
@rajabujuma8725 3 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka nimejifunza kitu kuhusu matumizi ya bundle langu....asante sana
@user-ot5of3si6y
@user-ot5of3si6y 3 ай бұрын
Napenda sana
@SarahDavid-nz8ir
@SarahDavid-nz8ir Жыл бұрын
Barikiwa sana
@alfredmnazareth898
@alfredmnazareth898 3 жыл бұрын
wallah napenda mada zako
@user-ro5qm1lh8g
@user-ro5qm1lh8g 4 ай бұрын
Yaan leo umenigusa pakubwaaa Be the Person you want to Attract Magreth from Mwanza
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 ай бұрын
Naam Naam...namna hiyo Maggy
@yahyatweitin
@yahyatweitin 3 жыл бұрын
Mada nzuri (short and clear) 🖒
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Asante sana Yahya Tweitin kwa kufuatilia. Endelea kuwa karibu na usisite kutujulisha kama kuna chochote tunahitaji kuboresha. Na nitafurahi sana kama uta-share link za masomo yetu kwa wengine ambao unajua wanahitaji elimu hii. Stay blessed!
@MillionaireBorntowin
@MillionaireBorntowin 3 жыл бұрын
Brother uko vzr sana
@vincentmhoro1952
@vincentmhoro1952 Жыл бұрын
Yes, Be yourself
@citymaxbookshoptanzania2924
@citymaxbookshoptanzania2924 2 жыл бұрын
Upo sahihi sana mwalimu
@zainabuamiri4463
@zainabuamiri4463 2 жыл бұрын
Shukrani kaka Allah akuifadhi.
@jumeletv7794
@jumeletv7794 3 жыл бұрын
thanks brother be blessed!!!
@user-bu1vd8my8l
@user-bu1vd8my8l 5 ай бұрын
God bless
@louizedes8509
@louizedes8509 3 жыл бұрын
Hongera sana kaka...,mimi ni fans wako
@christopherrichmangi8570
@christopherrichmangi8570 3 жыл бұрын
Ezden blessed man.thanks so much bro
@zephulinsosipetel3215
@zephulinsosipetel3215 3 жыл бұрын
Nakukubari jumanne
@reymasenya6450
@reymasenya6450 3 жыл бұрын
Nice Kamanda Wangu
@aminahkhamis8710
@aminahkhamis8710 3 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu zaidi ninazidi kujifunza
@mathiaslaban8530
@mathiaslaban8530 3 жыл бұрын
Daaaaah bro unaerimisha Sana au Kuna wakati unachekesha bila kujua pamoja sana
@matirdamussa6343
@matirdamussa6343 3 жыл бұрын
Kaka umeandaliwa kuni peleka mahali
@emmanuelysilvester4920
@emmanuelysilvester4920 3 жыл бұрын
Mwenyez mungu akubariki sana kaka japo nmechelewa kuona video zako lakin kwamda mchache umenifunza meng sana brkiwa
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Asante sana Emmanuely Silvester kwa kufuatilia. Endelea kuwa karibu na usisite kutujulisha kama kuna chochote tunahitaji kuboresha. Na nitafurahi sana kama uta-share link za masomo yetu kwa wengine ambao unajua wanahitaji elimu hii. Stay blessed!
@husnaismail8921
@husnaismail8921 3 жыл бұрын
Masha Allah..mungu akubariki..nimejifunza kitu
@maulideabdala3832
@maulideabdala3832 3 жыл бұрын
Ipo safii sana
@idrisaismail5359
@idrisaismail5359 3 жыл бұрын
,asante sana
@burjiboyz8977
@burjiboyz8977 3 жыл бұрын
Thank you so much bro
@sallys3229
@sallys3229 3 жыл бұрын
Woooow am encouraged 💪💪💪👌👌👌
@alfadulibro7713
@alfadulibro7713 3 жыл бұрын
Really uncle
@kelvinmwinuka1834
@kelvinmwinuka1834 3 жыл бұрын
Asantee kaka unanifumbua machooo
@mtindimagogera2525
@mtindimagogera2525 3 жыл бұрын
Thanks bro ezden jumanne for this concept
@yusufyusuf4180
@yusufyusuf4180 3 жыл бұрын
Great
@habibaally2943
@habibaally2943 2 жыл бұрын
Shukran
@shufaarajab2141
@shufaarajab2141 3 жыл бұрын
Be blessed bro Kaz nzuri tunazd kujifunza
@user-vp3oz7ho1h
@user-vp3oz7ho1h Жыл бұрын
Kweli brother
@georgewilson3434
@georgewilson3434 3 жыл бұрын
good coz it tru
@routecamino185
@routecamino185 3 жыл бұрын
really bro una mafundisho mazuri tena ya kweli
@aminameena14
@aminameena14 2 жыл бұрын
Shukrani sana kaka
@mbuyutv8271
@mbuyutv8271 3 жыл бұрын
MashaAlla MashaAlla, nimeipenda hii.
@danielsimeon9556
@danielsimeon9556 3 жыл бұрын
Oya mzee baba, tutumie video ya namna (yakujua) yaani mawazo yetu tunayo waza yasionekane na tukayajua tunayo waziwa,TUNAGOMBANA NA WATU HUKU MITAANI SABABU YA (MOYO)
@rahimibrahim1197
@rahimibrahim1197 3 жыл бұрын
Asalaam alaykum allah akujaaliye uzidi kutuelimisha
@brotherisaiahtv
@brotherisaiahtv 3 жыл бұрын
Asante bro
@davidjames4989
@davidjames4989 3 жыл бұрын
Hongera Sana broo Ezden...Nimekuelewa ngoja nianze Practice, I believe practice makes perfect
SABABU 9 ZA KUTOWASIKILIZA WATU HAWA
20:59
Success Path Network
Рет қаралды 37 М.
MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE
29:50
Success Path Network
Рет қаралды 52 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 10 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 11 МЛН
USIFUPISHE MAISHA YAKO KWA KUFANYA MAMBO HAYA
17:00
Success Path Network
Рет қаралды 25 М.
Jinsi Ya Kutatua Matatizo Kwa Haraka - Joel Nanauka
10:32
Joel Nanauka
Рет қаралды 34 М.
UNAPOPITIA NYAKATI NGUMU KWENYE MAISHA
16:05
Success Path Network
Рет қаралды 28 М.
TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO
20:09
Success Path Network
Рет қаралды 32 М.
NJIA ZA KUKUPA FURAHA NA AMANI MAISHANI
16:54
Success Path Network
Рет қаралды 13 М.
NDOTO ZAKO MAFANIKIO YAKO
9:54
Success Path Network
Рет қаралды 50 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 60 М.
SIRI ZA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO - Pastor Sunbella Kyando
58:55
Reality of Christ Church
Рет қаралды 98 М.