FICHO EP 16 final

  Рет қаралды 10,950

FILAMU ZETU

FILAMU ZETU

5 ай бұрын

Karibu Hapa kwa channel yetu ya filamu
furahia wasanii wako hapa
Bongo Movies
Bongo Comedy
Bongo Series

Пікірлер: 28
@AishaJafari-sh4pe
@AishaJafari-sh4pe 3 ай бұрын
Me nampenda baturi bhn part aliyosimama kaitolea uvivu kwel❤❤❤❤
@githongagenesisgithonga
@githongagenesisgithonga 3 ай бұрын
Hongera sana mwandishi wa hii filamu nimesoma jambo jipya ina elimu ya hali ya huyu.
@josiassaleh3253
@josiassaleh3253 4 ай бұрын
Nashukuru sana kwa kazi ambayo mumeifanya ila mu mekosea sana dole gumba na batuli kutokuishi pamoja awa wawili walikuwa wote wana pendana, kwa Nini kwa mwisho sasiowane? Madebe ali ngangania penzi japo alikuwa apendwi apo mume kosea kweli. Madebe tuna juwa kwamba wewe ni kiongozi wa kundi na mimi Nina kukubali toka DRC/UVIRA/KASENGA Dole gumba alikuwa na aki yakubeba Batuli
@raymondkihaka1827
@raymondkihaka1827 27 күн бұрын
Madebe Kama mtu Kwa hii kitu safi
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 5 ай бұрын
Dolegumba ayo mafazi sikuyapenda naujuwe nakupenda❤❤❤🇧🇮
@kondeabdallah6987
@kondeabdallah6987 5 ай бұрын
We'll play madebe and dole gumba movie mzuri kusema kweli Iko sawa kaka big up kazi nzuri muendelee hivyo hivyo bro.all the way from Saudi Arabian big up....
@shafirukhassimu
@shafirukhassimu 5 ай бұрын
Ahsante sana kwa movie nzuri na yenye mafunzo mazito ndani yake
@heritierolivier5515
@heritierolivier5515 2 ай бұрын
Haswaaaaa uigizaji bora zaidi
@RAMAZANISALOME
@RAMAZANISALOME Ай бұрын
🎉🎉🎉❤ KAZI zuri sana
@shamsaramadhani
@shamsaramadhani 5 ай бұрын
Fire
@shamsaramadhani
@shamsaramadhani 5 ай бұрын
Tunaisubir wanfunzi wadangaji
@farhaniabbuchawa-ji2ym
@farhaniabbuchawa-ji2ym 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sanaaaa
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 5 ай бұрын
Jamani huu wimbo nimeupenda bandidu naupataje
@salmsalmo931
@salmsalmo931 5 ай бұрын
Mwisho angekuwa bandindu angebadilika angekuwa ustadh na angekuwa na familia yake ila kaz nzuri
@josiassaleh3253
@josiassaleh3253 4 ай бұрын
Pia yeye ndiye angeliishi na Batuli apana madebe
@bonnytv9263
@bonnytv9263 5 ай бұрын
Mm nimeipend buti ya Dole gumbu
@wisedulayo6531
@wisedulayo6531 5 ай бұрын
# Useni mkojo wa kobe 😂😂👊👊💪
@OmarShevo
@OmarShevo 5 ай бұрын
Mm nmeikubali apo nmsoma mmbo mengi sana pongezi lidai
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 5 ай бұрын
Mapenzi hayachagui bwana,acha haole n mabangi wk anaweza mbadilisha vile wapendanw
@elastofurahisha
@elastofurahisha 2 ай бұрын
Mh
@cosmasitevete6945
@cosmasitevete6945 5 ай бұрын
Kutoka Kenya wapi likes
@saidahmed9688
@saidahmed9688 5 ай бұрын
good movie
@Gamba81
@Gamba81 5 ай бұрын
Good good 👍🏾
@ElineemaSaidi-cc7ud
@ElineemaSaidi-cc7ud 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh 5 ай бұрын
👏❤❤❤❤❤❤❤
@kitandutv
@kitandutv 5 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/f5m0foBmbdqlY6csi=-pJBEA-X3s1Hb7YR&t=635
@mwanarusi9818
@mwanarusi9818 5 ай бұрын
Munipe likes leo nimewai
TANURI EPISODE 1 STARRING MADEBE LIDAI
14:45
MBINGA TV
Рет қаралды 26 М.
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 8 МЛН
MAWANAFUNZI WADANGAJI ep 7 final @clamvevo6472 @mgangawaTaifa
16:59
KOSA LA MOYO episode 1
19:53
Nong'a Comedy
Рет қаралды 653
MY FAMILY 02 by hemed chande from bongo production
37:43
BONGO PRODUCTION
Рет қаралды 126 М.
WANAFUNZI WADANGAJI FULL 1- 7#mwakatobe #madebe
1:41:56
FILAMU ZETU
Рет қаралды 2,3 М.
Wali Wangu |Ukurasa wa 6 | Full Movie - Madebe Lidai (Official Movie)
29:27
Madebe Lidai Movies
Рет қаралды 302 М.
MTOTO HAFSA YOUTUBE NAMBA 9
32:09
WHATEVER FILM CHANEL
Рет қаралды 85 М.
Доктор помогла девушке спастись 🤯
0:38
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 2,4 МЛН
空调吹的吃舒服啊!#海贼王 #路飞
0:48
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 2 МЛН