MITIMINGI # 365 SIRI ILIYOMO NDANI YA FUNGU LA KUMI (ZAKA)

  Рет қаралды 44,461

MITIMINGI ONLINE TV

MITIMINGI ONLINE TV

6 жыл бұрын

Watu wengi sana wanatafuta kuombewa, Sabuni wamepewa, Mafuta wamepewa lakini hawajafanikiwa na magonjwa hayajatoka.
Je? Kuna siri gani iliyomo ndani yake.
Fungu la Kumi = Zaka ni Sehemu ya kumi ya mapato upatayo.
By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

Пікірлер: 55
@saadahussein8777
@saadahussein8777 6 жыл бұрын
napenda sana mafundisho yako ubarikiwe sana
@user-fs3me5sm2f
@user-fs3me5sm2f 20 күн бұрын
Matajiri wengi mnaowaona hawatoi zaka utoa sandaka, zaka yakupima imani,
@minanielikana
@minanielikana 4 ай бұрын
Yesu ndio aliejitowa kuwakikumi Mama yake zaka.
@jessenjiraine9851
@jessenjiraine9851 2 ай бұрын
We are no longer under the law we are under the grace,huu utapeli
@aishasasha350
@aishasasha350 3 жыл бұрын
Asante kwa hili somo nimeitafuta sana barikiwa
@reveliusmuchruza7952
@reveliusmuchruza7952 7 ай бұрын
R.I.P Mtumisha wa mungu na akupokee ktk mikono yake
@minanielikana
@minanielikana 4 ай бұрын
Ndugu zanguni Mungu umupe kitu gani asicho nacho? Muache kuibiwa!!
@frankevarist1928
@frankevarist1928 5 жыл бұрын
Very True
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
haha ati sabuni umepewa lakini wapi! barikiwa pastor
@marwajosephnyabasama7559
@marwajosephnyabasama7559 5 жыл бұрын
Mchungaji je ukizidisha zaka pia ni kosa
@emmysam7938
@emmysam7938 Жыл бұрын
Me naona Bora uzidishe kuliko upunguze
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u 7 ай бұрын
Kama umezidishiwa, ni vizuri pia kuzidisha, ni ishara ya upendo wako na Mungu
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 6 ай бұрын
Kile kinacho zidi kitukua ni sadaka,kwaiyo utakua umetoa sadaka na zaka unapata malipo zaid
@jacksonngilu6097
@jacksonngilu6097 Жыл бұрын
Vizuri sana. Washika wa Ministry ya Neema juu ya Neema wa Mzee wa Neema, ni vizuri pia wasikie mafundisho haya
@samveya9456
@samveya9456 6 жыл бұрын
Good
@fwill5095
@fwill5095 6 жыл бұрын
amen
@minanielikana
@minanielikana 4 ай бұрын
Jamani musitapeli watu. Matayo 23 :1-39nehemiya 13:1 endelea 14:8 eblania 5:1-14 eblania 7 :1-28 tunataka tujuwe zaka Ni nini. Mwanzo 13:13 -24 Ablahamu ilikuwa siyo Mali aliotafuta. Ache utapeli nagutapeliwa. Soma eblania 10 :1 -18. Tutaendelea
@blendabenny271
@blendabenny271 6 жыл бұрын
nice
@irenekerubo9791
@irenekerubo9791 3 жыл бұрын
Mafundisho mazuri kweli
@stevekweca8882
@stevekweca8882 6 ай бұрын
Amen
@frankevarist1928
@frankevarist1928 5 жыл бұрын
Very Right Pastor
@graceful3684
@graceful3684 4 жыл бұрын
Amina.
@irenekerubo9791
@irenekerubo9791 3 жыл бұрын
Vtrue
@nkombejonathan2858
@nkombejonathan2858 Жыл бұрын
Fungu la kumi katika Agano Jipya ni wizi na uhuni wa wale wanaitwa Wachungaji kwa kuwa zaka au fungu la kumi liliwahusu kabila la Lawi, ambao ni miongoni mwa makabila ya wana wa Israeli. Paulo anasema :, Tulifanya kazi kwa mikono yetu ili tusimwelee mtu. 1 Wathesaalonije 2:7 Hawa wa kisasa wanaelemea
@adriankibona1994
@adriankibona1994 Жыл бұрын
Na siku hiz wanalikomalia sana maana wanajua zinarudi kwenye mifuko yao
@edwardmaitari-yu3pc
@edwardmaitari-yu3pc Жыл бұрын
Sio kweli
@lavinealphoncebujiku9879
@lavinealphoncebujiku9879 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@yusuphkiduko2641
@yusuphkiduko2641 Жыл бұрын
Je ?? Nikiongeza kiwango cha Hela kwenye zaka nikosa
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u 7 ай бұрын
Noo, you can add
@johncharleslufunga6451
@johncharleslufunga6451 Жыл бұрын
Hakika natoa ushuhuda nimeona nguvu ya zaka
@user-fs3me5sm2f
@user-fs3me5sm2f 20 күн бұрын
Nguvu ya zaka ni kutambua umebarikiwa, sandaka iliotimilifu na iliotosha yenye nguvu na yenyfe Baraka Yesu Kristo,,.... Malachi 3 haiongei na mkiristo,.... Fungu la kumi ni kiwango ya kumtolea Mungu, tena kutoa kwa hiari, kabla sheria Ibrahim akamtolea Mungu (melchizedek) kwa hiari not forced,.. Mungu ashakubariki tayari, Sasa omba kwa Imani, Mungu alinde Mali yako, ombea kila jambo,
@user-dh4pv8wu9q
@user-dh4pv8wu9q 11 ай бұрын
Huu ni utapeli mkubwa,Mungu hatubariki kwa kuwa tunatoa zaka Bali kwa kuwa anatupenda
@emmanuelathuman896
@emmanuelathuman896 Жыл бұрын
Ungesema Nani anatakiwa apokee fungu la kumi na Nani anatakiwa ale Hilo fungu
@georgefesto8455
@georgefesto8455 4 ай бұрын
Utapeli mtupu
@jessenjiraine9851
@jessenjiraine9851 2 ай бұрын
@georgefesto ni kweli utapeli mtupu
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 Жыл бұрын
Continue to Rest in peace Dr Mitimmingi😭😭🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
naomba unijibu pastor je ni vema nikiwatolea watoto wangu zaka baada ya kuwafundisha umuhimu wa kutoa zaka? bado ni wanafunzi hawana kazi, jibu naomba
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 5 жыл бұрын
Judith Njunwa Bwana Yesu asifiwe. Yes ni vyema na ni sahihi kuwafundisha kutoa zaka wangali bado wadogo. Unawafundisha kwa vitendo. Hauwatolei wewe lkn unapaswa uwape na kuwaambia hii ni zaka. Kadri wanavyokuwa unaendelea kuwafundisha Zaka ni nini. Wakikuwa wazima lkn wanapewa pocket money - unawaambia na kuwafundisha katika hii elf 10 uliyopewa unapaswa kutoa zaka kiasi fulani. Hapo ndio utawaacha wao waweze kujisimamia wenyewe. MITIMINGI p. +255 713 18 39 39
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
naomba jibu pastor nimekuuliza swali
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
@@mitimingionlinetv9896 asante kwa jibu zuri pastor,MUNGU BABA azidi kukupa ufahamu wake ili tupone na familia zetu. nimekupenda bure
@geofreypila6385
@geofreypila6385 4 жыл бұрын
Samahan,naomba nijibu walau Biblia siifahamu vizuri naomba tusome katika kitabu Cha Ayubu 1:5 Basi Ayubu alikuwa akiwatolea zaka watoto wake alisema yamkini watoto wake huwenda wamefanya dhambi
@anithakihwaga760
@anithakihwaga760 Жыл бұрын
Ni mhimu SANA kuwapa zaka wakatowe watoto wako,na ukiwafundisha,IlI hata wakikua wawe na uwezo wa kujisimamia wenyewe,na watakuwa wepesi hata kuwasaidia wengine
@jessenjiraine9851
@jessenjiraine9851 2 ай бұрын
Kumbe hata wewe miti mingi ni tapeli?
@benardnjoka5359
@benardnjoka5359 3 ай бұрын
Wrong all belongs to God
@yeremianiyonzima3461
@yeremianiyonzima3461 6 жыл бұрын
Good
@josemagasha5158
@josemagasha5158 6 жыл бұрын
amen
MITIMINGI # 367 UTOAJI NI VITA
17:01
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 17 М.
MITIMINGI # 667 HUWEZI KUFANIKIWA KIUCHUMI KWA KUWEKEWA MKONO NA NABII
18:30
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 26 М.
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 33 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 54 МЛН
MITIMINGI # 366 UKILA ZAKA (FUNGU LA KUMI) UMEKULA SUMU
15:12
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 17 М.
MITIMINGI # 338 MAISHA HALISI YA NDOA UONEKANA BAADA YA MIAKA MI5 YA NDOA
18:50
Mkristo Hatakiwi Kutoa Fungu La Kumi - Sehemu ya Kwanza
15:03
Spirit Gathering Ministry
Рет қаралды 18 М.
PART1:UNAWEZA KUWA MASIKINI KWA KUTOA FUNGU LA KUMI KISHERIA
39:19
Davistar Mata Media
Рет қаралды 7 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 19 М.
UMUHIMU WA KUTOA FUNGU LA KUMI
22:55
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 7 М.
FUNGU LA KUMI KATIKA AGANO JIPYA - MWL. HURUMA GADI
22:11
Mwalimu Huruma Gadi
Рет қаралды 18 М.
MITIMINGI # 554 VITA YA MAWAZO
30:20
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 97 М.
IJUE FAIDA YA KOTOA SADAKA YA FUNGU LA KUMI-Pastor Myamba
21:40
Pastor Myamba
Рет қаралды 8 М.
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 33 МЛН