The keyboardist is amazing God bless Upendo Nkone..God bless Tanzania
@amosnnko77923 жыл бұрын
Nampenda Sana mama angu uyu Mungu akulinde akutunze Sana jamn madam Upendo nkone nakupenda mnooo mama
@bikyeombeasukulu14023 жыл бұрын
Nyimbo zako uwa zinanibariki sana Mamangu Mungu akutunze daima,pia mvalio wako Mamangu jamani naupendaga sana natamani siku moja niwe kama wewe kivyovyote ❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏
@noelayubu67283 жыл бұрын
God bless u mom ninabarikiwa sana na huduma yako your the best on Tz gospel
@agnesssanga6544 Жыл бұрын
Nalia tu ata sjui nalia Nini eeeh Mungu unikumbuke na Mimi😭😭😭😭😭🙏🙌
@AminaMwaka-k8o4 ай бұрын
I love you mummy , May the Lord continue blessing you
@catenzeki6783 жыл бұрын
Kiukwli nyimbo zako hua zinanibariki na kuniinua saana.Hasa nyimbo zko 2,usinipite bwana na Nimebaki na Yesu
@priscarpius55093 жыл бұрын
Stay blessed woman of God nabarikiwa Sana na nyimbo zako
@mapenzidickson6280 Жыл бұрын
I love you mommy 🥰...may the good Lord bless you....unanibariki sana mamaa
@faithjulliet1622 жыл бұрын
Mungu azidi kikuinua. Nakupenda mama yangu ❤
@mulungiester86754 жыл бұрын
The lady is among of Tanzanian gospel singers and she seems to be a prayerful woman
@omanabcd92493 жыл бұрын
Barikiwa sana upendo
@BarakaIssah4 жыл бұрын
Nampenda sana huyu mtumishi wa Mungu , Mungu azidi kukuinua .
@samuelkisembokonyi18862 жыл бұрын
Nashukuru sana mujakazi ya Mungu. Kila Mara nyimbo zako zinanibariki sana mno
@yeirikitholebonny43222 жыл бұрын
I have always wanted to listen to this great woman of God sharing her journey of life and her walk of salvation
@ispiyvette36643 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mungu akupe nguvu na upendo wa mungu uwe pamoja nawe
@carenkachecheba55383 жыл бұрын
Wow nataman kuimba km wewe Mama... Nice voice...be blessed
@kamotajunior16812 жыл бұрын
I love mama's music, kuna wimbo "mateso ya yesu" ambao nautamani, nkiupata ntashukuru!
@tedygodwin54312 жыл бұрын
Nakupenda sana na nyimbo zako huwa zinananitia moyo sana
@jeannettendayisenga99683 жыл бұрын
Amen amen upendo wa YESU wanizunguka asante YESU
@queenesther8505 Жыл бұрын
God bless you,dada upendo,i thank God for your life and also blessing you with family which raised you in the ways of the Lord,kudos to nkone family.🙏
@musaliaeugene79756 ай бұрын
Yaani keyboard tu pekee yake kwanza unahisi uwepo wa mungu 😢napenda nyimbo zako mama
@omuze12902 жыл бұрын
Haleluia kwa Bwana Yesu. Ninakushukuru sana Bwana Yesu!
@bethkinyuko8559 Жыл бұрын
Namshukuru mungu kwakwel kwakupitia nyimbo za upendo nione hua ninabalikiwa
@jacksonmatosha88954 жыл бұрын
Amen MUNGU AZIDI kumuinua mama yetu hakika tunabarikiwa wengi nahuduma yake.
@puritymusimbi273 жыл бұрын
Love you mama, l have blessed with your songs
@jeannettendayisenga99683 жыл бұрын
Usifurayi juu yangu eee adui yangu ninaamini hawezi kuniacha asante kwa mwimbo huwo YESU ni mtetezi tosha barikiwa mtumishi wa mungu aliye hai
@jaromemikael70433 жыл бұрын
Asante sana mama mungu akubariki
@zuhuramustafa32044 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zote za huyu dada Mungu azidi kukuinua zaidi nakupenda dada
@judithunajibumaombimushi1683 жыл бұрын
Mama mungu akubariki yani kilanikickia nyimbo zako nywele zinasisimka naamini ckumoja ntakutana naww nakupenda mnoo❤️❤️❤️
@alfredfaraja30763 жыл бұрын
Kweli MUNGU akup mwisho muzuri mama🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@lainacemwasote76704 жыл бұрын
Nahisi machozi jamn!!,huyu mama nampenda sanaa
@ruthmwasomola6554 жыл бұрын
Atamim jamani
@lainacemwasote76703 жыл бұрын
Ruth barikiwa sana.
@Hawa-es9kn Жыл бұрын
Ooooh mama angu wa kiroho i just love this mama from bottom of my heart ❤
@innocentshedrack50633 жыл бұрын
Nakubali kazi zako sana mamangu
@doreendee62734 жыл бұрын
Amen sister ngone. I love your songs too much.
@estermkabila7642 Жыл бұрын
Mungu akutunze sana mama ,,,uendelee kua baraka kwa wengi
@samwelngassa49414 жыл бұрын
Amen MUNGU awabariki sana MMEPONYWA MOYO
@oliviamoraa16163 жыл бұрын
All the way from Kenya penda wewe Sana Mamii
@EsterMgana-r2q6 ай бұрын
Najisikia kubarikiwa na hii nyimbo kila niisikiapo😢❤
@rosedidas72503 жыл бұрын
Waitikiaji mko vizuri piah
@reginawanyama60783 жыл бұрын
Amen my heart is blessed and encouraged God bless you mama.
@HaikaJohn-w3h7 ай бұрын
Karibu yesu moyoni mwangu ukae nami❤
@mercymoraa18044 жыл бұрын
I love ur songs especially Yesu atakutunza
@gloryqueen62963 жыл бұрын
I love you so much my love pendo mkonyi
@omondienos15484 жыл бұрын
This lady is ever humble
@peterkiplangat2544 жыл бұрын
I love this woman of God
@masumbukowambura24033 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama Mungu akuinue zaidi na zaidi
@veronicasamwel39374 жыл бұрын
Penda Sana mama angu wa kiroho
@rehemarichard45893 жыл бұрын
Nyimbo zahuyu mama kwakeri zinanibariki sana
@ruthmwasomola6554 жыл бұрын
Mungu yupo pamoja nawewe mama
@lukandaireen5833 жыл бұрын
Role model your loved mom,may God strengthen you.
@denislazaro8183 жыл бұрын
Noma sana
@judithimanisadiki60813 жыл бұрын
Soyez béni maman que nôtre Dieu t'inspire encore de plus
@amanimatata78912 жыл бұрын
Baba tuonekanie Mungu wangu tunakuitaji
@dottokabogolo28676 ай бұрын
Benja, the way huwa unagusa kinanda huwa nahisi machozi kunibubujika. Nabarikiwq sqna na mikono yako kwa piano
@rithakuyala99514 жыл бұрын
Love you UPENDO 😍😍❤🤝
@emmilleyluvanda60703 жыл бұрын
Amen barikiwa sana upendo nakupenda
@trizasamuel85554 жыл бұрын
Mungu akubariki
@BarakaIssah4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@rizikiruwa71163 жыл бұрын
Barikiwa mama
@roselaizer68812 жыл бұрын
God bless you mama!😘😘
@steveyusuf14284 жыл бұрын
Love of GOD.
@rosengulwa94053 жыл бұрын
Amina
@fadhagati9021 Жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍
@selinambele83064 жыл бұрын
I love you 🌹
@rosedidas72503 жыл бұрын
Sauti2 hongela
@magdalenajohn65643 жыл бұрын
Hii pia ilimgusa mpaka Mwl Mwakasege
@ephraemphabian2114 жыл бұрын
Lumumba,mnyampala,shabani robert etc
@gershonchilemba23103 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@sebastianissayaissaya46894 жыл бұрын
Shetani kaimeza dunia interview za maana views 1.4k za kipuuz Zina trend ee Yesu tusaidie
@dorcahogeto15444 жыл бұрын
Huwa hata mimi hushangaa, jinsi watu hapa nje wanataka vitu ambavyo havimpi Mungu shukrani sana kuliko vile vinavyomtukuza Yesu.
@catenzeki6783 жыл бұрын
@Sebastian hizi ni nyakati za mwisho kiukwli tuzidi kumtafuta MUNGU kwa roho na kweli pia tukumbuke shetani yuko katika kampeni ya kupinga injili lkni MUNGU atazidi kutupigania
@annamarie14043 жыл бұрын
😭🙏🙏🙏🙌🏽🙌🏽❤️❤️amennnn
@deniskaguo46983 жыл бұрын
Mama anaimba sn kwakweli
@dorcasmichael75974 жыл бұрын
Mungu simama tutetee bila wewe hatuwezi
@emmanuelbaribarira13813 жыл бұрын
Naomba namba za huyu muimbaji
@iminzaphanice99503 жыл бұрын
halleluya ,kweli Mungu ni mkuu,check my song on youtube phanice iminza