Karibu Hapa kwa channel yetu ya filamu furahia wasanii wako hapa Bongo Movies Bongo Comedy Bongo Series
Пікірлер: 34
@fatumakushonda42775 ай бұрын
Mapenzi hayachagui bwana,acha haole n mabangi wk anaweza mbadilisha vile wapendanw
@elastofurahisha2 ай бұрын
Mh
@user-sv6zy3hc8o5 ай бұрын
Jamani huu wimbo nimeupenda bandidu naupataje
@AishaJafari-sh4pe3 ай бұрын
Me nampenda baturi bhn part aliyosimama kaitolea uvivu kwel❤❤❤❤
@salmsalmo9315 ай бұрын
Mwisho angekuwa bandindu angebadilika angekuwa ustadh na angekuwa na familia yake ila kaz nzuri
@josiassaleh32535 ай бұрын
Pia yeye ndiye angeliishi na Batuli apana madebe
@dolegumbafilm7 күн бұрын
Karibu Chanel yetu tumeamia GUMBA TV
@cosmasitevete69455 ай бұрын
Kutoka Kenya wapi likes
@shafirukhassimu5 ай бұрын
Ahsante sana kwa movie nzuri na yenye mafunzo mazito ndani yake
@githongagenesisgithonga3 ай бұрын
Hongera sana mwandishi wa hii filamu nimesoma jambo jipya ina elimu ya hali ya huyu.
@shamsaramadhani5 ай бұрын
Fire
@farhaniabbuchawa-ji2ym5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sanaaaa
@RAMAZANISALOMEАй бұрын
🎉🎉🎉❤ KAZI zuri sana
@heritierolivier55153 ай бұрын
Haswaaaaa uigizaji bora zaidi
@raymondkihaka1827Ай бұрын
Madebe Kama mtu Kwa hii kitu safi
@josiassaleh32535 ай бұрын
Nashukuru sana kwa kazi ambayo mumeifanya ila mu mekosea sana dole gumba na batuli kutokuishi pamoja awa wawili walikuwa wote wana pendana, kwa Nini kwa mwisho sasiowane? Madebe ali ngangania penzi japo alikuwa apendwi apo mume kosea kweli. Madebe tuna juwa kwamba wewe ni kiongozi wa kundi na mimi Nina kukubali toka DRC/UVIRA/KASENGA Dole gumba alikuwa na aki yakubeba Batuli
@dolegumbafilm7 күн бұрын
Tumeamka chanel mpya ya GUMBA TV
@shamsaramadhani5 ай бұрын
Tunaisubir wanfunzi wadangaji
@OmarShevo5 ай бұрын
Mm nmeikubali apo nmsoma mmbo mengi sana pongezi lidai
@kondeabdallah69875 ай бұрын
We'll play madebe and dole gumba movie mzuri kusema kweli Iko sawa kaka big up kazi nzuri muendelee hivyo hivyo bro.all the way from Saudi Arabian big up....
@dolegumbafilm7 күн бұрын
Thanks Kwa Sasa tunapatikana kwenye chanel mpya ya GUMBA TV