Рет қаралды 128
Wafanyabiashara katika maeneo ya Posta, Dar es Salaam wamesema wanafurahi kuwepo kwa mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za Afrika unaoendelea katika ukumbi wa JNICC kwa sababu ya uwepo wa wageni na wenyeji kuongezeka katika kununua bidhaa zao.