PART 02: ARUSHA YASIMAMA, MKASA WAKUSIKITISHA WA MAMA HUYU MBELE YA RC MAKONDA

  Рет қаралды 285,605

Tiki Tv

Tiki Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@tikitvog
@tikitvog 8 ай бұрын
Kutazama Pat 01 bofya link hii 👇👇 kzbin.info/www/bejne/hoSlaKttispjorc
@emmanuelsalila1557
@emmanuelsalila1557 8 ай бұрын
O😅l
@HusnaMtitiko-yt4ru
@HusnaMtitiko-yt4ru 8 ай бұрын
​@@emmanuelsalila1557😂😂😂bwabwa tu huyu hamna kitu hapa
@EliseyMassawe-tc6ns
@EliseyMassawe-tc6ns 8 ай бұрын
Uyo anaekaa apo sio mtu ni mamba
@BushrifuKasseko
@BushrifuKasseko 8 ай бұрын
​ll
@magrethibrahim9636
@magrethibrahim9636 8 ай бұрын
Aan haki za watu haki huwa zinapotea bure kukosa ufuatiliaji
@josephinejoachim5847
@josephinejoachim5847 8 ай бұрын
Kwakuwa tumesha jua vizuri havidumu basi ndugu zangu watanzania wapenda haki, tuungane kwa pamoja tumuombee mh makonda mwenyezi mungu ampe maisha marefu.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 8 ай бұрын
Kweli anahitaji maombi...
@edwinlyimo5611
@edwinlyimo5611 8 ай бұрын
Tutazidi kukuombea Mungu akulinde na maadui zako, kweli unasaidia wanyonge,Wakati umefika upande cheo kuwa waziri wa Mambo ya ndani,wizara hiyo imepoa Sana tofauti na enzi za Mrema,Makonda chukua hiyo wizara Sasa,
@thomaslali705
@thomaslali705 8 ай бұрын
Zoezi hili liwe endelevu kwa mikoa yote
@rosenaheka5137
@rosenaheka5137 8 ай бұрын
Amuepushe na hila zote za shetani na asimame na wates wake na ampe kibali
@Benny318m
@Benny318m 8 ай бұрын
​@@thomaslali705 Ni kila mkoa wakuu wake wanahitaji kujifunza
@farusaimon3490
@farusaimon3490 8 ай бұрын
Huyo Mama ni kiboko yao! Hongera sana mwalimu Beatrice-Mwenyezi Mungu akulinde na urejeshewe haki yako! Viva Mr. Makonda!
@rabsonmichael9720
@rabsonmichael9720 8 ай бұрын
Mama yupo makini sana.
@rehemamollel9548
@rehemamollel9548 8 ай бұрын
Mwalimu wangu jmn nampenda njiro secondary moja
@rehemamollel9548
@rehemamollel9548 8 ай бұрын
Yupo makini hadi kwenye ufundishajii jmn njiro sec 2oo9 hadi 2012 tunamuelewa vizuriii
@farusaimon3490
@farusaimon3490 8 ай бұрын
@@rehemamollel9548 Hongereni sana kwa kuwa na Mwalimu makini. Ni wachache mno wenye ujasiri kama huu. Fuateni nyayo zake, kwa ajili ya kujitetea na kuwatetea wengine wanaodhrumiwa.
@Angelkilawe
@Angelkilawe 8 ай бұрын
Anaakili uyu mama anafaa kupewa uwana sheria❤❤❤
@joelpreachingsmuiruri5188
@joelpreachingsmuiruri5188 8 ай бұрын
Mhesimiwa Makonda truly an ambassador of the kingdom of God.Much love from Kenya Bro
@BraisonMeela
@BraisonMeela 8 ай бұрын
Mhe. Makonda You deserve this position your excellence. Umekuja wakati muafaka ktk mkoa was Arusha. Mungu akubariki
@TwalibuSalimu
@TwalibuSalimu 8 ай бұрын
Huyo abarikiwe sn
@TwalibuSalimu
@TwalibuSalimu 8 ай бұрын
Mtetezi wa wayonge nchi zimama
@chalemofaraji8797
@chalemofaraji8797 8 ай бұрын
Makonda makonda Allah akuweke na kukulinda makonda 🇬🇷🇬🇷🇬🇷🇹🇿
@HamidaHamisi-ej8kz
@HamidaHamisi-ej8kz 8 ай бұрын
Makonda Acha wasikupenda Tukikupenda sisi wanaichi Na Mungu Wetu inatosha Makonda wetu. Mungu wetu Akulinde kiongozi wetu
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 8 ай бұрын
Mpaka raha sana,hii kitu inanilia sana bundle lakn sijali ❤
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 8 ай бұрын
tupo wengi😂😂😂
@MariaIsaya-y2y
@MariaIsaya-y2y 8 ай бұрын
Hongera madam Sana kwa ujasiri mama angu
@MariaIsaya-y2y
@MariaIsaya-y2y 8 ай бұрын
Hongera madam Sana kwa ujasiri mama angu
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 8 ай бұрын
Wala hata MB haziumii
@salomewandya7257
@salomewandya7257 8 ай бұрын
Usijali dear yajayo yanafurahisha
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 8 ай бұрын
Mama Samia ikikupendeza mpe mkoa mwalim beatrice. Yuko vizuri Sana anaejielewa vizur sana
@PendoMatemba-sn4zx
@PendoMatemba-sn4zx 8 ай бұрын
Hata Mimi narafiki Hilo, 🙏🙏
@winfridambwambo9830
@winfridambwambo9830 8 ай бұрын
Kabisaaaa
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Ай бұрын
Huyu hafai kuwa mwalimu anafaa kuwa mkuuwa mkoa kbsa
@JohnEleuter
@JohnEleuter 8 ай бұрын
Daaaahh RC makonda mungu akulinde Sana kwa Kaz nzuri na tamu unayoifanya
@missarepafra3973
@missarepafra3973 8 ай бұрын
Beatrice Sio mwalimu Kwa ustadi wake wa Ku handle issues anapaswa kuwa katika nafasi kubwa ili kuweza kuwasaidia na wananchi wengine wasiokuwa na sauti, uwezo wala ujasiri na utulivu kama wake yeye huyu mama. Nimempenda jinsi alivyo verry commited na pia yuko humble lkn powerful.
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w 8 ай бұрын
Mwanaume anae mmiliki Beatrice amshukuru Mungu na amuombee sana kwa Mungu maana duh hata mm ni mwanamke ila nimempa saluti da Beatrice ❤❤❤
@aristidesvedasto7855
@aristidesvedasto7855 8 ай бұрын
Hakika kabisa
@emyfaustin7618
@emyfaustin7618 8 ай бұрын
Nakuunga mkono
@peninabernardo2504
@peninabernardo2504 8 ай бұрын
Yani ni ana akili sanaaaaaa🙌🙌🙌ualimu unaficha kipawa chake kwakwel
@HijiraHussein
@HijiraHussein 7 ай бұрын
Anajua anajua anajua anafaaaaaaa Huyu dada Beatrice mungu akupe maisha marefu
@enockmaige8936
@enockmaige8936 8 ай бұрын
Mungu akutunze kwaajili yetu Makonda akulinde akupiganie akufiche katika mbawa zake ambapo wabaya hawawezi kukufikia.
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 5 ай бұрын
Mama ungepata Makonda ingawa moja ktk kila mkoa, dhuluma ingepungua, na Mungu angeshusha Baraka zake nyingi kwa nchi. MUNGU AKUBARIKI.
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 8 ай бұрын
Mwl. Beatrice tazama muujiza wa Mungu.Walikudhalilisha sana pindi ulipokuwa ukiwafuata maofisini kwao.Leo Mungu kawadhalilisha nawao mbele ya Dunia.Mpaka aibu kweli.
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 8 ай бұрын
Mungu ni mwema kwake.
@annamaronga5282
@annamaronga5282 8 ай бұрын
Mwalimu wangu wa physics jmn
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 8 ай бұрын
Mwalimu anafaa kuwa waziri wa elimu au katiba na sheria yuko vizuri sana. Ikiwa umewahi kufuatilia haki yako kwenye hizi manispaa utaelewa maumivu ambayo mwalimu B kapitia. Uwiii yaan dodoma mnispaa walichonifanyia Mungu anajua walichukua plot nba zangu wakampatia mwingine na offer ninazo mkononi na hati wamempa mwingine na kesi yangu wakaiamua ivo ivo wakanipa kiwanja kingine sehemu walio idharau wao
@CarolynoissoFamel
@CarolynoissoFamel 3 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda makonda
@tabithasamson8123
@tabithasamson8123 8 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu mkuu wamkoa makonda uko vizuri mungu akutangulie endelea kutenda haki
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 8 ай бұрын
Star wangu mimi Tanzania 🇹🇿 ni makonda jaman Yarab mlinde huyu kijana mwenzangu kwa kazi kubwa anayo ifany🙏
@ambrosealbogast792
@ambrosealbogast792 8 ай бұрын
The Great Makonda! Hakika u mtetezi wa Wanyonge. Big up sana
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 8 ай бұрын
Daah huyu mwalimu kiboko😂😂😂🙌🏼🙌🏼 MKUU WA MKOA unatakiwa umsogeze hapo ofisini nae atakusaidia kuwatatulia matatizo watu wengine ana Akili sana
@susananyasani6526
@susananyasani6526 8 ай бұрын
Super Mheshimiwa Makonda kwa kazi nzuri Arusha kutetea wanyonge asante
@AnnazachaZacha
@AnnazachaZacha 8 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa Paul Makonda Mwenyezi Mungu wakulinde daima
@LeonardMussa-c4o
@LeonardMussa-c4o 7 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde dhidi ya maadui.Makonda Mungu akufunike na mbawa malaika wake.Makonda Mungu akulinde kwa jina la Yesu pamoja na damu ya Yesu iliyomwagika pale msalabani iwe pamoja nawe.Makonda Mungu akuepushe na ajali zote na aendelee kukupa afya njema ili uendelee kuwatumikia wananchi.Makonda Mungu akulinde kabisa kutoka pande zote za dunia hii mashariki, magharibi,kaskazini na kusini.Makonda Mungu akubariki sana pamoja na familia yako kwa ujumla?Aminaaaaaaaaaaaaaaaaa!
@annahngururi6595
@annahngururi6595 8 ай бұрын
Habari mr.makonda.Mungu akupiganie katika kutetea haki za watumishi. Mimi pia nina shida za kiutumishi naomba unisaidie na mimi........wuuuuuiiiiiii
@ElishaKasambo-yu5jt
@ElishaKasambo-yu5jt 6 ай бұрын
Very advanced problems solving skills,be blessed by Almight
@mussahancy6591
@mussahancy6591 8 ай бұрын
Nakushukuru sana Mh Rais Dr Samia mama yangu kwa kutuletea Makonda
@EliasMwita-q3x
@EliasMwita-q3x 2 ай бұрын
Makonda nakukubali sana,Chapa kazi mzee
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 8 ай бұрын
Naona tabasamu kwa mbali kwa Mwl. Beatrice.Mungu kamuonesha mwanga.Zaidi ya watu wakatili wenye roho mbaya watesaji.
@kingelieshabani7235
@kingelieshabani7235 5 ай бұрын
Mweshimiwa MAKONDA una kazi ngumu sanaaaaa Mungu aku wezeshe tena na zaidi
@JullyEdward
@JullyEdward 8 ай бұрын
Duuu,yaani Mimi naona Makonda anafaa awe raisi kabisa kazi anaiweza❤️❤️❤️
@AllyFeruuz
@AllyFeruuz 4 ай бұрын
NINA HOFU WATAMFANYA KAMA JPM KUNA WAKONGWE HAWANA HOFU YA MUBGU
@pastordenischanneltanzania5324
@pastordenischanneltanzania5324 8 ай бұрын
Wapatikane,akina, Mkuu kama Makonda, CCM itakate sana. acheni kumpiga vita Makonda
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 8 ай бұрын
Mungu akulinde Mkuu wetu Arusha tunashukuru sana kwa kuletewa jembe kazi kazi tu Mungu akupe afya njema na maisha marefu asante sana.Mungu ibariki Tanzania na wananchi wake.
@halimahemediwaziri2630
@halimahemediwaziri2630 8 ай бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Makonda Mungu akubariki sana
@goodluckndunguru995
@goodluckndunguru995 8 ай бұрын
KAZi ya mwalimu haiishii darasani Tu ,uwezo WA kujieleza NI nyongeza ya KAZi yake pia ,hongera sana mama yangu beatris
@hermenegildempawenayo279
@hermenegildempawenayo279 8 ай бұрын
Samia, mupe kazi Beatrice, makonda mungu akupe maisha malefu
@leonarddimdoy6237
@leonarddimdoy6237 8 ай бұрын
Huyu Mama ni Genious
@happinessmsengi6408
@happinessmsengi6408 8 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu sna,sisi tunakuombea sna.yn Mhe.hao waliomadarakani kunyanyasa watumishi wanyonge ndio zao sna,wapo watumishi kibao wamefukuzwa kaz kwa uonevu tu km wa mwl.Beatrice na wengine HD kuacha kazi kwa kuchoka na huo uonevu.Mungu akutunze sanasana
@irynrobert7187
@irynrobert7187 8 ай бұрын
Hongera sana Mwl Beatrice.... na Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania Mkuu wa mkoa Makonda 🎉
@12322879
@12322879 8 ай бұрын
Mungu aendelee kumlinda brother Makonda…Kudos kiongozi.
@theonasmkoba6121
@theonasmkoba6121 8 ай бұрын
Damu ya Yesu ikulinde Makonda
@Olafkaria123
@Olafkaria123 8 ай бұрын
Mh Makonda mungu akuzidishie miaka mingi ya uongozi kwa kweli wewe ni kiongozi wa kuigwa
@ShrifaTnzani
@ShrifaTnzani 8 ай бұрын
Pole kaka makonda mungu akutangulie
@DottoMalago
@DottoMalago 6 ай бұрын
Ofisi hizi za kiutawala,wanapokua wanatoa maagizo/maelekezo,ufuatiliaji kuhusu wanaotekeleza maagizo/maelekezo ni muhimu sana jamani,si kuelekeza alafu kutulia,kuna kupuuza sana ktk ofisi hizi,hongera mkuu wa mkoa kuibua hayo unayoyaibua
@elisesiastephen1775
@elisesiastephen1775 8 ай бұрын
Mungu akubariki Kiongozi Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda Hakika Mungu akubariki sana kwa kusaidia wanyonge wanaoonewa na watumishi wa serikali Wanafanya Serikali itukanwe na usiaminike kwaajili yamatendo yao maovu Mana Samia amekuamini lakini Mungu ameruhusu uje utusaidieee Sinama na Mungu akubariki kwakusikiliza wanyonge Libarikiwe tumbo lililo kuzaaa Unezaliwa kwakusudi la Mungu Ubarikiwe kuingia kwako nakutoka kwako
@kilianamapunda3170
@kilianamapunda3170 8 ай бұрын
Makonda Makonda Mungu Akupe maisha
@sebastianmusyebi-yv1hm
@sebastianmusyebi-yv1hm 8 ай бұрын
Hakika makonda MUNGU akuongezee nguvu na maisha marefu
@elizaberthpius4511
@elizaberthpius4511 8 ай бұрын
Wanatiaga huruma hawa wapigaji wakibananishwa,,,Mungu amlinde Makonda for us
@SheillaJaffery
@SheillaJaffery 8 ай бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa mkuu wa mkoa kazi yako ni njema unatenda haki
@AIKABAHATI
@AIKABAHATI 9 күн бұрын
Huyu Mama kiboko yao...Hadi Mh.Makonda kacheka.🎉🎉
@happyfrank9919
@happyfrank9919 8 ай бұрын
Hongera sana Mh. Makonda kwa kujua na kutambua majukumu. Munngu azidi kukuweka.
@mshukumangi
@mshukumangi 7 ай бұрын
Pole RC Makonda. Kazi ni ngumu ila Mungu akuongoze.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 8 ай бұрын
Mwalimu Beatrice yupo vizuri sana hapo mmeyakanyaga,hongera Makonda
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 8 ай бұрын
Umefanya kazi nzuri ya kutatua shida za watu na huo ndio uongozi thabiti Na neno la Mungu lasema hiv 2wakoritho 9:6-7 Lakini nasema neno hili apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu Kila MTU na atende kama alivyokusududia moyoni mwake si kwa huzuni wala kwa lazima maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo mkunjufu.
@ChrisElectrical-ck4mc
@ChrisElectrical-ck4mc 8 ай бұрын
Nilikuwa sikupendi ila sasa sina namna....Mungu akulinde mh Makonda
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 7 ай бұрын
Mimi pia,sasa wewe ni wa upande wangu.
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Ай бұрын
Ulilishwa sumu
@YohanaMathayo-r7p
@YohanaMathayo-r7p Ай бұрын
Mwanasheriya uko vizuri unakuwa mkweli na ukweli itakweka huru mungu akuinuwe mwanasheriya wa arusha huyo mrefu sijajua jina lake
@MoteswaLekwasa
@MoteswaLekwasa 8 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda salute kwako na viongozi wengine waige mfano wako. Mama Samia aksante kwa kumpa Makonda nafasi hii ni moja kt ya viongozi wanaokiheshimisha chama cha Mapinduzi pia wewe.
@JOSHUASANGA-j4h
@JOSHUASANGA-j4h 29 күн бұрын
Mungu akusaidie makonda ikibidi uwe raisi wa tanzania
@williammary6782
@williammary6782 8 ай бұрын
Makonda mungu akulinde sana na akuepushe na mabaya
@alphonceo3571
@alphonceo3571 8 ай бұрын
Hongera Jirani zetu kwa mfumo wenu kutatua maswala ya Uma kwa uwazi. muungano wa Afrika mashaki inastahili kuiga haya
@RobartGidion
@RobartGidion 8 ай бұрын
Brother Makonda pambana haki za Wana Arusha Mungu akupe maisha marefu mno
@RobartGidion
@RobartGidion 8 ай бұрын
Bro Mungu azidi kukupa busara zaidi
@YusuphuPaulo
@YusuphuPaulo 8 ай бұрын
Mwenyezi mungu akulinde kaka Paulo makonda mungu itazame kilasiku ya mtotowako huyu
@oam14l
@oam14l 8 ай бұрын
Hongera Mwalimu Beatrice!
@LittaMushi
@LittaMushi 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ Brother Makonda...Mtoto wa MUNGU ndani ya Arusha.... Barikiwa ushangae kaka
@mbonijabut1405
@mbonijabut1405 8 ай бұрын
Pole mwalimu wangu makonda miaka mia baba
@izrajoseph1406
@izrajoseph1406 8 ай бұрын
Very smart mwalimu Betris
@remtulanassary
@remtulanassary 8 ай бұрын
Pole sana hon MAKONDA.. kiukweli unapambana kimkoa ila pia inaonekana System ni mbaya hata ya watumish wa Kiserkal, na ndo wanaoharbia had Chama. Pambana MAKONDA
@fatimahants1526
@fatimahants1526 8 ай бұрын
Pole kwako kazini mkubwa mheshimiwa makonda, haya ni majukumu makubwa sana
@JuliusLomanya
@JuliusLomanya 8 ай бұрын
Makonda sikuwa nakupenda but now nakupongeza Sana Kwa KAZI nzuri Sana unayo ifanya Arusha aisee mungu akubariki sana
@generosennko8343
@generosennko8343 7 ай бұрын
Mkuu wa mkoa Arusha. Asante kwa maongozi yako
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 8 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki na kukuinua Makonda mhshmw
@OscaramandusVicent-c6l
@OscaramandusVicent-c6l 2 ай бұрын
Mungu amjalie uyu mja wake siku moja awe mkuu wa mkoa wa mtwara
@lucymgeni2357
@lucymgeni2357 8 ай бұрын
🎉mamaa upewe uongoxi unakityuu.... Una fact zimeshina
@estakapufi7582
@estakapufi7582 8 ай бұрын
Izo pesa za ml. Wameshagawana hao sasa wanajichanganya haki ya mtu haipotei itachelewa ila mungu halali kabisa, mungu mlinde makonda wetu.
@MrKiwanjaupdates
@MrKiwanjaupdates 8 ай бұрын
Jamaa anaonekana anaroho mbaya sana aisee, just imagine pesa niyaselikali na mtu anaidai serikali, na ameshinda case ni issue ya kuidhinidha tu malipo ila mtu analukaluka tu
@wamba_bey
@wamba_bey Ай бұрын
Huyu mama makini sana safi sana I WISH ANGEKUA NI MAMA YANGU HUYU WALLAH big up sana kwa mama Beatrice
@FrumenceBoniphaceMasero
@FrumenceBoniphaceMasero 8 ай бұрын
Mungu Bariki makonda
@GetrudaMamiro
@GetrudaMamiro 8 ай бұрын
Safiiiii mamaaaaaaa, matapeli wengi sana. Kazi kula vya wanyongeeee.
@josephimbwambo
@josephimbwambo 8 ай бұрын
Makonda mungu akuongeze umri usaidie wanyonge njoo kwetu same
@nevistours
@nevistours 8 ай бұрын
Wasipokupenda wao tukikupenda sisi wanyonge na Mungu inatosha
@SelesiusGration-rq7sb
@SelesiusGration-rq7sb 8 ай бұрын
@makonda nguvu moja forever
@HamisiGatuso
@HamisiGatuso 7 ай бұрын
Makinda upo sawa mungu akubarik
@agnessmduma7581
@agnessmduma7581 8 ай бұрын
Usjali Mtumishi wa Mungu hata kama hawakupendi Mungu na sisi wanyonge tukikupenda inatosha. Wewe ni zaidi ya kiongozi ni Mtumishi wa Mungu
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 7 ай бұрын
very good Mr makonda
@imranhassan9994
@imranhassan9994 8 ай бұрын
🌍🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕 ⭐🌟 ✍️ Jamani kama hapa duniani haki ina thamani kiasi hiki kiukweli sijui huko twendako mbele ya MUNGU itakuwa na thamani kiasi gani... ✍️ Ila mimi kutoka kwetu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 MAKONDA na Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 Mama SAMIA Na Mungu Awalinde popote walipo...
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 7 ай бұрын
Shule nzuri sn Beatrice..hongera sn.
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 8 ай бұрын
Makonda Alipelekwa Arusha kwa sababu yeye Anastahili😂❤
@Naw89
@Naw89 8 ай бұрын
Ni kweli kabisa yani hapa kafika mahali salama kabisa
@Naw89
@Naw89 8 ай бұрын
Huu mji ndio maana Allah anawapa mitihan kwa sababu wanadhulumiana mno
@HabibaBb-d3s
@HabibaBb-d3s 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu sana kaka yangu
@MeleaChiluka
@MeleaChiluka 8 ай бұрын
Mungu akulinde siku zote mheshimiwa mtenda haki ya wanyonge hakika mungu yupo pamoja nawe siku zote daima nakuombea siku zote utokapo na unavyoludi wewe ni mtetezi wa wanyonge by doctor Steve chihwalo
@joelpreachingsmuiruri5188
@joelpreachingsmuiruri5188 8 ай бұрын
Mhesimiwa Makonda,my favourite.Man of the people,to the people n of the people
@HumphreyKarua
@HumphreyKarua 8 ай бұрын
Hi Rc mako da ongera jwa utendaji wako Aruxha ni jiji la dhuruma sana sasa Zrusha inanyooka dhidi ya watu wachache kunyanyasa wanyonge
@johnmasegenya5703
@johnmasegenya5703 7 ай бұрын
Namwona Rais wa badae jmn❤❤❤
@shakaurembo477
@shakaurembo477 8 ай бұрын
Mwanafunzi wa magufuli Kazi nzuli 🎉🎉🎉❤
@selector728
@selector728 7 ай бұрын
Nzuri sio nzuli
@PendoPatrick-eo5ej
@PendoPatrick-eo5ej 8 ай бұрын
Hongera sana mh makonda baraka za mungu zikuzunguke kila wakati na popote unapo kuwa♥️♥️🙏
@Evanssimba-pi6mw
@Evanssimba-pi6mw 8 ай бұрын
Mkuu wa mkoa Wa Arusha mh; Makonda Mungu akulinde kwa kuwatete walinyimwa haki haki ya Mungu auna baya Duwa za wanyonge zitakulinda na mabaya
@NeemaKisinga-q2l
@NeemaKisinga-q2l Ай бұрын
Hongera kwa ujasiri dada Beatrice aisee very smart
@FaithEdward-lc1jj
@FaithEdward-lc1jj 8 ай бұрын
God protect you Makonda
@albanjohn4250
@albanjohn4250 7 ай бұрын
Makonda mimi nakukubali sana Mungu akupe maisha marefu
@leoniakimati3434
@leoniakimati3434 8 ай бұрын
May the power of Holy Spirit guide brother,Kwa akili za kibinadamu huwezi Fanya hii kazi
@PillyAbdallah-bp7sq
@PillyAbdallah-bp7sq 2 ай бұрын
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu
@JerryRayan-bo6tm
@JerryRayan-bo6tm 8 ай бұрын
Hakika mh makonda unafanya kazi nnzuri haijawahi kutokea viongozi wote wangefanya haya dhuluma ingepungua km sio kuisha kabisa big up mkuu
@AllberthaIgango
@AllberthaIgango 5 ай бұрын
Asante mwanasheria mungu akulinde kwa uaminifu
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 8 ай бұрын
Duh makonda nakukubali sana ! Kuanzia Sasa! Wewe unachapa kazi
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН