""Hawaamini kwenye kuunda Diamond au Kiba wawili, wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili.. "" Shikamoo Fid Q
@JomoKilawe2 ай бұрын
SUMU 2024 Tukutane Humu..
@GilbertVitalis28 күн бұрын
Marahaba
@josephutonga57288 жыл бұрын
Dahh..Mkuu kwakuwa Jina la DARASA limeshachukuliwa naomBa tu nikuite ww MWALIMU MKUU...Asante kwa kuendelea kutupatia elimu..SALUTE kawako...."Mungu akupi UNACHOKITAKA anakupa UNACHOKITAFUTA.......KEEP GOOD TANZANIA MUSIC ALIVE. #KGTMA
@JomoKilawe2 ай бұрын
Nimewapa Ofa A Mswaki Alafu Leo Mnantoa Meno..😂😂
@andrew-kitwanambogger82428 жыл бұрын
Wabongo wa majuu hamna upendo mnajigawa🙌 Fid q is simply my world's best emcee
@jayokal51378 жыл бұрын
kenyan here. and I say TZ has the best rappers in Africa. none other.
@ayushayush51418 жыл бұрын
jay okal +254 present
@NairobiShelby8 жыл бұрын
But let's all agree Khaligraph is a big deal.
@kweenlucia28726 жыл бұрын
Jay Okal NYANSHISKIIII
@ebracharo41836 жыл бұрын
is Nyashinski a rapper?
@ebracharo41836 жыл бұрын
This is conscious rap.. Khaligraph haezani na hii
@marymatina36418 жыл бұрын
wanataka vtu rahisi mi nawapa vtu halisi na cyo bi dada kama IDRIS 🙌🙌🙌🙌
@paulkennedy63128 жыл бұрын
"Ukiacha hisia zikwendeshe kwa ujeuri utaishia kufeli sababu neno la kweli sio zuri na neno zuri halina ukweli". Fareed Kubanda a.k.a Fid q,Ngosha the Swagger Don tajiri wa mashairi na floo!
@kaniyahiouise14745 жыл бұрын
*Kama una mkubali FID Q gonga like*
@bilaljuma54246 жыл бұрын
Niko Mombasa Kenya and I give Hi5 to Fid Q "The one en only straight forward Rapper in Africa without grudges." His Music is superb, His words of knowledge, educates, His appearance is cool, He remains impact to the game. He is a true Mirror
@danitz12565 жыл бұрын
Yukopowa
@ramadhanjuma76294 жыл бұрын
Hahahahahahaha umetishaaaa
@MrNoNonsenseYes2 жыл бұрын
@@ramadhanjuma7629 Hahaha mzungu wetu wa mombasa
@idreamfoto8 жыл бұрын
Dah Hii Ndio Aina Ya HipHop Nayoitaka Kama Large Professor, Mkito Heavy, Mashairi Nondo Namkumbuka CL Smooth, Saxophone Maridhawa Kama Nasikiza HipHop Jazz Beat Ya Pete Rock
@iqraomary9546 жыл бұрын
Mwanangu umenikumbusha mbali sana ulipomtaja large professor
@jacksonnyarangi62987 жыл бұрын
Fid Q has been my favourite rapper over 12yrs now.. am a Kenyan, in USA... mistari jammaaa ameiva kuiva.. I PUT YOU ON A MAP.
@rogerROJA-g4i5 ай бұрын
The only 🇺🇬 Ugandan here that feels this music...ur the best
Uwongo hauna Miguu ila Scandals una mabawa....big line. respect from Lebanon
@DsillyTv18 жыл бұрын
conscious rap is always underrated new rap is always praised, i wish wajue what have you spoken humu mda mwingine ilibidi nirudie mara 3 ili nielewe mstali ands thats conscious rap all the best.
@MKobe_2544 жыл бұрын
I still love this song 2020, I play it in my car deep in Seattle🇺🇸🇺🇸🇰🇪
@mtemimagema61762 жыл бұрын
2022
@ianombagi892 Жыл бұрын
I am with you my G 2023
@zlatanzackovic77318 жыл бұрын
02:33 ...Leo nawapa offer ya miswaki halafu kesho munanitoa meno!!!😂😂😂🔝🔝🔝
@jobjoab508 жыл бұрын
R. I. P Albert Ngware... real ones are never forgotten.
@erickfestor45428 жыл бұрын
Ndo wanaanza kuelewa somo walikuweka kwenye best rappers Africa in hali haukuwa na vyuma vinavyorukwa kwaoYOUR THE BEST RAPPERYOUR HIP-HOPYOUR NGOSHA
@dennismathias41667 жыл бұрын
"hawaamini kutengeneza diamond na kiba wawili wanachokiamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili" BARS!!
@Mbeyaconscious4 жыл бұрын
2020 December Hili Goma Bado La Moto 💥💥💥💥
@kingbidder8 жыл бұрын
wabongo wa majuu wanajigawa.SIO KWELI.ila kumbuka ni asilimia ndogo sana ya wabongo walioko mamtoni[EU & USA..continents ni kubwa..hivyo hawawezi kutana daily kama uswahilini..fanya risachi fresh..ngoma kali Tho.. #KingBidder
@RashidHaroon.8 жыл бұрын
Kwann chuo cha udsm hawajakuita fid wakupe P.hd yako!!!!!kama vile tuzo tuzo zao hizi ama nini haziendani na hadhi yako!!ni hatareeeeeeeeee
@daudimaiga50218 жыл бұрын
"The best of Rock City"............Respect to FID Q
@bufurechristian50947 жыл бұрын
maisha hayakupi unachotaka, yanakupa unachotafuta.... got you bro. we professa mzee
@kassimkhamis11098 жыл бұрын
Dah! ......neno la ukweli sio zuri na neno zuri halina ukweli....Big Up Farid Kubamba
@andrewwanzagi80248 жыл бұрын
Alieniumba alinipa mdomo siachi kuongea......nimekubali haya madini ya fikra salute
@arsatraders8 жыл бұрын
punch zimetulia naipenda kazi yako broo akili mingi
@bhokemwita34648 жыл бұрын
Mzee bila noti ni zaidi ya Nyosh akiwa vibaya....Alomtia umasikini Africa leo analia kwa yanayo msibu.......hi hataree!!!!!!!!!!!!!
@mchenyacharles62097 жыл бұрын
happy to hear Sukuma language , ma mother Language...... congrats brother Fareed
@madirishasimon96923 жыл бұрын
Nimeipenda
@justinnoderosa98 жыл бұрын
"Vina mwanzo kati na mwisho" much respect kwako fid......tisha xana bruder......sijawai diss mziki wako wala sijawai fananisha na wamtu coz hakuna wakushindanishwa na wewe........
@manjalejuniorlg70246 жыл бұрын
ni kweli aliemtia umasikini africa leo analia kwa yanayomsibu mashairi yako mkuu mpaka uwe mwana falsafa kuyatafuli best song beg up brooo
@calamaraderiesgallant36408 жыл бұрын
wema anataka saa ya almasi zari anajali muda.. fact.. diamond na kiba To be togeza not kumfanya mmoja awe dili... Big Up Bro Fid Q
@vicmassluodollar8 жыл бұрын
Damn hats off Fid Q-Life doesn't gives you what you want,life gives you what you go for.Mistari zimeenda shule Ngosha the Don ---watching for the 7th time[Repeat Mode].
@kiokomutua32095 жыл бұрын
Fid Q ni msomi. .am from kenya and wanna give some good love to fid Q for the fact that he featured in a clip where#patricklumumba from kenya gave a historic speech about panafricansim ...kwame nkurumah...Julius kabarenge nyerere...haile sellasie..samora machel.mjust to mention a few..fid q will one time be remembered for real hip hop revolution in tz alongside proff jay
Mie toka Kenya,,,,,fid we ni Bingwa wa sku zote 👑👑na akuna anae kzidi hapa east afrika KING...
@MKobe_2545 жыл бұрын
Fid Q, mahali huko I hope utasoma hio message, mimi fan wako mkubwa.. Niko hapa 2019.. nakuheshimu from day 1 nikiwa kenya.. bado ngoma zako nikiwa sahii ndani ya America nakusikiza. Saana..
@venesachao38833 жыл бұрын
Fid q tosha! Mistari, biti yaani mwanzo mwisho! Big up
@yohanagalusi6192 жыл бұрын
Every morning and day long .. i feed my brain with this smart facts .... Big up Camp
@ramadhansaid54688 жыл бұрын
wewee ndo hip-hop tz, ngoshaaaa big up
@edwardjoseph52978 жыл бұрын
The baddest fid.... Hili ni balaa lingine la mji.... #sumu
@fanakakashililika36446 жыл бұрын
tunachanga kwenye msiba ukifa hawajali ukiumwa....fid q 💪💪💪
@hezronjohn63748 жыл бұрын
Eeneyo ee sumu ! Cha kupewa hakishibishi ukipewa lazima ukumbushwe
@seifdachi71588 жыл бұрын
This video doesn't deserve 32k views for two days' Ntafikisha 1M views kwa kuitazama mwenyewe. #BonGeHipHopBongeLaChupa
@masungajp1 Жыл бұрын
I can still say that this is the best Swahili African Hip Hop artist.🇹🇿
@felixkilave91718 жыл бұрын
hongera br fid mistari mizuri na video Kali sana cku hz unatuletea
@dismashaule16318 жыл бұрын
ebwana huu mzigo kweli SUMU dah big up sana Ngosha
@frankfidels68688 жыл бұрын
bonge la ngoma.
@dicksonbenjamin5518 жыл бұрын
ngoma kali sana....kila siku lazma nicheki roho sasa umeniongezea nyingine hatari sana...
@elicanalupondije65158 жыл бұрын
Nimejipenda kuongea kisukuma katika wimbo wa mdogo wangu Fid q
@fittyblack25497 жыл бұрын
Bingwa wa hiphop,,,,,anaepinga haielewi hiphop na kama anaelewa basi hajui lolote kuusu hiphop culture #respect..
@francyedo20108 жыл бұрын
best rapper in tz,,, kichupa kipo gud mzeee mwenye hip pop yake!!!!
@saidyally47758 жыл бұрын
Hawaamini kwenye kuumba Diamond na Kiba wawili ila wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mwingine awe dili 🔥🔥🔥🔥🔥.
@evanskowero38698 жыл бұрын
much respect ngosha...na dyile nitaka mkao wa pushup kama umwa (oyooh)
@mariodeblizzy25957 жыл бұрын
uogo auna miguu lakini scandle lina mabawa....best rapa wangu,,,,you are tz khaligraph
@aliiphillip8 жыл бұрын
Baas... God bless you. The fact will remain that you can't be compared. You are like Gold I a Mad land.
@hassanovajunior69728 жыл бұрын
wema anataka saa ya almasi zari anaujali mda hahahah fid q you nailed it
@mwanafalsafa36133 жыл бұрын
Maana yake?
@ahmedali03335 жыл бұрын
ALIYENIUMBA AMENINIPA MDOMO SO NINA HAKI YA KUONGEYAAAAAAA SO NAINGIYA NINACHOJISKIYA HUWEZI NIPANGIYAAAA BIG UP BROO WEWE NI NOWMAAA
@entrepreneurfigher2408 жыл бұрын
sasa hapa mkuu fid, you have done what you do best entertain and educate amd make us think and write note of your lyrics :).. siku moja moja muorganise event simple munaimba na wadau tunahang out and have good time..
@sirgomahojoa9698 жыл бұрын
Kaka usipostuka Africa unaweza kuzikwa ukiwa hai nice ngoma umeitendea haki
@santimina93228 жыл бұрын
I'm actually the 1st kenyan to listen to this masterpiece. big up fid q.
@engelstan08 жыл бұрын
Don Mino you lie
@santimina93228 жыл бұрын
No I'm not. Very few of us are into conscious muzik but by now kuna wale washaiskia lakin mm wa kwanza
@davidngunga18525 жыл бұрын
@@santimina9322 You lying it's just that most of us don't comment here
@minedwesse17078 жыл бұрын
Nimekubaliii ngomaaa kaliii umetishaa fid Q ww ni mkaliiiiii
@ZIGZAGAnimationsKenya5 жыл бұрын
Respect to Africa's KRS 1. Fid is the realest emcee 🔥🔥🔥 Love from Kenya.
@jumamichael40838 жыл бұрын
Mwaka wa vichupa huu salute kwako ngosha
@balysonemmanuel45278 жыл бұрын
eyeneyoh hee sumu ng'hale ghete.....u alwayz killn t bro.... U're the man ov dc era.
@mbarakwavipingo52508 жыл бұрын
Baba wa Hiphop.....nakuaminia jembee unalimaa tu...
@amanichanga34488 жыл бұрын
Wanatafuta kumshusha mmoja ili mmoja awe dili.. Daah çok düşünceli bu adam
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
Mara yakwanza kabisa nimekaa makini kusikiliza nyimbo za #FidQ, waliosema he’s the best rapper alive awajakosea kabisa🙌🙌🙌🙌 🤩🤩🤩🤩🤩 06/2019
@calvinadolph-ky5ft Жыл бұрын
Dunia sio chafu..ni chafu uchafu ukiutazama
@maxpoppe35133 жыл бұрын
Hii ngoma lazma tuiweke museum ya hiphop bongo 🚀🚀🚀❌🧢
@sefoo80848 жыл бұрын
HAtari sana... Chakupewa hakishibishi, coz ukipewa lazma ukumbushwe.
@spiyerharoun16707 жыл бұрын
Fid Q unatisha kama njaa nakukubalisanaaaaaa
@nickystandadizzy42388 жыл бұрын
fid q is a best rapper in africa, like it if u agree wit me
@atanasifrancis33087 жыл бұрын
NICKSON Sambala exactly yes
@kakagranto1355 жыл бұрын
👏💯
@odongsunday65844 жыл бұрын
At the moment. he is the best in the world
@emanuelmselle6374 жыл бұрын
sarkodie
@baluhyajr.9134 жыл бұрын
True
@muuseaden43088 жыл бұрын
Uzee bila noti ni zaidi ya nyoshi akiwa vibaya yaani hapa ni Mkongo akiwa hana hela lazima awe mbaya
@boniphacephilipo17616 жыл бұрын
Wema anataka SAA ya almasi....zari anaujali MUDA. Ngosha
@kingbidder5 жыл бұрын
Bado ni jiwe.. Safi fidi.. Ila wabongo wa majuu hatutengani.. Ni wachache kwenye big continent.. Na hatuna same hobby.. Alafu life ya majuu baridi hakuna muda wa kukaa viniweni.. Different life style kabisa #1000% #KingBidder
@khamissalim39348 жыл бұрын
fide we mkalii banaa unastaili heshimaa sanaaa
@irenekalinjuma41765 жыл бұрын
"I din't come this far, Just to come this far" ...... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.. uwongo hauna miguu, lakini skendo Zina mabawa😂 fid q unajua sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kizimkazi34438 жыл бұрын
fid q....u schooled all bongo hip hop artists..this is more than hip hopu got my respect..u went so hard
@abdulrahimhaji34075 жыл бұрын
具,△
@aggreyenock12214 жыл бұрын
kizi mkazi 🙌🙌
@MpuyaMayunga6 ай бұрын
G.O.A.T forever
@alexmtende64606 жыл бұрын
ngosha umetisha babaaah!!
@justinejulius35447 жыл бұрын
I love the contents of video...Wabongo inabid waelewe concept kama hiz kwenye videos ili tulete utofauti wa video
@EricBreezzManyota7 жыл бұрын
"...Sumu ndani ya watu na ndo hapo hapo tunapokwama, hawaamini kwenye kundi Diamond ama Kiba au wawili, wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili, cha kupewa hakishibishi ukipewa lazma ukumbushwe, dunia mwendo wa ngisi kunga'asa lazima star ashushwe..."
@adolphmwangoje28875 жыл бұрын
Daaaaa nahuzunika npockiaga brabra za wapuzi wengine wakisema kawaida sana afu uandishi huu wanauota hawajawah kufikia
@noahmwaipopo91428 жыл бұрын
Fid huko juu sana bongo hakuna kama wewe toka tasnia hii imeingia nchini uko vzr kila idara keep it-up bro...nafananisha style yako na mwanangu mmoja kitambo anaitwa Posh D kwenye ngoma ya Stara Thomas inaitwa Nyuma sintorudi
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG8 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏 kali kuliko
@hashimusharifu12238 жыл бұрын
oyoooooo!!!ongera sana brooo!!! iko flesh sana
@eliudkimokezi85388 жыл бұрын
“Nakupa Fact kwa lugha ya kishikaji." The legend . Respect Fid Q⚡⚡
@afropanorama47308 жыл бұрын
kweli kabisa usiposhtuka jamaa watakuzika mzima mzima
@wherethefanstarts53026 жыл бұрын
This right here is what we call "A GIFT FROM GOD" You are either born with it or you're cursed without it.. What a master peace..!!! Thanks FAREEEED for this 4 mins of total creativity.
@januarymasao93316 жыл бұрын
Sana kak aumui chura kwa kumtupa ndan ya maji mnataka vitu rais nawapa vitu alisi
@muharamisaidi74876 жыл бұрын
Salute Fid Q......Best Rapper in Africa
@mradvocate95978 жыл бұрын
Fid q , brother your the best.... "Your giving them more than what they can swallow"! #HATARII
@faridikondo36698 жыл бұрын
wajina wangu umenifanya nianze kuipenda hip pop upo juu
@johnsonemmanuelbenedicto20384 жыл бұрын
Nakukubali zaidi mno komaa saaana unafikilia saana
@bakariabdul70888 жыл бұрын
tunamoka ili tusafir kwa hisia#fid bhanah...kwel coz tukivutaga ganja wenyew tunajiona tuko London kumbe tuko itigi kwa mzee nyenjele