Lissu tunakupenda ,tunakuamini na Mungu hakika yuko upande wetu.
@vendrinelema42917 жыл бұрын
upo sahihi Sana lisu
@violetbruno92687 жыл бұрын
Vendrine Lema
@ibrahimmbirias17327 жыл бұрын
iko perfect kazi njeema mungu awe nasi hawanajipa wasio tutakia mwema wanadamu ni majungu tu usitafute sifaa kwao utakufaa mapema uwe na bora uwe sifaa.kwa njia ya kutengeneza taifa lako ila sii kwa watu
@laupetpet7779 Жыл бұрын
huyu jamaa ni mwamba
@rajabukulandea8277 жыл бұрын
big up Mr President of TLS
@frankmichael66967 жыл бұрын
Rajabu Kulandea raha sana' lisu jembe
@yusuphjuma507 жыл бұрын
Asante lisu jembe la chadema tupo pamja nanyi
@mwezanephta11077 жыл бұрын
Hongera Lissu endelea kuiweka sawa nchi
@dadileonard23927 жыл бұрын
Mpumbavu ww na watu Wako hapo pembeni Tumekuchoka na Kiki Zako Mdomomdomo kila siku Umemsaidia nn xaxa mwananchi wa Ikungi km cyo upuuzi tu Umeshakuwa Mtafuta Masifa but Mafali wawili mxhndi lazima mmoja aumie endelea na Unoko wako mwisho utafka ajulkane Sonko!Umekalia upuuzi Wananchi wanamjua anaetatua xhda na c umburura ufanyao!
@valencemakingo97307 жыл бұрын
sheria gani wao walikiuka shelia ya chadema kupata uongozi hadi uwe mwanachama ndani ya miezi mitatu sasa lowasa mbona alijiunga wiki mbili tu
@raphaelsamwel26405 жыл бұрын
Leonard akili huna mbunge makini hiyo ndo kazi yake!! Serikaki ndio inayokusanya kodi ni kazi yake kupeleka maendeleo ikungi!!!! Jielewe majitu kama nyie ndo mnatuletea maviongozi mawe!!!
Babaa tatizo Watu elimu zero haki zinapotezwa Tu.nakuelewa sana
@anamtweve78517 жыл бұрын
shida ya wa Tanzania wengi nimabashite hawajui wako wapi? hawajitambui Mungu atupe macho ya kuona maana tumekuwa vipofu kabisa tumejaa ushabiki tu hatujielewi Mungu akulinde Lisu sema ukweli Mungu atakulinda usiogope Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe piga kazi hatuachi kukuombea wewe ni jembe Mungu kakuweka ktk hiyo nafasi itumie Kwa haki barikiwa.
@chikuluchidodokochiitingan3407 жыл бұрын
wakikuwa wapi??siku zotee wameonaa wamenyimwa milungulaa waliokuwa wanakula ndio wanalopoka tu
@boniphasmvungi98077 жыл бұрын
tunakusoma lisu
@emmanuelmaloda1867 жыл бұрын
lisu mlixhasema sana lkn mangapi yamexhatekelezwa.
@josephhaule63097 жыл бұрын
kweli lissu! we are together. peace!!
@raphaelsamwel26405 жыл бұрын
Lissu kama nabii!! Waoga watakimbia huku akimwamgalia Waitara!! Petro!!
@raphaelsamwel26405 жыл бұрын
Niko tayari kwa lolote!!!! Kiongozi lazima awe na kitu anachosimamia!!! Lissu anastahili kuwa mkuu wa nchi!! Sifa zote anazo!!!
@emmyleonard59397 жыл бұрын
safii lisu
@kiparandyanabo11687 жыл бұрын
Safi kamanda tumekuelewa
@denicekato25837 жыл бұрын
kweli Watanzania bado tuna safari ndefu sana, hata anayoyaongea Lisu hamuyaelewi? Mmelogwa nyie!!
@Kamikaze29107 жыл бұрын
Denice Kato ipo siku atakuambia suluhisho LA matatizo yako ni kumbaka aliyekuleta duniani Nawe utafanya kwa sababu hutaki kujipa muda wa kufikiri
@janusqm127 жыл бұрын
BB huyu LISU siyo mganga wa kienyeji, anatoa reference anapoongea, kama unajua kuchambua hoja utajua ipi ni Pumba na ipi chakula/mchele. Ukishindwa kumuelewa Lisu, basi ufahamu wa sheria utakuwa mbali sana na wewe ama la utakua unamjibu DK kishabiki bila kujipa muda wa kufikiri
@teresiaasenga51427 жыл бұрын
Denice Kato wewe hujui dunia hiko wapi kunakichaa hanaweza kuongoza nchi
@alihijiiddi89777 жыл бұрын
HUYU ANAMUIGA RAISI WA MAREKANI ANAITWA TRAMP HUYU NDIO MAANA AKATUKANA NA ALIKUWA HAJUI WA KUWATUKANA RAISI ALIKUWA ANAHISI YUKO SOKONI AU WACHUKUZI KWENYE MATUSI MATUSI
@freddokuckelmann85027 жыл бұрын
Huyu Tundu Nusu naona ana matatizo. Mara anasema JPM amechuchukua mchanga wa wa Wazungu atafungwa.Tundu Lissu pumbavu mkubwa. Huo ni mchanga wa Watanzania. Kajaribu kuchukua mchanga China utakiona cha mtemakuni. [1] "Tanzania isusiwe" Bahau mkubwa, tatizo JPM kazuia njia mlizokuwa manaibia Taifa. [2] Lissu Anatukana kusudi ili awekwe ndani watetezi wake walio nje waendelee kumpigia kelele. [3] Safari hii Tundu Lissu akitukana tena ili awekwe ndani, mkamtahiri huko mahabusu. hajatahiriwa ndiyo maana anazidi kuleta upuuzi.
@behindsuccessachievements19017 жыл бұрын
Lisu mwenyezi Mungu wa mbinguni akujalie Miaka elfu hapa duniani, upate kuendelea kuitetea haki ya wanyonge kote nchini.
@cyprianmwela83027 жыл бұрын
Alipochukua form ya kugombea urais,mwanasheria huyu alisema.ccm wanampitisha fisadi kugombea urais.alipotoka na kwenda upande wao,mwanasheria huyu akampitisha agombee urais.huyu anatetea watanzania au njaa Yake?
@donlee25537 жыл бұрын
cyprian mwela angalau wewe cyprian umewaza kwa sauti
@mohamedshaban31487 жыл бұрын
hivi Abel umoja unapataji akili ya kumwambia MTU mpumbavu paspo kujielewa kibaya nn hapo hayo nimaoni ya MTU hombu toa yakwako tusikiye yalivyo ushauri wg kwako achana kabisa na ujinga uliyo nawo kaka (badilika).
@kevinjeremiah69727 жыл бұрын
uyo ndie lisu kamuwa baba
@leoniadaniel98437 жыл бұрын
Kevin Jeremiah bio
@deusjames69597 жыл бұрын
Mna shida nyie sikiliza kwanza Pima kile kinachosemwa alafu tumia akili sikio kutukana, ukiona unatukana jiulize umeishia darasa la ngapi? Je kwa uelewa wangu napaswa kukosa au kuunga mkono ,usitumie hisia zake hii siyo hisia.try to contemplate first.
@edgarnazar13127 жыл бұрын
its gud
@revocatusi80647 жыл бұрын
shadema. sawa. kabisa. lisu
@simbadume31267 жыл бұрын
Ahaaaaaa, sijapata kuona mtu anayejidai amesoma lakini anajifanya haelewi vitu kama huyu jamaa, duh! kweli upinzani ni ubangaizaji!
@hamidumohamed26377 жыл бұрын
bado kidogo atanyamaza tu,waliongea wengi lakini wamepungua amebaki tundu lisu nae atakaa kimya! siasa inawenyewe sio akina tundu! wamekaa ki biashara tu!
@dr.erickjmazyala89057 жыл бұрын
Wananchi ndio sisi, na tumesema Magufuli oyee! Kaza buti, Magufuli usigeuke nyuma usije geuka jiwe! Umuhamasishe nani amuondoe Magu, hebu amka kutoka usingizini! Nenda mwenyewe kumuondoe mwenyewe, tuliomchagua bado tunampenda Magu!
@King_Of_Everything11 ай бұрын
✌️👊👍。
@barakanzika12837 жыл бұрын
kwani zimbabwe hatuoni wananchi wake wanavyo teseka baada ya nchi yao kususiwa kwa wito wa mogani changirae alipo omba zimbambe isusiwe na jumuia ya kimataifa! nibora haya ya magufuli kuliko haya anayotaka lisu! kwa hili lisu sikuungi mkono ng'oo wewe unapokea mshahara mnono wa bunge sisi wananchi tunapata nini? na hata nchi yetu ikisusiwa wewe mshahara wako uko palepale !
@mtanzaniamzalendo70017 жыл бұрын
Hivi mnaomwona huyu jamaa mjinga swali analoliuliza kwa Rais hpo hamwoni kuwa lina logic!!!! wahusika wakuu wa kutoa hela za Escrow wapo ,kwa mfano washirika wengine wa IPTL wapo wapi ni nani, Sasa hivi ndio vitu vya msingi,tusishangilie tuu,lazima tuhoji km watanzania,
@moziidavchonchi33387 жыл бұрын
mimi kama kijana nayejitambua naona uyu mzee anaongea upuuzi tuuu kwa wapuuzi wanaomsikiliza
@husseinally91467 жыл бұрын
Mousa D, planjin we ndo huelew sio wrote lieu jembe
@KalistoKalilile-v7l10 ай бұрын
Nyie ndo pumbavu kabisa mi ni CCm lakin huyu jamaaaa namkubali haijalishi yupo upinzani hiiiki kichwa ni cha uhakika we unaongea ujinga tuu
@hamismindika75137 жыл бұрын
Nice king
@HamisiChipotele-fl8xo7 күн бұрын
2025 Nipp hapa na Mwamba TAL
@neemakilomoni42587 жыл бұрын
😏😏😏
@abuubadru24037 жыл бұрын
nafikinafiki
@ibrahimmaduhu36557 жыл бұрын
Lissu umeishiwa sera
@ndebilemathias31017 жыл бұрын
huna Jipya
@chikuluchidodokochiitingan3407 жыл бұрын
Ndebile Mathias Sana'a hanajipya
@alisonngaila98277 жыл бұрын
Jaribu bas
@stelasasala59727 жыл бұрын
Anayekudisi hajitambui na km ni kijana nampa pole maana hajielewi.
@elvunielvuni66377 жыл бұрын
ludisha pesa za uyooo fisadiii hats waandishi wahabari wapuuzi tuuu
@mudhousekikoletv38657 жыл бұрын
asante lisuu
@hirarymziray95097 жыл бұрын
Anaheshimiwa baba was mbinguni sio binadamu.
@papafikiri7 жыл бұрын
Innuendo
@frankmichael66967 жыл бұрын
sema nao baba, mm binafs nakuunga mkono mh lisue
@gabrieladam4917 жыл бұрын
ISAYA 45:20-22
@atukuzwemungudaimaariseand61567 жыл бұрын
Asiyemuelewa Lisu ni mpumbavu ajitambui wanachokifanya maana wapinzani wanaonewa sana
@abdalahmnyawi71567 жыл бұрын
Huna jipya we.
@ramadhanirashidy36437 жыл бұрын
Mijityu mingine haijielewagi kabisa
@hilalisaidseif84837 жыл бұрын
Hii Ni tunu ya taifa
@mwebraniaonline70017 жыл бұрын
hifadhi ya taifa,
@egfridmkoba47677 жыл бұрын
Chadema wafanye uchaguzi huyu jamaa awe mwenyekiti!
we sema siunajua kongea ni ham! kwan ulimchagua wewe ? we si ulimchagua Lowasa? si mlimkana km co raisi wenu? tuachieni tulio na IMAN nae ,chakushauri badirisheni katiba ya chama chenu Hiyo Sera ya kuwa na mwenyekiti WA kudumu jmn ndo democracy ht vikoba vinawashinda? nakumbuka hata mamonita shule ya msingi tunabadirisha VP chama hiki? mm naomba kisusiwe na Raisi magufuli chama hakina dira
@jumapeter33537 жыл бұрын
mmechoka nyie watu wawili munao ongea ujinga mtapiga kula ngapi
@mathayomkumbuchile15697 жыл бұрын
Asiyemuelewa Lissu aende akaolewe maana anachoweza kufanya ni kuolewa tu. Nchi inatawaliwa kwa sheria haitakiwi kufanya mambo anayoyataka mtu bila kufuata sheria
@slivathomas45837 жыл бұрын
Hata mjinga hakosagi wafuasi lisu usitufanye watanzania hatuna akili ww tunakujua ni mropokaji na magufuli kakufanya ukose cha kuongelea umebuni mbinu ya kumuongelea magu kwa sasa mi sikushangaii
@alihijiiddi89777 жыл бұрын
NI UJINGA TU WA CCM HUWO WANADHANIA SHERIA ZIKO VICHWANI MWAO SI VYAKUFUATA KANUNI ZA PALAMENTI WANAFANYA MAMBO NINA KIWETE MAKUFULI MKAPA NA WENZAO ATA BABAYAO WATAIFA NYERERE LANATULLAHI HAKUYAFANYA AIBU AIBU AIBU
@eliasabel10997 жыл бұрын
hujiongez hata ulionao wanakucheka?!
@yusuphsafisanajpmjuma45767 жыл бұрын
lisu mmeishiwa Hamna Sera bulabulaa tu
@omarymbalala62247 жыл бұрын
Lisu wewe ni wasayari nyingine
@timothkivamba91227 жыл бұрын
Ipo ck yako ww Abel
@nelsonnyamle2 ай бұрын
Waitara mtu wa hovyo kabisa
@mohamedmwamajuja71867 жыл бұрын
hatumii WA naumia wezi wako gerezan na bado wengine ,jisemee wewe na chama chako tu na mataifa never kumtenga weweeee ,kweli umepotea
@keffajacob5247 жыл бұрын
matako we
@wilsonmikate18877 жыл бұрын
Vp! atakuja kutokea zaidi ya Lisu?
@yussuphkhamis10147 жыл бұрын
Wape makavu lisu.
@danielsamir97877 жыл бұрын
maneno meng kam mtot mdogo
@lameckbalekele29017 жыл бұрын
Tundulisu waliokuchagua hawataludia ujinga huo hawajakutuma kusimamia kesi zawatu unaongea mpaka mashavu yameludi nyuma kamamagali yamekutana usokwauso
@evancemosha78627 жыл бұрын
Lameck Balekele Hujui unachoongea wewe ! Unawajua waliomchagua wewe? Ulienda kuwauliza waliomchagua wakakwambia kuwa hawatarudia tena kumchagua?? Acha chuki za kipuuzi za kushabikia chama na kuwachukia wasio wa chama chako ! Huu ni uhalisia anaousema Lisu! Humjui hata Mungu wewe !
@keffajacob5247 жыл бұрын
mashavu kama chuwi...matako ww Yakima huyu
@robertmshana87307 жыл бұрын
ww unaesema lisu mpumbavu, mpumbavu ni ww.
@zebedayomathayo40957 жыл бұрын
Wewe ndo mwanasheria mkuu wa Dunia, nitakupigia kura uwe mwanasheria mkuu wa Dunia, nakupenda lisuuuuu
Ungeandaa mhadhara kwenye jimbo lako ili wananchi wajue haki zao, kwa kuwa mengine unayosema yana umuhimu katika maisha ya watu
@queenaward51707 жыл бұрын
wewe pumbafu tu huna jipya
@MOJAZAIDI.7 жыл бұрын
TUNU
@jamesbalele35227 жыл бұрын
wajinga wenzio wataendelea kukusapoti! unaongea pumba tu
@mfaumemiraji92997 жыл бұрын
Komaa hivyo hivyo kiongozi nakuelewa sana mkuu
@kfastak7 жыл бұрын
Lisu ni master. Kila ninapo msikiliza huwa najifunza mengi sana
@jacksononline3917 жыл бұрын
lisu tumia mdomo vizuri
@fakijuma17827 жыл бұрын
Tundu Lisu ni Kichwa, máana haongei kibubusa katiba imo kichwani
@abdulrahmankionga66387 жыл бұрын
acha kelele ondoa fisadi chadema humo,
@josephmbeya59737 жыл бұрын
Abdulrahman Kionga .Si mna mahakama ya mafisadi? mchukuweni mkamshitaki maana mnapiga kelele sana bila kujielewa.
@chikuluchidodokochiitingan3407 жыл бұрын
utafanya kazi saa ngapi jimboni kwako.utasemaaa Sana'a kisa unajua sheria.hunaa lolotee muachee ,RAIS sfanyee kazi yake
@georgesway86927 жыл бұрын
chikulu chidodo kochiitinganaa Omary hahaha jua na ww usema maana hujui piga kmy
@hirarymziray95097 жыл бұрын
Usingekua hafanyi wangemchagu.Acheni unafiki wa kisiasa angalieni nchi inae NDA wapi.
@uzimatv25897 жыл бұрын
Tangu tumeibiwa miaka yote ulikua husemi leo nchi inaenda pazuri unalalama nn?kuna mrija umekatwa au ni vp bro?
@inocentmasawe8327 жыл бұрын
we unavyo xema kuna mrija umekatwa angekuepo yy asingexema
@yusuphathuman85967 жыл бұрын
unaesema pumba hujitambui pia huna Akili kabisa
@elishambile89627 жыл бұрын
we ndo huna akili
@elishambile89627 жыл бұрын
we ndo huna akili
@mkuurditv42277 жыл бұрын
wewe ndio hauna akili
@charlzg35167 жыл бұрын
yusuphu huna akil unamatope
@noahmdeka99247 жыл бұрын
Yusuph Athuman tena huyo anaetukana du hujielewi nahic utakuwa ujatimia
@janekisyombe57957 жыл бұрын
safii lissu
@hassaniharoon60797 жыл бұрын
Wewe Umechaguliwa mbona hukosolew Umepeleka Maendeleo Gani kwenye Jimbo lako Au Ndo Unawadanganya Wapumbavu wenzio
@elliahelliah72407 жыл бұрын
Viva baba viva
@marthasilas43047 жыл бұрын
acha wehu wewe!!!
@ayubumoha63137 жыл бұрын
kiongozi wa kuigwa
@elvunielvuni66377 жыл бұрын
unahaki ww haki mbinguni ungejua tushakuchoka lisu wewe ujitambui
@kadorvas23477 жыл бұрын
joseph mgongolwa unaf.........?nalissu
@alisonngaila98277 жыл бұрын
Umempa mamlaka umempa kula ww,,,!!!
@mlaponievansi46197 жыл бұрын
nyie mnayemtukana lisu evi hamjiulizi kuwa walimnyima dhamana kutokana na maneno aliyotamka wakayafanya kuwa makosa mazito nchi hii lakini walipofika mahakamani,mahakama ilitoa dhamana kiwepesi kbs tumieni akili ya kawaida kuelewa sheria za nchi yetu sio kwenda tu kisha biki
@sitymutalemwa93697 жыл бұрын
Mlaponi Evansi D D. 1q
@januarykebasa58857 жыл бұрын
Lisu danganya wajinga mbona Lowasa alivyohamia Chadema ulimpokea kwa Shangwe kati alivyokuwa CCM ulimwita fisadi we nae ndio wale2 wanyonyaji huna jipya tulia jembe afanye kazi ni Muda wake Sasa.
@sengasuletisia14747 жыл бұрын
January Kebasa
@abelumoja80437 жыл бұрын
Lisu wewe pumbafuuuy kupita wote kulko watu wote unakeliwa had wanakufata huna lolote tena wangekuminya na pumbu peoplez is now not power .power alipokuwepo zitto Leo hii n peoplez weaker stupid
@charlzg35167 жыл бұрын
+Yona Shaulin ndoakome mtukane
@adiliwasanga45217 жыл бұрын
Lisuuuuuuuuu big aaaaaaaaaap , wambie baba nakusoma saana, wanaosema huna akili inaonekana waliowazaa hawana akili
@kulwakhalfan54557 жыл бұрын
ABEL UMOJA
@MarcoNM1007 жыл бұрын
mavi wwe pumbav zako
@ProphetMusaMeizon7 жыл бұрын
ABEL UMOJA akiri yako mbovu sana
@ezekielkiyeyeu18727 жыл бұрын
Hauna sera wewe
@hamisyalagwila48247 жыл бұрын
pumba
@beberu297 жыл бұрын
Hamis Yalagwila ww ndio unakichwa cha panzi ujui ww ni mfu
@sideniuskatula66167 жыл бұрын
kweli lisu nilikuwa siku zote sikuelewi ila sasa nimekuelewa,twambie ukweli tunakuelewa?