Nashukuru Simba Kila mchezaji wa Simba nawapenda sana
@anithawidambe754321 сағат бұрын
Asante sana wachezaji wetu Mungu awalinde sana
@RamadhanMsuya-eq3zf21 сағат бұрын
Mwamba anajua 🎉🎉MUNGU akuepushe na majerahaa
@kisegeselokisegeselo381520 сағат бұрын
Kagoma leo ndo mchezaji bora wangu kwenye hii game ya leo kwa 💯 %
@MagrethCostantine8 сағат бұрын
Simba yangu naipenda saaaaana kocha wetu uko vizuri na benchi lako na wachezaji wooote mungu awape afya njema
@janethjustin204118 сағат бұрын
Nimefurahi sana kumuona kagoma Leo akicheza❤❤❤❤
@Esther-v9s8n8 сағат бұрын
Wachezaj wote leo mmepambana sana ahsante sana tunawapenda mlindwe na MUNGU milele ❤❤❤❤❤❤❤❤
@YasirHabib-b6o18 сағат бұрын
❤ unapambana sana bro na unajua ball endelea kuzid kufanya Kaz allah s.w atazid kukufanyia wepes
@careymariahhhh22 сағат бұрын
Mmependeza wenyewe mmenyoa ❤️❤️❤️very smart
@YahayaBakari-e5y21 сағат бұрын
Mambo mrembo
@SamwelikazimbayaKitahenga19 сағат бұрын
@@YahayaBakari-e5yhacha uchuu bob😊
@ShabanIddy-o6x20 сағат бұрын
Vizur Sana
@ikulunimahalipatakatifu764222 сағат бұрын
UBAYA UBWELAA, BIG UP KAGOMA !!
@IsackVedasta21 сағат бұрын
MKATA UMEME❤️🔥
@MalikiKavindi21 сағат бұрын
Kagoma ally yusuph💪💪💪
@bbclondonulimwenguwasoka612620 сағат бұрын
Kagoma ni habari nyingine angelikuwa anaheza mechi nyingi mfululizo angelikuwa mbali sana
@danielelikana261520 сағат бұрын
Huyu ndo mkata umeme halisi Simba!!..
@thomassengura943521 сағат бұрын
Rodri wa simba
@MusaMasika-g2o21 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤
@RehemaMahamudu-x4g19 сағат бұрын
Kiukwer kagoma ata akimic game 4 we mpe mechi ngumu atacheza km akutoka majerui mungu amsmamie kagoma
@epimackoscar2522 сағат бұрын
Kagoma ndio pittin mpya daa unaifanya Simba kuwa solid ukiwepo uwanjani chemalon anapumua
@Innocentnyika-ml5tr9 сағат бұрын
❤❤❤ndo namba sita nayoitaka hii na hapo Bado ongeza zaidi fika vunja miguu kata umeme kabisa apo kati Yan tafuta mpira Hadi uupate
@MalikiKavindi21 сағат бұрын
Nguvu moja
@careymariahhhh22 сағат бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@EdwinKabasa9 сағат бұрын
Kagoma Mungu akulinde jana pale kati parituria..ubaya ubwer
@zawadihudson835120 сағат бұрын
Ahmed Ally yuko wapi?
@allymwinyi97011 сағат бұрын
Huyu Kagoma ni kiungi mzuri kabisa kwenye ukabaji. Ana nishati na anafika kwenye miguu ya wapinzani. Apewe nafasi, aaminiwe na kuongezewa program maalum za mazoezi.
@bibibwalya20 сағат бұрын
dah mmejua kutuheshimisha jamani asante
@SilasJacob-z6v20 сағат бұрын
Mwanangu umewakata mikasi safi sana siyo mtu anapita anaenda kufunga we unamsindikiza Asante sana kagoma jamaa eti walitaka wakununue Kwa sh 30????
@HabibuMuhunzi14 сағат бұрын
Yaan uyu ndio puttin wetu mwngne
@KhanashyAlmassi20 сағат бұрын
Kagoma atakm akipewa kadi yy alalamiki km wale walevi wa singida tuliocheza nao😂😂😂
@emmanueljohn718 сағат бұрын
Aafu Utopolo walitaka kumlipa laki 3 😂😂😂 kweli afu eti wanamshitaki jamani hata aibu hawaoni
@hamadbakar709119 сағат бұрын
Simba nguvu Moja ubaya ubwela
@HamidAmeir22 сағат бұрын
Please jamaani naomba kupata jezi yake huyu kijana nafurahia kumuona ukifanya majukumu yake katika tim niipendayo
@careymariahhhh22 сағат бұрын
C unune jezi uandike jina na no yke
@BrowJulius21 сағат бұрын
Exactry
@LeonidasStephano21 сағат бұрын
Kanunue dukani print 21 Kagoma unataka jesy yake ya nn kwendaaaa
@AnastaziaAndrea-e2f21 сағат бұрын
mtangazaji alisema leo singida walikua wanapigwa viboko na kagoma maana walikua wanaugulia maumivu ya kila sehemu
@abdallahmbwate713420 сағат бұрын
Mumeanza munataka kumroga Tena
@lilianmlowe915421 сағат бұрын
Mwamba unakata pale kati hatariii😊
@edithanicodemu869010 сағат бұрын
Mungu awalinde wachezaji wetu
@jacobsadock353011 сағат бұрын
Huyu mtoto wa Gungu kigoma ni kiungo mkatakuni kisawasawa, akiaminiwa vzr ataziba pengo la mafisango