KUPATA VITABU: 1. Elimu ya msingi ya fedha 2. Elimu ya msingi ya biashara 3. Biashara ndani ya ajira 4. Una nguvu ya kutenda miujiza . Tafadhali tuma ujumbe wa kawaida au whatsapp wenye jina la kitabu katika namba 0759191076 popote ulipo. Free delivery kwa Dar es salaam. Bei: 20,000 TZS. . Kujiunga na group la VITABU Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076
@busta_malik59713 жыл бұрын
Big up bro yani somo nimeondoka na mengi nlio kuwa siyafaham 🙌🙌
@elizabethsalaho23443 жыл бұрын
Loop
@elizabethsalaho23443 жыл бұрын
Kaka samahn naweza kupataje kitabu hicho, mm niko mkoani manyara huku
@alonzojericho28633 жыл бұрын
i guess Im randomly asking but does anybody know a tool to get back into an instagram account?? I was dumb lost my login password. I appreciate any tricks you can offer me
@BenjaminNchimbi-vh4li Жыл бұрын
2
@ismailhussein53923 жыл бұрын
Shukurani sana kwa elimu unaotupatia Allah adhidi kukuwezesha kutupatia elimu
@liberationofmindsettothewo54943 жыл бұрын
Binafsi brother Ezden kupitia masomo yako nimepata ujasiri mkubwa Sana na maarifa ya kuendesha Mambo YAngu🙏🙏mungu azidi kukuweka uendelee zaidi na zaidi
@omarimadiva53523 жыл бұрын
Kutazama mambo mazuri tulioyafanya inatupa furaha nakuamini kuwa tunaweza kufanya zaidi.msukumo wa ninaweza unasaidia kupambana na changamoto.
@saumusanjiama69913 ай бұрын
Naam ata mimi
@abdoulsalamally66523 жыл бұрын
Hapo kwenye simu ndo huwaga nashindwa kuwa productive, whenever I want to do something I just put my phone away to avoid distraction.. Got you broo
@Eldoret943 жыл бұрын
Hahaha ata Mimi bro sometimes natoa manguo nioshe najipata nmechat hadi narudisha manguo tu
@abdoulsalamally66523 жыл бұрын
@@Eldoret94 😅😅😅 pôle sana, but sijawahi hairisha ninachotaka kukifanya! Simu ugonjwa mbaya aisee
@shukranjulius95262 жыл бұрын
Aisee hizi simu unakuta unataka kulala lakini unaingia kwenye simu hadi unachelewa kulala
@mr.kaporo2479 Жыл бұрын
Mimi nafsiyangu nimependa sana na kuvutiwa na maelekezo na mafundishoyako ubarikiwe
@successpathnetwork Жыл бұрын
Nashukuru sana, karibu sana
@husseinmndeme3465 Жыл бұрын
Brother kazi zako site zinanijenga mnovingawa baobado Mungu ajujalie mema
@sebastiansikujua2982 жыл бұрын
Nashukuru sana Bro kwa uhamasishaji mzuri na Mungu akuzidishie zaidi ya apo
@anafisuleimani70833 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu mzuri
@festusmakene50742 жыл бұрын
Ahsante sana bando langu nalitendea haki
@sajidusadru37892 жыл бұрын
Nashukur Sana nimejifunza kuwa.mbunifu
@idephonsekome97013 жыл бұрын
Kaka nakukubali Sana ndugu yangu umesababisha change maishani mwangu mungu akujalie Inshallah Kwa Kaz zako nzuri
@mgallason...56863 жыл бұрын
Binafsi nakuelewa kiasi kwamba nashiba Hata bila Kula. Umeniokoa akili yangu kuepuka mabo mengi sana yasiyo na tija katika maisha yangu.
@FilbertMkoma5 ай бұрын
Ukweli ni kufanya kaz, sasaivi unaweza kubadilisha maisha Kwa kufanya kaz ty
@successpathnetwork5 ай бұрын
Naam...
@abuushakiraddausiy8666 Жыл бұрын
Utupoteza sana maallim nimeomba kitabu cha tabia za matajir
@Ajaruva2 ай бұрын
Always very perfect.
@successpathnetwork2 ай бұрын
Pamoja sana
@merykabogo76363 жыл бұрын
Kaka utafundisha mambo mazurii sanaa katika maisha yetu!!
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Mery Kabogo kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@macvoicenation58983 жыл бұрын
Nimekuelewa
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Inamafundisho mazuri Allah akulinde na hasad 🙏
@hassanmahanyu15563 жыл бұрын
Barikiwa Sana elimu nzuri unatupatia
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Ahsante shukran sana
@successpathnetwork Жыл бұрын
Karibu sana Rehema
@rehematawalani733 Жыл бұрын
@@successpathnetwork tupo pamoja ndugu
@mtindimagogera25253 жыл бұрын
Shukulan san Allah akuongz kuzd kutp elimu said,nimepend point ya1
@ismailimkwizu20143 жыл бұрын
The good my broo
@ZuhuraChuma-si4wv Жыл бұрын
Asante kwa muongozo
@Eldoret943 жыл бұрын
Me mafunzo napenda sana
@ukhtyhalimaismailbakari49313 жыл бұрын
Masha Allah Shukraan sana brother Ezden 🙏🙏
@ibrahimsalim84863 жыл бұрын
Asante kaka na mungu akuzidishie
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Ameen IBRAHIM SALIM, dua njema iwe kwetu sote. Be blessed!
@clovicemusobozi38917 ай бұрын
Asante sana kaka
@Shamimkhalifa7_432 жыл бұрын
Thanx for inspiration, I gained something good,shukran
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Karibuuu
@gabygdastan30092 жыл бұрын
me napenda mafundish yak
@godfreylungwa7503 жыл бұрын
kaka umenisaidia sana mwanzo kuna dada alikua ananifulia nguo nakufanaya usafi chumbankwangu, lakin sikuiz naamka asubuhi nafanya maziezi napika mwenyewe nafua nakufanya usafi mwenyewe na nimeweka ratiba kila ninapofua nakufanya usafi naweka ile hela ambayo ningemlipa dobi.. umenisaidia sana kwakweli 🙏🙏🙏
@Eldoret943 жыл бұрын
Na nko na swali me nkishika salary nastukia nmemaliza in 2days ata shopping sinunui hadi naandika vitu kwa duka bana
@rosanakalaili9773 жыл бұрын
Very clear the way you are talking bro,am getting something
@sabinakerubo Жыл бұрын
hey nimependa sanaaa
@successpathnetwork Жыл бұрын
Karibu sana Sabina
@nashirjumanne8513 жыл бұрын
Vizuri.
@samsonmzava13163 жыл бұрын
Somo,nzuri kocha.
@jumannekijombe13753 жыл бұрын
Bro nakukubali sana
@johntambwe99803 жыл бұрын
Nakubali
@KhatibMainde9 күн бұрын
Good job
@OmaryAbdallah-z8k3 ай бұрын
Nakubali saaan
@Imani-majaliwa3 жыл бұрын
Imetulia hyo kaka
@barakaezekia33823 жыл бұрын
Namani kuwataji nafanya kazi sifanikiwi
@amirclassic83262 жыл бұрын
Kiwango cha lami shaaaa
@devansthegreat391og2 жыл бұрын
Nakubali sanaa kaka
@saadaalmamary83973 жыл бұрын
Big up bro nakukubali
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Saada Almamary kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@tictsticts22683 жыл бұрын
daah nakuelewa sana mkuu but nilishawahi kukupa tatizo lang ila hukunijibu kwenye istagram
@tictsticts22683 жыл бұрын
kwenye istagram natumia jina la pius japhar.ila ukweli nakuelewa sana na pia vinatujenga sehem kubwa sana asante kiongozi nitakufata kwenye group la vitabu
@richardmpuya53793 жыл бұрын
Safi sana nimeipenda
@sixmundstephen80423 жыл бұрын
Thanks
@happycosmas68713 жыл бұрын
Napenda kujua Mambo mazur
@denicsimba5593 жыл бұрын
Shukran Sana kaka
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Denic Simba kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@mariamomar82443 жыл бұрын
Amazing God bless you
@Budimu143 жыл бұрын
Makni sana kaka unajua sanaa
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Rizik Makoye kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@shukranjulius95262 жыл бұрын
Kaka Mungu akutunze
@medsonstarlon08053 жыл бұрын
Ahsanteee sanaa kaka 👏
@davidrk95213 жыл бұрын
Vzr
@mrsfidekessymkumbo70073 жыл бұрын
Well presented 💪
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Thank you 🙌
@samywabenga61868 ай бұрын
asante sana kaka
@successpathnetwork8 ай бұрын
Karibu
@allyjuma92998 ай бұрын
Bro somo lakuamka umechoka narisubilia😢
@isihakasalum99983 жыл бұрын
unacho sema ni nikwel kabisa mtu akiweza kuwa ivo kila siku lazima maisha yake yawe kiwango cha lami broo
@SaideKuntalala-kq9bn Жыл бұрын
Pamoja
@emanuelykandola65843 жыл бұрын
J upo vzr
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana EMANUELY KANDOLA kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@macksemuyango61082 жыл бұрын
Habari za mda huu bwana EZDEN JUMANNE,,,, naomba unisaidie ni jinsi gani naweza kupata VITABU! Ni Mack Semuyango natokea KASULU MKOANI KIGOMA
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Niandikie text isemayo VITABU KASULU KIGOMA halafu tuma kwenda namba 0759 19 10 76
@judithmwambe47673 жыл бұрын
Ooopppsiiiiiii......Nimekuelewa vyema kabisa kaka Ezden. Binafsi sipendi kutizama Tv yaani naona napoteza muda kabisa, Taarifa ya habari natizama kupitia KZbin ktk simu, yaani mambo ya seasons sijui madudu gani yananipotea tu muda japokuwa sijawa tajiri lakn nawish nitakuwa.
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Judith Mwambe kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@joxamcelestine41273 жыл бұрын
Hii Judi
@judithmwambe47673 жыл бұрын
@@joxamcelestine4127 Abee
@joxamcelestine41273 жыл бұрын
@@judithmwambe4767 sorry
@EuniaRyaga-zd3zx Жыл бұрын
Vema
@Bahatiyusuphtv3 жыл бұрын
Sawa kaka
@omaryally96413 жыл бұрын
Broo kwakwelii mung atujaliy afyaa njemaa tuu unatuliwazaa kwa mamb meng tuuu
@edwardvelidiana18643 жыл бұрын
Asante
@anacletsumbu76022 жыл бұрын
asante
@ramadhannyigana88833 жыл бұрын
Na vipi kuusu kufanya mazoezi usiku tu hapo inakuaje
@darlinmandwanga68013 жыл бұрын
Kaka ezden naitaji iko kitabu plz
@alexbuberwa75282 жыл бұрын
Ooh yeah
@mussamathias10862 жыл бұрын
ww noma
@kingsulemani72513 жыл бұрын
Mimi unanisaidiaga sana nakumbuka niliwai kuwaza kufa tu lakini kwakusikiliza nikajikumbuka tena now napambana tena
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana ANATO TEXTILES LTD kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@johnmanase28743 жыл бұрын
Yes bro
@mickeydaddy84593 жыл бұрын
Nakuelewa sana bro
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Mickey Daddy kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@neemalambo97903 жыл бұрын
Nakuelewa sana kaka
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Neema Lambo kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@hilalifazili55073 жыл бұрын
Anzana poc yamwisho kwenye akili plz nitafsiriy vizuri
@tinahosea99303 жыл бұрын
Asante sana brother ezden 🙏🙏
@nurumsumari8043 жыл бұрын
Me binafis kwiukweli nachelew. Kulala San na pia naweza nikanzaaaa mazoez Leo nimaliza waiki tuu naaacha
@hbtvmedia-hb3 жыл бұрын
Kaka Ezden nilikua nahtaj hvo vitabu tavipataje
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Tafadhali tuma ujumbe wa kawaida au whatsapp wenye jina la kitabu katika namba 0759191076 popote ulipo. Free delivery kwa Dar es salaam. Bei: 20,000 TZS.
@yumbujackson8693 жыл бұрын
Somo zur bro ubarikiwe.
@sadickmadidiga8853 жыл бұрын
Tealii
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Sadick Madidiga kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@abuuayoub14973 жыл бұрын
Abuu ayoub 1
@monicamjera22193 жыл бұрын
Please reply .... kwa mm mkenya nakipataje kitabu? Ama mko na softcopy?
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Tuwasiliane kwa namba 0759191076. whatsapp
@monicamjera22193 жыл бұрын
Sawa
@fatumaluze77243 жыл бұрын
Ahsante Sana kwa somo zuri kaka nimejifunza kitu ila naomba UNISAIDIE Jambo ambalo Lina nisumbua Sana kaka Niku chek kwa namba ipi??
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Fatuma Luze kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076 Tumia namba hizohizo whatsapp lakini
@fatumaluze77243 жыл бұрын
@@successpathnetwork Asante
@fatumaluze77243 жыл бұрын
@@successpathnetwork Asante
@mahamoudomar54923 жыл бұрын
Ezden uko poa Kama Alpha M
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Mahamoud Omar kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@zabibusephania24153 жыл бұрын
Hahaha nimefurah
@zulfamwinyiathman54232 жыл бұрын
Vp hivyo vitabu navipataje
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Simple, nitumie ujumbe hapa 0759191076 Andika (KITABU - Eneo ulipo) mfano kama upo mwanza Andika "KITABU MWANZA" nitakupa information za kupata vitabu
@RONALDOTRUCKDRIVER3 жыл бұрын
🤸🤸🤸
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Ronald Frank kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076
@FepasiPatrick3 жыл бұрын
U kaka
@immachaula35583 жыл бұрын
eden jitaid video ziwe fupi usiwe unaongea sana
@daynesmkombo74433 жыл бұрын
Navipataje vitabu vyako me nipo katavi napenda sana ushauli wako no yangu ni 0742142004
@joxamcelestine41273 жыл бұрын
上帝禁止
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Joxam Celestine kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed. Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB" kwenda namba 0759191076. . Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076