Nimekubali kaka umenipa hasila napojitafuta kunasababu ya kubanda viwanja a xe
@yasminoluoch16910 ай бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ❤ AM PROUD OF YOU...KINA MWIJAKO SASA HUYU NDO CHAWA
@twalebleboss9687 Жыл бұрын
BIG UP SAAANA....#ARISTOTE..... #BLESSINGS
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Hongera sana kaka umejitahidi mno
@habisnasalum-nz4zo7 ай бұрын
Ukiambiwa mtaviacha du mungu wew
@zabronsimfukwe10 ай бұрын
hizi content zina motivate sana🎉
@filskischannel97377 ай бұрын
Very nice house, I really love it
@ghhhhy1812 Жыл бұрын
From 🇧🇮mashaallah
@RobatiMatsoni-td6su11 ай бұрын
Enjoy kaka ukiona unachikia Alie fanikiwa ujue unanyota ya shetan
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Enjoy kaka na dada mmeupiga mwingi
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Hapo aristote unahitaji ulinzi wa kweli mana mdogo wangu ushatangaza vita na walimwengu
@ashamkesa9797 ай бұрын
Kiukweli nyumba ni nzuri mashaallah
@elinazuberi26897 ай бұрын
Enjoy maisha kaka
@celestinomarianomatias95377 ай бұрын
Finishing ikiish 😂😂😂😂
@user-px3po9lt8g7 ай бұрын
Vizur
@SurprisedFullMoon-gg9vu7 ай бұрын
Mungu atujaalie tu"nakubali saaana mtu akijenga"tamba baba uko kwako huulizwi kod
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Mungu awalinde haki
@celestinomarianomatias95377 ай бұрын
Finishing ikiish? 😂😂😂😂
@rashdiyange775810 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ila muongea points ndugu kweli tutuze pesa
@yasminoluoch16910 ай бұрын
Kujenga ni majaliwa
@SandreAlhlwah-bv1cx Жыл бұрын
❤❤❤❤💪💪💪
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Si tatizo kuishi je umepata kwa uhalalii au kuna kitu nyuma ya pazia
@felistersmejumaa5188 Жыл бұрын
Hongera
@rachelphilbert7394 Жыл бұрын
Hongera jmn
@GubraCity-dm5sx9 ай бұрын
Et frig bei ya ct 😂nawakat m2
@user-nq6os9yy1k7 ай бұрын
Safi
@user-kb5zd9lw9z7 ай бұрын
na mm nitajenga yangu😮😮😮
@HalfaSaid-vl6ki7 ай бұрын
Sqm 9000 sawa na Eka 2 apo umetupga Kwa Mimi Young Dalali Og. Eka 1 Ina Sqm 4000 Sasa apo zidisha utapata jbu 😂
@masatundege57197 ай бұрын
70x70
@josephatjordan215011 ай бұрын
Anakaanga Karoti😂😂😂
@philippemukandama29607 ай бұрын
Iyo siyo carrot 🥕 iyo ni sausages ya breakfast.
@CatherineKabelege-te3yo11 ай бұрын
Mh
@danieljoseph16109 ай бұрын
Alistote akijenga nyumba kama hio! Niite mbwa mchana kweupe! Kiki zitawaua wabongo! Na ndo maana hamwionyeshi vizuri kama ilivyo! Kama ni yake angeionyesha yote kama ilivyo!
@nekashash21907 ай бұрын
Kuna vijana wa hovyo sana hii nchi .. ushamba wa maisha...
@charlesmugisha65297 ай бұрын
Mimi nilidhani utanionyesha jeneza lako zuri na kutamba nalo kumbe unatambia nyumba ambayo ukifa wanachukua watu wengine???
@octavinaalphonce68987 ай бұрын
Yaaa ishi vizuri Duniani tu
@bellasi3497 ай бұрын
We iyo chuki tu mbwa wewe sasa jeneza inahusu nini matajiri tutaenda na nyumba zetu kule wewe iyo nyumba y’a kupanga utaenda n’ayons wapi paka
@MkumboJaphet-yx3jp7 ай бұрын
Achana na umasikini.tafuta pesa uishi maisha mazuri apa duniani.sio sifa kuishi nyuma kama choo