Najifunza mengi sana kutoka kwa bro fred kibiashara ipo siku nitafungua la kwangu insha allah
@mariumpeter6147 Жыл бұрын
Amiiiin Allah awe nawe
@jamilasalim7165 Жыл бұрын
Majibu konk sana hongera vunja bei tuletee na sisi huku kwetu Kenya, nipitieni na Mimi wadau mnisapoti nitashukuru
@Pedeshee01 Жыл бұрын
😂😂😂
@jamilasalim7165 Жыл бұрын
@@Pedeshee01 mbna wacheka umeelewa kweli
@Pedeshee01 Жыл бұрын
@@jamilasalim7165 Atafika mpaka huko ni mpambanaji si umemsikia anafungua maduka sehemu mbalimbali.
@jamilasalim7165 Жыл бұрын
@@Pedeshee01 sawa inshallah gusa picha yangu unisapoti nitashukuru
@piusphilip307 Жыл бұрын
Mungu akubariki Bw. Fred. Hiyo dream yako na ikawe ya kufungua viwanda Tanzania. Lakini hakikisha unafuata sheria za nchini Tanzania ili usikwame
@gubuleamissaamissi9871 Жыл бұрын
Asante kuja karibu kigoma ninyumbani tena nikaribu n'a Burundi tutakuja kununuwa
@zabrongermanus-co1jj Жыл бұрын
Bilionea
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Tunda Danga achana naye Fred hata usimjibu wala kumuongelea hata kidg. Hebu jifunze kwa Chibu kama hujazoea kuitwa Boss au Big. Waandishi wajulie kuishi nao sio kila swali unapaswa kuwajibu wanavyotaka. Wewe ni icon kwa vijana wengi na tuliowengi vijana tunaanhalia sana mitandao na hawa waandishi sisi ndio tunawazoom,hatutaki watuharibie target zetu hata kdg ila tunafanya kuview ili tupate faida ila tunapoona na wewe unakunya tunatupaga chooni hadi tui la yai sio la yai tu pekeake. Jitahd sn kuwa na manager mjanja wa mjini aliyesoma kama wewe alafu,atakusaidia sana
@deusmallya3384 Жыл бұрын
👊👊👊👊👊 Safi sana
@JastesPaulo Жыл бұрын
❤
@tysonmpasu3539 Жыл бұрын
Sema wajumbe watu watu sana 🤣🤣🤣
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Karibu zanzibar 💃💃💃💃💃
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Kasema januari atafungua program yao ilikua mwaka huu wafungue maduka manne mojawapo ni zanzibar kwa hiyoo mwakani atakuja
@deusmallya3384 Жыл бұрын
We ni mpambanaji sana big up sana f👊👊👊👊👊
@peter4005 Жыл бұрын
Wa kwanza kuccoment likes zenu
@deboramwalubwelo4184 Жыл бұрын
Nguo zako zinapauka broo
@foodbasiccourt2028 Жыл бұрын
Hivi waandishi wanaokaaga kimya hadi interview inaisha dah
@theosaimon6933 Жыл бұрын
Huyo mmoja anatosha hizo mic teyari zimeshachukuwa au kurecord interview nzima?wao wanakwenda kuupload kwenye channel yao mfano carry mastory hajaongea hapo ila ukienda kwenye channel yake utakuta ameshauploads interview nzima