FREEMAN MBOWE ANGURUMA AKITOKEA MAHABUSU AWEKA MISIMAMO MIKALI,LEMA AANZA MAANDAMANO KWENYE NDEGE

  Рет қаралды 5,910

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 2 сағат бұрын
Pamoja na kuzii maandamano lakini mmewajambisha vya kutosha na gharama za kuzuia maadamano si wangejenga hata vituo viwili vya afya tunaongozwa na vihiyoo na mamuma wa kutupwa
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 3 сағат бұрын
Mwandishi, kichwa cha habari "misimamo mikali" hakiendani na ustaarabu alionao Mbowe katika maongezi yake. Maana "misimamo mikali" maana yake ni kuziba masikio yako, ili usisikie hoja mbadala bali yako tuu. Jambo ambalo silioni kuwepo kwa Mbowe.
@hawaali8371
@hawaali8371 Сағат бұрын
Yaani Chademe Nyiye Ni Komesha😂😂😂❤❤
@andrewmushi8274
@andrewmushi8274 Сағат бұрын
Pole sana Mh Rais Freeman Mbowe kiongozi ujasiri muongoza njia Mungu akutunze kiongoz usirudi nyuma safari ya ukombozi wa hili taifa imeanza Kwa speed kubwa na tutafika Salama 🎉🎉🎉🎉🎉
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 43 минут бұрын
Huy bangi ameanza kuvuta ukubwan. Mwnykt wa kudumu wa Mazwazwa yote Tanzania.
@NellyDibaling
@NellyDibaling 4 сағат бұрын
Mbowe Ni zaidi ya kiongozi
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 41 минут бұрын
Wanaonekana wana arosto ya bangi, angalia lema anavorembua Kama zuwena diamond.
@ruthdavie1175
@ruthdavie1175 4 сағат бұрын
Sura ya mwenyekiti ina mengi😢
@NellyDibaling
@NellyDibaling 4 сағат бұрын
Bongo akili ndogo inaongoza akili kubwa daah😂😂
@clotildatarimo7847
@clotildatarimo7847 Сағат бұрын
Askari 10, vip, chadema mko juu sanaaa
@matukutajuma156
@matukutajuma156 3 сағат бұрын
MBOWE AMEFANIKIWA KUJIONGEZEA UMAARUFU KISIASA BILA SABABU ZA MSINGI!
@dottokaduma3954
@dottokaduma3954 Сағат бұрын
Badala ya police kujipanga kuzuia maandamano, walitakiwa wajipange kuhakikisha maandamano yanakuwa ya amani. Chuki iliyomo kwa baadhi ya waTZ inazidi kujijenga ndani kwa ndani, ipo siku italipuka .. it's a matter of time.
@hawaali8371
@hawaali8371 Сағат бұрын
Muheshimiwa Lema. Umeanzia Maandamano Kwenye Ndege😂😂😂
@michaelwilson679
@michaelwilson679 2 сағат бұрын
Kwann Mh. Mbowe na Lissu msipeleke mahakana ya Rufaa ya haki za binadamu ya Dunia? Maana mahakama za tz ni za kichawa tu
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 сағат бұрын
Huyu Kikeke ni Mwajiri na mwajiriwa pia kwenye media yake wazeeiy
@AkilinyoMussanyo
@AkilinyoMussanyo 3 сағат бұрын
Ngoma ikivuma sana ipo siku itapasuka
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 41 минут бұрын
Lema anavorembua Kama zuwena diamond.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 сағат бұрын
✌️👍👊.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 4 сағат бұрын
Religious leader tuacha akili ndogo ktk taifa soon after all political leader relise we don't get help from any national to put our national and tanzania people saif chadema you have responsibility anounciment country wide protesting agest deeth of politician political figure lost of political figure on the police hand anounciment of protesting country wide will be lock gavment activities to reach dimand of free team organization of election on locel gavment election religious leader this nation out saif is our responsibility if the res any religious leader this dimand if political leader is the chadema Rong thinking tuiteshe nchi nzima maandamano mikoa. Yote. Ya daresalama wambieni wa kuu wa chadema wa mikoa kuwajenga kisaycolojia wanachama wote wa chadema na saport tuungane kutafuta tume huru ya uchaguzi tuanzie hapa kabla ya uchaguzi Dunia ipo inaona tusiweke skill daresalama tuu mikoa yote ya nchi mabishano yakiea makubwa yutapata tune huru uchaguzi watahaisha tuende sawa vinginevyo uwizi wa kura upo pale pale
@PaschalShija-j8h
@PaschalShija-j8h 4 сағат бұрын
Dah hivi Tanzania hii inaenfa WAP??
@dorafrank523
@dorafrank523 2 сағат бұрын
Maandamano kwenye ndege aibu nasikia mimi
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 Сағат бұрын
😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@barakanatus5676
@barakanatus5676 4 сағат бұрын
Uwe Mwenyekiti wa milele unastahil upinzan lzm mwenye nguvu.
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 3 сағат бұрын
Acha kufuru.
@kelvinmwombeki763
@kelvinmwombeki763 4 сағат бұрын
Pole sana
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 44 минут бұрын
Hawa wavuta bangi wametoka?. Watulze vinyeo sasa. Tunajenga nchi, haya mazee ya Chadema yanajikuta GenZ. Huyo lema ndo boya limbukeni ,kilaktu marekan. Trump anahepa risasi kila siku huko. Mwenykit wa kudumu .
@jerybrown
@jerybrown 21 минут бұрын
We Kuma usiyojitambua kaambali na nchi yetu
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 3 сағат бұрын
Niwashauri achaneni na siasa hii nchi niyawengi hamtaumia peke yenu sasa angalia mnavyozalilika mmeahidi kuandamana mmeishia kwenye mikono ya polisi sasa nani mnyonge acheni tubak na chama kimoja mbona hamsikii
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 3 сағат бұрын
Ingekua hivo unavyo waza hata yesu hasinge kuja
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 2 сағат бұрын
Huna akili kula unachopata siku ukikosa utapata akili
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 2 сағат бұрын
Msenge ww nani hana k ww ndo pilimbira na unafirwa
@muhamedswaleh
@muhamedswaleh 5 сағат бұрын
Watanzania nawasihi, hii njia mnayoipitie si nzuri kwa mstakabali wa nchi. Kenya imepitia njia hiyo hiyo, lakini mpaka sasa hakuna faida yeyote isipokua, maandamano Kila kukicha. Tanzania inasifika sana kwa uelewano na undugu, mwasifika sana. Mazungumzo ni muhimu baina yenu na tamaa ya utawale Haina faida yeyote. Msipoteze undugu wenu kwa fitina na tamaa ndogo ndogo. Naipenda Tanzania sana sana.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 4 сағат бұрын
Toa likoment lako hapa usiejielewa wewe
@barakanatus5676
@barakanatus5676 4 сағат бұрын
Jinga wew unadhan bila haya SGR ungeiona? Lzm wawe watu ambao wanapinga yasiyo faa.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 4 сағат бұрын
@@muhamedswaleh kwa akili zako unadhani bila upinzani kungekuwa na maendeleo.
@edwinamos9734
@edwinamos9734 4 сағат бұрын
Mbwa wewe umezaliwa na vichaaa
@ThomasfrancisMvella
@ThomasfrancisMvella 5 минут бұрын
Ķwa wengine haswa wanasiasa, kukiwa na hìzi haŕakati, kwao ndio mtaji wa kisiasa.....stay strong mama samia the president....mbali na siasa kuna mengi yanayotuhitaji kama watz....
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 16 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 79 МЛН
WAKILI DICKSON MATATA AELEZA HATMA YA MHE FREEMAN MBOWE
6:59
Chadema Media TV
Рет қаралды 2,5 М.