Hongera sana wacha tujipange tukutafute in sha Allah
@adamkisheta84392 ай бұрын
Najifunza sana
@aysheraden77186 ай бұрын
Nimependa uwani kunaonekana kuko juu pazuri sana Big up 🎉
@mwanaharusmohd37325 ай бұрын
Natengeneza mazingira nitakutafuta kaka, niombee afya njema tu kazi zako ni very very smat
@twalebleboss96876 ай бұрын
BIG UP SANAAAAAAAA..... Niliifuatilia hii na hata ujenzi wako wa sehemu tofauti... UPO VIZURI na nimefurahiswa saaana kwa kuanzishwa kwa ofini yenu...# RASMI....#MAASHAALLAH..Tutakutana kikazi ngugu yangu...Nimekubali sana.... 🙌🙌💪👃👍
@hidayamanda-gk7nf3 ай бұрын
Hongera umetisha sana adi Raha ivi iyo finishing imeghalim sh ngapi kaka
@fanni-ck6do6 ай бұрын
Well done umeweza MashaAllah
@saidsalum5235 ай бұрын
Assalaamu alaykum,,Mungu akubariki ndugu yangu,,jitahidi na utakua juu sana,,
@zainab82516 ай бұрын
Uko vizuri sana kaka napenda sana kazi zako
@pangrasitairo60296 ай бұрын
Kazi Umeiweza”” Game Mashallah
@MohamedIbrahim-bn1gz6 ай бұрын
ممتاز
@felixrobert97345 ай бұрын
Yan nyumba imependeza had rah ukiwa umepumzika n famili mungu akuzidishe kaka takutafuta kaka
@user-lc8hz9mo4b6 ай бұрын
Uko vizuri Sana dokta house...
@gracekakwezi89416 ай бұрын
Hakika umetisha Sana ndugu
@shadya9776 ай бұрын
Hongera sana, umetiisha 🙌
@kennethzebedayo10366 ай бұрын
Kazi nzuri sana hii kiongozi.
@asa121amenahtanakshfrombur54 ай бұрын
Manshaallah nimnyama❤❤❤😊😊
@magdalenapeter61066 ай бұрын
Wow uko genius bro big up sana aisee nakuptaje?
@Majambo_Duniani_Tv6 ай бұрын
Kaka big up unatisha kaka
@shamsaahmedabdallah21126 ай бұрын
ManshaAllah ❤
@MonaMbalikeАй бұрын
Inshaallah ntakutafuta
@MeckMkalisimba-bo2wq6 ай бұрын
Kazi nzuri💯
@frankrobby18485 ай бұрын
Mzigoooo umekaaa
@masoud00456 ай бұрын
Nyumba ni ndogo ila mashallah ni nzuri sana
@adammbuba72306 ай бұрын
Very guud
@bentybenty23436 ай бұрын
Masha ALLAH Tabaraka Rahman 🎉🎉❤
@Simonirafael-wt4lc6 ай бұрын
Unyama sanaaa
@AlbertWilbert-uy8qz6 ай бұрын
Unyamaa
@user-dl1gy9pe1g6 ай бұрын
Nakubari kaziyako ❤❤
@hamzamwaya4636 ай бұрын
Safi sana
@user-ms3tp9oy2o6 ай бұрын
😢Nice imezhukua bei gani mpaka apo ilipo fikia mkuu from 27 north west province
@khaledkhaled99213 ай бұрын
❤
@user-tq2dh6tt5e6 ай бұрын
Safii sanaa
@skjjsj18895 ай бұрын
Ma sha allah Mungu awabariki Wenye pesa ndiyo watajenga site wenye hali chini hatuwezi hizo hizo muundo wa kizani inatisha
@neemamtangi48185 ай бұрын
Usiseme hivyo ndg wakati wa mungu ndio wakati sahihi wewe amini mungutu utajenga wakati wako bado
@siashayo8676Ай бұрын
Hizo kabati za jikoni zingenoga zaidi kama milango yote miwili ingekuwa inafunguka. Pia partition inahitajika ili vyombo vipangwe kwa viwango.
@RehemaLadislaus-qn5up5 ай бұрын
nimechelewa ningekupata mwanzo ningefurah ila ndo nishaharibiwa mjengo
@user-zj6ip4cd6y6 ай бұрын
Mzee hujaongopa mm niko jirani ya hiyo nyumba kuna gorofa hapo hiyo nyumba umeiweza
@hallimaomary73476 ай бұрын
Yaan very proud 😂
@cutealaufy95083 ай бұрын
Mbona hutuonyeshi ile nyumba ya dada alikuwepo uarabuni inaendeleaje?
@LailaLaila-kg2qd5 ай бұрын
Kaka naomba kujua mi uwa nakufatilia sana naomba kujua msingi mzur wa nyumba unatumia kiasi gani msingi wa mawe au ni msingi gani mzur naomba kujua unijubu basi plzzzz
@jameslyatuu956 ай бұрын
🔥
@sekikigosi82655 ай бұрын
🎉
@NyundoMundhir-hl9ju6 ай бұрын
💯💯🙏
@AmisseSulemane-sb4re6 ай бұрын
Unatisha
@AminaKida-ik8fc6 ай бұрын
Mungu akuweka na akulinde kuwa kila hatuwa
@fettiemaganza14846 ай бұрын
Pesa inauwezo wa kubadili kila kitu a see
@user-ix5kj6nx3u6 ай бұрын
Ww. Kimbokoo
@chayogasperi97836 ай бұрын
Muruki mpaka Mil 15
@user-lr2ff5mp5t6 ай бұрын
Umetish san pacha ila daa mie nina kiwanja ila pesa nilio kuwa nayo ni ndong sana pachq nina milion 5 to nasie wengine masikin una tusaidiaje
@nishaabdula50156 ай бұрын
Kaa mbona iyo pesa unajenga boma na linaisha kbs kaka kajenge
@user-sv6zy3hc8o6 ай бұрын
Inatosha kabisa hio mpaka renta kaka jitose usij ukaitumia ndugu
@user-lr2ff5mp5t6 ай бұрын
@@nishaabdula5015 sawa ndug sasa apo nipeni bajeti bs man sijui ata nazia wapi
@user-lr2ff5mp5t6 ай бұрын
@@user-sv6zy3hc8o mana iyo lamani yaiyo nyumba apo juu mie ina nitosha kabisa na nime ilewa mana cina mambo mengi
@SalimhchialaAtilio-qj5cs6 ай бұрын
Pole sana jipange sana japo ifike million Kumi na tano sasa ujenzi gari sana🙏
@joyce557276 ай бұрын
Hilo jiko hao mafund wanaweza kuja mwanza kunitengenezea