Kama unakumbuka NDEGE MTINI ya ferooz naomba like please
@agwabiagwabi89866 жыл бұрын
Namkumbali sana ngoma kali
@princenewton6 жыл бұрын
Kama bado ungali unamkubali feeroz Gonga like +254 lakini wimbo ambao msanii anauandika toka kwa moyo wake ndio unaware hit kama ule alio ufanya nakaza roho Fanya ngoma kama hiyo nyingine ferooz
@kareemsalehe7956 жыл бұрын
Ferooz nikiboko yawo namukubali sana
@salimmohd82796 жыл бұрын
Yupo moto
@princenewton6 жыл бұрын
@@salimmohd8279 💗
@princenewton6 жыл бұрын
@@kareemsalehe795 pia mimi
@angelahmoraa54726 жыл бұрын
Ngoma kali wow,nami leo naomba like plz wenye wameguzwa na hii nyimbo
@salimaamir55616 жыл бұрын
Poa
@Manjalino5 жыл бұрын
Angelah Moraa hatary
@salumuissa85016 жыл бұрын
Ngoma Kali sana Ferouz big up
@isayamakame51033 жыл бұрын
Nakubal bro
@sarafumtemi50976 жыл бұрын
Mi naamini ferooz anajua game imebadilika, lkn ujio wake huu siyo acheni kupamba kitu kisicho na maana, kama ni hv tu bado atabaki chini, anatakiwa awe ferooz wa kamanda, starehe, barua, na staily kali zile zake, muziki huo alioimba siyo wake haumtoi na atakuwa kama mr nice, nashangaa watu wanapamba eti ngoma nzuri, kiukweli ferooz hapo bado kaka, jipange vzuri kama unataka kukaa na kurudia jina lako, huko uliko toka kabisa fanya muziki unaoujua wewe na kuuweza, hizo zuoku achia wenyewe bana, nakupenda sana lkn si kwa muziki huo bro
@geosimon3636 жыл бұрын
Kama unakubaliana na mimi' #Bro_ferooz hazeeki nipeni Like za kutosha
@dhannunimkwama79085 жыл бұрын
Kama nawewe ukimsikia huyu jamaa ana ladha ya sauti ya Chege Like x10000000000
@djyun81096 жыл бұрын
Ferooooooz bongeeee moja la heat song. Ulikuwaaa wap mzeeeee mnawaacha wtt wdg wananyanyua kwapaaa juuuu wakat wakongweee mpooo. Big up sana twende mwendo wa back to back. Support ipo kama yoteeeeee.
@nadirurnkonder17106 жыл бұрын
Gong like nikuone kam na ww waipend hii. From zanzibar ( Tanzania
@avatarjuogz6 жыл бұрын
kwaherini kwaherini....kumbe bado uko hai.
@husseinadamhatibu37786 жыл бұрын
Ferooz kwahii ngoma umenikuna iko bomba festival isikuache tukutane mtwara kama naww imekugusa like
@oscaricky8476 жыл бұрын
Ngoma Kali legendary kaza bana mziki bado unakuhitaji love from kenya
@errelikid24276 жыл бұрын
Ujue Unapendwa na watu kuliko unavyo dhani FEROOZ. sikufundishi maisha au mziki ila fanya mashabiki tusikusahau ujue ukikaza Wengine wote chali fanya kujichanganya sokoni
@mangofish90796 жыл бұрын
Sawa sawa sawa... Hicho kibwagizo kama ktk Ntadeka nyimbo ya Ruby vinafanana hata mahadhi yake pia wakati wako umepita wa uimbaji wa sauti za debe kama hizi.
@colindavies62685 жыл бұрын
Feroooz ndo REAL REAL TZ SUPERSTARR.....YUP 10000000 PERCENT....FANYA MAMBO KICHAaa FerooooooZzz
@emademaad55206 жыл бұрын
nime like kala sijaskiliza ngoma yenyew mana nakukubali wewe ferooz .love you
@kassammwalo56636 жыл бұрын
Oyoooo wapi likes za Legendary ferooz na laproducer mocco nipeni likes musipo likes hatupendani
@samwelalex17066 жыл бұрын
Daa brother karibu kwamala nyingine tenaaa mziki wako bado tumeumisi sanaa kama unamkubali ferooz gonga like
@chamwilambomusa44472 жыл бұрын
Ferouz yule wa zamani was original Siku uzi inamiss sauti yako original Nahisi unataka kuwa kama hawa wa kizaz hiki Ila ungemaintain your origin voice uko fire
Ngoma kali sana kama wewe ni mkazi wa tandale kwa tumbo gonga like yako hapaaaa😊😊😊
@dochdodava6 жыл бұрын
Oooh Eeeeeehhhhhhh SHooooooooooooooooouuuuuuuuuuut Out!!! BABU NI BABU TU!!! Mwalimu amerudi!!! TWAKUMIZI FEROOZ !!! DRC/GOMA. Welckme back BAB!!! #dochmuzik
@mwidukhamis52346 жыл бұрын
Kuimba unajua bro,, huyu ndio feruuu naemjua,,, nasikia mapigo ndi ndi ndi,,,
@mbarakahamad30766 жыл бұрын
Ferooz namkubali mbaya kaza buti kaka pnguza na anasa za dunia mzee baba utatoboa2
@mtetezihassani22856 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana, zidisha juhudi tu. Sauti nzuri yakuimba unayo na kipaji unacho. Napenda sana nyimbo zako zote.
@hajihajirajab6096 жыл бұрын
Hii nyimbo..Basata..hawakufanyii noma..kabisa.. Unajua kutunga..mashairi..
@mwetamweta84335 жыл бұрын
dah bonge langoma kk nakubali Sana Dah sikilzaaaaaa maapiiiiigoooooo
@amanotheboss61366 жыл бұрын
Kwaa Mara nyenginee teeenaa jembee limerudi good Bro uuuuuwiiiii sikilizia mapigoo....
@boazmtileghe91616 жыл бұрын
Fresh sana bro sasa fanya mziki kama zamani usipende kukaa kwa mda mbna wakina chege wapo kwanini wewe bro fanya kazi kama zamani tunakupenda mashabiki
@mashadaudi88626 жыл бұрын
we mkali sana nakukubal sana jaman ludishen majesh ferooz daz nunda na wengine ludishen majesh tumewamis sana
@michaelmaingi16625 жыл бұрын
naikubali pia namkubali ferouz pia nawakubali daz nundaz forever
@ramadhanifaki81806 жыл бұрын
Sikilizia mapigo mzee baba umenifikisha yani ww noma
@khamsahmedali43396 жыл бұрын
nyimbo iko fiti sio mbaya usijali feroz sisi ni mashabik wako tuna kuaminia
@drmaky31596 жыл бұрын
kama unasikiliza wimbo huku unasoma comments likes zenu hapa
@ernestchilumba35886 жыл бұрын
Kazi Mzuri,, big up ferooz
@logathngalola8846 жыл бұрын
Big ap
@TB-wy8lg5 жыл бұрын
nakubali broo bonge new song babuu hapa wabesh mikonojuuuuuu
@alimwamasumbo75356 жыл бұрын
Lete vitu,lete vitu,lete vitu sasa baba ferooz,,pamoja kama tano na ngumi au shuka chafu na kunguni,,big up broo,,,!!! Nakupata vizuri from bahrain,,uachie kingine,,,!!!!
@majaliwaharuna40642 жыл бұрын
Kweli mwamba umerudi kwa kasi,ngoma Kali kinyamaaaa
@milanzisalum93056 жыл бұрын
Kazi kazi, toka Daz nundaz, barua ndegemtinin, nyimbo ya taifa stareh, kaza mwana kizazichako tupo hatujafa tunasubiri mziki wenu
@willinjowritter2066 жыл бұрын
miaka zote izo mwanangu bado anaskuma mapigo..ziidi usichoke bro..rep kenya
@barakachami82186 жыл бұрын
Salute Sana mzee baba... Sema no upo kimya Sana.. Jitaidi hata kwamwenzi mmoja utoe nyimbo
@issaalfani10306 жыл бұрын
daaaah natamani tuonane nikupe vidoge nyako ngoja nzuri kweli kweli usije ukalewa sifa ukaacha kufanya mazuri daar nzuri sana
@isaaclupapula1616 жыл бұрын
Wimbo nasikiliza lakin Hamjanipa like et nipeni bs
@ibrahimkanuto35146 жыл бұрын
ferooz salute ckutegemea kuwa utarud vizur namna hii
@johnbatistakariuki916 жыл бұрын
Ferooz unakubalika tena kwa kishondo kikubwa, kaka unatesa sana.
@mglbegoo31476 жыл бұрын
Ferooz safi waone wanaosema umefuria
@gastobruno87796 жыл бұрын
Kwl ujuzi hauzeeki mzee baba umetisha kinoma noma
@hassanmakacha39426 жыл бұрын
Mwambie dudu baya mfanye collabo ngoma saf sana ferouz ukojuu
@mussajuma92816 жыл бұрын
Kazi nzuri nimeiekewa. Uko poa F. MNYAMA.
@andreeboymusicchannel80976 жыл бұрын
Dah brother naona umerd kataka game sikukuzania ila iko good sana endelea kukaza brother mashaili bado unayo NAOMBENI LIKE JAMAN
@fuadabdalla70976 жыл бұрын
mtu mzima dawa ndio waskilize mapigo hii ni balaa bruda ferooz big up,
@moureenmbuu19856 жыл бұрын
wow...happy to see u back ferooz .much love from Kenya
@dsouzamaguno70066 жыл бұрын
Safi sana Kaka,Hongera sana Kaka. Mapambano Daima hakuna kurudi Nyuma #MUNGUniWETUSOTE
@Kubzinho5 жыл бұрын
Feruzi, tunataka muziki bwana. Usinyamaze sana,
@hamzakandolo95946 жыл бұрын
Wallah bro sasaivi nimeamini kweli umerudi kwenye game ngoma Kali mno
@fredrickngasa65146 жыл бұрын
Wenye mziki wao wamerudi I appreciate sana work yako dingii
@esthermbone50106 жыл бұрын
Welcome back ferooz sauti na words za nyimbo zako ziko more fire ..from to 254
@wastararajabu45366 жыл бұрын
Hi
@wastararajabu45366 жыл бұрын
Bonge langoma
@masinde.2546 жыл бұрын
Feroz Rejea kabisa. 254 ndaaaaani sana
@denisclay85496 жыл бұрын
Rudi kaka tunaelewa shooow🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@alliymkobe39496 жыл бұрын
Endelea kukaza buti urudi kwenye mstarii broo ferooz
@wemakalam32336 жыл бұрын
Feroooz big up keep the fire burning always i like good music.
@thobiasmushangaki11556 жыл бұрын
Anayejua anajua tyuu tofauti na miziki kelele big up ferouz!
@bahatimatiku42946 жыл бұрын
Well come back ferooz binafs nakuona umeludi stasahau ujumbe ulioutoa kwa nyimbo ya STAREHE
@sadcommpalestina5166 жыл бұрын
kna kitu tnamis kutoka kwa ferooz nyimbo za ujumbe za huzun
@evansokoth99255 жыл бұрын
Nipambe nipambe is my best line nice song Ferooz
@abelmange54305 жыл бұрын
Humohumo Ferooz, Kule toka..mambo yamechange ss hv...Hii ngoma kali💥💥
@mosesnyamhanga4496 жыл бұрын
safi sana great come back....ungemshirikisha chege ingenoga sana kwa hizi melody!
@hasanoshohilali106 жыл бұрын
Leta vitu 2nakupenda sana kamanda kuliko, mkumbushe na daz baba arudi hewan nyie ndo waimbaj wengine pumba2
@KevinRange-b5l3 ай бұрын
Kama unamtambua mpaka sasa gonga like twendwe sawa wote❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@aizackanton7676 жыл бұрын
Uko vizur ferooz ujaisha kumbee good song
@obecksimkwai16815 жыл бұрын
ferooz hujawahi niangusha,, toka kizuka sec kaka
@nicodemastambo8476 жыл бұрын
Wimbo mzuri saana ILA FERUZI UNGEACHA MZIKI
@mohamedikibasa4186 жыл бұрын
kama unamkubali na ngoma hii ferooz. gonga like haaapaa
@fubanjenjele5216 жыл бұрын
He is back Feroouz anafanyanga vitu muzuri Mutu mukubwa kafika kwenye mapoto
@Simpleswag254 Жыл бұрын
Kwako mi kfaranga staki kugabananga sherii😂😂😂kidigo
@dastanfyondi21596 жыл бұрын
Mhuuuu,,tafuta biashara ufanye.
@hajihajirajab6096 жыл бұрын
Umepasua..anga..Brother. Good Job.. Perfect song.. Good voice.. good talent singer.. Feroooooz..
@mohamedswaleh9616 Жыл бұрын
Ferooz we mkali siku zote bro, big up
@mwangihiuhu5065 жыл бұрын
Ferooz akatoa collabo na arrowbwoy wa KENYA inaeza kuwa fire..
@blessingbagio48576 жыл бұрын
Huu wimbo ungekua wa dai sasaiv ungekua na viewers 1M. Jmn tumsapot kakaetu ferooz tuache kubagua huyu ana trend na huyu alikua kmya kwa muda.
@abasimageta76956 жыл бұрын
Ngoma kali mwanangu iko powa sana kamanda
@wakileohb40846 жыл бұрын
Noma sanaaa ferooz kama umeikubali hii ngoma tupa likes kama zote
@youngkyjapheti37806 жыл бұрын
Nakuelewa sanaaa ferooz, Umerudiiiiii upyaaaaaaa
@sir_leem_marlian11666 жыл бұрын
"Legend never dies." ..jembe limetiwa mpini mpya.
@jacksonshiling89566 жыл бұрын
Na kukubali ferooz a.ka Kize kama tuko pamoja gonga like hapa
@pedexheemafixhoondama7516 жыл бұрын
unajuwa xanaa rud kwenye ngoma brother kaka rud bwanaa
@fantockyochieng59453 жыл бұрын
Ni magoloo van kutoka 254 inakuitaji bro big up to yourself
@dmctv65376 жыл бұрын
How many Kenyans are here to rigster come back of a legend
@peaceboyke4 жыл бұрын
I'm here 😁
@mohamedmfalingundi45376 жыл бұрын
Daaaaah nyimbo Kali sana brother ila production ya kinyonge sana imekuangusha brother daaaaah
@swaxboychanel23456 жыл бұрын
Don't give up Ferooz amka hii ngoma kali
@SAMWELI19956 жыл бұрын
Ferooz mm niko nyumako tangu enzi za nyuma,,,bila ww nisingekua na inspiration ya kuwa mwanamziki
@williamngadjole11496 жыл бұрын
king is back!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! fire
@mazzob94956 жыл бұрын
Komaa baba la baba umerudi kuchukua kiti chako#Daz nunduz
@sumaidi1004 жыл бұрын
Jamani nitampataje ferooz, nataka kufanya kazi naye
@M-double5 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥Ngoma la kizazi sana
@mrchunvielias486 жыл бұрын
Ferooz long time boy tikisa gang..
@radaahonlinetvshow40276 жыл бұрын
Umetisha bro 254 Kenya tukupata clear
@jamalal-taiwany62554 жыл бұрын
Ferouz nakukubali kinoma Yani.
@vincentngesa98996 жыл бұрын
Kali Sana number one fan from 254
@frankjohn77556 жыл бұрын
sijawahi kukuangusa muhenga mwenzng nimeielewa ngoma hiyo