Fid Q x Lord Eyez Feat. Brooklyn Beauty - Shujaa (Official Video)

  Рет қаралды 180,796

Fid Q

Fid Q

Күн бұрын

Пікірлер: 514
@eliudytafawa4648
@eliudytafawa4648 3 жыл бұрын
Dope yupo hili eneo
@mayalazacharia7081
@mayalazacharia7081 3 жыл бұрын
Gonga Like Kama uliweka bando kusubili. Dude la therealfidq Kama mimi
@eduardobabou3022
@eduardobabou3022 2 жыл бұрын
Fid q huyu niggah na lord eyez na Brooklyn queen 👑 hapa kazi safi ♥️♥️♥️♥️
@neckaphotostudio728
@neckaphotostudio728 3 жыл бұрын
kwenye moja kati ya vitu ambavyo huwa nakuwa proud juu ya Fiq q ni kwamba kila nikimsikiliza lazima nijifunze kitu kila wakati... Stay there king of hip hop.... Nina almost nyimbo zako zote kwa playlist yangu
@kyataonline5262
@kyataonline5262 3 жыл бұрын
umeelewa nini "ujinga ni nguvu"
@DAINOSSA
@DAINOSSA 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/f2a3qYCrjMt8qck
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 3 жыл бұрын
Ulinunua au umenyonya kwa vishoka....?
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 жыл бұрын
@@kyataonline5262 alafu we muhuni kwel.hahahahaha.....
@abdallahnamahala9216
@abdallahnamahala9216 3 жыл бұрын
Awere some
@jaqtonkungu3053
@jaqtonkungu3053 2 жыл бұрын
wewe ni shujaa.........babaa yao....tembea nairobi ....
@brooklynbeauty_tz
@brooklynbeauty_tz 3 жыл бұрын
Great to share a mic with Fid Q na Lord Ez. Ahsante sana! Let's go Tanzania!
@jumahamisi5383
@jumahamisi5383 3 жыл бұрын
You did it dear congra... Your last 2 bars was heavy With gorgeous flow
@Shirimatunda
@Shirimatunda 3 жыл бұрын
U play ur part i love your part
@allanopondo1310
@allanopondo1310 3 жыл бұрын
Where do we get more music by you?
@sevenrepublic1550
@sevenrepublic1550 3 жыл бұрын
Mr Brooklyn is me... imma get there to take you queen 👸
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
You've illest flows Miss❤❤❤❤
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 3 жыл бұрын
Usipo jifunza kwa mistar ya fid soma tu. Maandiko
@fadhilirashidi7350
@fadhilirashidi7350 3 жыл бұрын
Hii Chemistry yenu Mzee Mbuzi na Mweusi Lord Eyez 🙌🙌🙌
@centralboytz4240
@centralboytz4240 3 жыл бұрын
Broo hili dude limeenda shule usituache mwaka bila kutupa darasa huru kila jiwe uktoa hua tunajfunza kitu aise embu twenden wahun mpk tufike #1
@alisihamidu4077
@alisihamidu4077 3 жыл бұрын
Faridi bro unafanya vtu ambavyo vinagusa hisia zetu for life sometime unajua ALLAH akuongezee maarifa na ufanisi 🤲
@v12muscular38
@v12muscular38 3 жыл бұрын
asante sana farid kaka, nusu mtu nusu mashine, mtu mmoja na nusu, mwananchi wako niko standby kwa vitu adimu, madini pure. happy birthday in advance. MUNGU akutunze sana, sincerely speaking. Akutunze vyema!
@johnatmylner615
@johnatmylner615 3 жыл бұрын
Kutoka enzi za propaganda Hadi kiataalojia. Legendary Fid Q has never let us down.
@martinezthomas030
@martinezthomas030 3 жыл бұрын
Mmeua wakubwa💪💪💪
@nestor384
@nestor384 3 жыл бұрын
Sijawahi kusikia nyimbo isinifundishe jambo kaka. Heshma yako haina thamani tu ya pesa, ulipaswa kuwa billionaire. Asante kwa chakula cha ubongo
@danielhaule155
@danielhaule155 3 жыл бұрын
Where have u been Brooklyn Beauty!!!!!???💥💥💥💥💥
@hamiafasta
@hamiafasta 3 жыл бұрын
Fid and eyez no comment, demu kaflow good sana
@alfredlaurent1728
@alfredlaurent1728 3 ай бұрын
Hatari sana mmeua kichuga chuga
@centralboytz4240
@centralboytz4240 3 жыл бұрын
Tumfikishe mwana #1 🔥🔥🔥
@mcnyota
@mcnyota 3 жыл бұрын
G.O.A.T living legend..
@luganobugali5692
@luganobugali5692 3 жыл бұрын
Eeeh bwana eeeh!!!😍mnarudisha Tabasamu lililopotea... Mziki mzuri sana @fid q ...
@mudimabiriani6467
@mudimabiriani6467 3 жыл бұрын
Lord Eyes Shukran Kwa Verse Hii Mungu Akuweke Lord Eyes Shukran Kwa Hili Fid Q Asante Kwa Zawadi Hii Kama Food Of Thought na Collection Kwa Library Ku play Kila Siku Utamu Wa Beat Kali na Maneno Ya Tashtiti Yenye Mafunzo na Majigambo Ya Verse Kwa Verse Huyo Dada ndo nimemjua Namfatilia Kiundani Zaidi Sema Lord Eyes Kaja Kivingine Vingine Tamu Sana 😂👊🏿 Regards Mudi Mabiriani Tanzania 🇹🇿
@kazawazarecords1456
@kazawazarecords1456 2 жыл бұрын
i see you somewhere my queen
@snashbwaii170
@snashbwaii170 3 жыл бұрын
Vita ni amani uhuru ni utumwa ujinga ni nguvu atae nipinga ujue mjinga na nusu.. wanasiasa wana mguvu warm up hawana uhuruma na ndugu.. na nguvu ya upendo aijatumwa kusukuma upendo wa nguvu.. 🙌🙌🙌
@officialibra4528
@officialibra4528 3 жыл бұрын
Me sio jeshi la mtu mmoja me n mtu mmoja na nusu
@alfredlaurent1728
@alfredlaurent1728 5 ай бұрын
Hii ngoma mpaka uipe sikio vizuri ndo utamwelewa king Eaz
@mosesnjuguna1380
@mosesnjuguna1380 3 жыл бұрын
Mzazi na muuwaji yote majina yako ngosha..😁😁😁
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 3 жыл бұрын
Lord kaumiza 🔥🔥🔥🔥🦇
@abdoumirhane9783
@abdoumirhane9783 Жыл бұрын
Nice one
@jimmyx8412
@jimmyx8412 3 жыл бұрын
Yeah ni bonge moja ya ngoma.. Naona Jeep yetu imekula gazeti ka ipo body
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Ngoma Kali sanaaa 👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@akiletv
@akiletv 3 жыл бұрын
Hakika ni vigumu kuufikia uwezo wa Fid Q. Wanaoifanya na kuiishi hip hop wananielewa.
@bonifacehassan1309
@bonifacehassan1309 3 жыл бұрын
Mizik Kama hii niadim,, FidQ 💪💪
@Chrisant_Jaboma
@Chrisant_Jaboma 3 жыл бұрын
Eeeh, 🔥🔥🔥🔥🔥mistari imeenda shule huku, I like this, chorus lit pia, salute from 🇰🇪
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 3 жыл бұрын
Lord easy 🤽🏻‍♂️🏆
@joeljoseph785
@joeljoseph785 3 жыл бұрын
#bila tabu na usumbufu haupatikani utukufu. #darasa huru, Respect kwako ToRe
@carlmarx8814
@carlmarx8814 3 жыл бұрын
Lord eyez 🙌🙌🙌
@Pandumasoftware
@Pandumasoftware 3 жыл бұрын
Faridi na Izaack Always mkiwa Pamoja mnakuwa na Chemistry sana, Big up kwenu kwa mziki mzuri wa Darasa kwetu.
@ramsomhunga9067
@ramsomhunga9067 3 жыл бұрын
Fid q eeeeez wawaz..the have colabo..🔥🔥🔥
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 3 жыл бұрын
Fid Q na Lord Eyez ingekua ni duo ingetisha sana ! Kuanzia Neno , Imeisha hiyo na hii shujaa
@peterkijanga8412
@peterkijanga8412 3 жыл бұрын
Umeumiza Ngoshaa, imekaa wima sanaa
@luciajohn2395
@luciajohn2395 3 жыл бұрын
Fidq kwani yeye anawezaje kuandika hivi? Yupo tofaut kabisa na wasanii wengine huyu mtoto wa farid sijui mungu kampendelea sana maana sio kwa upeo huo wa kuona utofaut na wengine
@arabgandaempire
@arabgandaempire 3 жыл бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@makarokingi3144
@makarokingi3144 3 жыл бұрын
The true meaning of G.O.A.T Always make good hip-hop songs
@cmgblackofficial9261
@cmgblackofficial9261 3 жыл бұрын
Fid kweli we best kila wakati najifunza toka kwako
@simonalex9757
@simonalex9757 3 жыл бұрын
Nakubali brother shujaa ukitoa ngoma mpya lazima nijifunze kitu
@vfieldmarshal_tz
@vfieldmarshal_tz 3 жыл бұрын
Ebwana hii ngumu nimeikubali wakongwe Kazi imefanyika sana, tzhiphop to world hiphop market
@sprybbm
@sprybbm 3 жыл бұрын
Sijapoteya 🏄 atakaye pinga ni mujinga na nusu🏅🏆🚵
@shagarbycash9549
@shagarbycash9549 3 жыл бұрын
kuwa wewe binafsi ndo inakufanya udumu zaidi...hip hop forever
@kaJEMBEvip
@kaJEMBEvip 3 жыл бұрын
Fid n namba 1 tz hip-hop in bongo
@centralboytz4240
@centralboytz4240 3 жыл бұрын
Chemistry moja ya kibabe🙌🙌🙌
@fredijohn7467
@fredijohn7467 3 жыл бұрын
Lod eyes ana bahati mbaya sana sijawahi ona colabo ata moja akamfikia ata nusu fid q kwenye kuimba yan zote anafunikwa kaka fid fanya nyimbo ata moja umpe nafasi sana
@hosearioner3637
@hosearioner3637 3 жыл бұрын
Nuff respekt hip-hop legends,love from 254.
@kapipoh6614
@kapipoh6614 3 жыл бұрын
Goat✌
@loveuprising7768
@loveuprising7768 3 жыл бұрын
Great look! Black American and black African artist collab wow
@untouchboymsafi1788
@untouchboymsafi1788 3 жыл бұрын
Ngosha ze don💥💥🇹🇿
@emmanueljohn5162
@emmanueljohn5162 3 жыл бұрын
Chemistry za hawa jamaa ni level sana
@muambolymz
@muambolymz 3 жыл бұрын
noma sana ngoma ni Hit kabisa like apa jamani
@abdallahmohamedmahamba7937
@abdallahmohamedmahamba7937 2 жыл бұрын
Demokrasia ina mkia wa shetani na kichwa cha Mungu...🔥🔥🔥🔥
@jerejadordma2c387
@jerejadordma2c387 3 жыл бұрын
Nawakubali kishenzi👊 mnaunga mkono gusa like hapa
@hazjay4671
@hazjay4671 3 жыл бұрын
#Eyez!!
@marktarimo5881
@marktarimo5881 3 жыл бұрын
Bonge Moja la Ngoma Wanyama Wawili Mmeua sana humo Mapunch ya maana.
@Yegon254
@Yegon254 3 жыл бұрын
Agosti 13 ni siku kubwa kwa the legend
@dullayogimbi5118
@dullayogimbi5118 3 жыл бұрын
Hii ngoma hatari ✔
@djbramble6801
@djbramble6801 3 жыл бұрын
Uhuru ni utumwa vita ni amani gonga like tafadhali twende sawa
@bensonmwinuka8459
@bensonmwinuka8459 3 жыл бұрын
Imenibidi nitabasamu kwanza😁😁🙌🙌🙌🙌🙌
@kenosman4780
@kenosman4780 2 жыл бұрын
Rap legend
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 Жыл бұрын
Lord Eyez did his thing, his verse and flow here were🔥🔥
@LilBOY-1DC
@LilBOY-1DC 3 жыл бұрын
Badoo we ni mbuzii Badoo tuh
@floranusgwau2670
@floranusgwau2670 3 жыл бұрын
Hawa jamaa 👏👏👏 wamebadilika Sana,kutoka kwenye neno mpaka shujaa no tofauti sana
@edwinoduk9808
@edwinoduk9808 3 жыл бұрын
Fiq q you are the King of hip hop, nakusikilizia kutoka 254.
@guccij6236
@guccij6236 3 жыл бұрын
Ujumbe🔥
@wilbardmhagama4102
@wilbardmhagama4102 3 жыл бұрын
Demo kra sia, inamkia wa Shetani na kichwa Cha Mungu.
@colmanndetembea8514
@colmanndetembea8514 3 жыл бұрын
Respeeeeect
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 Жыл бұрын
Lord Eyez kaifanya track imekuwa street, ngumu na kaweka swag, 🔥
@ngajaalmas
@ngajaalmas 3 жыл бұрын
Farid. Ngosha the Don salute
@jumaibrahim4297
@jumaibrahim4297 3 жыл бұрын
Ebwana eeh, Fid ni fid tu🔥🔥
@crispuskighombe6220
@crispuskighombe6220 3 жыл бұрын
Mashujaa .. walioifanya nikailewa mitaa, nikalielewa neno..hadi sasa najitambua kama Shujaa pia. Nawakubali sana. Peace and Love from KE
@xxxvibeochili5661
@xxxvibeochili5661 3 жыл бұрын
King Izzy na floo Mpya kilasiku big up sana ngoma Kali saluti pia kwa ngosha
@chrisjonas1537
@chrisjonas1537 3 жыл бұрын
Only Kings stay near him. Fid Q ni mwamba. He educates
@beatsmidundo4361
@beatsmidundo4361 3 жыл бұрын
Nice
@obarainnocent3835
@obarainnocent3835 3 жыл бұрын
The truck is so laid back. Love from Uganda
@gaudencemariki769
@gaudencemariki769 3 жыл бұрын
Utukufu ni Democracia inamkia wa shetani na kichwa cha Mungu
@josephbanzi7357
@josephbanzi7357 3 жыл бұрын
Lord Eyes kawa mwepesi sana humu
@patrickmwacha2772
@patrickmwacha2772 3 жыл бұрын
Broo ngoma Kali Ila mistari nmeielewa Kaka fid🎶🎶stay the king
@mastaplan
@mastaplan 3 жыл бұрын
Mzee mbuzi fanya mpango Lord Eyez akushirikishe mzee wangu.
@AbuAdnazmin
@AbuAdnazmin 28 күн бұрын
Achana na hear say, lemmi say❤
@charlesshewio8058
@charlesshewio8058 3 жыл бұрын
Ngoosha... Eeeezii.. Legends 🔥🔥🔥
@jonathanmaengo4281
@jonathanmaengo4281 3 жыл бұрын
PROUD of ma homies... Fid & Leyez....mnatisha kama tsunami....
@hansbetwel5256
@hansbetwel5256 3 жыл бұрын
Fid q the goat
@halizonihongoli4686
@halizonihongoli4686 3 жыл бұрын
Mimi sio jeshi la mtu mmoja ni mtu mmoja na nusu✊
@lucasmbwale7375
@lucasmbwale7375 3 жыл бұрын
Beat la kiutuu uzimaaaa
@beckarluhanga8421
@beckarluhanga8421 3 жыл бұрын
Fid q nusu mtu nusu machine .Lord umepooza kidogo kwenye michano huja basti kabisa all in all ngoma ipo poa collabo za wanyama wakali na punda mlia mmoja 100 100 aminia
@jecoog6086
@jecoog6086 3 жыл бұрын
fid q u kill it ma man we ni shujaa
@hajibadru3760
@hajibadru3760 3 жыл бұрын
nilikubali toka uliposema utapmbana mwenyewe sabab hakuna challenge
@dismasmohamed4580
@dismasmohamed4580 3 жыл бұрын
Heshima kwako Ngosha SHUJAA 🙏🙏
@dullahsimbaulanga6472
@dullahsimbaulanga6472 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@shukuruchaz417
@shukuruchaz417 3 жыл бұрын
my best rapper of all times
@kungumanjalekungu9418
@kungumanjalekungu9418 3 жыл бұрын
Pamoja Sana mzee baba
@allymuhamadahmadahmad793
@allymuhamadahmadahmad793 3 жыл бұрын
Ngosha the donn your fans toka 258
@thedreamer4721
@thedreamer4721 3 жыл бұрын
Fid & eyez best hip hop combination always👊
@ibrahimumakonyola2277
@ibrahimumakonyola2277 3 жыл бұрын
Hongera sana kaka kwa kaz nzuri💪💪
Best Of FID Q Compilation
53:17
Fid Q
Рет қаралды 46 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1
29:51
YahStoneTown
Рет қаралды 146 М.
Fid - Q X Lordeyez IMEISHA (Outro)
3:46
Wanene Tv
Рет қаралды 541 М.
FIDQ: NIMETOKEA MTAANI/BONGO HAKUNA MSANII ANAYENIZIDI ELIMU
9:17
Fid Q x Saida Karoli - Kiberiti (Official Music Video)
7:34
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН