FRIJI BOVU AMPASUA VIBAYA MNO GSM KUDHAMINI VILABU VINGI TFF INAKOSEA KUMRUHUSU ADHAMINI

  Рет қаралды 2,661

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 2 ай бұрын
Mwaka huu Atakiona cha mtema kuni GSM Anapaga matokeo mwaka huu Atakiona cha mtema kuni
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 2 ай бұрын
Simba❤❤❤ nguvu moja Uongozi wa Simba moto wauwasheee kwa Gsm uvurugwe hakuna mpira wa hivo sasa Modewji nae akizamini team 7 inakuwaje??? Hiyo si sawaaa Simba nendeni Fifa kulalamikaaa huyo Gsm mpira wetu anaurudisha nyuma si sawa
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 2 ай бұрын
Chawa wa GSM uzuri wa GSM sio baili ukimsifia mkwanja njenje kwahiyo ndugu piga domo
@MuuYascohy-oc7os
@MuuYascohy-oc7os 2 ай бұрын
Nyie kweli kuma sana sasa apo Friji Bovu kampasua nn GSM ?? unaweka vichwa vya habar vya kisenge tu apo machoko nyie
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 2 ай бұрын
Vita ya urus na magharibi wengi kwa mmoja chawa tu uyo😂😂😂😂😂😂
@kolosii4351
@kolosii4351 2 ай бұрын
Mwambie Mo nae akaifufue Ndanda Fc. Watu wabaya wanataka vilabu vingine pia vife kama kina ndanda??
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 2 ай бұрын
Sometimes unapohoji watu wanuse mdomo maana wengine wanabaki na kilevi
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 2 ай бұрын
Nizaidi ya wazamwamwa kinachowasumbua ni baasha TFF Walishakula mpunga nahilo linajionyesha mana upinzani uliokuwepo kabla ya kula mikatabayao na upinzani uliopo kwasasa baada ya kula mikataba.
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 2 ай бұрын
Hauna lolote ndo maana juve alishushwa daraja kuna kanuni acha ujinga unatafuta ulaji Kwa GSM
@husseinmpuruti1372
@husseinmpuruti1372 2 ай бұрын
Acha njaa we frej bovu huon vilab vinapanga matokeo kwa Yanga hebu jiulize tim inapo kutana na simba wanavyo cheza na wakicheza na Yanga mbona wameinunua ihef na ndio tim ilikataa uzamin wa Gsm mbona hawakununua tim zingine?
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 2 ай бұрын
Shida bogo hakuna wachambuzi wa mpira mara nyingi wanaangalia pesa tu sio kama ulaya wachambuzi Wana pesa ndo maana wanasimamia haki. Huyu jamaa kasema Jana hata gari kwahiyo akipewa tu hata laki kweke ni hela kubwa sana kwake. Kwahiyo wachambuzi wetu wanatafuta ulaji.
@bakanga1410
@bakanga1410 2 ай бұрын
Achana na kuwekeza hakuna anayekataa..nikuulize ww gsm atawezaje kuwa fair wkt huo huo kulinda brand yake..? biashara huwa trick ww umesomea biashara au unabwabwaja tu..na sisi tumeiga wp kwenye nchi zilizoendelea kimpira?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 ай бұрын
Mbona hajadhamini champion ship na kwa Nini iwe 🚨 kuuTuu
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 2 ай бұрын
Filiji mpumbavu sana eti sina gari kauze makalio yako
@NeemaAntony-b8q
@NeemaAntony-b8q 2 ай бұрын
Taira kabisa
@jumachum8647
@jumachum8647 2 ай бұрын
nilikuwa nakuamini kumbe nimpumbavu tuu
@sadih5333
@sadih5333 2 ай бұрын
Sasa wewe fridge tobo, tatizo halisi alielezwi GSM ndio baba ndio mama Yanga ,lazima tatizo litakuwepo ukikubali kufadhiliwa wewe ni mbwa tu subiri miluzi ya anaye kulisha.
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 ай бұрын
Unaongea mavi gani sasa?!
@PaulMuasya-z8c
@PaulMuasya-z8c 2 ай бұрын
Kanuni ya fifa lazima ifuatwe wewe wacha porojo. Hii ligi ya tz itashuka chini ya uangalizi wa Karia. Na kama hujui Yanga ndio timu iliingia makundi na alama kidogo sana katika timu zote. Wataka kuwa mchambuzi uchwara.
@TheresiaMlipuka
@TheresiaMlipuka 2 ай бұрын
We matako Usha vuta chako una bwabwanya
@MahafuziHassani
@MahafuziHassani 2 ай бұрын
Keep your mouth broo
@pinomjata678
@pinomjata678 2 ай бұрын
Mtu kama huyu ndio anaitwa mchambuzi, very poor analysis kweli ni friji bovu. Vigezo gani vilitumika kumkatalia GSM asidhamini ligi before? Na kama alikataliwa kudhamini ligi before kwanini ameruhusiwa kudhamini timu 7 this time around? Ni ligi gani duniani ina udhamini wa namna hii? Who are the decision makers kwenye suala hili? Ni TFF au stakeholders? Ligi inatimu 16 halafu mtu mmoja amedhamini 7 halafu wewe unasema ni sawa kwasababu ya anauza biashara yake, vipi kuhusu ushindani na kukua kwa ligi yetu?
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,9 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 124 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,6 МЛН
Ghorofa pekee inayopatikana Ngarenaro mkoani Arusha
3:46
Millard Ayo
Рет қаралды 32 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,9 МЛН