Ukitaka kujua uchawi upo hebu angalia wimbo mzuri Kama huu Una siku 11 mpaka sasa haijafika hata 1 million views....Karibu tena Kaka #Ferooz hamna kuyumba.#salute
@zclassichb96143 жыл бұрын
Radha halisi ya bongo flava iko kinywan mwako Ferooz achana na hawa waimba Amapiano ya kisenge kweli nimeamin kipaji hakipotei welcome back mr MKIWA💪
@faizaahamd20522 жыл бұрын
Kweli Kabisa. Juu ndio music .kuna engine wanaimba matusi haswaa
@innocentmuzaliwa97892 жыл бұрын
Bro inabidi uelewe kwamba music siku izi ni business and not what you are saying
@edwardmdee93002 жыл бұрын
Hiingoma naikubali sana hongera ferooz
@momochris16882 жыл бұрын
Rudi kwenye stage Mr Kwahelini. Love from Burundi
@SalmaSaid-v3d2 ай бұрын
Wapi wee umepotea ila wimbo mkali my jitahidi usikatae tamaaa
@mwambodzemwangongo38842 жыл бұрын
Mkali umerudi" tuko pamoja nawe Kenya.. Twakupenda xana
@jumakatana84252 жыл бұрын
Ferooz waweza acha kuacha mziki ndio talanta yako # mkongwe wa zamani karibu sana ni Jay toka Mombasa( Kenya)
@pakeyzaa2 жыл бұрын
Feroooooooooooz nimekuita Mara moja bro, wajua unamisiiiiwaaa haki bro ww uko juuu tu sanaaaa kuliko huyo star wa tz, bro am proud of you alwyz.. Mpka Leo 2022 niko na kaseti(mkanda wako album yako) feeeereeeezoo tunakudai sanaaa mashabiki wako WA damu inayo chemka kama uji, bro nakuombea sanaaa tu one day YesSss ilaaa these is the music we need to listen music is not instruments buh message big up 🎶🎶🎶🎶🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍👊👊Good music alwyz never die💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@francisekadeli36603 жыл бұрын
Wawa starehe i remember that banger one love kutoka Kenya 🇰🇪
@ibrahimkhalifa2902 жыл бұрын
Legend umeaua na mocco kwenye lab🔥🔥🔥🔥
@كريملو2 жыл бұрын
Big up sana mkuu gonga like kwake wakuu 2022 utakua tu Bilionea ahaha
@asiliyetuonlinetv50632 жыл бұрын
Legend endelea kupumzika naona vijana wanakuvua nguo achana na hizi ton
Naaamin kwa sikio lang dogo hii ngoma kali sema hii ngoma naona kabisa inamuitaj chege ungeimba na chege bro ingekua hatariiii mnooo
@AhmedMohamed-bz1lh2 жыл бұрын
Kazi mzuri legend pambana unaweza
@ElinajaMlaty-qg4sj7 ай бұрын
Unyamaaa
@edgaroyugi6402 жыл бұрын
How can someone talented like this man stay for years without releasing something to us!
@memekenya2202 жыл бұрын
I love you bros, mapenzi mob kutoka kenya. kuja upige show uku kwetu
@maskartedu24222 жыл бұрын
Love from 🇰🇪 Tangu enzi za Starehe na Boss
@isayangwibombi43422 жыл бұрын
Natamani kumuona ferroz jipange utoe wimbo wadunia zaidi ya nyimbo zako za mwanzo wewe ni jembe ebu rudi hakika nyimbozako ndo tunu pendwa
@ndriipatis90572 жыл бұрын
Rudi ndio huwafuzea wadogo zako nyimbo za mabig boys
@muhozatharcisse31942 жыл бұрын
Nakukumbuka légend.... Ire nyimbo yako na pr Jay...... Ohhhh
@piussenga66692 жыл бұрын
Kaka apa umepiga tena umezama ndani ya maisha kabisa tunayoishi nayo.... Karibu tena.. nasi tutaunga bando kusapoti kazi zako
@ramadhanchallange99457 ай бұрын
Ngoma kama kali kama hii unakuta inapigwa kapuni hlf mtu kisa maalufu anaimba utumbo tu hlf anapigwa promo.......dah inauma sana Ferooz piga kazi ubillionaire unakuja trust me
@makuzaselemani38532 жыл бұрын
Na Sauti ni kama ya mutoto wa myaka midogo tu!
@wastaarabuempire53702 жыл бұрын
Mzee wangu 💥💣💣💣💣💣💣
@marcellysumaye28592 жыл бұрын
Embu kalime bhna haya mambo yanawenyewe umeshapotea
@westonyjob17472 жыл бұрын
Bado upo vzr bro endelee kukaza kutoa nyimbo
@jeffhotmubabaz2 жыл бұрын
Karibu Kenya upige show....💥💥💥💥💥💥💥💥💯
@amanikimsai71482 жыл бұрын
Sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@dogosanyo60282 жыл бұрын
Kaka ngoma kali video nzuri kiufupi umebucheza mwingi
@nzizagaga30712 жыл бұрын
Rwandan tunakukumbuka kbsa🇷🇼🇷🇼❣️❣️
@falconn55752 жыл бұрын
Jameni brother yetu asaidiwe alifanya kazi njema. Gouvernement of Tanzania must do something. From Canada Saskatchewan 🇨🇦
@jamescharo66622 жыл бұрын
Nakumbuka high school days ww na professor jay..
@jeanchristophenduwayezu2 жыл бұрын
Mtafute professor Jay mwashe tena moto
@bedanchimbi43712 жыл бұрын
Ferooz ni mmoja tu, Ferooz is back
@brianmawira19262 жыл бұрын
real legends wanarudisha mziki. FEROOZ
@frankaydeclassique66182 жыл бұрын
Umerudi kwa kasi mpya.Big up xn Ferooz
@sunrajmusic45442 жыл бұрын
Safi Sanaa brother ferooz kuruditena kwenye gem nakubar sanaaaa bro naitaji sikumoja tufanye korabo brother Asante
@Honest-nt4sb8 ай бұрын
Nakupenda Sana kaka tupo pamoja huna mbaya💯💯💯💯💯💯
@jadixtheblacker34112 жыл бұрын
Wembe ni ule ule wlcme back Legend
@inesnibitanga24692 жыл бұрын
Kalibi tena feruzi myakamingi kaka
@veronicaoman87642 жыл бұрын
Welcome back ferooz mziki wako huwa unaujumbe mzuri
@mohahassan56872 жыл бұрын
Kaka feroz iwapo utaona hii comment nakuomba mshike ndugu yako mkono bwana daz baba na mfanye mambo... Kitumbua ni mchele na sio wishwa.
@henrypambisa54832 жыл бұрын
Ongeza bidii sautiii yako haiko sawa kwenye kupanda inakuwa kama si wewe niliyekuusudu miaka 12 iliyopita
@wancharawerema1272 жыл бұрын
Dah ukipata nafas ya kuwa star komaa kuwa na nidham heshma ustoke juu
@yusufsamwel27952 жыл бұрын
Nakubal Kwa kaz nzur
@SundaylumulaAbwala6 ай бұрын
Nakukubali mwamba ni kipaji sio mapambo
@abusnype2 жыл бұрын
Kaliii kweli sisi Billionaire
@nabu.barbim92192 жыл бұрын
Awa ndio wanamuziki sasa daaah kalibu tenaa broo mm nilimic sana kz zakoo
@Chemba672 жыл бұрын
Beat imezingua......angesimama majani mwenyewe mwenye kumjulia Ferooz
@shishichocolate1402 жыл бұрын
Dah ferooz,you back on fire....wew ndo legend wa ukweli sio akina h mama kelele nyingi debe tupu
@kidevuog13472 жыл бұрын
Mwanangu sauti yako aichuji weninoma ✌️✌️✌️✌️
@jdeneden943311 ай бұрын
love from KE inafaa uandikie hawa watu mziki.
@mujemumuombwa41292 жыл бұрын
Wewe jamaa unajua unachokifanya una sauti yenye kuumiza watu
@thecomic76752 жыл бұрын
Ferooz tunapenda ngoma zako
@yusuphkmisoji37983 жыл бұрын
Mfalme wa kuelimisha karudi na Ubillionea gudi Sana mkuu wa maono #Ferooz
@ibrahimsammy82972 жыл бұрын
Wewe nimkongwe lakni komaa sana Kuna vijana wakospd
@jimmypeter27752 жыл бұрын
Hiii ndo bongo flava sasa ninayo ifahamu mie! Recently wanaimba matusi not a message! Back again ferooz show how you do kwa hawa machalii wa sasa!
@wa-mbeyaTv47252 жыл бұрын
Daaaaah nilikuwa nakusubiria kwa hamu
@francolazaro86462 жыл бұрын
Mbayaaa a... Had demu mwenyew mbayaaaa
@Hamzayusuph-h4j7 ай бұрын
Kwakwel ferooz nime enjoy na nimepata ile radha ya kale nzr sana kaka piga kazi 2po pamoja blood
@emmanuelmagige76302 жыл бұрын
Brow Feruz strugle uko juuuuu.
@CharlesdMusiq0012 жыл бұрын
Kenya tunakupea support kubwa bro🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mapromomc39343 жыл бұрын
Welcome back king.From Ghana with love🔥🔥🔥
@mbambathegreat74622 жыл бұрын
Thank you bro to sapot Tanzania 🇹🇿
@hassanyusuph28952 жыл бұрын
9
@alexaiddan9792 жыл бұрын
Nakubal mwana uko juu sana
@mulababaz32252 жыл бұрын
Unyama mwingi dingi Salute sana
@aisha_mohammed58252 жыл бұрын
Ferooz love u content fan from Kenya starehe nkusaidie nipe tano still u fan
@rajimoonsima79842 жыл бұрын
Wenye mziki mzuri wameanza kurudi sasa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Chrishenryson-beats3 жыл бұрын
Juz nilikukumbuka nikasema umekaa sana bila kutoa wimbo ila hapa umetisha. Uskae sana mzee utakwama..kuimba unajuaaa
@mashramadhani19892 жыл бұрын
Endelea kuimba maana kuimba unajua sana na melodies unazo ..hapa umebadilika na unaenda na wakati wao.
@makuzaselemani38532 жыл бұрын
I was your big fan since 2005 where I was in high school. Much respect from RWANDA
@erickendrick33302 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Ni noma.🙌🙌🙌🙌
@larickmtui28522 жыл бұрын
Baba bila p fank malegendar ningum kupenya uwongo dhambi wanaokuambia fire hawajui mziki wako
@gumbozawadi2 жыл бұрын
Old is gold always,keep it ferooz
@xxxdmx81792 жыл бұрын
Kazi Kali Sana ferooz❤️
@felixmutinda66602 жыл бұрын
Karibu tena legend
@hamidahHammy2542 жыл бұрын
Ferooz theelegend Kenyan Love🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖💖💖
@chocolatevivian8302 жыл бұрын
Faya faya faya ❤️❤️❤️📌📌
@spz70252 жыл бұрын
Ferooz mwenyewe legendary
@JackAlphonce10 ай бұрын
Nakubali sana kaka
@SAMISAI.2 жыл бұрын
Haufanani na ngoma za mapenzi imba ukimwi tutakuelewa🙌🏼🙌🏼
@hamisijuma16042 жыл бұрын
😂😂sure bet kama wasafi 😁
@meshakinelisoni11762 жыл бұрын
Kuwa uyaone
@geraldmwandolela85352 жыл бұрын
Komaaa kaka mkubwa game ya sasa inaushindani na vijana wanakuja na vitu vya tofauti
@br.luckieafrica92332 жыл бұрын
Tunakupenda xana ferooz
@emmanuelmayunga15182 жыл бұрын
Ngoma kaliii..... message pia kaliii
@williammbewe5063 жыл бұрын
Bro u remind me starehe😍😍😍😍 from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 we love u❤️♥️❤️♥️
@KalemoKambale11 ай бұрын
Nipo Congo n'a mukubali uyu broth pamoya pamonja n'a ndungu yake 20 percent
@mabenzimabenzi43483 жыл бұрын
Nyimbo uliyoimbaga ni starehe Ile hakika ulichora ulistahili hata tuzo lakn bas narudia tena ile nyimbo ya starehe ulichora fanya remix tunahitaji remix yake
@richardmweri79182 жыл бұрын
Starehe ilimpa gari
@richardsaidi24482 жыл бұрын
Ver nice song. Umeanzaa kurudii
@mansourussi16122 жыл бұрын
Wakongwe kazi👊
@KambaleVahwere7 ай бұрын
I really like that song here in eastern Congo 🇨🇩
@ericko26942 жыл бұрын
Ferooz we need your show hapa Kenya Nairobi
@Hon.sekodan2 жыл бұрын
Just imagine this man is still strong enough to beat diamond 💎. Come again Sir.
@karoltunduli107 Жыл бұрын
There is a disconnect in this generation. The old team went mute then Mondi and kiba grinded the afro beat which muscled Bongo flava however if they mean it and are consistent they will change things
@wesleyellis21182 жыл бұрын
Ferooz you are good to go. Keep on we are behind you 254
@bzoffsidetricky76162 жыл бұрын
I was told since my childhood that ferooz he died so long time ago, kumbe ni umbeya Tu aki😭😭, welcome back my legend nakumbuka collabo zote mlifanya na prof jay and are lite 🔥🔥🔥