Zahiri mwanangu maandishi ni muhimu sana sana. Binaadamu leo watu kesho wanyama..😢😢
@TabuMudiАй бұрын
Kwakweli huyu mzee hilo eneo kwakweli mdomo mtupu hapana makubaliano namaandishi ni lazima.nahlsi Mwanabibi ni binti mzuri sana na ana maadili mungu ni mwema watafanikisha poleni sana
@maximumtvonlineАй бұрын
Eneo ni lake kuwa na amani nimeshafatilia vzr tu
@TabuMudiАй бұрын
@@maximumtvonline tumshukuru Mungu
@mohamudmohamed6875Ай бұрын
Kaka zahiri nafatilia maximum tv huko Somalia na shukuri unafanya kazi nzuri mungu ata kulibisha huyu baba binti yake imenigusa stori yao walahi watu wachangie kuokoa maisha yao huyu binti ana akili sana atafanikishwa siku moja Insha allah asante brother zahir
@maximumtvonlineАй бұрын
Asante sana sana sanaaa
@mirnababy5012Ай бұрын
Maandishi yawepo maana kuna baba kapewa eneo miaka kalibia 40 iliyopita lina chumba kimoja akajenga bila makabidhiano leo watoto wa yule baba wameshinda kes sasa watoto wajukuu wanaanza upya maisha
@FridanyoniFridanyoniАй бұрын
Kaka Zahiri fatilia makabiziano serikal7 ya mtaa ndio mjenge huho mzee akifa huyo aliyetoa atachukua eneo lake hata asipochukua yeye watoto wake watawasumbua pls
@maximumtvonlineАй бұрын
Sawa uswaze
@zeinabibrahim382Ай бұрын
Amiin
@halimaoman8726Ай бұрын
Kaka zahili chondechonde fatilia kwanza makabiziano utasimamisha majengo badae wanatia ndugu sisi binadamu ni mtiani tusikate kukabidhiana kwa mdomo tukabiziane kwa maandishi
@maximumtvonlineАй бұрын
Uswaze
@jimmymnuano7165Ай бұрын
Kaka yangu Zahili dawa ya Plesha ya kupanda dawa yake kubwa awe na chupa ya Asali na Kitunguu swaumu matumizi yake asage kitunguu swauum na achanganye na asali kwenye kijiko kikubwa na aile kimoja tu atakuwa sawa kwa kila asikiapo vibaya ni hivyo tu na plesha ya kushuka dawa kuipandisha ili upate levo yake anywe kikombe cha kahawa bila maziwa nusu kikombe ni hivyo tu
@MohammedSaleh-t5hАй бұрын
Asali kweli ni dawa ila presha lazima vidoge vya presha
@maximumtvonlineАй бұрын
Hakuna kitu kama hicho boss
@SaedaAlbrekiАй бұрын
Mmmh kahawa tena 👀
@KisaMaxАй бұрын
Yeah Mzee uoo mchanganyo ni mbaya sana @@maximumtvonline