Muhuwaji mkubwa uyo pasteur mzima kweli anaweza kufanya kitendo kama icho kweli
@rugarekashasha8196Ай бұрын
MAKYAMBE MAHUNGU HUYO MZEE NI MLOZI SAANA, HAPO AMEPATA PETE YA UJENERALI KATIKA JESHI LAO LA WALOZI. BAADA YAKU MALIZA FAMILIA YA KAKA YAKE FRANÇOIS ALIANZA KUUWA MKEWE NA WATOTO WAKE SASA ANAANZA KUVAMIA WATU WOTE. HIVYO ANAJIITA PASTEUR KUMBE MLOZI MKUBWA.
@FailaMwangaza-x5sАй бұрын
Bamusamee ajuwi alitendalo wamwashiye MUNGU amuukumu
@rugarekashasha8196Ай бұрын
Wamusamee juu sio baba yako aliye uwawa. Subiri awesome mama yako ndioo utamsamea. Huo ujinga wa dini ndio mwanzo wa mabaya. Biblia yenyewe inasema USIMWACHE MCHAWI KUISHI WEWE UNALETA MAMBO YA MSAMAA.