Uyo anazalau kaja TZ ajapoteza hat Moja asemahle apokee kichapo
@AllyAbdallah-tn5xb8 күн бұрын
Anaenda kupigwa uyuuu
@MwazoaMwazoa8 күн бұрын
Frank hata Akipoteza nimemkubali Rasmi.Tunahitajia vijana jasiri na wanaojiamini.Bado ni kijana sana na huo ndio mtaji wa kwanza.Anafanya mazoezi yakutosha.Na yule jamaa ni Brazamen tu hana maajabu ya kihivyo.Naamini champion unashinda hii fight umejiamini nasi tunakuamini.Mungu ibariki Tanzania