MWABUKUSI AYACHAMBUA MAANDAMANO YA CHADEMA, AWAONYA POLISI

  Рет қаралды 19,717

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 54
@CharlesMbise-hc2sz
@CharlesMbise-hc2sz Сағат бұрын
Mwabukusi Mungu akusaidie sana wew ni hazina ya taifa
@JohnRaphael-m1b
@JohnRaphael-m1b Сағат бұрын
Asante baba
@gwakisakaswaga5249
@gwakisakaswaga5249 Сағат бұрын
Poti you are a BIG BRAIN... ila unayoongea yanataka akili tulivu sana kukuelewa!!!!!
@Steve-q8m
@Steve-q8m 11 минут бұрын
Hakuna mwaisa mshamba, mwabukusi big up nyingi kwako kwa kuwambia ukweli police wasioijua Sheria wajifunze
@kenedyrocky4641
@kenedyrocky4641 Сағат бұрын
Sauti haisikiki VIZURI. Tafadhali 😊
@RichardKunambi-e5v
@RichardKunambi-e5v 41 минут бұрын
Kwel TLS imepata rais hongera mabukus
@FrankEmmanuel-y1e
@FrankEmmanuel-y1e 59 минут бұрын
Sauti yenu Iko chini sana ongezeno
@MichaelKibona-p9m
@MichaelKibona-p9m 29 минут бұрын
Hii cultural inatuumiza sana Kwa sababu Hawa watu kwenye meza ya mazungumzo ,hawatuelewi😂
@lusekelonelson7256
@lusekelonelson7256 Сағат бұрын
Hapo kwenye Kila nchi Ina culture yake umepatia. Na Hilo ndo mnatakiwa kuwashauri Chadema. Mwendo wa maandamano na vurumai sio natural option yetu na kutoenda kwa njia hiyo Haina maana tuko wadhaifu
@StephenKimondo-qw3et
@StephenKimondo-qw3et 31 минут бұрын
Mbona mnayatafsiri maandamano kama vurugu? Kwa nini? Kama ni vurugu ni kwa nini Katiba ya nchi inaruhusu kufanyika kwa utaratibu uliowekwa? Mbona maandamano yaliyofanyika siku za karibuni na kulindwa yalifanyika kwa amani? Madhara gani yalitokea? Uzoefu unaonesha kuwa polisi wanapotumia nguvu kudhibiti maandamano ndipo vurugu zinatokea! Ni vizuri kuacha kukariri propaganda ya wakandamizaji na watesaji. Fikiri nje ya sanduku!
@gidongailo7174
@gidongailo7174 30 минут бұрын
Maandamano yana shida gani ndugu. Kwahiyo mtu anapogusia culture anakuwa na maana ya maandamano??
@amosjoseph8780
@amosjoseph8780 5 минут бұрын
Good
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Сағат бұрын
Kwanini inshu ya mandamano ni kubwa kuliko malipo ya madai ya waliokuwa wafanyakazi wa hotel 77 ya Arusha?
@Hemedally-o9x
@Hemedally-o9x Сағат бұрын
Wewe muheshimiwa kama raisi wetu hivi Hawa walio sema kua ushahidi wanao sema wanawajua nawako tayari kutoa ushahidi mbona hamwait
@ChoroTesla
@ChoroTesla Сағат бұрын
Kwenye ishu ya makonda kweli kabisa yani mkuu wa mkoa anaenda andika ujinga vile afu eti ndo anasimamia kamati ya ulinzi na usalama yule jamaa kilaza wa mwisho km alivyofeli darasani huwez kua mkuu wa mkoa ukaandikq ujinga vile
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Сағат бұрын
Mheshimiwa rais wa t l s tunakuomba sisi tuliokuwa wafanyakazi wa hotel 77 ya Arusha hatujalipwa madai yetu tangu mwaka 2000 mpaka Leo 2024
@robertphilip385
@robertphilip385 Сағат бұрын
Poleni sana lkn hi serekali ya ccm inaviongozi wakatili sana Kwa wanaichi wake na kumbuka JP alishawahi kuambiwa ishu ya 77 na mbunge wa viti maalum lkn mpaka wa Leo kimya
@StephenKimondo-qw3et
@StephenKimondo-qw3et 23 минут бұрын
Poleni sana. Nashauri kwamba ili TLS iweze kusaidia kushughulikia matatizo yenu ni vema muwaandikie pamoja na kuwatembelea ili mweleze matatizo yenu yalivyo, kuzungumza nao, kupata ushauri ipasavyo, na TLS wajue mahali pa kuanzia kuwasaidia.
@robertphilip385
@robertphilip385 4 минут бұрын
@@StephenKimondo-qw3et kabisa uko sawa mkuu
@johnkasonta410
@johnkasonta410 19 минут бұрын
Wakili Boniface Mwabukusi asante sana kwa majibu yako na ufafanuzi wa maswala hayo. Tafadhali endelea na majukumu uliyonayo ndani ya TLS!
@lwihurazakayo3864
@lwihurazakayo3864 Сағат бұрын
Ongeza Sauti
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l 13 минут бұрын
Polisi walio wengi ni zeroooo hawajuagi sheria
@Salisalum
@Salisalum 23 минут бұрын
Sauti!
@JfourHumbi
@JfourHumbi 56 минут бұрын
Sauti ipo chini sana
@AnnoyedHarp-tg7ur
@AnnoyedHarp-tg7ur 40 минут бұрын
Unacho Sema Raisi wa Tiles kukaa kuongeani ni hekima
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Сағат бұрын
Kwanini polis wanapiga watu? Wao wako juu ya Sheria?
@GaboGabby
@GaboGabby 2 минут бұрын
Vyombo vya habari mnakutana na mtu wa maana kabisa kama Mwabukusi alafu mnazingua kutuwasilishia wananchi kwa kuwa na sauti ya chini.? Totally disappointment.
@goodluckmalaba8992
@goodluckmalaba8992 3 минут бұрын
Menyekiti uvccm kagera alisema kuwa wanaowatukana viongozi wa ndani ya nchi wakiwapoteza kesho la polisi lisiwatafute huyu mbwa tls hakuna kipengele cha kisheria akachukuliwa hatua?
@gidongailo7174
@gidongailo7174 22 минут бұрын
Vyama vya siasa vikitoa matamko mazuuri kabla ya maandamano lakini siku ya maandamano waandamanaji wakafanya uhalifu. polisi watachukua hatua gani
@MosesCheketela
@MosesCheketela Минут бұрын
Hii nchi Tunaongozwa kidikiteta
@davisnkoba2683
@davisnkoba2683 14 минут бұрын
Sauti ipo chini saana Yaani sauti imebanwa
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Сағат бұрын
Tatizo Hawa police hawajui Sheria hivyo vyeo wanapewa Kwa kuwa wanatoka kwenye familia za viongozi ndiomana hata makosa wanayobambikizia Hawa viongozi wa upinzani hawajawahi kuwatia hatiani
@NuruOmary-gm6iq
@NuruOmary-gm6iq 19 минут бұрын
Nchi yetu viongezi wengi hawajui sheria,
@VicentGalus
@VicentGalus 31 минут бұрын
Mwambukusi hebu unifafanue kongamano la kisheria ya tarehe 4 mwezi wa kumi ni wadau aina gani wanatakiwa kushiriki?
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Сағат бұрын
Chadema waache tabia ya kuiga Kenya.
@azizimakotha4929
@azizimakotha4929 17 минут бұрын
Akili kisoda
@bazilmateru915
@bazilmateru915 9 минут бұрын
Ccm waache tibia ya kuiga MUSEVENI. Sasa jiulize are you coping from the best in Africa or the worst in Africa. Nijibu
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 минут бұрын
@@bazilmateru915 CCM ndio mwalimu wa siasa za Afrika hata huyo Museveni kalelewa na CCM hapa Tanzania.
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza Сағат бұрын
Rekebisheni sauti, Iko chini sanaaa, vp nyinyi?
@Mussapeter-ct1fu
@Mussapeter-ct1fu Сағат бұрын
huyo rais nayeye tuna mashaka naye yeye anaona ugumu gani kuunda hiyo tume???? me nashangaa sana
@christosiadanieli6512
@christosiadanieli6512 29 минут бұрын
sasa hao kina na muliro wanasikia?
@ChingulaRuby
@ChingulaRuby Сағат бұрын
Saut ndogo sana
@mossessimon2493
@mossessimon2493 Сағат бұрын
Sauti sauti
@takefishfarm
@takefishfarm 4 минут бұрын
Unatosha mh
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 28 минут бұрын
Sauti hakuna
@Mussapeter-ct1fu
@Mussapeter-ct1fu Сағат бұрын
SAUTI SASA SAUTI
@DavidTuya-n8p
@DavidTuya-n8p 42 минут бұрын
Vyama vingine havina wanachama Ina mwenyekiti tu futa
@josephzephania6184
@josephzephania6184 Сағат бұрын
Sauti haitoki
@pastorysent6586
@pastorysent6586 Сағат бұрын
Sauti ndogo
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye Сағат бұрын
Mheshimiwa t l s utoa namba za simu tuzione
@MarksevenTz
@MarksevenTz Сағат бұрын
SWALI: 1. Okay Police wamekosea, WATAFANYWA NINI.? 2. Je, Wale watoto waliopigwa Risasi na Policcm hadharani (Meshack- Lamadi Na Teresia- Geita) WAMEFANYWA NINI.?
@MikaMichael-o4v
@MikaMichael-o4v Сағат бұрын
Sauti ipo chini sana
@Hemedally-o9x
@Hemedally-o9x Сағат бұрын
Wewe muheshimiwa kama raisi wetu hivi Hawa walio sema kua ushahidi wanao sema wanawajua nawako tayari kutoa ushahidi mbona hamwait
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 59 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 64 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 36 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
PROFESA MBELE AWASHANGAA WASHAURI WA RAIS
6:41
Wasafi Media
Рет қаралды 2,2 М.
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Prof James Ker-Lindsay
Рет қаралды 83 М.
BlackRock: The Conspiracies You Don’t Know
15:13
More Perfect Union
Рет қаралды 1,1 МЛН
Could AI Unlock the Secrets of Animal Communication?
24:02
Bloomberg Originals
Рет қаралды 56 М.
Oxford Mathematician DESTROYS Atheism In Less Than 15 Minutes (BRILLIANT!)
15:43
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 59 МЛН