LORD EYES: NILIKUWA NAMUOGOPA RAY C, HIZO NI NUKSI ZA DRUGS, NILIPENGA YA KWANZA UGIRIKI --- PART II

  Рет қаралды 43,688

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер
@conboicannabino
@conboicannabino Жыл бұрын
Nimependa sana hii big brother kufunguka , natamani aweze kushare kwenye miziki yake pia mziki utaishi na ushuhuda wake na ni funzo kwa wengine 🤍💯
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 Жыл бұрын
Do something with terror plz connabino
@richardjoseph2921
@richardjoseph2921 Жыл бұрын
Conboi umeongea fact, haswa jitahidi kucheza nae binafsi kumsisitiza afanye hiyo na ni kweli itaishi. Muziki na maisha yetu.
@stylishgenius9886
@stylishgenius9886 Жыл бұрын
Ongeleni sana wote,Lord eyes Asante kwa elimu mungu awabaliki sana nimeflai kuona eyes akimtanguliza mungu nice one.
@DealDeskPro
@DealDeskPro Жыл бұрын
Lord Eyes ni bonge la celeb..nimeipenda sana hii interview..Big up Milard
@JeronimoSimon65
@JeronimoSimon65 Жыл бұрын
Pole sana Lord. Thanks for speaking out. Always truth prevails. Yes am Freeeee!
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Ni kweli kabisa,wizi hujifunzi..wizi ni asili
@mikemills9615
@mikemills9615 Жыл бұрын
Best interview ever with reality in our daily life.....as community we need to support people addicted in drugs" Ni utumwa mbaya wenye kuleta umaskini mkubwa na mahangaiko makubwa katika maisha"
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Woohf big up Sana 💪 Lord izz nakuelewa Sana mungu Ni mwema kla wakat mungu ni mwema. weusii awanaga shda na wasanii wasanii ndo wanashda na weusiiii woof kwishaaaaaàaaa
@givenlyimo9199
@givenlyimo9199 Жыл бұрын
Best interview of all time
@josehagafilo8820
@josehagafilo8820 Жыл бұрын
Lord eyez ni fimbo sana aisee nakupenda sana tangu enzi zetu mwanangu best interview! Mlitufanya tuenjoy ujana wetu sanaa kabisa. Hawatuwezi nako2nako soldiers iko wazi🎉
@Thisisviisugarboy
@Thisisviisugarboy Жыл бұрын
I love this 🔥
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Жыл бұрын
MTU WANGU STILL SAUTI IKO VILEVILE ..TRUE LEGEND...LORD EYES
@jenadiusnicholaus3238
@jenadiusnicholaus3238 Жыл бұрын
This guy is very genuine🧤
@florencemlay9333
@florencemlay9333 Жыл бұрын
Lord eyez, pole kakaangu, yaan wanaume kuna muda wanapokea lawama saana, ht Boby Brown alifundishwa drugs na Whitney but walimsema yeye ndo kamfundisha. Hongera mnoo
@piajaylexy633
@piajaylexy633 2 ай бұрын
Nice interview nime enjoy sana Lord eyes yuko poa sana na lizuri hatar
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Mnyanwezi poa sana . True story teller 😄😄👊🏾
@Rare00888
@Rare00888 5 ай бұрын
Sina mengi gaidi,last time Tumekaa Pamoja A-town tuliongea mengi.!.happy ulivyotapika Ili wajue yanayotusibu..😊Miss u Gang🫡we do recover💯Sempeo rare
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
The guy is so open. God help him never to return to drugs ever again
@richardmagoda5107
@richardmagoda5107 Жыл бұрын
The best interview
@millardmbaraka6114
@millardmbaraka6114 Жыл бұрын
Yaani lord hamalizii maneno mwana ni mnyamwezi sana dadeki (swagz)
@vincentnkana4921
@vincentnkana4921 Жыл бұрын
God bless you Eyes
@nicky3025
@nicky3025 Жыл бұрын
moja ya interview bora sana nmewahi kuangalia
@JeronimoSimon65
@JeronimoSimon65 Жыл бұрын
Here we go again. Interview ya bei ya juu zaidi with the Terror himself, GAIDI (GUIDE) la RAP. Asanteni AYO TV
@violethnatai7890
@violethnatai7890 Жыл бұрын
Best interview
@ntimimalamula2104
@ntimimalamula2104 Жыл бұрын
Napenda sana interview zako milladi zinafundisha kinoma
@rab792
@rab792 Жыл бұрын
King Eyes Bravo
@georgenyoni9879
@georgenyoni9879 Жыл бұрын
Just for today ,My thoughts will be on my recovery living and enjoying life without drugs,Kweli lord tumeteseka sana na hayo madude ,ila siku Leo , program tukiifanyia kazi inafanya kazi
@mushaijamulokozi4620
@mushaijamulokozi4620 Жыл бұрын
Huyu jamaa anavyojibu maswali kijanja sana!!
@alvinchejo7800
@alvinchejo7800 Жыл бұрын
Huyu jamaa ana akili sana hili ni darasa tosha apewe kitengo huyu cha kufundisha
@youngrappertz1735
@youngrappertz1735 Жыл бұрын
Kushundisha nini acha ushamba🤣
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 Жыл бұрын
Yes baba
@venusbeno4275
@venusbeno4275 Жыл бұрын
​@@youngrappertz1735@q
@magdallenarichard4629
@magdallenarichard4629 Жыл бұрын
Handsome boy
@BahatiJuma-m2i
@BahatiJuma-m2i Жыл бұрын
Wanaume wachuga ❤❤❤❤❤❤❤❤
@babap-dn7wq
@babap-dn7wq Жыл бұрын
Huyu master kumuelewa inahitaji PhD ya Utulivu 😂😂😂😂
@zuumlondwa9518
@zuumlondwa9518 Жыл бұрын
Nimependa hii interview jamaa uchoki kumsikiliza😂😂
@priverabrahams9323
@priverabrahams9323 Ай бұрын
GOAT LORDEYEZ
@mikemills9615
@mikemills9615 Жыл бұрын
I wish lord eyes atunge nyimbo kama nne hivi zenye kueleza uhalisia wa maisha yake" kwa kweli ni balozi tosha wa kupinga madawa ya kulevya na madhara yake"
@chaulachaulaya5259
@chaulachaulaya5259 Жыл бұрын
Hii sio interview, hili ni DARASA.
@SuzanMoshi-m1s
@SuzanMoshi-m1s Жыл бұрын
Sema lilord lizur bana me na watt wa Arusha nawapenda sana ❤😂
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Zuri balaa
@jescaonesmo3199
@jescaonesmo3199 Жыл бұрын
😅litamu balaa
@ujogroup269
@ujogroup269 2 ай бұрын
Nimeangalia tena hii interview,kama kuna Tuzo za kupongeza basi hii ni moja ya interview bora sana, na ina mengi sana ya kujifunza. 🫡🫡🫡 #Mchizi wangu By Nako2Nako
@stankim5884
@stankim5884 Жыл бұрын
Majibu ya lord bwana 😅😅
@SuzanMoshi-m1s
@SuzanMoshi-m1s Жыл бұрын
Sema mependa umu lord kajiachiaa uwaga sio muongeaj kabisa
@audaxmlowa9953
@audaxmlowa9953 Ай бұрын
Na mtu wa stori sana huyo bro
@Empoaka
@Empoaka Жыл бұрын
Much respect brother Lordy eyes..... ,,,,Naifanya Kwa hii ndio reason. 🌼🔋🤲
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Жыл бұрын
Milard ayo ebu fanya kumleta bou Nako au ibra da hustler au hata Fido vato kubalance stori za nako2nako
@badmanno.1650
@badmanno.1650 7 ай бұрын
Mbona unataka kukalia ugomvi
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 7 ай бұрын
@@badmanno.1650 sio Kwa ubaya dingi nimejaribu kutoa mtazamo wangu tu km inafaa fresh. Aifai inaachwa
@sakinaomary7207
@sakinaomary7207 Жыл бұрын
anaongea vizuri
@isaacmunisi5559
@isaacmunisi5559 Жыл бұрын
Aisee jembe anaongea kitu ambacho wengi wanapitia au wamepitia, nivyema watu tujifunze mengi kupitia yeye. Ila lord namkubali sana kinoma nimsela sana. hata mimi ni lsaac toka chuga.
@Patrisami
@Patrisami Жыл бұрын
Bonge la Inteview ✌️✌️✌️
@benjaminedward2279
@benjaminedward2279 Жыл бұрын
Dah god is great... Kuna haja sana ya kusikiliza sana ushindi mkubwa Kama huu
@salumjumah5648
@salumjumah5648 3 ай бұрын
Hip hop bila madawa inawezekana mungu atulinde vijana wote
@kayjuma2629
@kayjuma2629 Жыл бұрын
Lord eyes 💪🏽💪🏽
@jimmykivagi8415
@jimmykivagi8415 Жыл бұрын
People Places and Things
@charliemagai8554
@charliemagai8554 Жыл бұрын
Eri eeeh... marafikiii 😂
@mussaagrey5679
@mussaagrey5679 Жыл бұрын
Big up sana
@jenipheremanuel5884
@jenipheremanuel5884 Жыл бұрын
Nampenda sana lord eyes
@DespereuxRaizo
@DespereuxRaizo Жыл бұрын
Wtf
@westcijosh
@westcijosh Жыл бұрын
Mtunuku kitumbua hcho
@paschalliving657
@paschalliving657 Жыл бұрын
Mandez wanasem eazy wa waz kadata..matoz wanaeleza wanavyopgwa mambataa...🔥🔥🔥eazy
@Babu_Njenje
@Babu_Njenje Жыл бұрын
This man is Arusha's Finest 💪💪💪
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Dah and all this time mimi najua ni wewe umemfundisha na kumuelekeza ray c huko,
@mikekileo1186
@mikekileo1186 Жыл бұрын
Siwezagi kuangalia interview ndefu hivi. Ila hii ya #Terror na #Mallard_Ayo surely hamu haishi kuangalia. Big up sana homies ✌️
@willsonjames3659
@willsonjames3659 11 ай бұрын
Interview kali kinoma
@TumainiMosha
@TumainiMosha Жыл бұрын
Vp brother kolabo mtu mzima chindo
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 Жыл бұрын
Ana mdogo wake nilimuona pale Arusha mwaka jana, anatia huruma, ana alama za sindano mwili mzima, amsaidie pia.
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Yupo pande ggani Arusha? Nasikiaga watu wakisema tu
@modestsanga6043
@modestsanga6043 2 ай бұрын
Uyu jamaa hayo majibu yake ninomaaa😂😂😂
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Ila huyu kaka mtamu jamani😆
@lovesallu5292
@lovesallu5292 Жыл бұрын
😃🤣😂teh teh
@aminammbaga7736
@aminammbaga7736 Жыл бұрын
Kwahyo sasa hamna anaeona dental formula ya mnako lord
@mondewaldemar5632
@mondewaldemar5632 Жыл бұрын
Dental formula imenyooka aisee, nmeikubal
@Chingagirl123
@Chingagirl123 Жыл бұрын
Mimi nimeona
@saleheabdallah5461
@saleheabdallah5461 Жыл бұрын
Great of all time or havy weight rapper
@LivyLebayos
@LivyLebayos Жыл бұрын
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
KWANI LODI ANAONGEAJE 😄😄🤗
@adinankojulianko219
@adinankojulianko219 Жыл бұрын
Kiselaa 😂😂😂
@venerandamangore1384
@venerandamangore1384 Жыл бұрын
Uzuri wa Interview za Lord lazima ucheke 😂 Love me some Terror woooofffff 😂
@mohammedally9208
@mohammedally9208 6 күн бұрын
Kama mm yani 😂 jamaa anauongeaji wake noma sana
@directorking-p3k
@directorking-p3k Жыл бұрын
❤❤❤❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Jaman mim simuelewi Lord anavyoongea,,au wenzangu mnamuelewa ?? Stor zake??
@lucykinabo
@lucykinabo Жыл бұрын
Yan 😄😄
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Жыл бұрын
Ukikaa Chuga ungeelewa
@FarajaClement-r6w
@FarajaClement-r6w Жыл бұрын
Huelew alaf unasikiliza
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Жыл бұрын
Hata mim nashangaa unasemaje humuelewi na huku umetulia unamsikiza
@issasaad3403
@issasaad3403 Жыл бұрын
Hii n zaid ya darasa
@ekkymumba8566
@ekkymumba8566 Жыл бұрын
Nilikua nawapenda Nako 2 Nako jamani sema nilikuaga zangu mwanza ningekufata aise maana sio kwa u handsome huu duuh!, sema nishaolewa
@jacqueisaac8155
@jacqueisaac8155 Жыл бұрын
😅
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Жыл бұрын
Lordeyez Nako 2 Nako soldier
@khadijahbanana5602
@khadijahbanana5602 Жыл бұрын
Lodiii kama lodiii
@dattymanne
@dattymanne Жыл бұрын
Pole sana bro
@eddytheblayze3810
@eddytheblayze3810 Жыл бұрын
Nahii ndo story ya izzy wa wazi .👊🏾 👑
@issaomary7718
@issaomary7718 Жыл бұрын
Kuhusu madawa (heroin) na vitu kaa izo, tuzingatie sana mazee
@sinyorithababy1764
@sinyorithababy1764 Жыл бұрын
OG....usijieleze sana, ukijieleza maana yake unataka kuaminisha watu...nimeipenda hiyo
@officialtaslima5409
@officialtaslima5409 Жыл бұрын
Yan mwanangu hapo kwenye wa blue nimejikuta nacheka mwenyewe
@crispingerald3000
@crispingerald3000 Жыл бұрын
Ili jama interview zake nikali sana sjui kwanin alikua hafanyi interview anafa kua prezent🔥🔥🔥
@baricktumain
@baricktumain Жыл бұрын
King Iz
@hajisaidy3081
@hajisaidy3081 Жыл бұрын
Lord eye lifestyle yako ni sawa na kile ulichorap kwenye verse yako ya Nightmare.
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 Жыл бұрын
Leo ni happy tu kwenye kipindi🔥🔥🔥
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf Жыл бұрын
@MalkiAbdalah
@MalkiAbdalah 8 ай бұрын
Saluut sana kaka mkubwa iizi nako wako maemc wengine wanashidwaga kufunguka kama wewe wakiulizwaga maswali wanajikanyaga kanyaga 2 hawanyoshi maelezo ila nazani watajifunza kupitia wewe kaka mkubwa izi wa wazi saluuti sana👊🏻👊🏻👊🏻
@doubleseven7750
@doubleseven7750 Жыл бұрын
Du oi mi mtu wenu sana namkubali mwamba yupo kibingwa sana
@shabanmaganga9972
@shabanmaganga9972 Жыл бұрын
Unga mwanzo unakuwa mzuri sana na ukivuta unajisikia poa Sana binafsi nilionja lakini nashukuru Mungu wife nilikuwa nanuogopa Sana haswa nikiwa tz
@yasinimalya4001
@yasinimalya4001 Жыл бұрын
Ila kwa ushauri au tungerudisha wakati nyuma mi naona ungeamua kumsaidia Ray C Dah ! Mngekuwa great couple , kama Aika na Nah reel, that’s tru love man! Maybe you didnt see that, butvlife goes on that was your gift you to be with her, she just needed a little polish to shine and be Great, ila dhahabu mpaka ing’ae lazma ipitie motoni ila wewe Lord uliogopa kuungua na moto pamoja na Ray C 😂, One Day I will want to have interview with you, Big up Ayo TV. Greeting from Colorado
@davidkamando9630
@davidkamando9630 Жыл бұрын
😂😂 wabongo bana eti great couple... Daah!!
@zitongwang6278
@zitongwang6278 Жыл бұрын
Where is Ray c if I may ask you ??? I have heard she is Paris ? She z clean and married..!!!!
@frankmushi8892
@frankmushi8892 Жыл бұрын
Nakukubali sana jamaaangu
@FarajaClement-r6w
@FarajaClement-r6w Жыл бұрын
Terror 💥
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 Жыл бұрын
Terror kanichekesha bn,eti yaani mm nakunywa maji sana,chakula,sigara na pombe kidogo...!
@georgenyoni9879
@georgenyoni9879 Жыл бұрын
Broo ,Rudi kwenye meeting ku share na wanachama, program inasema,We never fully recover,no matter how long we have been clean, complacency is the enemy of the members with substantial clean time.
@georgenyoni9879
@georgenyoni9879 Жыл бұрын
We presenter acha uongo nguzo za hip hop hazihusiki hapo,,hizi ndio nguzo za hip hop Dj,Mc, Graffiti ,break dance,Producer
@reinerbrainer811
@reinerbrainer811 8 ай бұрын
Sema Lord ni muongo sana.. Eti hata Ganja alikuwa havuti???
@sidiqmhina7823
@sidiqmhina7823 Жыл бұрын
YES AM FREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 Жыл бұрын
Chakulaa alivyoitamka 😂😂😂
@dicsonmollel5915
@dicsonmollel5915 Жыл бұрын
Amesafisha meno nni ,amekuwa wack huyo chalii
@michongopodcast
@michongopodcast Жыл бұрын
Lord 🙌🏿
@fauziayassin7987
@fauziayassin7987 Жыл бұрын
I don’t know y but I think atarudia ila namuombea mungu yy na sisi sote tuondoke kweny ulimwengu wa starehe
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 Жыл бұрын
Anavyohadithia jins walivyoanza na ray c m hoi 😂😂😂
@alfredlaurent1728
@alfredlaurent1728 Жыл бұрын
Yaani mimi nakunywa maji,chakula,juice,sigara na pombe kidogo!! Gaidi ugaidini
@NassorTwahiru-kf8fo
@NassorTwahiru-kf8fo Жыл бұрын
Hivi kwann hamumtafuti bou nako
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Kwani amekuwaje?
@dismasmushi9328
@dismasmushi9328 Жыл бұрын
Buku tuko nae mtaa tunapambanaa
@dismasmushi9328
@dismasmushi9328 Жыл бұрын
Buuu tuko nae mtaa tunapambanaa
@hamisiali-tq7yx
@hamisiali-tq7yx Жыл бұрын
Mlete chidi Benz hpo millad tumskie kama atafunguka kama lord eyez
@dearmama7865
@dearmama7865 Жыл бұрын
albadiri ya kihindi
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
PART 2 : NILIMSUSIA RAY C GARI,NIKASHUKA RUVU
28:41
Dr. Lucas Masungwa
Рет қаралды 67 М.
Salama Na Lord Eyes Ep 20 | HAWATUWEZI Part 1
32:10
YahStoneTown
Рет қаралды 97 М.