MTOTO WA DADA WA MAGUFULI AFUNGUKA MAZITO ALIYOKUWA AMEYAFICHA MUDA MREFU, AMTAJA GWAJIMA KWA UONGO.

  Рет қаралды 81,586

Star TV Habari

Star TV Habari

Күн бұрын

Пікірлер: 211
@queenmilan2024
@queenmilan2024 3 жыл бұрын
Gwajima alisema ataleta treni ya MWENDO kasi🤣🤣🤣🤣🤣🤣mpaka Leo hakuna treni. Yani mchungaji unasema uongo
@eliahmhanzi6357
@eliahmhanzi6357 3 жыл бұрын
R.I.P our farther Magufuli
@adamsonkyando682
@adamsonkyando682 3 жыл бұрын
Mtu mwenye hofu ya Mungu anapo ongoza watu nivuzuri sana kuliki Hawa,wanao waza nifanyeje nipate uongoz Ili niibe tunako ended wote wasio mcha Mwenyezi Mungu hatutakuwa tunawachaguwa watuongoze,Hawa ndo wanao sumbuwa Selikali mioyo Yao imejaa mambo mabaya tunataka viongizi wawe na hofu ya Mungu jaman nchi itaenda vizur ,wahun wanapo kuwa kwenye siasa ni mwiba kwa Rais katika mipango yake, wanawekwe wakifika wanawaza kuiba tu Sasa ni shida sana.Ingewezekana viongozi wa nchi wangejuwa wanaongoza Mashehe na Maaskofu tungepata Raha sana na nchi ingeenda vizur
@mohamedishasani8625
@mohamedishasani8625 3 жыл бұрын
Nimemkubali sana huyu jamaa Furaha pia hongera na mwandishi wa Habari kwa kuchimbua ukweli. Safi sana lengo letu ni kulisaidia taiga letu. Hongela mwandishi kwa kufanya Nazi nzuri.
@stevebupamba5009
@stevebupamba5009 3 жыл бұрын
Bro Furaha...ulikosea kumfuata Gwajima na kumpa nia yako, yeye mjanja kaitumia mapema. Wazungu wanamsemo usemao: Never tell anybody about your dreams (Never speak the truth about your plan because some people may get it for their own benefits. Ni hayo tu.
@rasurmasoud5762
@rasurmasoud5762 3 жыл бұрын
Kati ya maraisi wanaofanya uchunguzi kabla ya kutenda Ni magufuli
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Waliofanya ameshaondoka
@thanibattashy2367
@thanibattashy2367 3 жыл бұрын
Dah pole sna dogo
@jasonkalekezi5442
@jasonkalekezi5442 3 жыл бұрын
Hii interview inaujumbe mzito sana na kuna cha kujifunza hapa
@winepreneur7329
@winepreneur7329 3 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri sana 👏👏
@ramseyhashim8069
@ramseyhashim8069 3 жыл бұрын
Wewe hufai kuwa mtu wa kumhoji mtu, kwa nini unamuingilia wakati umesha muuliza swali na anaendelea kujielezea?
@barakamwaisalah4980
@barakamwaisalah4980 3 жыл бұрын
Nyanda jitahidi kuruhusu mtu amalize kujibu swali ndipo ulete lingine unpoteza mtiririko aisee unachomekea saana yaani ...
@jubilatemanase9050
@jubilatemanase9050 3 жыл бұрын
Kuna kitu ameongea huyu dogo chenye mantiki sana... viongozi wanapotoshwa kwa kiwango kikubwa,na hawajali matokeo ya huo upotoshaji'Mungu amwongoze tu kwa kweli'
@johnsonga4190
@johnsonga4190 2 жыл бұрын
Asante mwenyenzi mungu kwa kunijalia kuishi vema
@stationerykinondoni7241
@stationerykinondoni7241 3 жыл бұрын
Huyu mtangazaji anaongea sana hafai, anaingilia hakuna flow nzuri ya majibu
@rambazojournalist666
@rambazojournalist666 3 жыл бұрын
Dah yaan nilikuwa naumia hata kushindwa kuangalia hii clip kutokana na kuwa na maneno mengi katkat ya maelezo mgeni yaan hamsubir akamaliza tayar yeye anchomea maneno.
@sundayrashidselemani7954
@sundayrashidselemani7954 3 жыл бұрын
Mtangazaji kawa ndio msemaji mpaka anakera
@ashamakwaiya8749
@ashamakwaiya8749 2 жыл бұрын
Magufuli alijuwa wewe ni tenende.hukuwa na sifa.hatukuamini.magufuli muacheni apumzike
@DanvastTV
@DanvastTV 3 жыл бұрын
Mpeni pole sana
@shammhagama2527
@shammhagama2527 3 жыл бұрын
We Furaha umeumia sana kuukosa ubunge mpaka unamponda gwajim, pambana na hali yako acha unafiki
@robertphilip385
@robertphilip385 3 жыл бұрын
Gwajima ni askofu wa kitapeli hanatofauti na kibwetere
@muasewamukadogo9729
@muasewamukadogo9729 3 жыл бұрын
Hahahaaaaaaa aisee hiyo ndiyo ccm bwana mnaanza kutafunana wenyewe ila kijana angalia sana hayo maneno
@abdibilali4186
@abdibilali4186 3 жыл бұрын
Mwandishi upo vizuri kwa kuhoji
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 3 жыл бұрын
Tunapenda mwendelezo pls.. drop the link
@winnesakara6957
@winnesakara6957 3 жыл бұрын
Asante furaha
@shindokilawa4075
@shindokilawa4075 3 жыл бұрын
Kuna mambo mama anaweza yachota kwa faida ya kuliongoza taifa,hao makupe walivyombeba Furaha ndivyo walivyofanya kwa wengi
@ishengomatheobard4638
@ishengomatheobard4638 3 жыл бұрын
Uyu kijana ana majivuno mbona ajawai kujitokeza miaka mingi leo ndoanajitokeza ni kashenzi tu
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 3 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl
@queenmilan2024
@queenmilan2024 3 жыл бұрын
MTANGAZAJI MJINGA SANA ANAROPOKA SANA MPE MUDA KIJANA AONGEE.
@noahchuwa
@noahchuwa Жыл бұрын
Kweli
@noahchuwa
@noahchuwa Жыл бұрын
Anatujima kujuwa mengi
@mainguburemo6186
@mainguburemo6186 3 жыл бұрын
Kupe bado wapo wengi
@furahafrank8267
@furahafrank8267 3 жыл бұрын
Umulete huyu Furaha tena anamambo mengi yakutufungua macho na anaonekana kuwa mkweli.
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Ni hatari sana kama kiongozi unaletewa Umbea unaamini na unaumiza watu .Kweli ni mbaya sana
@charlesmponzi1597
@charlesmponzi1597 3 жыл бұрын
Bashiru na pole pole
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 3 жыл бұрын
asanteee sanaa kijana mpambanaj
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 3 жыл бұрын
We mtoto, CCM hakijawahi kuwa Chama cha ukombozi, Chama cha ukombozi kilikuwa TANU.
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu natamani kukupa mkono kwa kweli kuanzia TAA TANU ndio vilikuwa vyama vya Ukombozi sasa hivi ni Kundi la watu fulani walafi wanataa za Mali na Ubinafsi wao na kundi lao
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 3 жыл бұрын
@@leokamil6284 Nakushukuru Sana hawa wanatuvisha vilemba vya ukoka. Itikadi ya ukombozi ilizikwa pamoja na TANU 5/2/1977. Baada ya hapo ni unyang'au umetamalaki!
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
@@sylvesterjose3286 Kabisa kabisa maana wazee wetu walikua kwenye hicho chama enzi hizo hao ndio walikuwa watu wa haki.Walipokuja kujigundua waliviringwa vitambaa usoni walikichukia sana.Ukisikiliza maneno ya Mwalimu utashangaa kwa nini alikuwa anayaongea na wakati aliweza kuyatenda kipindi alikuwa Raisi!Mfano ni Katiba bora alisema katiba ilikuwa mbovu je kwa nini aliwacha ikiwa anajua ikipata mtu wa kuitumia vibaya itadhuru wanannchi?
@eliamwasomola578
@eliamwasomola578 3 жыл бұрын
Safarii hii mtasema yote mlioyafanya sisi tunaomba Mungu aendereee kuwahemsha mlopoke yote
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
🤣🤣
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 3 жыл бұрын
Dah kweli hiii ni Big ajendaa
@faithreed861
@faithreed861 3 жыл бұрын
Furaha apewe ulinzi
@JoyaJoyachotimbao
@JoyaJoyachotimbao Жыл бұрын
Huyo furaha ni mnafiki anatafuta nafasi aliyopoteza kwani yeye haoni kama nchi imekwisha?
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 3 жыл бұрын
MIMI KAMA MIMI RAIS WANGU ADI 2025 NI MAGUFULI.
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 3 жыл бұрын
Hongera
@liliansamson674
@liliansamson674 3 жыл бұрын
Furaha Pole sana kwanza kwa kuondokewa na mjomba.
@JoyceMachemba
@JoyceMachemba 5 ай бұрын
N ikweri hafai gwajima .
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 жыл бұрын
Magufuli aliona mbali.usingepita.kujua matatizo ya watu ni swala jingine.na umaarufu ni swala jingine.
@justinewangi4622
@justinewangi4622 3 жыл бұрын
Ukimsikiliza mtangazaji kwa makini nikama anambana jamaa akubaliane nae kila anachohoji na jamaa nae anajibu tu
@muasewamukadogo9729
@muasewamukadogo9729 3 жыл бұрын
Mmmh sema ukweli
@calvinbakari6016
@calvinbakari6016 3 жыл бұрын
Mtagaji hadi unaboa I seeee hauwezi kumpa nafasi MTU ajieleze kwa mapana kabla haujauliza swali jingine?
@sungwizi3390
@sungwizi3390 3 жыл бұрын
Msukuma smart saaana
@tanzaniteinzanzibar6655
@tanzaniteinzanzibar6655 3 жыл бұрын
Huyu nae hana kitu, ana roho mbaya tu na tamaa, Mbona wasaliti wamerudishwa hausemi, Nape, January, Riziwan... Huyu nae ni msaliti, kwanza anatoa siri za hayati...
@queenmilan2024
@queenmilan2024 3 жыл бұрын
Mtangazaji rudi shule
@deogratiuspaul1244
@deogratiuspaul1244 3 жыл бұрын
furaa kukamatwa ni kawaida unaweza kukumatwa kwa kufananishwa achana na mambo ya midia na uspende kuongea ukawa una mtaja taja hayati acha wasikuinjoi kwa maneno ya hayati acha na na hayati
@victorndunguru1211
@victorndunguru1211 3 жыл бұрын
Kama kuna mtu hafai kwenye uongozi ni huyu Furaha. Ana roho mbaya sana hata wafanyakazi wake wanamtoroka kila siku hususani madereva jamaa ana roho mbaya sana
@charlesmushi2305
@charlesmushi2305 3 жыл бұрын
Well said Ndunguru
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 3 жыл бұрын
Mtoto wa panya hakosoi mkia!
@shabannayopa5406
@shabannayopa5406 3 жыл бұрын
Mbona mtangazaj anakuwa mjuaj kulko anaeongea?
@winnesakara6957
@winnesakara6957 3 жыл бұрын
Be care kijana maana kupe siyo watu
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 3 жыл бұрын
Kiingereza kizuri ni be careful not be care...
@justinycleverton7345
@justinycleverton7345 3 жыл бұрын
eti kutunza na kuzungumzaaaa 😂😂😂😂 nikiskiaga hako kaneno nakimbiaga navunjika miguu
@mussakamando2678
@mussakamando2678 3 жыл бұрын
Mtangazaji anaharibu mtiririko
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 3 жыл бұрын
Nafikri wanao mwamini wamekuelewa saana kazi kwao kuchukua hatua
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 3 жыл бұрын
Magufuri alikuwa Raisi bora katika Bara la Africa
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 3 жыл бұрын
🤣Furaha🤣Leo🤣Umenichekesha🤣Mpaka🤣Machozi🤣
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 3 жыл бұрын
Gwajima atabaki kuwa Gwajima ....siku zote hasiyekubali kushindwa siyo mshindani.....NILETEENI GWAJIMA .....ALIYEMKATA FURAHA ALIKUWA MWENYEKITI WA WAKE..MJIMBA WAKE....RAIS WAKE.....GWAJIMA HATA KAMA ALIPATA UBUNGE ALIUPATA UBUNGE KWA SABABU YA MJOMBA ALIAMUA KUMUAMINI GWAJIMA KULIKO FURAHA......NILETEENI GWAJIMA×3
@rosemaryemily311
@rosemaryemily311 3 жыл бұрын
Uuuuuuuuuuuuuuuuuuumetumwa.Usimlaumu aliyekuzidi.Aamekuzidi.inaweezekena ulipiga kura ya mpizani unavyooooonekana.Tutawatambua kwa kuongea hata hapo ccm wamekujua.
@deokibona2835
@deokibona2835 3 жыл бұрын
Kuna tofauti kabisa, Mama Samia amesema hataki pesa ya dhuluma, wakati Magufuli yeye alikuwa hajali pesa imepatikanaje.
@robertphilip385
@robertphilip385 3 жыл бұрын
Alishinda Kwa wizi
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 3 жыл бұрын
Mtangazaji ameharibu lipindi ana hurka sana.
@masanjasamsonmasaga4318
@masanjasamsonmasaga4318 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anajipendekeza 2025 luck hatukutaki
@kamugishajacob3014
@kamugishajacob3014 3 жыл бұрын
Nilitamani niulizwe kuhusu uongozi wa magufuli ningefurah ningewapa watanzania ukweli
@mgosingwa2000
@mgosingwa2000 3 жыл бұрын
@Nyanda tafadhali punguza kumkatiza mzungumzaji anapokuwa anaendelea kuelezea jambo.
@bonyshimiyu4429
@bonyshimiyu4429 3 жыл бұрын
Ila nimekuelewa ulikuwa hutaki ajiachie xnaa kwenye kuongeza ee nipoa
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 3 жыл бұрын
Fanya ukamuone mama, naye atayachuja. Mwenyezi Mungu akutie nguvu
@anjawestanley4502
@anjawestanley4502 3 жыл бұрын
Nyanda ww ni mwana habar wa viwango vya juu sana umeshamsoma hyo bwana alishapandsha jazba tepa iko juu
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 3 жыл бұрын
Duh kama ni hivyo Rais amuite huyu dogo,labda hata wapinzani wameumizwa Kwa kesi za kutengenezwa
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Kwani Raisi si alikuwepo humo humo
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 3 жыл бұрын
@@leokamil6284 No kuna mambo makamu wa Rais anakuwa hajui ktk office ya Rais kiongozi
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Kijana hufai kupewa uongozi kwa kauli zako hizi .Na kama ndio wapo watu wa aina hii kwenye uongozi wa Nchi hii basi Nchi hii imekwisha Mungu atuepushe na watu wenye tamaa za Madaraka na Ulafi
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 3 жыл бұрын
Duu,kuna kitu nimejifunza kutoka kwa watu wa kalibu na kiongozi, kumbe unafiki, ulianza enzi za Mababu,na bado unaendelea,kiongozi usipokuwa makini unaweza kukuta unabebeshwa mathambi mengi sana.
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Maongezi ya mwisho yanatisha kama wewe pamoja ulikuwa karibu na Raisi lakini ulifanywa hivyo je watoto wa watu wa hali duni
@christianchando7041
@christianchando7041 3 жыл бұрын
Huyu dogo nilikuwa sijamjua vizuri, Leo ndo nimemjua, kumbe ndivyo alivyo? Kumbe alikuwa anakuja kawe kutafuta tonge la ugali?. Asante Mungu hukupata, Pia tunamshukuru Magufuli aliyekukata, maana alikujua tangu unavaa nepi, hakuna asichokijua magufuli kwako. Hivyo alikupima kati ya ww na Gwajima aliona kabisa mwenye ubavu wakumng'oa Halima hapa kawe ni Gwajima. Wewe kwa Halima usingefurukuta hata nukta moja. Hebu mwache mtumishi wa Mungu afanye kazi zake, na mkithubutu kumtoa gwajima 2025, jimbo litarudi upinzani, mimi pia nipo Kawe, ww sikupi kura ngo'oo na roho yako mbaya
@innocentkibiki399
@innocentkibiki399 3 жыл бұрын
Sawa basi subiri upelekwe huko birmigam
@emmanuelmkeba7901
@emmanuelmkeba7901 3 жыл бұрын
ENDELEENI KUMSEMA MAGUFURI VIBAYA MTASHANGAA NA MVUA HAINYESHI MWOKOPENI MUNGU NA MTUMISHI WAKE
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 3 жыл бұрын
Wataje wa kupe,usiogope we ni mwanaharakati huru,hujatumwa wataje
@annamjukuu5487
@annamjukuu5487 3 жыл бұрын
Daaaah pole sana aisei.
@eliamwasomola578
@eliamwasomola578 3 жыл бұрын
Nikiwaambia watu Gwajima msanii sio asikofu watu furani hutukana hawajui gwajiboy sisi ndio tunamfaham gwajiboy ni mhuni Kama wahuni wengine asikofu wa Kwanza kwa wizi wa kula
@angelinankuji7660
@angelinankuji7660 3 жыл бұрын
Nimekupenda sana bure mpwa wa mjomba magu una juwa kuongea point kubwa sana cntosahau point za mcngi sana
@angelinankuji7660
@angelinankuji7660 3 жыл бұрын
Una maono makubwa kama ya mjomba wako ila nakuombea kwa mungu cku moja uwe kamili kama mjomba wako magu una ndoto za mbali sana una k2 ndani ya moyo wako. Utatuvusha
@adammbuba7230
@adammbuba7230 3 жыл бұрын
Mtangazaji ovyo kabsa
@saidilukoloma319
@saidilukoloma319 3 жыл бұрын
Mtangazaji kanjanja
@bonyshimiyu4429
@bonyshimiyu4429 3 жыл бұрын
Ww mtangazaji mtu kabla umsikilize unamuongilia kweny maelezo yake Mara unamkatixha HIV ww ndo unahijiwa au AAA umefanya mda ukawa mdgo kwa jamaa ovyo xana ww
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 3 жыл бұрын
KABUDI SIRO HAWAFAI WAJIUZULU BILA YA KUONA AIBU WAMEFELI KUIONGOZA NCHI YAO.
@AdonKamota-s1u
@AdonKamota-s1u Жыл бұрын
Kwanza ya paswa kuta mbuA kuna kiongozi Na wana siAsa magufuri Ali kuwa kiongozi wa kweli kabisa Ali smama kupiga niA maslay ya Nchi Na watu wake kila mtu kaona magufuri Ali chofanya Asi fana ni shwe na kiongozi yoyote yule kiongozi wengine wana siAsa tu
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 3 жыл бұрын
😂😂GwajiBoy alisoma ramani yako ya VITA😂😂
@tumainyona2066
@tumainyona2066 3 жыл бұрын
Haya mambo ni ma mazito ya huyu ndugu
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 3 жыл бұрын
Kweli Gwajima ni mwongo ,aliahidi maombi mengi binafsi lakini hakuna kitu. Halafu huropokq kanisani siasa, anadhani hakuna mwisho , pesa zinamsumbua.
@stafordgamba4753
@stafordgamba4753 3 жыл бұрын
Kijana unasema kweli
@zariadunia6328
@zariadunia6328 3 жыл бұрын
Huyu kijana ndo mana magu alikukata
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 3 жыл бұрын
MJOMBA ANASIKILIZA UMBEA...DUH!! HII NI KUMUAIBISHA MJOMBA .....NJAA MBAYA SANA
@josephurupia4653
@josephurupia4653 3 жыл бұрын
Tatizo nyanda anamuingilia sana kuna mambo ameyaacha kaongea nusu nusu.
@sittajonas9618
@sittajonas9618 3 жыл бұрын
Jamaa kaniuzi sijui kasomea wapi uandishi mwache mtu aseme wewe muongoze tu
@josephurupia4653
@josephurupia4653 3 жыл бұрын
@@sittajonas9618 me ananiudhhi kwakweli sijui hua haangalii hata wengine huyu nyanda 🤔🙌
@MohamedSleyim
@MohamedSleyim 3 жыл бұрын
Wanasiasa hupambana kwa fitna.Furaha alifanyiwa kitu aonekane hafai mbele ya Mwenyekiti wa Chama na hakupewa nafasi ya kujieleza kwa kuwa akaambiwa akae kimya na mtu mwenye turufu.Kijana huyu akafunga mdomo wake.Anavyoongea unaweza ukajua kuwa ni mtu wa aina gani.
@mainguburemo6186
@mainguburemo6186 3 жыл бұрын
Du!! Wachawi wengi
@deogratiuspaul1244
@deogratiuspaul1244 3 жыл бұрын
furaa samaani aya maneno yako kuna mazuli na mengineyo yatunze hacha kusema maneno hayo mengine sio
@adamsonkyando682
@adamsonkyando682 3 жыл бұрын
Usimchafue Mtumishi wa Mungu Tulie pewa na Mungu Huyu anafaa watanzania msisikilize huyu mtu Nimpango wa shetan kuharibu mpango Wa Mungu kwa watanzania Watumishi wa Mungu wanahofu ya Mungu wanafaa wajae kwenye uongoz Ili nchi iendelee
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 10 ай бұрын
Gwajima hakushida sema mlimsaidia kuiba kura maana askari wengi kawe walishikwa na mabegi ya kura zilizopigwa wananchi walishindwa kuwachukulia hatua ccm ni majizi ndio maana wamaogopa tume huru pumbavu zenu
@kauyegeorge3335
@kauyegeorge3335 3 жыл бұрын
Huyu alifata uongozi ila sio kusaidia watu pili hawez kuongoza anaonekana njaa ndo inamsumbua marehemu aongelewi
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 3 жыл бұрын
Ukikutana na mama samia.ni swali limeulizwa mara saba.
@angelaman4994
@angelaman4994 3 жыл бұрын
Huyu dogo anarukia rukia tu naona anatafuta nafasi serekalini
@binsheikhbubakar
@binsheikhbubakar 3 жыл бұрын
siku zote, "MWIZI ANAMJUA MWIZI MWENZAKE!!!"
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 3 жыл бұрын
Hiyo statement ina ukweli, ila kwahii content hahifai🤷‍♂️🤷‍♂️
@abn8331
@abn8331 3 жыл бұрын
Huyo Furaha sio mtu mbaya,tatizo lake anaongea sana.
@adamsonkyando682
@adamsonkyando682 3 жыл бұрын
Muuuuuuhhhhhh!!!!!! Gwajima anakitu Mungu anataka awafanyie wadamu wa Tanzania ,Huwezi kumchafua hata siku moja tena,Achana nae Mungu hata kuvumilia ykiendelea kumchafua Gwajima nikiingozi anae FAA ni mtu anae penda mtu asionewe Ndio Mana Rais alijuwa Mungu alimfunulia
@hassanamani2131
@hassanamani2131 3 жыл бұрын
Kama anafaa kwanini hakupita kura za maoni,?, Gwajima ni tapeli hafai hata kidogo
@adamsonkyando682
@adamsonkyando682 3 жыл бұрын
@@hassanamani2131 wewe unaushabiki wa kidin hoja huna
@adamsonkyando682
@adamsonkyando682 3 жыл бұрын
@@hassanamani2131 Mtu kama anafanya vizuri msifie Achana na udin Mungu Hapendi Gwajima nimtumishi wa Mungu Kama huelewi utakuja kuelewa
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 жыл бұрын
Hapo tu uliposema ccm ni chama cha ukombozi byebye bro..hamna chama saivi ni gang kama ile ya mmakonde
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 3 жыл бұрын
"Ukimuwahi mzee ukampelekea hata umbea, na anakuamini inawezekana umbea wako akauamini"
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
MAGUFULI - "NILINYWESHWA SUMU, KIKWETE ALINIFUKUZA, SIKUKATA TAMAA"
33:43
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
ALICHOZUNGUMZA MAALIM SEIF MBELE YA MAGUFULI NA MWINYI CHATO
11:48
Millard Ayo
Рет қаралды 126 М.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI,  JANUARI 18, 2025
ITV Tanzania
Рет қаралды 255
Retno Marsudi & Sri Mulyani: Women in Power | Mata Najwa
1:35:40
Najwa Shihab
Рет қаралды 4 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН