No video

Madam Flora - Wakati Wake Official Video

  Рет қаралды 143,681

Madam Flora

Madam Flora

Күн бұрын

Verse
Wakati wa kucheka ni furaha unasahau kama kuna machozi,
Wakati wa kulia ni huzuni unasahau kama kuna kucheka,
Lakini kwa kila jambo usisahau kwamba yupo Mungu,
Lakini kwa kila jambo usisahau kwamba yupo Mungu,
Ooh kila jambo,kila jambo
Kila jambo na wakati wake,
kila jambo,kila jambo
Kila jambo na wakati wake
Chorus..
Eih kila jambo...
Wakati wa kucheka na wakati wa kulia,
Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa kila jambo,,
Wakati wa kunyamaza na wakati wa kunena kila jambo
Kila jambo kila jambo
Kila jambo na wakati wake
..
Verse
Ukiona mwenzako analia usifurahi maana atacheka tena,
Ndugu yako akianguka usifurahi atainuka tena,
Maana kuna wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga,
Lakini kwa kila jambo usisahau kwamba yupo Mungu..
Chorus..
Ooh kila jambo, kila jambo kila jambo
Wakati kuzaliwa na wakati wa kufa kila jambo,,
Wakati wa kunyamaza na wakati wa kunena kila jambo..
Kuna wakati wa vita na wakati wa amani, kila jambo..
Kila jambo kila jambo
Kila jambo na wakati wake...
Verse..
Rafiki usiogope, unayopitia utasimama tena,
Neno la Mungu linasema, hata uanguke mara saba, utasimama tena,
Ndoto kubwa haikosi maneno, kusalitiwa, kudhihakiwa,
Ndoto kubwa haikosi maneno, kusalitiwa, kudhihakiwa,
Lakini neno la Mungu liko palepale, palepale utasimama tena,
Lakini neno la Mungu liko palepale, palepale utasimama tena....
Chorus..
Oooh kila jambo, kila jambo, kila jambo,
Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa, kila jambo,
Wakati wa kunyamaza na wakati wa kunena, kila jambo,
Wakati wa kulia na wakati wa kucheka
Kila jambo, kila jambo, kila jambo na wakati wake,
Kila jambo, kila jambo, kila jambo na wakati wake
Kila jambo, kila jambo,
Kila jambo na wakati wake

Пікірлер: 137
@fredmarwa1727
@fredmarwa1727 6 күн бұрын
Amina kubwa kabisa Asante Yesu
@francoismalenge1373
@francoismalenge1373 3 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen 🎉🎉
@OfficialDianaMhagama
@OfficialDianaMhagama 6 күн бұрын
M blessed
@madamleticia94
@madamleticia94 Жыл бұрын
Ameeeeen
@f.j.e5282
@f.j.e5282 3 жыл бұрын
Ameen...
@felistermbushi8895
@felistermbushi8895 Жыл бұрын
Kila Jambo na wakati wake
@yohanadaniel6959
@yohanadaniel6959 3 жыл бұрын
Yohana daniel
@jumahusein6254
@jumahusein6254 4 жыл бұрын
Hawa ndio waliokoka kavaa vzur nyimbo , imetulia Ina upako mpaka raha ya wokovu unasikia
@loiruckmollel9862
@loiruckmollel9862 2 жыл бұрын
Ni kweli.
@allysalum9318
@allysalum9318 3 жыл бұрын
✌🏾❤️
@revombenmwakwenda6006
@revombenmwakwenda6006 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ndugu katika Kristo wimbo unaujumbe mzuuri sana huu hivi mtu akihitaji huduma anakupataje
@timothysalehe402
@timothysalehe402 3 жыл бұрын
Amen
@emmycharles8463
@emmycharles8463 3 жыл бұрын
Duuu nlikuwa naisubir hyo saut ya mwishon inanibariki xana madam
@Naomiandrew938
@Naomiandrew938 4 жыл бұрын
Ndoto kubwa haikosi Maneno Maneno ............ kusalitiwa
@gospotv
@gospotv 4 жыл бұрын
Kazi nzuri
@zabronadamsony870
@zabronadamsony870 Жыл бұрын
Amina dada mungu ndo Kila kitu katika maisha haya wimbo huu unagusaa 😥❤️🙏 2023
@neemasarwatt1030
@neemasarwatt1030 4 жыл бұрын
Mwimbo mzuri sana,hongera sana my dear
@shangweremiofficial4124
@shangweremiofficial4124 2 жыл бұрын
Barikiwa sana kazi yako njema sister
@magrethmwakyusa9641
@magrethmwakyusa9641 4 жыл бұрын
Wow Hongera my dada wimbo n baraka sana sana
@pastorchico6388
@pastorchico6388 4 жыл бұрын
Kazi njema BWANA akuinue
@Andy_tz
@Andy_tz 4 жыл бұрын
wimbo mzuri madam... sauti imepoa hadi raha... Ubarikiwe sana nakupenda madam frolah😍
@christophermshuza5648
@christophermshuza5648 4 жыл бұрын
Real sauti Mungu amempa ya kiutumishi kbs
@eunicenziku2232
@eunicenziku2232 4 жыл бұрын
waooh nilisubiri sana video hii.Mungu akuinue zaidi Flora
@georgesokozi6213
@georgesokozi6213 4 жыл бұрын
nyimbo nzuri sn. mungu akubariki.umeitendea haki sana. niliona ukiimba siku ya harusi yako pale mwanza nikatamani sana uitoleee video yake mapema. ubarikiwe sana madam flora.
@Goldfilims
@Goldfilims 2 жыл бұрын
Huu wimbo unanifanya nikumbuke ahadi za Mungu maishani mwangu
@hellenndekeja4163
@hellenndekeja4163 4 жыл бұрын
Barikiwa my dear kwa kaz nzur
@upendokomba913
@upendokomba913 4 жыл бұрын
Nampenda huyu mdada mbarikiww na huu wimbo
@hellenkisanga3974
@hellenkisanga3974 3 жыл бұрын
Hongera sana wimbo umenibariki
@anithayohana6063
@anithayohana6063 2 жыл бұрын
🙌🙌😭😭 God....
@elinamielibariki2134
@elinamielibariki2134 4 жыл бұрын
Waooo kazi nzuri
@phinaringo7083
@phinaringo7083 4 жыл бұрын
hongera dada kweli kila jambo na wakati wake
@josesamuelnduda2917
@josesamuelnduda2917 3 жыл бұрын
Mi Naomba nyimbo za albamu ya Usilie tena. Naomba mama madam flora.
@judithngasa1370
@judithngasa1370 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana barikiwa.
@magrethevarist4378
@magrethevarist4378 2 жыл бұрын
Nice Song Mumy Mungu Akuinue Sana Nimebarikiwa
@emmanuelvitus5989
@emmanuelvitus5989 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa na huu wimbo mungu akuinue mtumishi
@silassibuda9980
@silassibuda9980 Жыл бұрын
This song is so good likes please woow❤. GOD BLESS YOU
@sadothkyaruzi2077
@sadothkyaruzi2077 4 жыл бұрын
Ujumbe makini na wa uponyaji
@salaphinasilvester9252
@salaphinasilvester9252 4 жыл бұрын
Ujumbe mzuri unanifariji sana
@hamidaramadhan3195
@hamidaramadhan3195 4 жыл бұрын
Nice madam frola
@uyanjongura3658
@uyanjongura3658 4 жыл бұрын
Katika kuanguka kuna kusimama tena, kila jambo kwa wakati wake🙏
@queenmichael8707
@queenmichael8707 4 жыл бұрын
Amina madam Flora ole wake anayekuhukumu ambaye hawezi hata kukuumbia sikio songa mbele hapo ulipo ndipo Mungu alitaka uwe hapo.
@annaa.kijanjali7968
@annaa.kijanjali7968 4 жыл бұрын
Nakupenda sana siku zote
@hopesheby7344
@hopesheby7344 3 жыл бұрын
Nakupenda Florah
@hitecstars.1
@hitecstars.1 7 ай бұрын
hi, just found you too
@allenmlelwa7950
@allenmlelwa7950 4 жыл бұрын
Hongera sana Dada wimbo mzuri sana...
@esterjumahesterjumah2504
@esterjumahesterjumah2504 4 жыл бұрын
Waooooow, hakika mungu ameweka kitu ndan yako, madam
@anithayohana6063
@anithayohana6063 4 ай бұрын
Here I am again..after 4 years 😢
@anithayohana6063
@anithayohana6063 4 ай бұрын
Lakini Neno la Mungu liko pale pale...utasimama Tena 😭
@marynasson4504
@marynasson4504 4 жыл бұрын
Hiii nyimbo huwa inaniiinua. Mung u akubarki Sana mmy
@hildamassanja8483
@hildamassanja8483 3 жыл бұрын
Hakika kila jambo na wakati wake
@rosemlera
@rosemlera Жыл бұрын
Amina dada Kila Jambo na wakat wake
@augustermalima2662
@augustermalima2662 4 жыл бұрын
Well done ma mdogo, encouraging song. KILA JAMBO NA WAKATI WAKE.
@thedylyimo1161
@thedylyimo1161 4 жыл бұрын
Amina sana madamu wimbo mzuri unanitia moyo n nguvu
@alexiskageha263
@alexiskageha263 4 жыл бұрын
Kilajambo na wakati wake... Nasubiri wakati wangu Amen
@salmamussa8988
@salmamussa8988 4 жыл бұрын
hongera ,wimbo mzuri unanifariji
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dadangu Mungu yu mwema sana
@furahayabwana6127
@furahayabwana6127 4 жыл бұрын
Amen amen👏🤝🌹
@juliasalim2626
@juliasalim2626 3 жыл бұрын
From Kenya...Julia salim...I'm blessed may God bless you more florah
@janethsaukiwa3966
@janethsaukiwa3966 3 жыл бұрын
Hakika kila jambo na wakati wakeee🙌🙌
@ritalisu455
@ritalisu455 4 жыл бұрын
Mungu nifufuke roho yangu ilie kufa
@graceneema3855
@graceneema3855 4 жыл бұрын
Sauti mummy inanibariki...maneno ya wimbo mazuri Sana...barikiwa zaidi♥️
@agneslumanyika1026
@agneslumanyika1026 4 жыл бұрын
Asante Dada wimbo mzuriii
@queenmichael8707
@queenmichael8707 4 жыл бұрын
Jamani nimeikiliza huu wimbo siku tano baada ya hapo kijana wetu wa kazi akafariki chumbani bila ya Sisi kujua siku ya pili kumfuata tayari ameanza kuharibika jamani huzuni ni nyingi sana alikuwa haumwi hata ukucha, duuu kila Jambo na wakati wake huzuni imetawala Mungu atusaidie
@cecilialucas7655
@cecilialucas7655 4 жыл бұрын
Poleee sana Mungu ndio muweza kwa majira yote
@mussangonya6179
@mussangonya6179 4 жыл бұрын
Kila jambo
@esthermarkmalekana1122
@esthermarkmalekana1122 4 жыл бұрын
Amen Hakika kila jambo na wakati wake Mungu akubariki Madam
@deborandewingia6120
@deborandewingia6120 4 жыл бұрын
Ammmennnn......wimbo umenibariki mno
@rebecanassary7630
@rebecanassary7630 4 жыл бұрын
Amen Kila jambo na wakat wake. Barikiwa mtumish
@laurentsamilah5001
@laurentsamilah5001 4 жыл бұрын
nmepnd nyimbo nzuri
@evelynmasaka2894
@evelynmasaka2894 4 жыл бұрын
mrs mpeta.... love u madam... kila jambo langu lililopangwa na mungu juuu yangu lina wakat wake.
@gpsm2516
@gpsm2516 4 жыл бұрын
ubarikiwe madam wimbo mzuri beat limetulia mno
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 4 жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana Madam Flora
@ritalisu455
@ritalisu455 4 жыл бұрын
Usisahau mwanito
@bishopkatunzi4892
@bishopkatunzi4892 4 жыл бұрын
Barikiwa
@saviomlelwa
@saviomlelwa 4 жыл бұрын
Good song stay blessed Dada flora
@joelmasebo5643
@joelmasebo5643 4 жыл бұрын
Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke
@alexiskageha263
@alexiskageha263 4 жыл бұрын
I real like your songs.. You have a nice voice .. God bless you.
@emmanuellazaro8806
@emmanuellazaro8806 3 жыл бұрын
So good
@cpaminabuiferuz9298
@cpaminabuiferuz9298 4 жыл бұрын
Hakika Kila jambo na wakati wake.thanks for this
@aloysirene6041
@aloysirene6041 4 жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki Sana ,pamoja na magumu ninayopitia Ila naamini no wakati tu kuna mahali naenda.
@vicentezekiel374
@vicentezekiel374 4 жыл бұрын
Imetulia nzuri sana
@Alfafurgence
@Alfafurgence 4 жыл бұрын
Wowwwww wewe ni mama wa shoka
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri Ila ulijishushia heshima Kwa yaleeeeeeeeeeeeeeeeeee
@marthamhede3961
@marthamhede3961 4 жыл бұрын
Baraka wewe ni mungu kwamba unamfahamu MTU na matatizo anayopitia mkpa kuamua kufanya hivyo
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 4 жыл бұрын
Mmemkazania huyu dada,je mnamjua vizuri huyo alikuyekuwa anajiita Mume wake?na je unaelewa mume sahihi anakujaje?je umewahi kujua huyu dada aliolewa akiwa na umri gani na akili za aina gani?#noresearchnorighttospeak#
@paulinacosmas6355
@paulinacosmas6355 4 жыл бұрын
Barikiwa sana
@maryanthonymgubari8784
@maryanthonymgubari8784 4 жыл бұрын
hapo sawa F kwa utulivu huo Mungu akutangulie🎹🎸
@RodachildofChrist
@RodachildofChrist 4 жыл бұрын
Asante Yesu. Ninamomba Mungu akubariki madam
@patriciamija7738
@patriciamija7738 4 жыл бұрын
Kweli kila Jambo na wakati wake.
@georgekimasa7393
@georgekimasa7393 4 жыл бұрын
Nimekukubari sana madam songa mbele
@maryjon5286
@maryjon5286 4 жыл бұрын
Amina Dada frorah mungu akubariki
@eddahmwampagama115
@eddahmwampagama115 4 жыл бұрын
Nyimbo nzuri
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana😍
@pulengpule2356
@pulengpule2356 4 жыл бұрын
as i do not understand the language but the voice is unique and the song is a hit
@neemaloy889
@neemaloy889 4 жыл бұрын
Hongera madam,inuka tena kwa jina la Yesu
@mckingmojojo363
@mckingmojojo363 4 жыл бұрын
Hakika kila jambo na wakati wake uzidi kubarikiwa Madam Flora kwa kazi njema kama hii
@derickrozy3213
@derickrozy3213 4 жыл бұрын
Am so blessed with this Song. Barikiwa sana my sister.
@winniek.8855
@winniek.8855 4 жыл бұрын
God i bless your name. Kazi nzuri sana Madam Flora
@neemangole8200
@neemangole8200 4 жыл бұрын
Nice song
@entujaelmsangi4328
@entujaelmsangi4328 4 жыл бұрын
Ameeen 🙌
@carolhumphrey1907
@carolhumphrey1907 4 жыл бұрын
This song came at the right time wooow much love dada
@Elsie_mwanzia
@Elsie_mwanzia 4 жыл бұрын
Am so encouraged. From 🇰🇪
@bosslady6215
@bosslady6215 4 жыл бұрын
Kuimba unaimba sana ...good job madam ♥️♥️
@erickmwangonda7814
@erickmwangonda7814 4 жыл бұрын
Huduma nzuri dada ake mungu akubariki sana umenitia moyo sana,usifurai mwenzio akilia maana atacheka tena🎸🎸🎸🎸
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 2 жыл бұрын
This song is making me to be filled with the presence of the Holy Spirit.
@euniceamon8155
@euniceamon8155 4 жыл бұрын
Voice😍😘😘😘😘😘🙌
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 4 жыл бұрын
Its a good msg
@brigityluvandwa9054
@brigityluvandwa9054 3 жыл бұрын
Am encouraged by this song...God bless you
Madam Flora - Yesu Usinipite (Official Video)
6:03
Madam Flora
Рет қаралды 133 М.
Hakuna Tatizo Kuu
6:50
Flora Mbasha - Topic
Рет қаралды 13 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 20 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Fanuel Sedekia - Nitaimba Halleluya (Official Video)
6:25
Africha Entertainment
Рет қаралды 557 М.
Flora Mbasha kaolewa tena... Tazama ndoa ilivyofungwa
25:17
Millard Ayo
Рет қаралды 814 М.
Angel benard - Nikumbushe wema wako (Official Video)
7:21
Angel Benard
Рет қаралды 18 МЛН
Neema Jeckonia  Chavala - JARIBU KAMA MLIMA (Official Video)
8:08
NEEMA JECKONIA CHAVALA
Рет қаралды 268 М.
AMEFANYA by MIRIAM LUKINDO WA MAUKI
5:56
Miriam Lukindo
Рет қаралды 71 М.
Kila Jambo Lina wakati wake - Jehovaniss Tunduma
7:37
Wimbo Wetu Makete
Рет қаралды 230 М.
Flora Mbasha FANYA NJIA
9:18
MrKambota
Рет қаралды 129 М.
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 68 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН