FID Q AJIBU KUHUSU WIMBO MPYA WA ROMA, OGOPA MTU ANAYEJIFUNGIA NDANI KUANDIKA WIMBO

  Рет қаралды 56,410

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Пікірлер: 102
@bensonlavuna9593
@bensonlavuna9593 Жыл бұрын
Fid Q is one of the greatest rappers in east and central Africa ❤ him.
@kevinwesanza7562
@kevinwesanza7562 Жыл бұрын
From 254...i rate Fid q 100% real talent
@erqmusic5973
@erqmusic5973 Жыл бұрын
Huyu Dem nimetokea kumpenda bure... ana vibe kubwa sana kwenye kipindi ❤️🔥🙏
@finiaskalist747
@finiaskalist747 Жыл бұрын
Binafsi huyu ndio msanii ambaye naeza kusikiliza interview yake hata masaa 5 jamaa ni mnomaa sana🙌🔥🔥
@philipomvanga2450
@philipomvanga2450 Жыл бұрын
Mwanza mwanza🔥🔥🔥home boy
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Noma sana huyu mwamb hii ngoma huwa sichokagi kuiskiliza kusema kwer ni bonge 1 la ngoma...big up sana fid 👊👊
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 Жыл бұрын
Inaitwaje hiyo ngoma?
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 Жыл бұрын
The greatest TZ rapper and the smartest of all times. Respect from🇨🇩
@officialmanji4438
@officialmanji4438 Жыл бұрын
Respect
@aldogunwillgun8886
@aldogunwillgun8886 Жыл бұрын
mwamba anazid kuniaminisha kuwa cku hizi wanaochana hawajiiti ni consuous ni ngoshazi
@TariqckShaibuKambanga-bd5rc
@TariqckShaibuKambanga-bd5rc Жыл бұрын
Munaokutana na farid nakushare stor munabahat sana,,maisha maref big man
@martinezthomas030
@martinezthomas030 Жыл бұрын
ni mtu mmoja aliyeamua 🎉🎉big man
@Malasi07
@Malasi07 Жыл бұрын
Best hip hop artist so far
@chiconinde8135
@chiconinde8135 Жыл бұрын
Sema huyu dada nampendaga❤
@amanikunasa1968
@amanikunasa1968 Жыл бұрын
Greateat of all time 🐐🇹🇿
@dinosmack
@dinosmack Жыл бұрын
🔥🔥🔥 wasanii wengi wanachukulia pre caution wakitaka ama wakitakiwa kucolaborate na fid 😅😅😅noma
@kimariobright
@kimariobright Жыл бұрын
Yeah it's rill conscious Big MAN Tii
@charolazima4074
@charolazima4074 Жыл бұрын
Dude ni fire 🔥🔥🔥
@samsonmathew6468
@samsonmathew6468 Жыл бұрын
Ngosha ameongea ukweli ni kweli ukilisikiliza kwenye ndinga shiiit is hot🔥🔥 tisha baba💪💪💯
@Paplick9
@Paplick9 Жыл бұрын
Legend himself 📌📌📌📌
@pascaltesha7329
@pascaltesha7329 Жыл бұрын
Very Good Fareed kubanda
@issakellykalonji6059
@issakellykalonji6059 Жыл бұрын
BABA WAKIZAZI CHOTEEEE 💙💙💙💙💙💙💙💙🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇺🇲
@dongan436
@dongan436 Жыл бұрын
Fid bench watu watakaa sanaa
@VeronicaBundara
@VeronicaBundara Жыл бұрын
Mke wangu anajuwa hesabu haangaiki kutafuta saman ya x dah big man 💪
@michaelmzinga4741
@michaelmzinga4741 Жыл бұрын
Mzee Mbuzi, BigMan
@shedrack01ilomo68
@shedrack01ilomo68 Жыл бұрын
Genius rapper the goat who a live in tz like if you agree my comment
@biggiesmalls5050
@biggiesmalls5050 Жыл бұрын
🐐 fid respect from Kenya
@RashidMrisho-u7d
@RashidMrisho-u7d Жыл бұрын
Ngosha the swagger doooon!! A.k.a FARID KUBANDA.
@joycemkambe8084
@joycemkambe8084 Жыл бұрын
Nasubiri collabo ya roma na fid q
@PedadMiyombo-pc8gc
@PedadMiyombo-pc8gc Жыл бұрын
Hip hop imezaliwa wap? Mwanza kwenye miamba imara❤❤❤
@Boscohamad-br4iq
@Boscohamad-br4iq Жыл бұрын
unyama kaka nakubali mastar
@ramadamasco9242
@ramadamasco9242 Жыл бұрын
Huyu jamaa kando na mziki ana busara kinoma af mtu flani friendly
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 Жыл бұрын
Ng'wanamalūndī in the house
@musso238
@musso238 Жыл бұрын
Mengi ana mengi kama alivyo jina lake Mengi👐🏿
@barakakomondawa2767
@barakakomondawa2767 Жыл бұрын
Nimeelewa sana kaka
@cdemido5608
@cdemido5608 Жыл бұрын
Madly vibe
@Nanjaboy-hk2yc
@Nanjaboy-hk2yc Жыл бұрын
Me Hua nikimuona FID Q namkumbuka mangwea maana FID hana mpizani tena!! HIPHOP ipewe heshima maana ndio music unaotufundisha.
@MahelaMnazaleti-vg6mo
@MahelaMnazaleti-vg6mo Жыл бұрын
We unaumwa mavi huyo fd amuwez Roma hat busu take nakwambia
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
@@MahelaMnazaleti-vg6mo hukosi kuwa shoga wewe. Kasikilize tarabu fucking🖕
@MahelaMnazaleti-vg6mo
@MahelaMnazaleti-vg6mo Жыл бұрын
@@frankkajoba8372 fd Q me nimtu wa home kabisa anatokea nela uswahilin kabisa yan so Mimi nasemea HP hop awez kua mkali mbele ya Roma mkatoriki wew ndio shog unafirwa wew na mama ako mbwa Koko
@boyrealmc2517
@boyrealmc2517 Жыл бұрын
sanaa faridii ✌✌✌💪💪💪💪
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Moja kati ya wasanii bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hip Hop Id in Africa.
@abdalamhamed3586
@abdalamhamed3586 Жыл бұрын
Tanzania HipHop icon
@addamschamwande7734
@addamschamwande7734 Жыл бұрын
Paripo moshi pana Moto cheki shish apatoshi kwa huu mtoko feki pishi✍️✍️✍️✍️✍️
@ashrafchande869
@ashrafchande869 Жыл бұрын
Msanii wang pendwa wa hphp tz Nisipo msikilz dah ad naumw yan man cm yang amejaa yey ty fid q mnyam
@makisjeremiah288
@makisjeremiah288 Жыл бұрын
Mke wangu anajua hesabu,sina sababu ya kutafuta thamani ya "X" what a punchline 🔥
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 Жыл бұрын
Ukiwa kichwa box huwez muelewa mr. Professional. Farid Q
@Burner_Acc
@Burner_Acc Жыл бұрын
Q bana sema anajua sana 😂😂😂
@ayubuadamu8587
@ayubuadamu8587 Жыл бұрын
TOP OF THA RAP ELITES
@RashidMrisho-u7d
@RashidMrisho-u7d Жыл бұрын
Kuna Farid wawili tuu tz wenye kipaji Cha Sanaa 1-ni Farid MUSSA Maliki na 2-Farid KUBANDA!!
@mwandustar
@mwandustar Жыл бұрын
Najivunia kuwa mfuasi wa huyu jamaa😅
@rasvegas8991
@rasvegas8991 Жыл бұрын
Motoo
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Жыл бұрын
Bratha ngosha kioo cha jamii na hip hop bongo na este africa
@ABBYSAILUCAS-jb4wt
@ABBYSAILUCAS-jb4wt Жыл бұрын
Ngoshaa maisha real hphp
@paulmbonika2459
@paulmbonika2459 Жыл бұрын
Fid Will always be FID HipHop
@dennardleonard1228
@dennardleonard1228 Жыл бұрын
UPEWE MAUA YAKO
@lujobilz7482
@lujobilz7482 Жыл бұрын
Oyeeeyooo pupu pa
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jboytz5715
@jboytz5715 Жыл бұрын
Atareeee sn
@AmosSniper
@AmosSniper Жыл бұрын
Fid q Ili umwelewe kichwa yako isiwe namang'amung'amu! Viva sana mdada hapo kushoto tabasamu lake sio lakunuuaanalitoa kw dhat yamoyo
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Жыл бұрын
Jamaa mashaili yake huwa magumu sana lakini huwa yana maana kubwa sana
@mutijimacedrick1622
@mutijimacedrick1622 Жыл бұрын
dada mrembo kweli,,africana de verdede,,nime penda kipindi na geniu Fid,,Mozambice online on air
@amosicharles4499
@amosicharles4499 Жыл бұрын
👏🙌
@amani-1970
@amani-1970 Жыл бұрын
manisha anayosema fdi ndo nayoish naishi Kama hakuna jipya lolote dunian
@onegifted1348
@onegifted1348 Жыл бұрын
Fid q is back now
@chiconinde8135
@chiconinde8135 Жыл бұрын
"Kichwa kina vitu vingi"......jibu ndo hili. Haya MBUZI kajibu sasa
@davidoscooper237
@davidoscooper237 Жыл бұрын
King fid
@faustinewilliam4908
@faustinewilliam4908 Жыл бұрын
Fundiiii from Mwanza
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free Жыл бұрын
I’m professional,mwanza ,
@izzo_boy
@izzo_boy Жыл бұрын
NGOSHA WA MOTO SANA BGMAN
@shadiamohamed1113
@shadiamohamed1113 Жыл бұрын
Faridi kubanda a.k.a mwana marundi,niko nawewe
@cosmasmadata5356
@cosmasmadata5356 Жыл бұрын
Bruce Lee wa Rap Africa@Mr kubanda
@hamisimzalilehi9
@hamisimzalilehi9 Жыл бұрын
Goat
@HalfaSaid-vl6ki
@HalfaSaid-vl6ki Жыл бұрын
👉💯
@deogratiouswipson8448
@deogratiouswipson8448 Жыл бұрын
Ebwana eeeeeeeh 😂😂😂😂
@godblessmichael8173
@godblessmichael8173 Жыл бұрын
Success ya joh makini ndo anavoelezea pia kweli ndomaana mnashindanishwaa
@omarzinga7046
@omarzinga7046 Жыл бұрын
C mtuconnectie fid q na Mr blue
@hashimshaban4675
@hashimshaban4675 Жыл бұрын
Ngosha mwenzio wajob kila siku anajisifia kuitwa BBA ila wewe wala huringi
@MrReeval
@MrReeval Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 fire
@geofreymwaikambo6925
@geofreymwaikambo6925 Жыл бұрын
Fid Q noma sana brother
@geofreymwaikambo6925
@geofreymwaikambo6925 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu sana brother
@frankcharles3980
@frankcharles3980 Жыл бұрын
Mwanza mwanza
@punchlinetz
@punchlinetz Жыл бұрын
Sio Mwanza Mwanza, alichomaanishaga Farid ni Mmwanza Mmwanza...kama useme Mtanga Mtanga 😎
@WillMpollo
@WillMpollo Жыл бұрын
Na singombanii mpira kama sina uhakika wa kufunga gori😅
@rasvegas8991
@rasvegas8991 Жыл бұрын
Jibu nkwambaa hakuna uhuru wa habariii
@hassoboy4158
@hassoboy4158 Жыл бұрын
Anazingua anavyo soma😂
@hassoboy4158
@hassoboy4158 Жыл бұрын
@@greysonkisinda7390 mkali lakini
@derickkasim570
@derickkasim570 Жыл бұрын
Na wew soma
@hassoboy4158
@hassoboy4158 Жыл бұрын
@@derickkasim570 nishasoma sana shuleni adi nikawa mvivu adi kuandika notes mademu wananiandika saiz mistari yananitoka kichwani Ngoma kwasiku nikisema niandike ata nne kwasiku naandika biti tofauti tofauti
@tamimmnyamis1316
@tamimmnyamis1316 Жыл бұрын
Ebana ile tuzo Bill apokonywe bana
@johnphilipo6760
@johnphilipo6760 Жыл бұрын
Watu wa kisesa & nyanguge Mwanza jisajilini na Vodacom kama Fid Q
@johnphilipo6760
@johnphilipo6760 Жыл бұрын
😁😁😁
@mohamedhussen6103
@mohamedhussen6103 Жыл бұрын
Duuuu mantare,sumve tusimame wapi
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 Жыл бұрын
Bonge la ngoma
@Fredy-i5s3f
@Fredy-i5s3f Жыл бұрын
Tunaludia tuuh achuji tu fund
@godsson5954
@godsson5954 Жыл бұрын
fidi ni bishoo sana aise anajigamba tu mmda wote had sauti anaongea kwa kuigiza be real nigga stop acting like ur trying to attract b****s be real have ur voice back ambayo tumezoea kukuisikia kipnd kile naona unaongea kama nicole anavyoongea kama wema hahahha
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Acha chuki ww, kasililize kina young lunya ndio saizi yako.
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 Жыл бұрын
Mi najua tatizo lako ni akili ya kuelewa kinachoimbwa . Fid ni akili kubwa hivyo ubongo wako ukiwa umefungwa na nyororo huwez elewa
@MrReeval
@MrReeval Жыл бұрын
Toka namjua fid huwa anaongea hivyo, unless kama ulikua naye na unamfahamu zaidi yetu
@davidmpilipili
@davidmpilipili Жыл бұрын
Baki na kina Lunya mkuu... Huyu kumuelewa ni mpaka uwe na akili💪
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 Жыл бұрын
Huwez kumuelewa fid ukiwa na akili ya a, e, i, o, u. . Kwanza ngoma ya fid akitoa leo hata mi mwenye IQ pana. Natuliaga kama one week ndio niielewe ngoma yote. Wewe level yako ni lunya au usikilize hip hop katuni maana wew hutakagi kusumbua ubongo unataka utafuniwe hadi uji ufanye kumeza2
@justinmoses3730
@justinmoses3730 Жыл бұрын
𝑭𝒊𝒅 𝒏𝒅𝒊𝒐 𝒎𝒂𝒏 𝒐𝒇 𝒎𝒖𝒔𝒊𝒄 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
MAMA CHEUSI AMEFUNGUKA MAMBO YANAYOMKWAZA KUTOKA KWA FID Q
19:43
EastAfricaRadio
Рет қаралды 6 М.
KIPENGA EXTRA TBT
16:29
GOSACHUMA TV
Рет қаралды 347
LIVE: XTRA VINA | NI STORY MOB + VINA | DIZASTA VINA ON XXL
39:14
FIDQ: NIMETOKEA MTAANI/BONGO HAKUNA MSANII ANAYENIZIDI ELIMU
9:17
CHRISTMAS BYALI BITYA:
42:36
Voice Radio Official
Рет қаралды 23