Pambano lilikua round tatu tu za mwanzo baada ya hapo ni kushikana shikana hasa kutoka kwa huyu mkongo,amefanya pambano lionekane lakawaida sana.nampa ushindi mwembamba sana twaha.10/8
@godfreymwamaso24242 жыл бұрын
Twaha anashika shika sana Sasa tunategemea pambano lijalo aende akarudiane Congo na refarii na mwamuzi awe mcongo
@hushbtz33102 жыл бұрын
Kabangu ndio anashika shika Kiduku anamsukuma kabangu ili asimshikeee
@jrsingham2 жыл бұрын
Bondia kiduku kuingia tu anapiga mihayo 🤣🤣
@charlesjacksonbusanda25682 жыл бұрын
Twaha amempiga jamaa mwanzo mwisho sema jamaa ameshika sana twaha laiti jamaa aisngekuwa ana kumbatia angeweza kukutana na matatizo makubwa sana angepigwa kipigo cha mbwa koko