Peke yang siwez Mungu wng nipe nguvu ya kushinda jehova nakutegemea wew pekee usieshindwa.
@joylexa6613 жыл бұрын
Nipe nguvu ya kushinda Baba... siwezi bila wewe...😰😰😰😰😰😭
@annehaule7696 Жыл бұрын
Nipe nguvu ya kushinda yesu
@mkwekimaro77989 жыл бұрын
Nikiwaza sana nikilia sana nikiumizwa sana nackiliza hii nyimbo na inanibarikii mpak nashangaa mana nasahau kila kitu napata nguvu na ujacri ani naona akuna shida tena. Flora Mungu akubarik kila saa niko nje ya Tz Ila napenda sana kukutafuta apa. Nyimbo hii ni kama ngao yangu barikiwa sana kwan hii nyimbo nifaraja tosha kwang
@evilahmponzi27682 жыл бұрын
Nipe nguvu ya kushinda Mungu wangu
@salomemlagila57575 жыл бұрын
Frola nimekumic utumishi wako , come back uudumie watu wa Mungu
@elizabetheliya15925 жыл бұрын
YESU nipe nguvu yakushinda haya niyapitiayo unapimgusa mtumishi wako kumpa nguvu kupitia wimbo huu usinipite🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭
@peninaismail98482 жыл бұрын
nipe nguvu Mungu wangu🙏😔
@basiliabenith38715 жыл бұрын
Nipenguvu ya kushinda 💫💫🙏🙏
@christinephilip50432 жыл бұрын
Amen utukufu kwa Mungu wetu 🙏🙏🙏
@marynon60336 жыл бұрын
Mungu nipe nguvu ya kushinda majalibu anayoyapa mama yangu eeeeeeee mwenyezi mungu nipe nguvu tena na tena kwani peke yangu siwezi
@rosemark305710 жыл бұрын
nampenda sana flora mbasha. napenda kusikiliza nyimbo zake
@chedamoraadaisy3169 жыл бұрын
Naomba ndoa yako ienderee
@jonhjack41877 жыл бұрын
Ohooo Nipe nguvu ya kushinda grorl to God i like xo much this song
@nurumotela82639 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana dadaangu ni kwel pekeyako Huwezi mungu wangu akupe nguvu ya kushinda
@rumishamsaki59449 жыл бұрын
Kweli tunahitaji nguvu za Mungu ili tushinde maana mbwa mwitu ni wengi wanatutafuta ili watulalue ooh! Mungu nipe nguvu yakushinda
@venerandaodas16938 жыл бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu ya kusonga mbele..nabarikiwa sana na wimbo huu.
@doriceleonard74258 жыл бұрын
nipe nguvu bwana ya kushinda amina ubalikiwekupitia nyimbo pia mungu hutenda jambo amina
@annamnyela31974 жыл бұрын
Npe nguvu ya kushinda peke yangu siwez baba
@catherinenafula64425 жыл бұрын
Kweli mungu nipe nguvu ya kushinda ubarikiwe dada
@irenemwanaa81605 жыл бұрын
Hakika mungu nipe nguvu yakushinda! Pekee sitaweza
@stelageorge93634 жыл бұрын
Huu wimbo unaniliza daily pale nikiwa na mawazo hlf sina wazazi.. Uuwiiii Mungu akulinde Flora... Nyimbo zako zinagusa mifupa yangu kabisa. ❤️👏
@mwengijoseph3778 жыл бұрын
Peke yangu cwez , npe nguvu za kushinda. nmebarikiwa sana na huu wimbo
@IrakozeEv10 жыл бұрын
Nice song mungu akubariki.
@upendobenson10 жыл бұрын
very powerful song.. Mungu azidi kukuinua na kukupigania kwa Jina la Yesu. Love u Sis
@theresiabonyhaule75377 жыл бұрын
nipe nguvu ya kushinda peke yangu siwezi Mungu nisaidie nimebarikiwa mno
@agnessvincent17368 жыл бұрын
Barikiwa mno..dada yetu..hakika bila yeye.hatuwez kitu
@marryedward27306 жыл бұрын
nipe nguvu ya kushinda ee mwenyezi mungu, barikiwa sana frola Mungu akutie nguvu tena na tena
@ellykimambo79076 жыл бұрын
Nipe nguvu yakushinda maana bila ww sitaweza kushinda oooooh asante yesu
@NelsonMajuraLusathoKebeyo7 жыл бұрын
Ni kweli, sitoweza kamwe bila Yesu. Ahsante kwa wimbo mzuri
@jenirozamtete7376 жыл бұрын
Ee Mungu wangu nipe nguvu ya kuyashinda haya magumu ninayopitia
@erasmosdidas93167 жыл бұрын
Kweli Yesu pekee ndiye wqkutupa nguvu za kushinda ,be blessed Florah
@jenirozamtete7377 жыл бұрын
nipe nguvu ya kushinda Mungu wangu
@gulbergtoursandsafarisltd92509 жыл бұрын
wimbo huu unanipa nguvu na ujasiri.barikiwa flora
@GG-sd6nb8 жыл бұрын
Dada flora nakupenda uko na roho safi kwa kumsamehe mume wako hivyo umetuonyesha mfano mwema wa Yesu msamaha na upendo barikiwa sana
@petronilakimario85337 жыл бұрын
sjui wai alihairisha msamaha tena😢😢😢
@petronilakimario85337 жыл бұрын
why 😢😢
@abigailfrank68077 жыл бұрын
oooooh ubarikiwe sana wimbo mzuri sana
@anithajoseph89236 жыл бұрын
nipe nguvu yakushinda bwana yesu
@benjaminsamwel50594 жыл бұрын
Kama south Africa hv, nmebarikiwa sana
@jannerysharongaza94697 жыл бұрын
nipe nguvu mungu....siwezi bila ww
@anitamatildah99418 жыл бұрын
Amen. Nami naomba nguvu za kushinda. mungu baba Nisaidie.
@KalelaTV8 жыл бұрын
kigwendu
@pastor.kanunikayombo78647 жыл бұрын
Anita محمدMatildah wimbo unanibarik lakini sijabarikiwq natabia za mwimbaji.amekuwamfano mchafu kwa wa Kristo kwakwenda kinyume na maandiko matakatiu
@beatricemagesse35057 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo, ubarikiwe dada flora
@shekinakijana66338 жыл бұрын
i like your old songs mother than new songs but you are my favorite in tanzania gospel🙏🙏💕❤
@josephkibuko23998 жыл бұрын
thx dada flora mbasha na mimi na fata nyayo zako na jua nita fika ,hellen Edward
@ellysasali60148 жыл бұрын
Eeeeh MUNGU nipe nguvu nami niyashinde majaribu yangu
@thadeomihayo37956 жыл бұрын
Madam you are the queen of melody in Tanzania, sauti yako unaichezea jinsi utakavyo na radha inabakia vile vile, ubarikiwe sana kwa wimbo huu, nimekuelewa sana maana una radha ya nyimbo za south africa gospel umetisha Dada yangu
@lilianachieng77096 жыл бұрын
Nimependa hiiwimbo sana God bless you
@GG-sd6nb8 жыл бұрын
kweli nipe nguvu ya kushinda peke yangu siwezi it has touched my heart and humbled me
@lindawekesa98687 жыл бұрын
zaidi ya yote mungu nipe nguvu...you are my only hope LORD.....the battles belong to you on my own i cant make it!
@alexiskageha2635 жыл бұрын
Yah.. It's true siwezi bila Mungu, natamani niwe karibu na Mungu I'll aniwezeshe kushinda Amen
@kambuuremarrabo58628 жыл бұрын
nipe nguvu ni wimbo ulionibaeiki sana Dada flora
@devothaisaya58334 жыл бұрын
Ni Mungu tu atupe nguvu ya kushinda
@heriethgoodson88747 жыл бұрын
nabarikiwa sana na uuu wimbo ...stay blessed Florah
@beyondartists76415 жыл бұрын
Nice song I'm so relieved right now after listening to it.
@alexiskageha2635 жыл бұрын
It's so so powerful... I dream to be like her,,,, lovely song
@annehaule7696 Жыл бұрын
Flora nyimbo hii inanitoa machoz kweli peke yangu cwez
@OfficialDianaMhagama5 ай бұрын
Amen my dada nakupenda
@alexmlwisa49328 жыл бұрын
nami nipe nguvu ee bwanaa nipate kushindaa
@janethsanga62586 жыл бұрын
nakupenda na unanitia nguvu mno umenifanya nipate nguvu kusimamia nichokipenda
@naomuandrew52549 жыл бұрын
Wimbo huu unisogeza karibu sana na MUNGU wakati wa maombi
@rajabkham2122 жыл бұрын
This is the season where this song is really ministering to me
@CharlottePierce10 жыл бұрын
Beautiful music, it carries me as my mother passes away.
@LWilliamsgoodinklings10 жыл бұрын
I am thinking about you and your family, and praying.
@kirstenlogan517510 жыл бұрын
Praying for you ....safe passage for your mother ....peace be..
@victoriachengula56305 жыл бұрын
nipe nguvu
@millicentchelule60437 жыл бұрын
Nipe nguvu baba pekee yangu sitaweza
@ndigwakojohn25446 жыл бұрын
Nipe nguvu ya kushinda MUNGU Wangu
@saviomlelwa9 ай бұрын
Nipe nguvu ya kushinda yote peke yangu siwezi
@GG-sd6nb8 жыл бұрын
i congratulated you when God gave you strength of overcoming what happened to your family by forgiving your husband you are a hero to that God bless you
@leahfrank11868 жыл бұрын
Ohhhh nipe nguvu
@mahobeandrewjr.39110 жыл бұрын
Ooh meen out of all your songs..,this one has real touched me
@hezronmsemwa600810 жыл бұрын
it's good!
@selinamkonde63735 жыл бұрын
Peke yangu siwezi nipe nguvu ya kushinda🙏🙏🙏
@ausonjoseph80210 жыл бұрын
Nice song my sister
@babygal24012 жыл бұрын
Mashalla 🙏
@veronicaromwald83113 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@stephenmwasambogo73237 жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana
@sayunimrita750410 жыл бұрын
What a beautiful song. God bless Flora!
@fredaamiry10078 жыл бұрын
e Mungu Nami npe nguvu leo
@maryawino41667 жыл бұрын
eeh mungu wangu nipe nguvu kwa wakati huu mgumu ambao nmempoteza mamangu mpenwa
@neemawilliam84156 жыл бұрын
Mary awino pole mama Yesu ni baba ya watima atakupa nguvu
@lightnesskimaro612310 жыл бұрын
yote yanawezekana kwa imani
@yonaelikoinange52858 жыл бұрын
Since you sing this song am so blessed.
@naomuandrew52549 жыл бұрын
Na zaidi ya yote ombi langu wa watu wote tuiombee ndoa ya Flora na Emanuel, hakuna la kumshinda MUNGU
@janethreuben19978 жыл бұрын
NAOMU ANDREW
@elizabethopere27844 жыл бұрын
A nice msg we need God in our lives
@sarafina66567 жыл бұрын
Eeh Yesu nipe nguvu
@martinaalipha774710 жыл бұрын
god bless you my sister I love u
@marianapetro338110 жыл бұрын
Daah dis song real touch ma heart so much god bless u sis Flora
@rumishamsaki59448 жыл бұрын
Amen nipenguvu yakushinda
@mukideothumani10477 жыл бұрын
mungu nipe nguvu
@elimunibure27287 жыл бұрын
wewe unafanya biashara tuu! Mungu hayupo kabisa kwako! ati unaolewa tena! sikutofautishi na wema sepetu!