Ushindi wa Twaha Kiduku Vs Iago Kiziria | VITASA | Mfalme kwenye ufalme wake - 22/04/2023

  Рет қаралды 253,031

Azam TV

Azam TV

Жыл бұрын

MFALME KWENYE UFALME WAKE: Tazama Bondia Twaha Kiduku alivyomchapa Iago Kiziria kutoka Georgia kwa pointi na kufanikiwa kutetea taji lake la UBO huku akishinda taji jipya la PST hapa katika Ukumbi wa Tanzanite, Morogoro.
Mfalme aendelea kuulinda ufalme wake.

Пікірлер: 310
@yassiriano
@yassiriano Жыл бұрын
Hamn kitu hapo twaha sio professional bado san
@sergiokipande5264
@sergiokipande5264 Жыл бұрын
Ni aibu kubwa sana bondia wetu Twaha Kiduku kapigwa😢😢😢 Wamemnyima ushindi bingwa halali😢😢😢
@abdul-majidkombo5275
@abdul-majidkombo5275 Жыл бұрын
Kwel kabisa man twaha mwenyew round za mwisho hoi unamuhs kabisa 😂😂
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Жыл бұрын
Unamavi makalioni
@sergiokipande5264
@sergiokipande5264 Жыл бұрын
@@shijamakoye6013 pasuka roho ila ukweli lazima usemwe
@sergiokipande5264
@sergiokipande5264 Жыл бұрын
@@shijamakoye6013 Wewe unakunya maandazi? Au ukila chakula kinafanya evaporation? Baba yako na mama yako pia wana mavi makalioni na wewe una roho ya mavi, hapo vipi?
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Жыл бұрын
Kitu Kimoja tu nakumbusha kuwa tujaribu kuzingatia haki na ukweli,, tusitazame tu unyumbani🇹🇿🙌🏽
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa,na kama akishitaki na kamati ya ndondi ya kimataifa ikaipitia mkanda wote,basi hapo hao waamuZi wote watafungiwa kimataifa,kiukweli Kisusu hakufurukuta,kilichomsaidia ni uvumilivu,lakini alitamani pambano liishe.uhalisia Twaha kazidiwa
@khamisali5978
@khamisali5978 9 ай бұрын
Lkn pia usisahau pia mkienda ht world cup mnalalamika km mnaoenewa ,sasa kuna ubaya gani ukipewa mpini na ww usimsaidie mwenzako?🤣🤣🤣
@pallangyojames6870
@pallangyojames6870 Жыл бұрын
Kiukweli twaaa kapigwa😢 ila ndio hivo jmn cz sijaipenda hiii ushindi wa mezani ila jamaaa yupo sawa,bless bro unajua ila hongera twaaa kwa kubadirika kimchezo
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Жыл бұрын
Unamavi matakoni wewe tuonyeshe ngumi nagapi twaha kapingwa harafu yeye kapiga ngapi acha ushamba
@ntimimwambelo3173
@ntimimwambelo3173 Жыл бұрын
Huyo mzungu kapigwa sana ndg yangu angalia ngumi vizuri
@gerrylufingo387
@gerrylufingo387 Жыл бұрын
I commend a Georgian Boxer Kiziria for his Professionalism attitude as he accepted defeat out of a controversial judgement. When you look the insights of the fight and punches, no doubt even home TV stations commentators conclude that Kiziria had a better fight than Twaha. No wonder even Twaha was surprised by the announcement.
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
This is Tz bro...from my side view...l conclude with a draw. Equal chance fight
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Жыл бұрын
Twaha kapigwa kama ngoma basi tuu😂😂😂😂
@mohamedchenge9440
@mohamedchenge9440 Жыл бұрын
Tuache Kusifia ujinga Twaha Abadirike kwahivi navopigana sio professional boxing so kifupi ajaribu kucheza nje ili apate ushindani
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 Жыл бұрын
Twaha Leo kapatana n kiboko yake... lakin hapa kuna ufisadi ulifanyika, ilikua sale kabisa, sio poa Bana msilazimishe mtu kushinda pasipo na ushindi
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Жыл бұрын
Hata ingekua sare wangembeba twaha. Inshot kiduku kachapika
@bahatijuma8233
@bahatijuma8233 Жыл бұрын
Iko iv!! Mara nuingi unapokuwa na pambano la Ngumi ugenini, ili ushinde unatakiwa upige KO. Ukimaliza raundi zote huwez kushinda labda uwe na uwezo wa kuonesha utofauti usiokuwa wa mashaka juu ya pambano na hii sio Tz pekeake
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 Жыл бұрын
Kabisa
@dogomanlema8034
@dogomanlema8034 Жыл бұрын
@@mtengwadj9390
@arafatzahor6058
@arafatzahor6058 Жыл бұрын
Sahihi maana twaha alikua anakumbatia tu ila lago kapiga ngumi
@independent9079
@independent9079 Жыл бұрын
Watanzania tunaendelea sana maana mnacomment uhalisia na sio kupendelea kama majaji
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Жыл бұрын
Utofauti wa Twaha ni bondia wa Nchini ila Mwakinyo ni Bondia wa kimataifa Twaha kapigwa mwenye macho haambiwi tazama ukikataa kataa tu ila pambano lipo wazi twaha kapigwa
@mtausi6995
@mtausi6995 Жыл бұрын
Mimi mshabiki wa Kiduku ile leo amekutana na kidume, kazi ilikuwepo mwamba ni balaa. Hongera Twaha kwa kuendelea kutuheshimisha Watanzania.
@ATHANASLUKEHA-ui7pq
@ATHANASLUKEHA-ui7pq Жыл бұрын
Kiduku kabebwa,hamfikii mzng!
@aboukillo1734
@aboukillo1734 Жыл бұрын
Ur always champ#💪 no one can let u 👎 bigup man
@yakubsaid22
@yakubsaid22 Жыл бұрын
Naona koment. Zote zinafanana sawa .nashukuru wapenz watwaha kwakugundua hayo mloyasema
@gracerobert5271
@gracerobert5271 Жыл бұрын
Mungu akuvushe zaidi Amen
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Twaha mtanzania mwenzangu lakin umepigwa umebwebwa tu kwa ngumi izo bado sana mwakinyo humuezi
@waithiraeliwaithirah
@waithiraeliwaithirah Жыл бұрын
Uyu sio Twaha ni Tyson wa TZ❤❤❤,,,
@allykondo7510
@allykondo7510 Жыл бұрын
Kidukwi kapingwa ana bebwatu watu tunahacha usingizi wetu kwa usenge mtupu
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 Жыл бұрын
Twaa haa kapigwaa achen zulmaa
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Time keeper aache Bangi next time asipewe kazi hiyo..hayuko makini...Mimi ngumi yoyote ambayo mpinzani hadondoki huwa siielewi
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
Sijaona zile ngumi za Twaha sielewi kashindaje
@abdul-majidkombo5275
@abdul-majidkombo5275 Жыл бұрын
Kweli kabisa fugisu tu ila wacha ni mtanzania mwenzetu 😅
@salubrown4013
@salubrown4013 Жыл бұрын
Ongela sana twaha kidukuuuu
@saidmaziku8999
@saidmaziku8999 Жыл бұрын
siku tukiacha dhana ya unyumbani katika hii michezo Basi mabondia wetu watakuwa vizuri,mzungu anakila sababu ya kushinda,ameweza kulicontrol pambano mpaka round ya mwisho,ushauri wangu kwa watanzania tusitoe ushindi kwa sababu ya unyumbani tutakuwa utuwandengenezi mabondia wetu ,viva boxing
@mustaphahashim7532
@mustaphahashim7532 Жыл бұрын
Hamna kitu apo Twaha kwa style.. Mm ni shabiki yako ila kilaa leo nazidi kuona unaporomoka kabisa na hauna ile stamina tenaa.. kwa hili pambano tunasema No na umependelewa kwa kuwa upo Nyumbani.
@evansmtalo8924
@evansmtalo8924 Жыл бұрын
Mzunguuuuuuuu jamani !!!JAMANI ndo mshindi.tuweni waaminifu Kwa mambo madogo!!!!!?????
@JustineMwarabu
@JustineMwarabu Жыл бұрын
Sana mdongo wangu twaa atali sana baba wew noma sana
@jafariselemani1368
@jafariselemani1368 Жыл бұрын
Hongera sana twaha kiduku simba imeshinda na ww umeshinda woten ushindi wa nchi Tz
@upendosteven6733
@upendosteven6733 Жыл бұрын
Pumbavu ujui ngumi wewe Baki ndichi ya mpira tu
@fxfundamentals24
@fxfundamentals24 Жыл бұрын
Mbona mie naona Twaha kapigwa apo😀
@eastafricabrokerkiller8028
@eastafricabrokerkiller8028 Жыл бұрын
Congratulate twaha u made it.
@ZawadiBoi-ul8ie
@ZawadiBoi-ul8ie Жыл бұрын
Kashinda Sawa ila kapigwa tuseme ukweli itabidi aende nje apate challenges zaidi kama kwa KO inabidi ashinde Sio hivi Kuna kubebwa kumehusika apo
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Жыл бұрын
asante kwa kutuheshimisha, hiyo ndio tafsiri ya ufalme
@edwardsinkonde9878
@edwardsinkonde9878 Жыл бұрын
Hii Ni droo mmependeleA
@belafontesteven5144
@belafontesteven5144 Жыл бұрын
Fair kabisa Twaha kashinda hii fight.
@gumbozawadi
@gumbozawadi Жыл бұрын
Ili kuwafanya mabondia wetu wawe bora wakipigwa acha wapoteze,kiduku ni fundi sana lakin hii alipigwa
@wazirmollel5336
@wazirmollel5336 Жыл бұрын
Mbeleko🤣🤣
@gimongesaid4233
@gimongesaid4233 Жыл бұрын
Mnambeba sanaa hii ndio Shida ya majaji wa kibongo Kuna bondia wa south Africa alisema ukitaka kushinda Tanzania piga mtu ko
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 Жыл бұрын
Sio tz duniani kote
@gimongesaid4233
@gimongesaid4233 Жыл бұрын
Unasema Duniani kote sio kweli bongo wamezidi kubebwa
@yasluhumilemohammed7461
@yasluhumilemohammed7461 Жыл бұрын
Hii mechi ingekuwa sehem tofaut na Tanzania hii ni suruhu t
@williamkavuta8066
@williamkavuta8066 Жыл бұрын
Mmi shabiki wa Twaha ila nimeshanga kashindaje ...kapigwa
@iwishtv7907
@iwishtv7907 Жыл бұрын
Hivyo Vigoma vinapiga kelele vinaharibu ladha, Si kila sehemu mnaleta Uswahili
@ramadhankaniq7179
@ramadhankaniq7179 Жыл бұрын
Nakubal Twakha Bondia 🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Жыл бұрын
huyu mzungu anapiga daaaah jamaaa mdogo ila mzungu noma anapiga combination hatar
@ikramsalum5655
@ikramsalum5655 Жыл бұрын
Umepoteza kaka usiwasikilize majaji wetu wa bongo ...piga tz kwa bidiii ushindi haujifichi ww ni bondia bola tz...
@obadiamshana2518
@obadiamshana2518 Жыл бұрын
Twaha kapigwa kabisa kabebwa
@bongelabwana7366
@bongelabwana7366 Жыл бұрын
Mzungu mwenyewe amekubali kapigwa kwa pointi ata ikiwa moja pointi ushashindwa mzungu anajua ndoman akulet ubishi kakubal
@user-gv8hc1ez7u
@user-gv8hc1ez7u Жыл бұрын
Kaka twakhaa mzito lakin huo mwili akiutumia vzur anaweza kua kama myko Tyson ajengewepec tu wamikono
@yusufuyusufumongolia382
@yusufuyusufumongolia382 Жыл бұрын
Hapa Twaha kapigwa wala tusipindishe ukweli sema ndo hivyo kushinda ugenini kwa point ni ngumu labda know count lakini makengeza kapigwa😭😭
@pallangyojames6870
@pallangyojames6870 Жыл бұрын
Kabisa
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Жыл бұрын
Unamavi makalioni wewe
@yusufuyusufumongolia382
@yusufuyusufumongolia382 Жыл бұрын
@@shijamakoye6013 😁😁😁😁 siku zote ukitaka kuonekana mbaya Dai chako au sema ukweli 😁😁😁 makengeza wenu mnayependa kachezea sema wahenga wanasema mcheza kwao .........
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Жыл бұрын
@@yusufuyusufumongolia382 wa2 wanaongea kwa mihemko watangazaji mara nyingi walikuwa wakitaja jina la twaha mara leo kafanya mazoezi kuna muda ikabidi waseme tu kwamba kadefence kuliko kushambulia
@pascalnnunduma4633
@pascalnnunduma4633 Жыл бұрын
PAMBANO LILIKUWA SALE HILI MZUNGU ALIKUWA VIZURI SIO MNYONGE
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Жыл бұрын
Mabondia wote wakali sana
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 Жыл бұрын
Kiduku Kadudwa🤣 ila ugenini kushinda kwa Point sio rahisi🙅 ukibahatika Nock Out hapo sawa👍 Kiduku na yeye amfuate America🙇 sio kila mara wao ndio wanamfuata! Tunakata kuona ana intertill kwao ili kulete ushindani, inakuwaje mapambano yake Moro na Dar tuuuuu!!!🤷🤷🤷
@abdul-majidkombo5275
@abdul-majidkombo5275 Жыл бұрын
Yeah ni kwel kabisa
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Жыл бұрын
Kwanza wewe nimshamba na hujui ngumi wala mchezo wa ngumi
@jacobjb4515
@jacobjb4515 Жыл бұрын
Kachunge ng'ombe wee boya
@abdallahmulumbaga559
@abdallahmulumbaga559 Жыл бұрын
Sawa twaha uko vzr lkn watangazaji mjifunze kuongelea pande zote mbili
@eschdondefix2102
@eschdondefix2102 Жыл бұрын
Mimi ni shabiki wa twaha na uniambii kitu naelewaga sana anachokifanya ila kwa ili pambano la leo ni droo hakustaili kupata ubingwa.. Kila bondia kapanch ila mxungu kapanchi nying ila zilizogusa uso ni chache na twah kapanch chache lakini zimefika usoni japo siyo kwa uzito harisi.. All in all natamani twaha nae awatembelee mabondia kwenye nchi zao na siyo kila siku kutembelewa yeye tu haileti challenge ya aina yake kwake na hata kwa sisi mashabiki na kiukweli majaji wamefeli
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 Жыл бұрын
Hii ilikua sare kabisa mm pia napenda twaha anachokifanya Ila Kwa leo wamefel sana
@CALVINHENRICK-uy6ox
@CALVINHENRICK-uy6ox Жыл бұрын
mim ni shabiki no moja wa kiduku bt kwa hili pambano twaah ajaonyesha uleubora tuliomzoea yaan sijaona akipelek ngum zamaana as tulivyomzoea kabadirik kiupiganaji ila leo kweli mzungu kampa challenge ya kujifunza kitu bt big up sana homeboe
@pharleserasto3114
@pharleserasto3114 Жыл бұрын
Hili pambano kiukwel Twaha kabebwa ilikuwa droo wamefany tu mcheza kwao hutuzwa but sio fair kwa ushindi huu
@elibarikilairumbe5462
@elibarikilairumbe5462 Жыл бұрын
huyu jamaa kampa twaha gam taff sana ila kongore kwa twaha kwa mabadiliko yake makubwa👏👏👏🤜🤛👊💪🦾
@tallwhitesuperdesigner634
@tallwhitesuperdesigner634 Жыл бұрын
Tunaanza kupata mabondia wa uhakika Tanzania kwa sasa big up
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Жыл бұрын
Mnapoteza muda azam kwa uyo twaa amna bondia apo bola ata ya mwakinyo na ili pambano mumempa twa kimakosa tu sijapenda bingwa alikua yago
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Жыл бұрын
Mlete mama yako apigane tumuone
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Жыл бұрын
Mama tena jieshimu nsije nkakufila
@ikramsalum5655
@ikramsalum5655 Жыл бұрын
@@homesaickofficial7407 🙄🙄🙄
@ikramsalum5655
@ikramsalum5655 Жыл бұрын
@@shijamakoye6013 waacheni wazazi wetu wapumzike acheni ujinga ...hamuijui thamani yamama??
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Жыл бұрын
@@ikramsalum5655 kakosea kutusi itakua ajielewi vizuli
@samwelimadaha767
@samwelimadaha767 Жыл бұрын
Score mbona gap kubwa hivyo? Ilitakiwa wasitofautine point 3 hata kama Twaha angeshinda , na hata ingekuwa sare bado fair... naona wakirudiana nchi nyingine pia Pambano litakuwa mostly sare..... Mpinzani na benchi lake wako proffesionals ❤ Twaha kajitahidi kucheza mbinu za juu kama Whites vile, japo mpinzani alikuwa bora😊
@ErickJosephmlay-kf2sy
@ErickJosephmlay-kf2sy Жыл бұрын
Geme nzuri kiwango kimeongezeka vitu vyote ktk boxing vimeonekana
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Жыл бұрын
Twaha kiduku kapigwa
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 3 ай бұрын
Sikubahatika kuliona live hili pambano lakini Hili ndio pambano pekee ambalo twaha alicheza vizuri sana
@jumabalozi
@jumabalozi Жыл бұрын
NI KWELI TWAHA AMESHINDA JAPO AKILI YANGU HAIKUBALI😮
@dobidotz3696
@dobidotz3696 Жыл бұрын
Hiyo short aliyovaa kiduku sio poa 🤣😂😂😂😂😂
@user-sw6bx6kf3h
@user-sw6bx6kf3h Жыл бұрын
Kabondwa mwanetu" Ila mcheza kwao hutunzwa.
@jeromeshirima2053
@jeromeshirima2053 Жыл бұрын
Kiduku Ameshinda kihalali round ya kwanza mpka sita ameongoza twaha
@bongelabwana7366
@bongelabwana7366 Жыл бұрын
Kapigwa mzungu acheni unafk akiongea ngumi zikiingizwa zile ndo pointi ngum zinaangaliwa point
@bahatijuma8233
@bahatijuma8233 Жыл бұрын
Kilichonifurahisha kwenye pambano hili ni kwamba, baada ya matokeo kusomwa kuwa Twaha kashinda Mzungu hajalalamika kabxa ameyapokea matokea kiroho safi hii inaonesha Bondia huyu amekuwa kitaaruma na ki mchezo Akshanteni
@jumakaniki5650
@jumakaniki5650 Жыл бұрын
Kaxhaona kua tunabebana
@mbarakatv633
@mbarakatv633 Жыл бұрын
Titaenda kwao tu😂😂
@user-xr8nx9sd9y
@user-xr8nx9sd9y Жыл бұрын
Mzungu kapigwa. Mswahilimkashinda lazima tumshangilie>
@alwatanmatata2301
@alwatanmatata2301 Жыл бұрын
Twaha kashiinda kapiga ngumi za pointi ila mjomba kapiga ngumi nyingi za kumfanya apate point
@LightwelKasanga-zx9xe
@LightwelKasanga-zx9xe Жыл бұрын
Wow twaha kiduku ninoma sana napenda anachofanya huyu mwamba
@ATHANASLUKEHA-ui7pq
@ATHANASLUKEHA-ui7pq Жыл бұрын
Upendeleo was wazi
@dayanimwamwembe900
@dayanimwamwembe900 Жыл бұрын
Mtu anapigwa mnasema ameshinda mnatuvunja moyo
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 Жыл бұрын
Kapigwaaa kama vipiii lirudiwee huko kwao twahaa atarudii hoi
@MohamedMkilalu-ef2dr
@MohamedMkilalu-ef2dr Жыл бұрын
Kwa pambano hili kilichombeba twaa sababu yeye mwenyeji iia kapigwa
@user-fk8wy5bh6v
@user-fk8wy5bh6v Жыл бұрын
Tanzania Kizazi Imara 🙏
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 4 ай бұрын
Awa ndo waliozowea kibebwa alafu utasikia mm sichagui bondia sasa hata usipochagua bondia alafu unabebwabebwa anamaana gani kwetu cc watanzania?? Alafu kuanzia saivi atutaki ujinga muendage nje kama wanavyikuja wenzenu hapa ndio tujue kweli nyinyi ni mabingwa
@abdalaahnaziru7315
@abdalaahnaziru7315 Жыл бұрын
kiduku kapigwa
@ulomiofficialkgm5437
@ulomiofficialkgm5437 Жыл бұрын
NASEMAJE NASEMAJE TWAHA KABUTURIWA
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Жыл бұрын
Wazi wazi twaha kapigwa 😁🤣🤣 waliangalie hili twaha apokonywe mkanda
@SalimRashid-cq2pi
@SalimRashid-cq2pi Жыл бұрын
Mm wangu nimwakinyo2
@hassanmfulu470
@hassanmfulu470 Жыл бұрын
Ukiona mzungu rangi ya uso imebadilika ujue lipo jambo
@changarawemichael5556
@changarawemichael5556 Жыл бұрын
huu mchezo ukiwa ugenini shinda knockout tu full stop
@saidynangenje9868
@saidynangenje9868 Жыл бұрын
Mmmmmmmmm kuna kitu
@emmanuelsichone4681
@emmanuelsichone4681 Жыл бұрын
Camera nzuri Asante Azam
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es Жыл бұрын
Mimi ni team twaha ila kwa mwakinyo hatoboi, sema anachonikeraga mwakinyo mdomo sana kaa shangazi yake mjomba bhana
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 Жыл бұрын
Lisemwalo lipo inawezekana kweli Twaha kapigwa😂😂
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb Жыл бұрын
Kiduku kapigwa jamani muache upendeleo
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 Жыл бұрын
Twaha kapigwa kabisa
@meshackmadema781
@meshackmadema781 Жыл бұрын
Nimeona hili pambano ni droo au labda mimi sijui ngumi. 🤔🤔🤔🤔
@dicksonKindole
@dicksonKindole Жыл бұрын
mmmh hao ma judge hao kiukweli hawaja mtendea haki huyo mzungu😂😂😂😂
@abdul-majidkombo5275
@abdul-majidkombo5275 Жыл бұрын
Yeah jamaa kachez uzur mno twaha mwenyew kaelewa kaz .. 😅😅
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Жыл бұрын
Nenda kamtendee wewe
@tungarazalaurent2602
@tungarazalaurent2602 Жыл бұрын
Likae jopo la majaji upya mbona twaha hakuna alichofanya apo mzungu kashinda jaman daaah Tz kweli tembele chakula
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Tatizo kanuni ndizo zinazimpa ushindi Kiduku. Hebu sasa atoke mje ya nchi akapambane huko.
@marcopolcwaggmaster144
@marcopolcwaggmaster144 Жыл бұрын
Apa mmefel
@hamadmakame384
@hamadmakame384 Жыл бұрын
Mcheza kwao hutunzwa, ila kiuhalisia Kiduku kapigwa sana
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Hapana tuache siasa kwenye ngumi mzungu ameshinda pambano Twaha muda wote alikuwa amezidiwa alikuwa anamkumbatia mpinzani wake ameonyesha udhaifu sana Sasa Kama akitoka nje atamshinda nani?
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉
@samirmswahili
@samirmswahili Жыл бұрын
Haijawah kutokea kueka sekunde za nyongeza kwenye ngumi sisi ndo wa kwanza kistoria watuheshmu sana tz
@novatusbwakea1704
@novatusbwakea1704 Жыл бұрын
I miss the ferocious Tyson's style...it was impeccable... those elite boxing days
@tallwhitesuperdesigner634
@tallwhitesuperdesigner634 Жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza namuelewa Twaha
@LubazuLubinza-tc9tj
@LubazuLubinza-tc9tj Жыл бұрын
Jamaa anaweza
@alexalen6799
@alexalen6799 Жыл бұрын
Watanzania tubadilike ukisema ukweli eti tunatetea mashoga ukweli usemwe mzungu anajua sana twaha kapigwa time hii alafu si kila mzungu ni shoga wengine wapo wastaarabu kwahiyo mnataka kusema familia ya afande Rama wote maputo sio kweli ...mzungu kashinda ila bongo nyoso.
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 Жыл бұрын
Kashinda njaa kila mtu jaji kwani apo unaona twaha kacheza vibaya ngumi point sio kila ukirusha basi ndio ihesabiwe
@salmamohamed1506
@salmamohamed1506 Жыл бұрын
Point ya mzungu nyie wakabila
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Kabisa
@ashuraomarshuucollection
@ashuraomarshuucollection Жыл бұрын
Hio ngumi hatareee ya kibavu cha juu hatari lazima ukae hio ndio leo pambano la gervotta Davis na rayn Garcia hio ngumi ndio imeamua mshindi jamaa kapigwa hio chembe hajaendelea gervotta Davis kampiga Garcia kwa nock out
@thobiasluanda224
@thobiasluanda224 Жыл бұрын
Davis ni mtu hatari sana. Nilijua tu kwamba Ryan angepoteza.
@mariamsaidi9771
@mariamsaidi9771 Жыл бұрын
Huyo twaha apigane tyu na hao vilaza wenzake mwakinyo ata muua mpuuz huyo hana huwezo wa kipigna nae
@tembarooney7899
@tembarooney7899 Жыл бұрын
Mwakinyo ni bure
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 10 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 2,5 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
CHEKA UONGEZE AFYA-VUNJA MBAVU, AFYA COMEDY
16:36
AFYA COMEDY
Рет қаралды 501 М.
1,2 or 3⁉️ #football
0:11
Radheya Marca
Рет қаралды 6 МЛН
Leo Messi 👽😈#ytshort #shorts #trending #viral
0:10
RZ 20
Рет қаралды 989 М.
When Players React to FiFa Cards 😂
0:30
Foo5y
Рет қаралды 1,9 МЛН
Абдулманап про Хабиба! 🦅 #shorts
0:15
Artem Tarasov MMA
Рет қаралды 1,4 МЛН
Knee Slide Fails 😂
0:26
J2G
Рет қаралды 27 МЛН