JAMAA AMCHANA MAGUFULI - "Achia FEDHA, HALI NGUMU" MAGUFULI AMJIBU!

  Рет қаралды 495,453

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 379
@yahyaally364ally2
@yahyaally364ally2 5 жыл бұрын
Jambo nyigine mweshimiwa kama litakupendeza hal ngumu pesa hakuna pesa dah nakubal xan gonga like kam umkubal uyu jamaaa jasili
@khajimsengi5139
@khajimsengi5139 4 жыл бұрын
Yahya ally 364 Ally Ajai lnguga
@rahimamkumbo3238
@rahimamkumbo3238 4 жыл бұрын
Yaan kaka yangu kweli mm nilichukuliwa kila kitu baadae ya biashara kuyumba hadi kufika uarabuni kutumwa na mwarabu
@jameshosianamhalila1757
@jameshosianamhalila1757 4 жыл бұрын
Hata mm kanigusa huyo jamaa pesa ni ngumu sana!
@AminaAmina-kc6yy
@AminaAmina-kc6yy 4 жыл бұрын
Mambo Rahima tuko wote Oman dadaangu baada ya kuulizwa na magu kufunga ma more
@rahimamkumbo3238
@rahimamkumbo3238 4 жыл бұрын
Kweli kwa sababu matumizi makubwa kushinda kipato
@meryjohn7120
@meryjohn7120 4 жыл бұрын
Jamaa umeonge vzr maisha magumu mno
@biramsakh9212
@biramsakh9212 5 жыл бұрын
Kwa ukweli uyu ndio Rais sijawahi kuona. Allah ambariki sana amin.
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 5 жыл бұрын
sema Allah amuongoe
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 5 жыл бұрын
usiposoma dini sawa na shaitwan juu yake laana
@al-bsaidykhalef6897
@al-bsaidykhalef6897 5 жыл бұрын
@@ibnhassan9980 safi sana ALLAH AMUONGOWE NA MASHEKHE AWATOWE NDANI WANATESEKA
@EdsonSanga-zt2fw
@EdsonSanga-zt2fw 9 ай бұрын
Ok fine!!
@jescaluoga5534
@jescaluoga5534 4 жыл бұрын
Tufanyeni kazi watanzania wenzangu mbona maisha niyaleyale yasikuzote toka enzi zakikwete Ali ilikua ngumu sana kwasisi masikini Asante baba akika mngu akatupendelea wapo wanao Lia nchi nyingine wana kulilia baba je? Sisi watanzania kwann tusishukulu? Mngu baliki Tanzania baliki viongozi wetu mbaliki baba yetu magufuli
@christinakihwele1950
@christinakihwele1950 4 жыл бұрын
Hapo kwenye fedha ni point sana tunateseka mno biashara hakuna watu hatuna hela kabisa
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 2 жыл бұрын
Sasaiv Hali imekuwa ngm Zaid bola enz zake huyu mwamba
@joahuashinerz6832
@joahuashinerz6832 5 жыл бұрын
ndiyo hali ni ngumuuuuu bn achia fedha
@amanishoo1813
@amanishoo1813 5 жыл бұрын
Jamaa ameongea vzr na kwa adabu mpk Mh Rais akafurahi na kucheka na kujibu maswali yake vzr sn.
@patrickmadiwa3845
@patrickmadiwa3845 5 жыл бұрын
Daaah jamaa jasiri sana , Hongera sana jamaa
@samanthony2431
@samanthony2431 5 жыл бұрын
Mzeee pesa umetumbana Sana pesa iachie t
@mmsfuzzsba3816
@mmsfuzzsba3816 5 жыл бұрын
Naona joto la maisha magumu linazidi kupanda wanaanza kufunguka
@kasimuhasani1635
@kasimuhasani1635 5 жыл бұрын
Makavu
@mlamtv4839
@mlamtv4839 5 жыл бұрын
Rais wetu fanya kazi tupo nyuma yako.Tutafanya kazi Na Mungu atabariki kazi za mikono yetu.Ya kaisali tutampa kaisali ya Mungu vilevile.Baki tutaboreshea maisha yetu.kiroho na kimwili.Magufuli oyeee.Mungu Baba yetu.akuwezeshe nasi pia.Amen
@omarijumaa8786
@omarijumaa8786 5 жыл бұрын
Achia fedha baba hali ngumu kupita maelezo nyinyi waheshimiwa munakula bata sisi mlo mmoja kw tabu
@barakaalmas3399
@barakaalmas3399 5 жыл бұрын
Uza sim
@maxmaxmo5545
@maxmaxmo5545 5 жыл бұрын
Pambana acha kulalamika
@jobbup0lly700
@jobbup0lly700 5 жыл бұрын
Omari Jumaa Kweli Mze Angalie kwa jicho jingine Watanzania wake
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 5 жыл бұрын
Daaah kweli.utakuta mtu anakopa mkopo laki moja anadaiwa laki na 60 liba elufu 60 yan hapo lazima upokonywe vyombo vya ndani hali mbaya saana
@paulmasoli5886
@paulmasoli5886 5 жыл бұрын
Kipo Cha kujifunza ukiona mwananchi kaamua kwa Moyo wa dhati kumwambia mkuu wa nchi fedha hakuna, si Jambo dogo kawasemea wengi.
@marthabaruani1087
@marthabaruani1087 5 жыл бұрын
Kabisa
@narlonabuu4665
@narlonabuu4665 5 жыл бұрын
Kwel
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 5 жыл бұрын
Huyu ndugu Abel akipata uongozi ana point ya nguvu sana yaan nimefurahi kusikia mtu anaweza wadhlisha kilio ya watu wengi kwa mfalme bila unafiki
@jemaidakikoti9463
@jemaidakikoti9463 4 жыл бұрын
Jamani ajira za ualimi mbaka namba ya tutapata wp
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 4 жыл бұрын
Hapo ni kuongeza Mishahara kwa wafanyakazi wa serikali na sekta bimafsi. Lakini pia kuzirudisha Posho na marupurupu ili hao wafanyakazi waweze kuzitumia mtaani kwa wakulima na wafanya biashara wakubwa na wadogo, lakin pia serikali iwashauri mabenk kulegeza masharti ya mikopo ili atleast wafanyabiashara wakubwa na wadogo waweze kuzizungusha mtaani, lakini pia kuruhusu wawekezaji wengi kutoka nje wenye mikataba mizuri na wenye tija na malipo mazuri kwa watakaojiriwa na hao wawekezaji. Vilevile serikali kuomba mikopo kutoka nje ya nchi na mikopo hiyo itumike ipasavyo ili iingie kwa wananchi. Kwhayo inawezekana mtaani kukawa kuna mzunguko wa ela mkubwa na ela nyingi.
@zaudangailo7736
@zaudangailo7736 4 жыл бұрын
Kwel kabisa
@wannaproducts
@wannaproducts 5 жыл бұрын
Wamwambie ukweli huyu mzee, pesa hakuna kazi zinafanyika sana tu
@MwajumaKhalidmwajuma
@MwajumaKhalidmwajuma 5 жыл бұрын
Kijana jasir oyeeeee
@richrich4802
@richrich4802 3 жыл бұрын
Oyooo pamoja
@sky-g8410
@sky-g8410 5 жыл бұрын
Jamaa apongezwe kwa confidence alionayo kwa kuongea paaina kuteteleka ila huyu mbaba kazingua eti akaolewe duh sio majibu mazuri amesahau kuwa watanzania ote wanasikiliza speech hii. Mungu ibariki tanzania tizama twaneemeka/kulewa madaraka
@maxmaxmo5545
@maxmaxmo5545 5 жыл бұрын
Acha ujinga alicgoongea kibaya be kipi there is no "free lunch"
@tumainipeter6713
@tumainipeter6713 5 жыл бұрын
ggody ckiller aachie pesa ziibiwe au anaachiaje
@eliasmjinja3276
@eliasmjinja3276 4 жыл бұрын
Raisi mzima unatukana wanaume wenzake kuwa wakaolewe nitusi wakati Wa kuomba kura utatubembeleza Leo tukaolewe asante
@jumannea9050
@jumannea9050 4 жыл бұрын
Mzee achia pesa kweli siyo masihala
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 5 жыл бұрын
Hongera baba magufuli kwa kuchapa kaz
@saidimngazija8227
@saidimngazija8227 4 жыл бұрын
Mzee fedha achia kweli tunaumiaa
@mrspirika1354
@mrspirika1354 4 жыл бұрын
Mm namkubali san kiogozi wetu magu
@denismapunda8854
@denismapunda8854 4 жыл бұрын
Raisi kazi tunafanya biashara hazina wateja pesa umewekeza kwenye miradi namkubali sana huyo alieongea kwaniaaba yawote amekusifia pia amekuambia ukweli
@isrimussa7208
@isrimussa7208 4 жыл бұрын
Umesema vyema ❤️
@mzingajamali3944
@mzingajamali3944 5 жыл бұрын
Rais achia fedha Hongera kijana umewatendea haki watanzania utakumbukwa nao watafahamu
@tumainimsumba9542
@tumainimsumba9542 4 жыл бұрын
Mnaona bilioni moja zinatoka serikalini kuwajengea barabara na daraja Bado mnataka serikali iwape pesa
@ernestamos2306
@ernestamos2306 4 жыл бұрын
Tunahitaji Tanzania yenye ukweli zaidi,uwazi zaida,upendo zaidi na yenye viongozi makini wenye kujali maslahi ya Watanzania hasa ulinzi wa tulichojaliwa na Mungu. Mungu ibariki Tanzania pamoja na viongozi wake. Siasa iwe ni njia ya kutufikisha nchi ya ahadi na Si chanzo cha kutugawa. Wote lengo ni moja kuijenga nchi yetu. Wanasiasa msitugawe Bali tuongozeni salama
@omarijumaa8786
@omarijumaa8786 5 жыл бұрын
Jamaa jasiri
@kechbowcech3325
@kechbowcech3325 5 жыл бұрын
Kwani zamani tulikuwa hatu fanyi kazi....... Achia hela Baba.... Tunafanya kazi watu hawana hela...
@erastolyimo8352
@erastolyimo8352 5 жыл бұрын
Toa ajira mzee, hatuwezi kulima wote
@yohanaadamuyohanaadamu7914
@yohanaadamuyohanaadamu7914 4 жыл бұрын
Yaani hali ngumu jamaa kasema ukweli kabisa hajapepesa achia fedha duh unataka tufe au
@kombosaira7894
@kombosaira7894 5 жыл бұрын
Biashara hazina wateja kwani wananchi hawana elaaaaaaaa! Jamaa kawakilisha kilio cha wengi ila mijitu ya kujipendekeza hawaoni hili.
@yohanabibinza1133
@yohanabibinza1133 5 жыл бұрын
Watanzania kwa kujipendekeza ndio wa Kwanza. Anamshabikia Magufuli jioni anaenda kwake hata Mkate hana akifika home ni kibano toka kwa mkewe.
@omaryndauka3941
@omaryndauka3941 4 жыл бұрын
p
@yohanaadamuyohanaadamu7914
@yohanaadamuyohanaadamu7914 4 жыл бұрын
Ushabiki wingine wakishamba unashabikia wakati kwa nyumbani unaenda kupiga miayo
@yahayamelkizedeck4252
@yahayamelkizedeck4252 4 жыл бұрын
Shida ya magufuli anapenda masiara hali ni ngumu
@japhetisraelsmafie997
@japhetisraelsmafie997 4 жыл бұрын
Mweshimiwa wengine hatujui kisukuma😀😀🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Acha wanajua waongee maana yuko kwao lazima aongee na wazee kikwao ili siku ya kura wampe
@victorjohn410
@victorjohn410 4 жыл бұрын
Kilicho uliza na kujibiwa ni tofauti
@lameckmtegetu4034
@lameckmtegetu4034 5 жыл бұрын
Ukisifia sawa ukikosoa umechokoza nyuki duuh! Noma
@ommychilumo
@ommychilumo 5 жыл бұрын
Utakua unakosoa kwa lipi?Elezea matatizo na changamoto za eneo la kwenu lishughulikiwe. Hapa kazi tu.
@rahimamkumbo3238
@rahimamkumbo3238 4 жыл бұрын
Kweli kabisa hata mm nipo Oman kwa sababu ya mikopo hiyo nimeamua kuja huku kwa ajili ya kudaiwa
@abel920andrea5
@abel920andrea5 4 жыл бұрын
You tube mko vizuri
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 5 жыл бұрын
Hicho kililugha hatuelewi WENGINE, tujitahidi kutumia kiswahili chetu, as a UNIFICATION FACTOR.
@lugembevoice
@lugembevoice 4 жыл бұрын
mbona wewe umechanganya lugha
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Acha aongee kwao ni muhimu na Babu aelewe anachoongea Risi
@mapesanyalulu5764
@mapesanyalulu5764 4 жыл бұрын
@@trophainamagogwa7966 Facts mzee
@catherinebassanga2252
@catherinebassanga2252 5 жыл бұрын
Kama hizo hela zisingekuwa zinaenda kwenye miradi hizi mambo yange kuwa mazuri
@saidsoud5967
@saidsoud5967 5 жыл бұрын
Kweli hali ningumu. Biashara hazisomeki ni shida tupu
@samanthony2431
@samanthony2431 5 жыл бұрын
Mzeee watu wanakufa mahosipitalini kwajili ya kukosa pesa za matibabu
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 4 жыл бұрын
Huyu mzee huwaga akielezwa ukweli huwaga anachukia sana namajibuyake ndohayooooo mwayaskia aisee ayabana lakin maisha mafupisana.
@Cryptocurrency_Tanzania
@Cryptocurrency_Tanzania 5 жыл бұрын
Raisi washirikishe wachumi wakusaidie mawazo.... unachokiongea na kukiamini sicho hicho kuhusu kutokuwepo kwa pesa mikononi mwa mtu mmojammoja.
@folonatuszongo475
@folonatuszongo475 5 жыл бұрын
Ninamsifu mtoa hoja ,kuachia pesa maana yake Serikali inatakiwa kuweka mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji ili wawekezaji wazalishe fursa hasa sekta binafsi,na nyingine kuachia pesa upande wa Serikali kuzalisha ajira kama Kuongeza Waalimu,Askari Polisi,Wanajeshi,Wauguzi ,hii ndiyo mantiki ya kuachia pesa sio kugawa pesa bila kufanya kazi,haya ni maoni yangu tu.
@christophermarwa6318
@christophermarwa6318 5 жыл бұрын
Ktk watu wa kucoment wewe Bw. Zongo ni mtu wa kwanza kunifurahisha kwa maoni, maana ni wachache sana wenye uelewa kama wako. Pongezi kwa ufafanuzi.
@solemba595
@solemba595 5 жыл бұрын
Well said!
@taimumwasanya7708
@taimumwasanya7708 4 жыл бұрын
Uliongea kiuchumi zaidi hongera kwa ufafanuzi wa point ya kuachia fedha kwa raisi
@ntemikingi3531
@ntemikingi3531 5 жыл бұрын
Hongera baba kupenda kutatua changamoto zetu mbalimbali,
@veronicamchilo8552
@veronicamchilo8552 5 жыл бұрын
Kijana wa chenge hoyeeee
@raisonmwazembe7002
@raisonmwazembe7002 5 жыл бұрын
Aachie et
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 5 жыл бұрын
hoja nzuri
@geofreymollel6973
@geofreymollel6973 4 жыл бұрын
Nikweli Mzee lakin ata ukifany kazi ulipwi mabosi wanalia Pesa amn Mkuu mbon Mimi nalinda Leo nina miaka miwili sijalipw Mzee daa
@charle1955
@charle1955 4 жыл бұрын
Umeongea vyema rais wag hongera kwa uongonz mzr
@datiusgabriel8277
@datiusgabriel8277 5 жыл бұрын
Duh! Acha tuwe watazamaji,,,
@peterlujuo1640
@peterlujuo1640 5 жыл бұрын
Every thing he says is damn true
@mathayopapiasi8872
@mathayopapiasi8872 5 жыл бұрын
Asiye fanyakazi asile piga kazi mzee wangu elfu mbili naishilini huna mpinzani kula tutakupa 100%
@victorjidinga9743
@victorjidinga9743 5 жыл бұрын
Umenena mheshimiwa...HAPA KAZI TU
@AmosKhamas
@AmosKhamas 10 ай бұрын
I think our president should follow suit
@raidondecko5059
@raidondecko5059 5 жыл бұрын
mh,anasema huwez kuchukua pamba ya mtu alafu ukashindwa kulipa ,lakin kolosho unaweza kumzulum mtu
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 5 жыл бұрын
Ndio tunatakiwa kufanya kazi lakini hata ukifanya kazi Bado hell haipatikani ikatosha, pia matumizi vitu NI Bei ghali Sana,,, tofauti na siku za nyuma Ela ilipatikana mtaana na matumizi yalionekana.
@fredrickipembe6277
@fredrickipembe6277 5 жыл бұрын
Mzee anatumaliza
@contegabriely8299
@contegabriely8299 4 жыл бұрын
Jamaa umesema kwel ila angalia uxkamatwe
@sonlovemellah4949
@sonlovemellah4949 5 жыл бұрын
Kazi tembo mshahara sungura chapeni kazi life expectancy inazidi kushuka miaka mwisho 30 kifo pumbavu
@jacobkadelya5915
@jacobkadelya5915 5 жыл бұрын
Umenena
@kihutenyangurete3669
@kihutenyangurete3669 5 жыл бұрын
Nyerere
@kbdmsafi_tz8094
@kbdmsafi_tz8094 5 жыл бұрын
Kabisa Kaka Ushukuriwe
@allyramadhani9081
@allyramadhani9081 4 жыл бұрын
Duuuuuiiiiooooo huyuuu mzeee mgumu xn aixeeeee tatizo xioooo kaziii hata ukifanya unalipwa helaaa hazitoshiii nasemaaa nnchiii akichukua tena tumekwisha
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 4 жыл бұрын
Mzee watu kazi wanafanya lakin fedha hakuna hilo halina ubishi, watu hawali madaraja Mzee.
@festojoseph7746
@festojoseph7746 5 жыл бұрын
Wakiingia marais wenu wakula bata wingereza huku nchi inaibiwa ndo mtamwelewa jpm
@mahersayd8278
@mahersayd8278 5 жыл бұрын
Binadamu anapochoshwa na jmbo fulani hutumia silaha aliyonayo kujinasua..!!
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 5 жыл бұрын
Baba tupo Qatar hii nchi ni kazi hakuna maskani maskani hakuna kujikalia hta huku usipo fanya kzi pia utaishi maisha ya kuomba omba
@aminahassan561
@aminahassan561 5 жыл бұрын
Kabisa pesa nchi nyingi pesa hakuna hata wanazo sema eti nchi nilizo endelea badoo kuna changamoto
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 5 жыл бұрын
endelea kuramba miguu ya mishenzi ya kiarabu ila Tz ya sasa balaa
@paskarielias611
@paskarielias611 5 жыл бұрын
Niko China nakupata kamanda asiyefanya kaz na asile
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 5 жыл бұрын
@@ibnhassan9980 dogo mbweha mkubwa wewe kaa hivyo hivyo tokea umezaliwa hujui kusafi kila sehemu maisha yapo magumu mpumbavu wewe nyie ndio bongo zenu zimeathirika wafikiri maendeleo yataletwa na babako India ni ichi ina uchumi upo juu sana kuliko Tanzania lkni pia maisha magumu nenda uingereza watu wanalalamikapia hta marekani hivyo hivyo sasa wewe kaa jidanganye ukazani utafanikiwa bila kufanya kz mwisho wasiku unakuwa mchawi bwege siajabu tokea uzaliwe hta treni hujapanda ukohapohapo kweni hya gombea ubarozi basi ila kwa taarifu yko napambana na naweza kuishi inchi yoyote bwege zege and insha Allah soon I will be to Korea insha Allah.mtu hta airport huijui palivyo unaporojoka tu utabaki kuwa nyuma hivyo hivyo kma mfuko wa nyuma na kuvishwa sogi kama punda wa dobi
@islamsefu3394
@islamsefu3394 4 жыл бұрын
Nipo Pakistan nafatilia sana nchi yangu tz
@vicentkanyuka3470
@vicentkanyuka3470 5 жыл бұрын
Watu tufanye kazi bna hamna kuomba omba
@amo-one.babalake3588
@amo-one.babalake3588 5 жыл бұрын
Nazitapotea zaid heraaa huyooo jamaaaa nikiboko jinyime Leo kwa faida ya keshoooo magu anaakiri safiii sanana
@browskymuba6923
@browskymuba6923 5 жыл бұрын
hakuna mtu hafanyii kazi banaaaa
@emmanuelmuslim9702
@emmanuelmuslim9702 5 жыл бұрын
alikibs
@janatmwingira8336
@janatmwingira8336 5 жыл бұрын
Safi sna, asiye fanya kazi na asile na afe,
@fredrickipembe6277
@fredrickipembe6277 5 жыл бұрын
Wewe siunahongwa sisi tunalima
@janatmwingira8336
@janatmwingira8336 5 жыл бұрын
@@fredrickipembe6277 😀😀 Sawa,
@lucasraykahema3491
@lucasraykahema3491 5 жыл бұрын
Haahaaaaaa nimefurah Sanaa leo
@isubilaalex4707
@isubilaalex4707 5 жыл бұрын
Yes jpm
@halimaabdalah3781
@halimaabdalah3781 5 жыл бұрын
nice
@neemakaluwa2089
@neemakaluwa2089 5 жыл бұрын
Bro kajiripua bin kumwaga mboga
@frolahmosses6852
@frolahmosses6852 5 жыл бұрын
Neema Kaluwa 🗣
@arafataliomar7432
@arafataliomar7432 5 жыл бұрын
asante mh raisi
@erickmsigwa88
@erickmsigwa88 5 жыл бұрын
Siasa ya kisukuma IPO juu
@jemmimahagesa6840
@jemmimahagesa6840 5 жыл бұрын
Usipofanya kazi hela zitaisha😂😂😂😂akiba mama wana hela za kulipa mahari,hata mimi sina tuchape kazi,vya bure vitaisha zaidi😂😂😂mkono softi
@azizially5880
@azizially5880 5 жыл бұрын
Simba
@Basagamp4
@Basagamp4 5 жыл бұрын
Africa inaua Mwangaza Wake. Mwananchi anaongea kwa niaba ya Wengine kuwa mtaani Hali ya Kiuchumi Ni ngumu,Rais anajibu Kaolewe na Wanawake wenye Pesa. Eeeeh Mwenyezi Mungu utujaalie Mwisho Mwema
@philemonmchihiyo2601
@philemonmchihiyo2601 4 жыл бұрын
2:15 Ombi 7:45 Jibu
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 5 жыл бұрын
Walipe hela zao
@hamzaliganga7437
@hamzaliganga7437 5 жыл бұрын
Acha aseme bhana uwoga ni dalili ya umasikini
@jeremiahdibogo2910
@jeremiahdibogo2910 5 жыл бұрын
hyu kijana anaitwa nanii
@saeed6811
@saeed6811 5 жыл бұрын
Jeremiah Dibogo mtoto wa chenge 😂
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 5 жыл бұрын
Nice
@raphaelgilya26
@raphaelgilya26 4 жыл бұрын
Safi Sana kaka
@jakobomabura3320
@jakobomabura3320 2 жыл бұрын
tulikuwa na jembe Ila basi tu mungu tuludishie laisi wetu
@louismowo2422
@louismowo2422 5 жыл бұрын
unasema kweli Raisi
@najayazmsalah1434
@najayazmsalah1434 5 жыл бұрын
Hapa jamaa nampongeza kaongea lilokua moyoni mwake big up broo
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 5 жыл бұрын
Ehee saf. C uchum umekua achia fedha
@ramsoramso88
@ramsoramso88 5 жыл бұрын
Watu wamechoka wameanza kujilipua
@washajoseph2641
@washajoseph2641 4 жыл бұрын
Kaz tunafanya sana ila mhuuuu hela hakuna hata kama utakomaa ucku na mchana kod
@meryjohn7120
@meryjohn7120 4 жыл бұрын
Kazi zipo wapi sasa?
@jabilisalha3186
@jabilisalha3186 5 жыл бұрын
Magufuli 👊👊
@louismowo2422
@louismowo2422 5 жыл бұрын
kweli kazi ndio msingi wa hela
@kombosaira7894
@kombosaira7894 5 жыл бұрын
Hali ningumu kila biashara inagoma,INA flemu zilivyofungwa town.
@djiddhur8931
@djiddhur8931 5 жыл бұрын
Watu wafanye kazi hakuna za bule
@kombosaira7894
@kombosaira7894 5 жыл бұрын
Kama mzuunguko Mdogo watafanya kazi hewa
@festovenas502
@festovenas502 5 жыл бұрын
Ata usiachie ela kwani uta tawala milele mda wako ukipita utapisha tu mna mnyenyekea kama vile ni mungu afanye anavyo penda atajua yeye
@amanimwidowe653
@amanimwidowe653 5 жыл бұрын
Ananyenyekewa Kama zahema alivoimiliki yanga
@maxmaxmo5545
@maxmaxmo5545 5 жыл бұрын
Acha ushoga fanya Kaz
@adammjomba7112
@adammjomba7112 4 жыл бұрын
Makufuli achia fedha watu wamechoka mbona kiongozi wengine walikuapo wanajenga nchi na raia wanakula na wanafuraha kivipi wewe utawala kwa mkono wa chuma ? Achia fedha acha kujieleza
@frenkfrenk4585
@frenkfrenk4585 4 жыл бұрын
Sisi siyo watoto wadogo kias hiki. Tukutane tar28/10 kwenye sanduku la kura
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 10 ай бұрын
Sasa leo mnazo pesa ? Aliye bania pesa ametuacha .sasa hawa ambao wanaongoza wanaziachia hela? Au wanahachia miundo mbinu ? Leo mnalia vyote .pole poleni sana. Mtakumbuka Magufuli mpaka mshangae
@nasrathyusuph3964
@nasrathyusuph3964 2 жыл бұрын
Huyu jamaa akikutana na mama leo cjui atamwambia nn maana kama kwa magu aliona hela ngumu asahav ndo zmekauka kabsa
@paschalmathew858
@paschalmathew858 5 жыл бұрын
8:20 ambao hawajelewa kisukuma Tafsri Ambao wanakaa kijiweni wanalalamika kuhusu pesa kila siku waende wakaoelewe maana mimi sikuja kuleta hela nimekuja kuwakumbusha watanzania wafanye kazi serikali inatafuta pesa kwaajili ya barabara haiwez ikatafta fedha kwaajili ya kukulisha wew na mke wako 😂😂😂
@farajiabdallah9463
@farajiabdallah9463 5 жыл бұрын
Umekua Mkalimani
@gracethomas683
@gracethomas683 5 жыл бұрын
Asante kwa kutafsiri maana nasikia ooh! Rahisi kasema tukaolewe nikawa siwaelewi na sikuwahi msikia amesema hivyo....kumbe
@hassaname3534
@hassaname3534 4 жыл бұрын
muheshimiwa ulitoa ahadi kwenye kampeni zako kila kijiji m50 mbona hazionekani
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 5 жыл бұрын
Kweli rais hela ya bure hakuna .Tuchape kazi kwa bidii tumezoea kupiga porojo badala ya kufanya kazi.Sema ukweli baba msema kweli mpenzi wa Mungu.
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 5 жыл бұрын
inamaana wafanyakazi wa serikal hawafanyi kazi?kwanini msiwafute kazi?kama wanafanya kazi vp msiwaongezee mshahara na msiwapandishe vyeo?
@shaibathuman5426
@shaibathuman5426 5 жыл бұрын
Hapa kazi tu
@nimrodsigulu2053
@nimrodsigulu2053 5 жыл бұрын
Mara wanasifiwa kwa kuchapa kazi. Hapo hapo wanashauriwa wachape tens kazi...dah
@richarddabryin2456
@richarddabryin2456 5 жыл бұрын
Rais hali ngumu achia pesa
@rahmattanzania3869
@rahmattanzania3869 5 жыл бұрын
Nice
@danielkingnenda2580
@danielkingnenda2580 5 жыл бұрын
Kazi njema magufuli
@dazk7861
@dazk7861 5 жыл бұрын
Jamaa kaamua kuvunja ukimya
@josephmwinuka6664
@josephmwinuka6664 4 жыл бұрын
2isome namba wote
@fredyhaonga2871
@fredyhaonga2871 5 жыл бұрын
Si muwalipe fedha za pamba ndiyo useme wafanye kazi sasa leo hawajalipwa hela zao na leo wafanye kazi mje mchukue mali zao tena mseme fanyeni kazi wamekuwa wazazi wenu wa kuwalisha?
@mage5289
@mage5289 5 жыл бұрын
Walipwe kwanza
@fredrickipembe6277
@fredrickipembe6277 5 жыл бұрын
Mzee anatuua
Rais Magufuli Alivyomuomba Prof Jay Achane Mistari!
4:14
Global TV Online
Рет қаралды 2,3 МЛН
Lissu azungumzia uongozi ndani ya CHADEMA
11:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 42 М.
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН
DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
11:32
MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
25:04
Global TV Online
Рет қаралды 1,3 МЛН
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 119 М.
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
1:23:49
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
48:48
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018
1:08:30
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
59:24
Azam TV
Рет қаралды 815 М.
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН