FEI TOTO| AZAM WAKICHEZA KAMA WANAVYOCHEZA NA YANGA WANAWEZA KUFIKA MBALI| SIO WAPINZANI WA SIMBA

  Рет қаралды 67,222

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@TheMrisho
@TheMrisho Жыл бұрын
Kipindi cha kusifia Yanga. Wanaongelewa Azam lakini muda wote sifa kwa Yanga, tunapewa sababu za kwanini Yanga ni timu bora
@alphakaguo3896
@alphakaguo3896 Жыл бұрын
Inaumaesikamanyinyitu uefm
@sanda960
@sanda960 Жыл бұрын
Azam kinachowatesa ni Jina lao. Wabadilishe jina itawapa spirit ya kupambana. Mashujaa watafanya vizuri Kwa AJILI tunya jina lao na sio uwekezaji. Simba wanafanya vizuri Kwa AJILI ya jina lao TU. Hata walipokuwa wabovu walifanya vizuri kimataifa. Unapojiita Azam, mchezaji anajihisi utamuutamu TU na haifanyi mtu akawa jasiri kupambana. Watastragle sana
@MnubiMm
@MnubiMm Жыл бұрын
Swala sio jina uwezo na jina vitu viwili tofauti mpira hausiani na majina ya timu labda ungeniambia washabiki hawana
@husseinmkwachu6071
@husseinmkwachu6071 Жыл бұрын
MAYELE aliwahi kusema the same thing ,jamaa wakaja juu eti AWAOMBE radhi
@kheirahmad4064
@kheirahmad4064 Жыл бұрын
Halafu mzee Bakhresa sio mmiliki Azam Fc. Yeye nishabiki wa Simba Fc.
@youngbabylon9094
@youngbabylon9094 Жыл бұрын
Mbona hueleweki...mara sio mmiliki mara shabiki wasimbaa😂😂😂
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
Wacha ung'ombe wewe kwani Bakhressa kuwa shabiki wa simba kuna nini??..mbona Gharib wa GSM nae ni mpenzi wa simba??au we hilo hujui???
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi Жыл бұрын
Mbona Mo naye ni shabiki wa Timu yangu
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Жыл бұрын
Daaah!Kumbe ww ndo mmiliki wa Azam!
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 Жыл бұрын
AZAM INALETA AIBU SANA IMEFANYA UWEKEZAJI MKUBWA LKN IMEZIDIWA HATA NA MUNGO
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 Жыл бұрын
Kama nguvu wanayoitumia Azam wangeitumia kucheza na timu nyingine Azam wangekuwa mbali sana
@saydouside9468
@saydouside9468 Жыл бұрын
mayele..alishaongea..mkamuona mkongo...haya wache waikamie yanga
@saidndembo661
@saidndembo661 Жыл бұрын
Tatizo azam wanateswa na siasa za simba na yanga hawaja simama wao kama wao
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Жыл бұрын
Walipoambiwa na MAYELE kuwa wakicheza na Yanga huwa wanakamia akina Zaka za kazi wakang'ooola --- sasa semeni wenyewe -- wapigaji tu
@AzizJawad-br3ij
@AzizJawad-br3ij Жыл бұрын
Wasafi = Yanga Huna haja kusikiliza maana unasikiliza YANGA FM
@sylvetermtunga4587
@sylvetermtunga4587 Жыл бұрын
Efm simba fc ngoma draw😂😂😂
@nasskidy5471
@nasskidy5471 Жыл бұрын
Sasa Azam star wao ni feisal unataka watoboe wapi
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Жыл бұрын
Na waliokuwa wanamfanya awe star wote wapo Yanga, hahahahaa! Mtoto akililia wembe mpe. Hakuna ubishi ukitoka hizi klabu kubwa mbili Tanzania hasa Yanga kwenda klabu nyengine Tanzania ujuwe umepotea. Daaa! lkn tamaa imemponza, aliona bora mpira upotew lkn apate pesa, ndio maamuzi yake huwezi kumpangia isipokuwa kutoa ushauri tu.
@frankphiri9132
@frankphiri9132 Жыл бұрын
AZAM ni ndogo sana huwa inatumwa na kuwekewa shekeri za kuikomboa Yanga tu
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Kwa wasiofaham neno shekeli maana yake ni hela
@alexshambutu5927
@alexshambutu5927 Жыл бұрын
Wakamiaji fc
@emmanuelkayanda8992
@emmanuelkayanda8992 Жыл бұрын
Unacheza vibaya unapata matokeo ?😂😂😂 Wew ni msemaji kivuli wa ysng africa
@seneu.2128
@seneu.2128 Жыл бұрын
Mapema sana kuihukumu Azam kwa msimu huu subirini hata mechi ya marudiano kwanzo kwa ufupi mmekosa mjadala wa kumalizia show
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Жыл бұрын
Mmmhhh eti mapema kweli? Basi kama hujui baba mpira unaanza na mechi ya kwanza iwe ya kirafiki au ya kimashindano.
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 Жыл бұрын
Mayele alisema hayo maneno alishambuliwa sana
@AdamuMchuchuba
@AdamuMchuchuba Жыл бұрын
wachezaji wengi wa Azam wanapenda kuchezea yanga na ndio maana wanajituma lengo mchezaji aonekane lengo wasajiliwe mujue hivyo
@AzizJawad-br3ij
@AzizJawad-br3ij Жыл бұрын
Kama wanapenda Yanga na Fei toto anapenda nini ????
@EmanuelMwambu
@EmanuelMwambu Жыл бұрын
Nyie simulisema Azam no ziro kuliko Simba.
@JumaSeif-v3r
@JumaSeif-v3r Жыл бұрын
Azam iko hovyo
@mohdhaji709
@mohdhaji709 Жыл бұрын
Osca acha kuongea ivoo yan timu ndogo yoyote ile ikicheza na yang na simba lazima zijikaze kwan hata ihef alijikaza alipocheza na yanga
@RathulyIsmaily
@RathulyIsmaily Жыл бұрын
Ni kwel lkn azam ana udogo gani?Azam ni mkubwa ki kiundombinu na kifedha na ndo timu kubwa inavyokuwa ko kusema Azam ni timu ndogo sio kwel nazani wana ujinga ujinga mwing wa kushindwa kujipa daraja la hadhi yao.Hawa kwa kule Egypt ni pyramids sema hawajielew tu
@suleimankombo1743
@suleimankombo1743 Жыл бұрын
Azam inafanya vizuri msimu huu mtakuja kushagaaaaaaaaaaaaaaaaa
@kassimkingu5512
@kassimkingu5512 Жыл бұрын
Wasafi mnajipotezea heshima ila nyie hamwelewi
@biggievandar254
@biggievandar254 Жыл бұрын
Wanakamia sana hua
@Sophiaalistidi-mv5j
@Sophiaalistidi-mv5j Жыл бұрын
Yanga ndo kirakitu hapa tz
@eduwadylelya
@eduwadylelya Жыл бұрын
Wa kwanza mimi
@PaulMgendi-n7b
@PaulMgendi-n7b Жыл бұрын
Jamani kila jambo lina wakati wake azam nao mda wao utafika watafanya vizuri
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 Жыл бұрын
Wakamiaji hao, hawana mchezo wa kiuungwana akamiko kamuumiza skudu
@YusuphJilala-it9bo
@YusuphJilala-it9bo Жыл бұрын
Wakamiaji tuuu!!!hawanatimuuuuuù😂😃😂😂
@paulsamwel1144
@paulsamwel1144 Жыл бұрын
Yani me siwapendag hawa wasenge wachambuz kila siku wanaichambua utopol tuuu
@mohamedbakhuwar4749
@mohamedbakhuwar4749 Жыл бұрын
Azam wamefungwa ugenini. Hata Al ahly wanafungwa ugenini. Mnakosoa mapema sana. Ndio maana wachambuzi wa Kibongo mnatafuta pa kukosoa badala ya uhalisia wa mambo.
@ibadymanyuka1611
@ibadymanyuka1611 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁 wamefungwa tena huko 🤪🤪🤪 na ndo wameshatolewa wanajipanga tena nwakani
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp Жыл бұрын
Muna ongea matope tu hamu juwi mpila
@seifmbarouk9559
@seifmbarouk9559 Жыл бұрын
Mbona Al Ahly miaka yote Akija Tz anakosa ushindi sembuse Azamfc kufungwa Away na tim hle
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Жыл бұрын
Anakosa ushindi ila miaka yote anachukua ubingwa 😂😂😂. Al Ahly anacheza kimkakati niambie lini Al Ahly kafungwa goli 2 hapa Tz. Haya ukienda kwake 😅😅😅 anataka matokeo anakupiga ngapi? Azam angeshinda nyumbani
@ibadymanyuka1611
@ibadymanyuka1611 Жыл бұрын
Wamefungwa tena huko hahahaha wakaniaji bahna
@franccoz94
@franccoz94 Жыл бұрын
MOJA KATI YA WACHAMBUZI WABOVU AMBAO MASHABIKI HAWAKUBALI N WA WASAFII KILA SIKU WANASIFIA UTOPOLOO
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Жыл бұрын
Sasa wasifiwe mandunduka wkt mpira wao haonekani. Tusione haya kusema misimu hii timu yenye kucheza mpira wakueleweka ni Yanga peke yake waliobakia ni kupakana madenda. hahahahaaa!
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 Жыл бұрын
Kwasababu ndio timu bora 😅😅😅
@MakameSeff
@MakameSeff 11 ай бұрын
Mnazngua
@guccij6236
@guccij6236 Жыл бұрын
😅
@chikapuog7284
@chikapuog7284 Жыл бұрын
Baba levo mbona achangii mada
@daruzein
@daruzein Жыл бұрын
Anachangia nini wakati ye hakuna anachojua tofauti na Yanga
@JerryMwandenje
@JerryMwandenje Жыл бұрын
Ujinga tu muda wote Yanga kacheza usenge tu Tanga Leo majitu yanasifia tunashaka na vyeti vyenu
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Жыл бұрын
O umsm kwel
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 126 МЛН
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 24 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
NI FITINA TU NDIZO AMBAZO ZINAMKWAMISHA FEISAL SALUM PALE AZAM
4:26
MKUTANO WA SIMBA MO AMEKAMILISHA USAJIRI WA KIZUMBI DEAL DONE
3:59
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН