Aaaaah mnazingua bna yan dakik 6 daaaah dolegumba unafeli askar
@dolegumbafilm5 ай бұрын
Sorry mwamba
@nazirgona88555 ай бұрын
Mnatoa vi episode vifupi bwana hadi munaboo eti episode ya 6minutes na dakiki 2 zinakuliwa na yaliyopita. Plz episode iishe tu ilipoanzia musiturudishe nyuma zana editor bwana
@user-wl1tc3we4k5 ай бұрын
Hizi episode n fup jaman hata hazina utamu mbona, at least zingekuwa kama 20 minutes each episode ungekuwa poa, ila hongereni kwa kazi njema
@MUSTAFAMWINYI-be5dc2 ай бұрын
Movie ipo sawa.kwanza hio nyimbo.Ina burudisha.
@user-gl4qk6ck6j5 ай бұрын
Very interesting I love it
@salmsalmo9315 ай бұрын
Jaman malalamiko yetu dakika ni fupi mbona hamuoni malalamiko yetu mashabiki zenu😢😢😢
@dolegumbafilm5 ай бұрын
Tunayafanyia kazi ni vile tu zinakuwa zishatengenezwa ila zinazokuja mtapata dakika za kutosha
@samyabahatialhiani4016 ай бұрын
Wakwaza❤❤❤🥰
@amina2044amin-zv2gh5 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@lailatimloty76845 ай бұрын
Sasa ndonn fup mnooooo
@MUSTAFAMWINYI-be5dc2 ай бұрын
Hapo kwa maoni editor andika kwa maoni na Ushauri.
@user-jc1tm1sg6j5 ай бұрын
Imetosha mwana
@RamarMengi4 ай бұрын
Mov ninzuri lakini vipande vifupi sana mazee
@user-ko6hv1qv6x5 ай бұрын
Huu ni wizi madebe haiwezekani ukae siku tatu uje uachie kipande Cha dakika 5 😂😂 ongeza dakika bro
@bonnytv92635 ай бұрын
Move tunasubil siku nyingi afu ina dakika tano usenge huu