TULIWAOMBA WASITISHE MAANDAMANO | WASHAURI WANAIHARIBU SERIKALI YA MAMA SAMIA

  Рет қаралды 13,512

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 101
@DavidKagulu
@DavidKagulu 5 сағат бұрын
Watekaji ni CCM kwa kutumia Police Sasa cha kushangaza ccm wanawaelekeza hao hao watekaji kujitafuta
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 сағат бұрын
Kuepuka hayo maandamano wawatoe hao waliowateka familia zao zinamasikitiko makubwa
@AliciaKyai
@AliciaKyai 4 сағат бұрын
Ccm ndo watekaji nawachukia sana
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 5 сағат бұрын
Nimeelewa sana. uhitaji hata D mbili kuelewa nguvu ya police ilikuwa ni haramu
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 3 сағат бұрын
Tanzania basi kuwe na vyombo viwili vitatu vyenye udhubutu kama hiki uonevu ungeondeka. Vyombo mnaogopa hata kuchukua maoni tu? Asante sana crown.
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 6 сағат бұрын
Nyinyi endeleeni kulea Ujinga Siku wakiuliwa Watoti wenu ndio mutajua Machungu watu wanayopitia
@christophermatupila7165
@christophermatupila7165 3 сағат бұрын
crown ndio chombo pekee cha habari kwa sasa Tanzania,vingine vimeahiliwa na serekali kuisifia
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 2 сағат бұрын
Watanzania wamepata nafasi ya kupata elimu ya sheria juu ya haki yao ya kuandamana. Pili maandamano yamefanikiwa sana kwa sababu waandamanaji ni wale waliokuwa wanazuia maandamano! Ujumbe umefika kwa kishindo.
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 4 сағат бұрын
Wangekuwa wanaweka nguvu kubwa namna hii inapotolewa taarifa ya utekaji sidhani kama tungekuwa hapa hata hayati Kibao asingeuawa. Ina maana kubwa Hawa ndio wahusika wa haya yanayoendelea ni wauaji. Badala ya kujibu hoja wanatumia mtutu!!
@dawsonkaaya4210
@dawsonkaaya4210 3 сағат бұрын
Naomba uzidi kuunga mkono 4R na washauri wa Mh watazamwe yaweza wanamdaganya Mh na sasa haya yote yatazidi kubomoa amani.niwanani waliokaribu na Mh.wadumishe maono yake 4R.❤
@samirsaidi8386
@samirsaidi8386 2 сағат бұрын
Wakili umeongea vizur sana tatizo hi nchi jmn ukisema kweli unapotezwa nakuombea lisikutokee baba ukweli umefika
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d 4 сағат бұрын
Wakili nashukuru kwa kutufahamisha vizuri sana
@zamzanimakundi2546
@zamzanimakundi2546 2 сағат бұрын
Safi sana mwanasheria umetoa elimu nzuri kwa taifa
@johnsonrenatus7772
@johnsonrenatus7772 7 сағат бұрын
Police wanajidhalilisha kwa kuonekana hamna wanachokijua kwenye katiba na sheria za nchi ndo maana wanachanganyikiwa kwa mambo madogo madogo 😅 yan mpaka wanatoka nje ya PGO yao 🤣 🙌
@Zuwjat
@Zuwjat 2 сағат бұрын
Ccm walisema tukiwapoteza polisi msiwatafute sasa ndohivi wanavotekwa nani hakuona ile kauli ya yule kijana naserekali hakumkataza ccm wauwaji
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d 4 сағат бұрын
Leo nimeamini kama Polisi wanatumika kisiasa zaidi kuliko wajibu wao tumeshuhudia kukamatwa kwa. Wana Chadema tafauti na maelezo ya Polisi Polisi walitwambia watakao and Amana lakini wao wameenda kinyume wamewakamata watu kabla ya maandamano
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 сағат бұрын
Akili huna,unafuata mkumbo hujui hata kinachoendelea na agenda iliyopo nyuma ya maandamano
@saidramadhan5396
@saidramadhan5396 3 сағат бұрын
​@@walidmgonja3644tupe hiyo agenda nnje ya maandamano mkuu
@Nellyerjohn
@Nellyerjohn 3 сағат бұрын
​@@walidmgonja3644hadi agenda nyuma ya maandamno unajua😂😂
@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr
@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr Сағат бұрын
​@@walidmgonja3644wewe ndo akili huna hata macho hauna hata kuskia hauskii inshort hauna faida yoyote ile
@MkJj-m7g
@MkJj-m7g 3 сағат бұрын
Mazungumzo kabla ya maandamano, kama walivyoshauri wadau wa haki na demokrasia, lilikuwa la msingi sana. Lakini, kati ya serikali na chadema, nani alipaswa kuasisi hayo mazungumzo? Jibu ni serikali Wala si chadema. Kwa hiyo, aliyekaidi ushauri wa wadau hadi siku ya maandamano ni serikali.
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d 2 сағат бұрын
True
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 3 сағат бұрын
TZ NCHI YA MANYUMBU WANAONA MAANDAMANO NI KUHARIBU AMANI
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 3 сағат бұрын
TZ NCHI YA MANYUMBU LISU,BEN SAANE AZORI GWANDA MPK LEO SERIKARI IMEFANYA NINI?
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff 44 минут бұрын
Mmh! Bado hata hii katiba iliyopo ina vifungu vigumu kwa utawala...hasa haki za watu kujumuika na kuandamana...juzi tu maandamano ruksaa, na hatukuona amani ikivunjwa....leo maandamano nooo kulikoni? Hoja ya maandamano ilikuwa kutoa hisia juu ya watu,kutekwa na kupotezwa na mauaji...unakatazwa pia kujua ndugu yako aliyepotea, aliyeuwawa nani kahusika....mbona kwa ukali huu watu watapata majibu...kwa sababu mwenye dhamana ya kulinda uhai wa watu anajulikana ....ukilizwa ndugu zetu hatuwaoni kulikoni unaleta mapanga...hapa kuna jambo zito....
@EmanuelMungai
@EmanuelMungai 4 сағат бұрын
Ccm hafai
@JaphetMulungu
@JaphetMulungu 3 сағат бұрын
Hapa kunaonekana raisi panaahali amewateuwa viongozi.akijua au pasipo kujua.ambao walikuwwpo katika uongozi uliopita ambao wanamsaliti,kumhauri aiu yeye mwenyewe anajua.hapo mama anatakiwa hayaagalie mana ichi itakua na wati wenye chuki katika miyo yao.
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 9 сағат бұрын
Points za ukweli
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 2 сағат бұрын
Akili ndogo iliwaona polisi walivyojaa barabarani.Mazungumzo kati ya nani na nani?
@mpendamema3694
@mpendamema3694 59 минут бұрын
Media zinajitahidi ila content kama hizi ni hivyo ndio zimeishusha itv na east africa
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq 2 сағат бұрын
Hivi mbona mnashindwa kuhoji kwa Nini katiba inavunjwa kwa kuzuia maandamano,? Na wakati tunaambiwa tuilinde na kuitetea
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 сағат бұрын
Watu wamekuwa machawa bongo sihami
@mpendamema3694
@mpendamema3694 Сағат бұрын
Ilo ni kuma tuu itachukua miaka 100 kuikomboa tanzania juu ya washenzi waliovaa suti na phd za kukariri matope lilshindwa hadi kuwatetea wamasai wenzake ngorongoro na nili masai useless, limesoma sheria wapi imeandikwa kwenye katiba wasiandamane kesho utalikuta kizi mkazi
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 10 сағат бұрын
Polisi niwaonevu sana MUNGU tusaidie
@FahmiAbdallah-x9w
@FahmiAbdallah-x9w 3 сағат бұрын
AHSANTE SANA KWA LUGHA YA ZABIBU,INSHAA ALLA KHEIR
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 4 сағат бұрын
Sasa wewe kiongozi hayo mazungumzo ambayo mnasisitiza mbona hayajawahi kuzaa matunda . Chadema wametoa mda mrefu kama kweli serikali ni waungwana kwanini hawakukaa nao mapema wao wakaanza kukemea maandamano moja kwa moja ila sawa tu
@edsonmnego4030
@edsonmnego4030 10 сағат бұрын
Nguvu iliyotumika leo kwenye hili swala ingekua ndo inatumika kwenye kusaka watekaji aaaah mbn ingekua tayar
@ibrahimbakary2464
@ibrahimbakary2464 9 сағат бұрын
Watu wanaojiteka wenyewe inakua ngumu hasa kwakujua wao ndio wanaoratibu kutekana ni ngumu mnoo
@ibrahimbakary2464
@ibrahimbakary2464 9 сағат бұрын
Wanatengeneza tukio ili walitumie kwenye siasa chafu
@alexsamwel4637
@alexsamwel4637 9 сағат бұрын
@@ibrahimbakary2464Kwa hiyo kama Wao ndio wanaowateka, ina maana Polisi hawajui ? Au chadema ni wakubwa kuliko polisi ? Kweli nchi hii unaweza kufanya jambo na polisi wakakuacha ? Kweli??? Umeona hiyo nguvu iliyotumika, nusu yake tu ingetumika kutafuta watekaji, hata kama ni chadema kama ulivyosema wangeshindwa kweli kuwapata ? Huoni kama kuna shida kwenye mamlaka ?
@BenjaminBatano
@BenjaminBatano 8 сағат бұрын
​@@ibrahimbakary2464Akili nyingine!!??
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 7 сағат бұрын
​@@ibrahimbakary2464kijana wa hovyo
@LivinusMwinuka
@LivinusMwinuka 2 сағат бұрын
Sasa hawa polis his nguvu yakuzuia wanapat wapi hawa na elimu?. au ubabe.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 сағат бұрын
Warudi tu mezani hali ilivyo nchi inaelekea pabaya
@YoabuNdabhaha
@YoabuNdabhaha 13 минут бұрын
Mbona wa tz tuna feri sana hatawasomi mnatuangusha kwenye mambo haya ya selikal mazungumzo yalianza na hizo r4 mpaka Leo yamefika ccm, tusaidiane nchiyetubibaki na aman kwakuwa mjinga akionewa akichoka basi hatokubali Tena kuonewa hebu viongoz wafike mahar wajadriane mambo haya ya ishe na utawala wawe na utashi wa kutaka kuwa na aman jaman hili ni baya kama wengine wanakufa halafu watu wanasema nchi ni shwari so sawa. Mnatuvunja moyo watuwa chini kabsa hata studio na siasa mioyon mwetu tafadhari kuweni na utayar wa kujari haki za uhai wa mtu.
@VenaEliki
@VenaEliki 3 сағат бұрын
Maelezo mazuri sana nimekuelewa
@barbiepixie92
@barbiepixie92 8 сағат бұрын
Hiyo awamu mnayoisema si ni nyie nyie mlikua madarakani tutoleeni usiku hapa
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 Сағат бұрын
SASA UNAANDAMANA HALAFU UJUMBE WA MAANDAMANO NI SAMIA MAST GOO HAYO NI MAANDAMANO AU FUJO?
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746 Сағат бұрын
Nawewe unaushabiki wa kipumbavu nyinyi ndo aina ya watu wasi faa wahaini waongo wazushi mnapenda kuzusha uongo dhambi tu imekujaa kichwani muone uso
@halimamasai2234
@halimamasai2234 57 минут бұрын
Mama hatoki nye Acheni kujisumbua Samia mbele kwa mbele mpaka kieleweke
@allymusira2153
@allymusira2153 27 минут бұрын
Hapo kweli lazima mzuiliwe
@morganyiskaka815
@morganyiskaka815 4 сағат бұрын
Kuna muda lazma utumie akili watu wamesema samia must go afu uruhusu maandamano.. Watanzania tunatabia ya kuiga mambo ...
@TatuCharles-f5m
@TatuCharles-f5m 2 сағат бұрын
Atupishe hiyo ipo wazi
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d 2 сағат бұрын
Aisiende yeye ni nani
@AliciaKyai
@AliciaKyai 4 сағат бұрын
Hakuna mazungumzo hapa ni jino kwa jino tu bampa 2 bampa
@samirsaidi8386
@samirsaidi8386 2 сағат бұрын
Hi nchi kwangu mimi sioni faida na haja ya vyama vingi ningeomba vifutwe tu maana niunyanyasaji kwa hivi vyama kibaki tu ccm tutazoeya na hayakuwa haya
@vitukonamatukio7542
@vitukonamatukio7542 2 сағат бұрын
Elimu kiongozi,,, hawana elimu wanapelekwa pelekwa tu,,elimu ya sheria kiundani inabidi itolewe kwa askari polisi
@sofiakhan9706
@sofiakhan9706 3 сағат бұрын
Je ikitokea wamepata habari kuwa kuna wahalifu wanataka kuchanganyika na raia wa mandamano ya amani na wao ndiyo wenye dhamana ya kulinda nchi je ungesemaje katika hayo maandamano ??na ndiyo maana wakakataza unasemaje muandishi kwanini haungali hilo kwanini police wakakataza????
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 3 сағат бұрын
Wewe hujitambui, hata huelewi unachosema.
@MbalaziTv4135
@MbalaziTv4135 38 минут бұрын
We dada akitekwa na kupotea ndugu yako utaelewa Acha ujinga uwe unaelewa.
@InnocentJohn-l5y
@InnocentJohn-l5y Сағат бұрын
Wewe mwandishi mazungumzo yapi watu wanapotea namajibu hayatoki hao walinzi wa laia namali zao wameisha toa tamko gani au hatua gani kwaviongozi police walio tajwa kama alie mtaja satva nchi inalaana hakuna kitu kisicho kuwa namwisho huu ubabe utakuja kufika mwisho tuu
@vitukonamatukio7542
@vitukonamatukio7542 2 сағат бұрын
Inashangaza katiba ikivunjwa na watu ambao inabidi wafanye kazi kwa kuzingatia katiba
@Zuwjat
@Zuwjat 2 сағат бұрын
Jamani hakuna asonua kama ccm ndio wauwaji wabakaji mbona mpaka leo hakuna haki hamufiki mbinguni shenz
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 4 сағат бұрын
Samia most go ilikuwa niya nini
@TatuCharles-f5m
@TatuCharles-f5m 2 сағат бұрын
Haondoke kwani nini
@zamzanimakundi2546
@zamzanimakundi2546 2 сағат бұрын
Ata goo tuu
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d 2 сағат бұрын
Ago
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d 2 сағат бұрын
​@@TatuCharles-f5m masikini hata kuandika shida
@sempaprudence9052
@sempaprudence9052 8 сағат бұрын
Haya ni mawazo ya uanaharakati, barua iliyotoka juzi kutoka Chama kimoja cha Siasa haionyeshi dhamira njema ya maandamano dhidi ya Watanzania, acheni kucheza na amani ya nchi,
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 8 сағат бұрын
alokudanga kua Tanzania kuna amani ni nani mnapuuza na kubeza wakati watu wanatekwa na kuuliwa kama wanyama halafu watu wakidai majibu unasema mawazo ya kiharakati kuna watu hamkutakiwa kua uraiani bora mngeenda magereza mkalimishwe hadi akili zifunguke!!
@EmanuelMungai
@EmanuelMungai 4 сағат бұрын
Watu wengine hawana akili
@EmanuelApollo-th1tp
@EmanuelApollo-th1tp 4 сағат бұрын
Hujielewi hata kama ww n police au ccm we chizi kweli
@Teacher_01
@Teacher_01 3 сағат бұрын
Huyu nae ni chawa TU.😂😂😂
@Biobii-u9p
@Biobii-u9p 5 сағат бұрын
Safi
@kirungekirunge5920
@kirungekirunge5920 9 сағат бұрын
rangi ya ccm
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 10 сағат бұрын
Sasa nimeelewa kwanini MUNGU alikataa mwanamke asiongoze😢
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 8 сағат бұрын
Kalale mjinga ww, queen elizabeth alitawala dunia nzima mpaka hapo ulipo ww alikuwa mwanaume?
@ashaali7154
@ashaali7154 7 сағат бұрын
Wapi Mungu alisema mwanamke asiwe kiongozi fala wewe. Peleka ubaguzi wa kijinsia huko.
@thanksrjhood9508
@thanksrjhood9508 4 сағат бұрын
Dunia ipi alitawala!?
@Teacher_01
@Teacher_01 3 сағат бұрын
😂😂😂😂
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Сағат бұрын
Kabisa
@leokamil6284
@leokamil6284 10 сағат бұрын
Kwa yanayoendelea na kauli za Raisi inamaana hakuna cha 4R hapo wala sidhani kama kuna uchunguzi ufanyike wa uhuru na haki tusiongopeane
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Сағат бұрын
Me sina muda wa kupga kula wara family yangu ni kupoteza muda tu,,,na wadhishi wa habari mnajisahau sana jana wamekamatwa watu wengi mbaka wadhisi wa habari so police hawana herimu mtu anakamatwa anaongea na wadhishi wa habari na raiya wanatembea wanakamatwa arafu wanasema wanaridha raiya na mari zao mari gan uku mnakamata watu hovyo
@yohanakateko
@yohanakateko 10 сағат бұрын
Tanzania inafunga sasa
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 9 сағат бұрын
Majadiliano saa ngapi? Watu wanapishana kiswahili kwanini? Wasijibu kuhusu Hao wanaoteka wenzao nadhani nyie ndio wavurugaji
@NgamelaYussuph
@NgamelaYussuph 48 минут бұрын
Katiba Sio Sheria Inavunjwa Tu kwa Maslah Mapana Ya Taifa
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 5 сағат бұрын
Wajinga sana hawa sijui wanaishi Inchi gani
@salimsalim-ut4jk
@salimsalim-ut4jk 2 сағат бұрын
Tatizo nyumba kumbwa
@husseinmbaya4855
@husseinmbaya4855 3 сағат бұрын
Hunaakali ww.mundishi
@halisuhamimu8617
@halisuhamimu8617 8 сағат бұрын
Ccm siikubl kuukwel tu
@sofiakhan9706
@sofiakhan9706 3 сағат бұрын
Sasa nani angewambia na wao wanasema police hawafanyikazi na ndiyo watekaji ?na wanataka ulinzi kutoka Belgium sasa unaona police wanalindaje wao ???
@Mrsalt-z9m
@Mrsalt-z9m 3 сағат бұрын
Sofia ujielew
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d 2 сағат бұрын
​@@Mrsalt-z9m katoroka milembe
@mpefu_4936
@mpefu_4936 2 сағат бұрын
Acheni minadara ya kipuuzi
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 2 сағат бұрын
ush mtp bdrk
@ABDULRAHMANIDAS
@ABDULRAHMANIDAS 2 сағат бұрын
Wakili uchwara unaongea upuuzi.
@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr
@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr Сағат бұрын
Ndugu zako au wewe ukitekwa akili itakukaa sawa kenge
@ABDULRAHMANIDAS
@ABDULRAHMANIDAS 2 сағат бұрын
Wakili uchara unaongea upuuzi
POLISI WAZUA BALAA, WATOA KICHAPO, MGONJWA ABEBWA JUU JUU...
3:15
Wasafi Media
Рет қаралды 57 М.
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 986 М.
KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI
6:59
MZEE KILOMONI AIBUKA, AWAJIBU SIMBA HADHARANI "MNAROPOKA TU"
28:56
Global TV Online
Рет қаралды 55 М.
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 86 М.
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17