Waamini na waridhiwa wa Bwana tuinjilike kwa sifa na utukufu wa Mwenyezi na kwa wokovu wa roho zetu.
@josephlango559110 ай бұрын
Mbinguni kuna kazi moja tu- KUIMBA. Na hatutajifunza kuimba tukifika mbinguni. Tunajifunza kuimba kimbingu tungali duniani. Nanyi mmeimba kwa moyo wa adhama. Mbarikiwe