Asante Mungu kunena nami kupitia mtumishi wako Hakika nimeelimika sana,nimeonywa,na kurekebika barikiwa Pastor more grace upon you as you continue ministering in Jesus mighty name Amen
@user-tl3no9sr8b3 ай бұрын
Amina, Mungu anisaidie niweze kudhibiti hasiri na mhemko
@namsifumaduhu21833 ай бұрын
Glory to God the King of kings
@Joycependopendo-dv2tb3 ай бұрын
Amen bwana asifiwe namshkuru Mungu Niko Salama happy Sabbath to everyone
@amanimsuya87252 ай бұрын
7:31 Mungu atusaidie sisi watoto wake maana matatizo ni mengi katika ndoa
@leahwainaina43963 ай бұрын
Amen
@wordsofhopewestpalzab48753 ай бұрын
Kila siku ya kwanza ya juma, pa UAE na rizika na Mafungo ya Neno takatifu kutoka kinywa cha mchungaji wetu David. Mungu atuwezeshe ku miliki Neno hili kama langu binafsi.
@MahubiriPrMmbaga3 ай бұрын
🙏🙏
@esthernashipai3 ай бұрын
Happy Sabbath all over the world....Mungu atupe kuelewa na mabadiliko kiroho🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@abigaelmwadena22623 ай бұрын
Amina nabarikwa san kwa somo hili nanizidi kujifunza🎉
@shaniachanceline27513 ай бұрын
Amen. Asante sana nabarikiwa na somo hili ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@maryaugustor69833 ай бұрын
Amina😂Amina zaidi zaidi kabisa kabisa wewe MUNGU amekufanya mchungaji utatue shida zetu Amina
@user-mw5xq7mi9g3 ай бұрын
Tuna barikiwa sn na neno la Mungu.
@user-jo1im5wt1s3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi, mungu azidi kukutumia
@peterkerenge92073 ай бұрын
Pr M.nahisi mimi na wewe roho zetu zinafanya kazi pamoja😅.Insta nilianza somo la unabii wa sabato na wewe ukafundisha somo la unabii.Nika gain vitu vingi na kunisaidia kujazia somo. Week iliopita nikaanza somo la ndoa kutokea eden,na wewe ukaanza somo la ndoa,nime gain vitu vipya,somo langu nimejazia naendelea fundisha😅 Mungu akubariki sana.
@esterngirwa10223 ай бұрын
Amen nimeelewa
@user-kq9je6zf3v3 ай бұрын
Amen mungu atusaindie 🙏🙏
@bonfaslazaro22893 ай бұрын
Barikiwa sana pr
@UserUser-gq1ir3 ай бұрын
Barikiwa pastor
@OngukaJulias-li7jo3 ай бұрын
Ubarikiwe pst
@user-nd3rd3xo7x3 ай бұрын
Happy sabbath brethren God loves us
@user-mf9fq1me7r3 ай бұрын
Pr Tunashukuru kwa somo la pekee mm nimeona niipakue niweke kwenye flash ili nizidi kusikia bila bando
@MahubiriPrMmbaga3 ай бұрын
Amen! Ubarikiwe
@lameckmwita62873 ай бұрын
Naomba ushauri Kwa mwanamke ambaye yeye hataki kukuelezea ulichomuudhi Kwa mdomo bali anakujibu Kwa kukususa pekee, hata hasira zikiisha Siku nyingine ukitaka akuelezee mabaya na maudhi hataki kukuambia chochote jibu lake ni Moja tu ,hamna kitu , je hapo ufanyeje?
@oleangolwisye53673 ай бұрын
Hakika Pr Mmbaga ni Dude kubwa mno lililojaa maarifa yasiyoisha,, ni mwaka wa tano Sasa bado nachota tu
@user-br5ip6xu1u3 ай бұрын
Duuuh
@dr.edwingeorge98373 ай бұрын
Exactly, to me is just like the messenger of GOD, sent from the kingdom heaven to the territory earth, to preach the everlasting gospel of the kingdom of GOD; May GOD, grant him a long living life.🙏 He's one of God's people that when I grew up, having sons and daughters, grandsons and granddaughters; while sitting on the table on one beautiful evening, I'll tell and teach them what I learnt from this man of GOD, together with pastor @ peter John and @ Dr Myles Munroe.