Huu wimbo wa ficho ni mzuri sana jamani.. anejua audio inaitwaje aniambie .
@psj15645 ай бұрын
UBUYUU NIMEIPENDA HII IMEKULA KWAKO BWANA KUOA KUACHA LEO KIMEKURAMBA
@samyabahatialhiani4015 ай бұрын
Wakwaza❤️❤️❤️🇧🇮
@VIPBOYS123.45 ай бұрын
Harusi imeingia doa 😂😂😂 unaoa dem wamshikaji
@mwanarusi98185 ай бұрын
Tamu sna ya leo ❤❤❤
@jabumuhina62765 ай бұрын
Watatu tunaisubiri sana
@user-eo6jx6nq3v5 ай бұрын
Watuongezee dk
@samyabahatialhiani4015 ай бұрын
Nimependa kidore gumba na madebe ❤❤❤❤❤
@dolegumbafilm5 ай бұрын
❤love u tooo
@lunanyota29325 ай бұрын
Tuna subiri kwa hamu
@aishaallyaishaally32205 ай бұрын
Tupo sanaaa
@saidhaitham5 ай бұрын
Shwaaaahhhhh tulokuw tunasubir gonga like❤❤❤❤
@user-eo6jx6nq3v5 ай бұрын
Mov tamuuuuuu lakin et dk 10 hiii mov au kichekesh watuongezee dk angalau hata 20 bwan aaaaaaa😅😅😅😅😅
@muhamedyunus91182 ай бұрын
Madebe ilo kanzuu unakimbia kama yesu alivokimbizwa na wana izrael..😅😅
@alfredmussa77635 ай бұрын
Haya bhana
@vincentogot62465 ай бұрын
Peleka motto huseni
@blaisekadhafi35595 ай бұрын
Haki ya Mungu Madebe wew ni bomba
@dablejay64045 ай бұрын
ila huyu madebe aache tu kuigiza filamu maana n jamaa mnafki kwenye mafundisho yke y filamu maana uku kajifanya anajua maisha uku analiagai familia yke na kutelekeza mkewe akili sufuria kw kweli ww ikiwa waigiza vizuri hivi ila nyumbani kwako aujui kulinda basi ww nenda ukawe mvuvi tu nilidani ww n jamaa matata sn na pia mwenye busara kumbe upolo 2
@SaudaKhamisi-wm6xy5 ай бұрын
Waenza SEMA ni harusi ya movie kumbe ndio ameoa kweli mnafiki mm hata naanza kuchukua movie zake
@olivanooraladin54365 ай бұрын
Nyie mnaangalia mafundisho au mate do yake
@OmarKongo-dj5kn5 ай бұрын
Nenda ukaolewe ww basi
@SaudaKhamisi-wm6xy5 ай бұрын
@@OmarKongo-dj5kn mbona unamakasirko na umtoto wakiume tabia zakike 😏😏😏😏
@amina2044amin-zv2gh5 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@amina2044amin-zv2gh5 ай бұрын
🙏😭😂
@davidmutwiimutuku29985 ай бұрын
Harakisha hii movie madebe
@Tabora9995 ай бұрын
Madebe nimesha mshusha saman kabisa kwa mambo machaf anayo yafanya
@zuanshimchina22785 ай бұрын
Hawana jipya mchezo wa kifala sana dakika kidg palipoishia wameekaa humohumo aaaaaa shida