GAMAL NASSER: Rais Aliyeamini MABAVU Kuliko AKILI!

  Рет қаралды 219,565

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 205
@allyshaba9465
@allyshaba9465 5 жыл бұрын
Anaemuelewa huyu jamaa akuje agonge like hapa🙏🙏
@pracidplatnumz1501
@pracidplatnumz1501 4 жыл бұрын
Anaekubali huyu jamaa alikuwa noma gonga like
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 5 жыл бұрын
Allah akubarik gamal kwa kuwapinga mayahudi na kuuleta mbel uislam.
@pattykaranja
@pattykaranja 5 жыл бұрын
This guy Ananias Edgar..good reporting skills....pure talent
@ToxicAfricanKing
@ToxicAfricanKing 5 жыл бұрын
Ananius Edgar is already a legend. Masimuliz yako ni ya kipeke. Unique! Much love from Kenya. ♥♥
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Aahh ww tena bac IN-SHA ALLAH mola azidi kukusogeza mbele zaid ya hapo ulipo sasa uwe ktk utangazaji wa kimataifa kama BBC na DW tumese AMIN. Huna habar za udaku na umbea cjui wema sepe2 vile mara zari hivi hutaki upuuzi ktk habar zako............ HONGERAAAAA..
@jammomasaai4764
@jammomasaai4764 5 жыл бұрын
kivipi
@nondombilizi6624
@nondombilizi6624 3 жыл бұрын
Poa sana
@festuskathuki8229
@festuskathuki8229 5 жыл бұрын
"Hii dhana ya kutuchukilia eti tuna akili za sokwe ni za kitoto" man I swear you work is so great. If you agree with me and Ananiahs Edger piga like isee
@serbash4212
@serbash4212 5 жыл бұрын
.shukran nimefurahi from uae
@goo6341
@goo6341 3 жыл бұрын
Shwari mno Kaka Ananias Edgar na Dennis Mpagaze!! Ahsante sana!!!
@doctorjohn1898
@doctorjohn1898 5 жыл бұрын
Mjooombaa Edgar Mungu akupeleke mbaliiii zaidi
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV 5 жыл бұрын
AMINA🙏🙏
@djumadjumbe6907
@djumadjumbe6907 5 жыл бұрын
Pole sana my brother gamal ,ilo ni taifa la kisheteni ushetani umetawala na usishangae ulikua na pigana na mashetani sababu ujasusi uliokuwa katika iyo ulikuwa wa ajabu
@iddimalifedha8163
@iddimalifedha8163 5 жыл бұрын
Ananias needs BBC au dw sio wa nchi hi bloo gonga like
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Iddi Malifedha:Hakika hilo halina shaka ila kila ki2 kinakwenda na riski yaonesha muda wake bado haujafika lkn broo aahh weee acha 2uuu lakn kila nikifikiri naona mbele ww utakuwa ni mwandishi wa kimataifa tuseme,,,,,.... AMEEN.
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV 5 жыл бұрын
Amina
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Bloo ndio nini sasa? We mkimbizi?
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Kumuombea mwenzako azid kupaa juu ni ukimbizi?!media za africa mshariki kwani ziko sawa na za kimataifa mfano bbc,,hiyo ni kumtakia mema zaid huu ndo ukweli wenze2 wapo juu...... MPK MWNYW ANAITIKIYA AMIN.
@qasimally8761
@qasimally8761 5 жыл бұрын
Jamanii
@arveengeorge9577
@arveengeorge9577 2 жыл бұрын
The African Lion Nasser
@jemiy10000
@jemiy10000 5 жыл бұрын
MzeeBaba Historia nzur sana Ila mm nlikuwa na ombi ss sijajua niliweke wap nikuwa naomba uitoe HISTORIA YA BENITO MUSSOLINI....
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 5 жыл бұрын
Dah Anania, aksante!
@mohamedidd7385
@mohamedidd7385 5 жыл бұрын
"Shera ni ishara ya ubikra wewe" kama umeondoka na hii point naomba nifahamu uwepo wako tafadhali
@kahembijoseph6999
@kahembijoseph6999 5 жыл бұрын
Pamoja zaidi
@allythabitmakonda6676
@allythabitmakonda6676 5 жыл бұрын
Moja kati ya marais tunaopaswa kuwaheshimu na kujivunia Africa ni huyu hapa Gamal Abdel Nasser.
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 5 жыл бұрын
kabisaa reporter amepewa chai na wazungu
@michaelmihayo2387
@michaelmihayo2387 3 жыл бұрын
Uko vizuri bro
@wm9669
@wm9669 3 жыл бұрын
Ananias edgar. 🔥
@Omosh003
@Omosh003 2 жыл бұрын
Team mpagaze,,,, big up
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 5 жыл бұрын
Dah umeitoa habar nzuri mno nmeipenda mno isee
@janetmwangi3868
@janetmwangi3868 5 жыл бұрын
Awesome reporting, great voice.
@josephmasenga7718
@josephmasenga7718 5 жыл бұрын
We jamaa naifundisha decolonization through armed struggle umenipa point nyingi sana kuhusu gamal
@SuzanaSamson-w1p
@SuzanaSamson-w1p 11 ай бұрын
Uko vizuri,
@openmindtz
@openmindtz 5 жыл бұрын
Am going to find money n invest on this tarented crew..much respect
@shabanbuchu2130
@shabanbuchu2130 5 жыл бұрын
Talented
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 5 жыл бұрын
Aiseee nice story.i love it
@wesszs8567
@wesszs8567 5 жыл бұрын
Safi San broo
@learnswahililanguage2596
@learnswahililanguage2596 5 жыл бұрын
Vizuri sana 💙 رائع جدا 👏💙
@mtakimjinja2328
@mtakimjinja2328 5 жыл бұрын
Nimekubali
@kimayahlawrence1893
@kimayahlawrence1893 5 жыл бұрын
GAMAL ABDEL NASSER AN AFRICAN WHO HAD VISION FOR HIS COUNTRY AND AFRICA .HE WAS REMOVED FOR HIS VISION, HE WAS GIVEN PILLS THAT CAUSES HEART ATTACK.
@gasparmpangaa8329
@gasparmpangaa8329 5 жыл бұрын
Nakubari Sana damu yangu mwamba ananias upo good Sana
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV 5 жыл бұрын
Asante sana mkuu
@jumaedward4638
@jumaedward4638 5 жыл бұрын
Chief seriously unajua kusimulia bongo nzima hakuna..
@frankhogan8144
@frankhogan8144 5 жыл бұрын
Thanks bro
@sanctussanctus2904
@sanctussanctus2904 5 жыл бұрын
Napenda kazi zako
@edgargwitaba8286
@edgargwitaba8286 4 жыл бұрын
Nakubali
@afroindian5574
@afroindian5574 5 жыл бұрын
anaitwa jamal abdunassir
@abuusufian6506
@abuusufian6506 5 жыл бұрын
Your talented man keep it up night ❤ ❤ ❤
@mulirohilary209
@mulirohilary209 5 жыл бұрын
Mr mpagaze ur the best big up
@mukizakatunzi3513
@mukizakatunzi3513 5 жыл бұрын
Kazi mzuri kaka 👹
@rojakijana1162
@rojakijana1162 5 жыл бұрын
Yaani hata ukiongea uongo kwa utamu wa sauti NTAONA NI KWELI !
@subzigzig6726
@subzigzig6726 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@kipkoechkosgei104
@kipkoechkosgei104 5 жыл бұрын
waiting
@ArafatEmperor-iz4rf
@ArafatEmperor-iz4rf Жыл бұрын
Na mimi nitaoa muarabu dadeeki😅😅 1:15
@bahatisamwel1147
@bahatisamwel1147 5 жыл бұрын
Mwalimu wa Annanias Edger kama ni mwaafrika basi kumbe Afrika tunastahili sifa na utukufu, na wazungu wanatakiwa kutusaluti. Hongera Mwafrika mwenzetu usiyetuangusha. Hakika umekuwa shule ya kisasa inayosomwa na kufaulisha wanafunzi wengi wavivu wa kusoma wanaopenda kusikiliza. Kwa hilo umefaulu, na kwambie jinsi hii ya utoaji elimu ni sahihi sana kwa kizazi hiki cha mambo mengi, maana kuna wasiojua kusoma wanasikia, na wavivu wa kusoma wanafaidi, radha ya simulizi pia inachangia kuwavutia hata wasio wavivu wa kusoma wakasikilza simulizi ya mjuvi Edger Annanias. Hongera sana kiongozi Mungu akutunze, wewe ni tunu ya sekta ya habari.
@rashidhassankadege1455
@rashidhassankadege1455 5 жыл бұрын
Bahati Samwel ananiasi ni msimuliaji tuu mpishi mkuu jamaa moja hivi janja janja lakufa mtu linaitwa denisi mpagaze
@allymafita4443
@allymafita4443 4 жыл бұрын
Huyu jamaaa hivi SERIKALI haimuoni??? Kwa kweli anafaa kuitafiti historia sahihi ya Tanganyika na Tanzania ili iwe kumbukumbu ya kweeeli,...... SALUT Edgar🙋
@EA30X
@EA30X 5 жыл бұрын
💜Ananias Edgar🎆🤙
@basugalika2220
@basugalika2220 4 жыл бұрын
napenda sana kusikiriza hisitria hii
@georgiusgotifrid3074
@georgiusgotifrid3074 5 жыл бұрын
Akazaliwa akazurura na akafa amen
@mukusinsuleymani3243
@mukusinsuleymani3243 5 жыл бұрын
Story zako nazkubar San like kma zotee
@reaganpatrick3323
@reaganpatrick3323 5 жыл бұрын
I agree with Mr Edgar in whatever he owez report very professional bro keep🔨🔨🔨🏹
@jayculture7744
@jayculture7744 5 жыл бұрын
Nakubalii xana global
@nkunzimanabashir8030
@nkunzimanabashir8030 5 жыл бұрын
Good reporter.honger san Ananias
@mohammedishika2213
@mohammedishika2213 5 жыл бұрын
Bro good work
@bahatisamwel1147
@bahatisamwel1147 5 жыл бұрын
Makala hii inanipa dhana kujitawala na kuuona Uafrika kuwa ndio utu na watu wake wana maarifa lakini waliyasahau njiani wazungu wakapita nayo, halafu badae wakadai wao ndio wenye hayo maarifa. Sasa ni kazi kwetu kupambana kurejesha rasilimali-maarifa yetu yaliyopokwa tena asubuhi kwa kigezo cha usahaurifu wa mtu mweusi.
@mjmwangombe1377
@mjmwangombe1377 4 жыл бұрын
Jamaa yuko nondo balaaaa
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 5 жыл бұрын
Israel ndo taifa la washenz sana
@iddiadam857
@iddiadam857 5 жыл бұрын
Through judging we separate, but through understanding we grow.
@Ezekiellaitei
@Ezekiellaitei 10 ай бұрын
❤❤nice story lkn Ananias's tunaomba historia ya tomb mboya
@esthermashaka5760
@esthermashaka5760 4 жыл бұрын
Tundu lisu leo
@drfocus7303
@drfocus7303 5 жыл бұрын
_nakubali sana mkuu_
@jeanmjimmy
@jeanmjimmy 4 жыл бұрын
Usitaniye taifa la Mungu, waarabu waisha jaribu lakini ushindwa.
@alawiali3475
@alawiali3475 4 жыл бұрын
Brother naomba tusimulie historia ya pyramids za misri
@leonardbugomba8548
@leonardbugomba8548 5 жыл бұрын
Broo unaongea bwanaaa Daaah
@mariammwaniki3464
@mariammwaniki3464 5 жыл бұрын
I like history😘😘😘😘😘
@sharifafaraji1974
@sharifafaraji1974 3 жыл бұрын
Waoooh
@geffects1141
@geffects1141 5 жыл бұрын
We ni Genius
@jeremialauden5710
@jeremialauden5710 5 жыл бұрын
Kumbe yesu alikimbiaga duh #kwel wana hawakuitaji ujinga
@roseandrea5573
@roseandrea5573 5 жыл бұрын
fire broo
@habibuhabibu9317
@habibuhabibu9317 5 жыл бұрын
Israel ilianzishwa mwaka 1948 baada ya Britain kupeleka agender UNO . Nandipo hapo ikagawiwa Palestine bila ya ridhaayao.wanaishi kwa dhulma chini ya mwemvuli wa marekani na Britain...lkn ipo cku yao maboya ao.
@mwakatundujr1674
@mwakatundujr1674 5 жыл бұрын
Habibu Habibu Pole sana ndo uende ukairudishe
@athumanimohamed7875
@athumanimohamed7875 5 жыл бұрын
Habibu Habibu sikiliza vizuri hiyo history utaelewa bana nikiswahili kimetumika hapo amesema baada ya ile vita ya siku sits Israel iliongeza kilometa zamraba kutoka 800 mpk elifu 26000 itsmens tayari walikuapo ktk hickory unachosema ww kuanzia 1948 sawaaa
@josephatdakhala2615
@josephatdakhala2615 2 жыл бұрын
Waislam mna matatizo sana
@hamimlubagila9887
@hamimlubagila9887 Жыл бұрын
I'm in
@cliffordmonda4897
@cliffordmonda4897 4 жыл бұрын
I like this heroes
@leonardmongi630
@leonardmongi630 5 жыл бұрын
Umebarkiwa katka usimuliaji. Tunaomba utuletee story ya six day war kati ya Israel na waarabu
@yusuphmwaliko2857
@yusuphmwaliko2857 4 жыл бұрын
Vzr ndugu tupe historia ya Israeli halisi ni hyo au uongo 2nadanganywa
@prosperpuro1712
@prosperpuro1712 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana jombaaaa
@isackbaton3686
@isackbaton3686 5 жыл бұрын
Gonga like kama inakubaliana na ukweli wa BIBLIA TAKATIFU
@mrsrosemanmamaagnes2561
@mrsrosemanmamaagnes2561 5 жыл бұрын
Please is this Edgar I mean is this reporter married please ? if not how can I reach him lol ...I love him to death .his voice is just like a special gift from God
@31tv57
@31tv57 5 жыл бұрын
hahahahaa
@Omosh003
@Omosh003 2 жыл бұрын
Tutachanga toeni kadi
@yusuphmwaliko2857
@yusuphmwaliko2857 4 жыл бұрын
Nasser 😢👏👏
@wangwemseti7592
@wangwemseti7592 5 жыл бұрын
Good
@yusuphsalumu1537
@yusuphsalumu1537 4 жыл бұрын
dhuuu aya kk eti wengine ni wasabat
@jjrussell081
@jjrussell081 5 жыл бұрын
Kumbe Sudan ni nchi ya kiarabu!!!!
@josephmkindi4633
@josephmkindi4633 5 жыл бұрын
Hapo kwa Hosn Mubarak umebudi bro
@allythabitmakonda6676
@allythabitmakonda6676 5 жыл бұрын
Mbona waMisri waliwatawala hao wayahudi ebwana ongea unachokijua usituaibishe.
@Rehemadaniel140
@Rehemadaniel140 5 жыл бұрын
wew unayejua mbn hkusema
@emiliankomba5217
@emiliankomba5217 5 жыл бұрын
@@Rehemadaniel140 watu weusi ss sjui tupoje,,yaaan mijitu inapinga historia anayosimulia Edgar ananius wakati wao wenyewe hawajui lolote ,,mbona wao hawaleti yao ila wanabisha wanayosimuliwa,,,akili za usiku hizi ndio achana nao
@mobisamabera5196
@mobisamabera5196 5 жыл бұрын
😂😂😂😂🙏wasabato tumekufanyia nini aki!? Umeniguza na vile mimi ni shabiki wako mkubwa! Wachana na SDA 🙏😂
@erickmsallenge3724
@erickmsallenge3724 5 жыл бұрын
Noma noma
@khatibabdallah6185
@khatibabdallah6185 5 жыл бұрын
Wakiyaona majengo yetu watasema hyo ni expansion joints 😛
@paulpatrick5205
@paulpatrick5205 5 жыл бұрын
pamoja sana bro ila unakaa mno bila kuleta historiaa tuna lob lob tuu kwa kina HMG ila wanazinguaa
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 жыл бұрын
Paul Patrick wanazingua sana
@jumakinenekejo1009
@jumakinenekejo1009 5 жыл бұрын
he tafsini kutoka BBC, cheki version ya ALJAZEERA utapata picha halisi ya 7 days war
@achiengmoureen5829
@achiengmoureen5829 5 жыл бұрын
Unanibamba vroo
@mbundasaid1643
@mbundasaid1643 4 жыл бұрын
Sio kweli Israel sio taifa teule
@micamathew6433
@micamathew6433 5 жыл бұрын
Kweli unasimulia vizuri lkn mengine unayoyasema si kweli..kuna sehemu unapotosha bana..dahhh.
@Omosh003
@Omosh003 2 жыл бұрын
Si ata ww utunge yako UFUNZE WA2
@abdallahmgotto7474
@abdallahmgotto7474 5 жыл бұрын
Kwa mara ingine tena
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV 5 жыл бұрын
Asante sana mkuu
@abdallahmgotto7474
@abdallahmgotto7474 5 жыл бұрын
@@AnaniasEdgarTV Tunajivunia kuwa nawe bro..!!🙏
@rajabuabuu4460
@rajabuabuu4460 5 жыл бұрын
Huyu jamaa alikua anajiamini sana
@anoldmkella
@anoldmkella 5 жыл бұрын
Ndg Annanias Edger
@truthbearers396
@truthbearers396 5 жыл бұрын
Ananias Edgar, uko vizuri brother lakini kauli yako juu ya Wasabato inakwaza na inavunja moyo, si vyema kuongea hivyo brother, maneno ni sumu ndugu, coz wasabato wanajua hao watu ni watu gani hasa ( unaowazunhumzia) si wasabato halisi (Seventh Day Adventist Church)
@alawiali3475
@alawiali3475 3 жыл бұрын
Misri ni nchi yenye historia kubwa duniani na ndio kituo kikuu cha elimu ya kisayansi,sanaa na maarifa kiufupi ndio chem chem ya elimu zote unazozijua ndio maana imekua nchi ya kwanza kustaarabika duniani
@alawiali3475
@alawiali3475 3 жыл бұрын
Chuo kikuu cha kwanza kuanzishwa duniani ni misri wale jamaa wanatisha
@islamabdella8015
@islamabdella8015 3 жыл бұрын
Yes, my brother, we are in Egypt, we will know and knowledge to Africa
@salmin3129
@salmin3129 5 жыл бұрын
Ni gamal abdul nassir na si nassa
@meksonyjoseph8909
@meksonyjoseph8909 5 жыл бұрын
Ananias
@barakarobert9516
@barakarobert9516 5 жыл бұрын
Hahahah!! We jamaa mungu akulinde
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV 5 жыл бұрын
Amina kaka🙏🙏
@emmanuelsamwel2865
@emmanuelsamwel2865 5 жыл бұрын
Jamaa mim naomba namb yk tu
@mangitv7203
@mangitv7203 5 жыл бұрын
Mkuu unaongea vizuri ila unautashi na ukristo na kuupondea uwisilamu unakosea mtu wangu
@73chengosaro4
@73chengosaro4 4 жыл бұрын
hii picha ya malkia !!!
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 10 ай бұрын
Hakuna mtu atakayeiweza Israel. Huo ndo ukweli. Hawa watu sio wa kawaida. Hitler alijitahidi sana kuwamaliza hao watu!! Alishindwa. Hii taifa la Israel unayoiona bac ujue ni taifa teule la Mungu. Lkn mkumbuke jambo mmoja; yeyote anayemtumikia Yesu Kristo bac ujue ni muisraeli. Haijalishi ni mweusi au mweupe.
@enockyohana6856
@enockyohana6856 5 жыл бұрын
Israel taifateule kbsa ..hata utumie nn huez itawala japo itapigwa miaka hiyo ijyo
@swedijr2686
@swedijr2686 5 жыл бұрын
Hakuna nchi itaipiga Israel
@enockyohana6856
@enockyohana6856 5 жыл бұрын
Some ufunuo wa yohana kama we nimkristo
@enockyohana6856
@enockyohana6856 5 жыл бұрын
Nasio taifa ila litapigwa vita kuu ya mwisho baada ya kujenga hekalu kubwa ishara ya mwana wa Adam ..ndip akaibuk mnyama akasema wamuabud ila Israel wakakataa ndip mnyama uyo akainua jeshi kubwa zaid LA kupigana nao..kwa ishara ni marekan ndo ataibuk maan wao ndo watawasaidia israel
@uthaymgalax181
@uthaymgalax181 5 жыл бұрын
Kumbe unalijua hilo.... Na watbondwa kwel
@alawiali3475
@alawiali3475 3 жыл бұрын
Sio hakuna nchi ya kuipiga kikwazo mayahudi wanalindwa na mabeberu ndio wanakuwa na kiburi,mabeberu waondoe mkono wao anapigwa kama upepo wa kusi
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
Nasser: From Dream to Disaster | History | Subtitled Documentary
53:05
Best Documentary
Рет қаралды 1,2 МЛН
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA  KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI
36:42
HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine
18:44
BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20
18:32
Global TV Online
Рет қаралды 624 М.
HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!
25:56
Global TV Online
Рет қаралды 961 М.
Saddam Hüseyin'in Oğlu Uday'ın Futbol Cehennemi - Mr. Manager
14:39
TOP 10: MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUMHUSU JAKAYA KIKWETE
3:16
Millard Ayo
Рет қаралды 347 М.
HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa  KIFO Kwa WEMA Wake!
22:09
Global TV Online
Рет қаралды 611 М.
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН