BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20

  Рет қаралды 615,354

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20
Safari ya Bokassa ilianza vibaya ikaisha vibaya. Kwanza alikuwa yatima katika umri mdogo, akawa mtu mkubwa jeshini, akawa Rais wa nchi, akala, akanywa, akaiba, akaoa, akazaa, akafukuza, akatesa, akaua, akapinduliwa, akakimbia nchi,akarudi, akafungwa, akaachiwa, akafa ni mzee wa miaka 75, tena lofa!
Akiwa na umri wa miaka 6, alishuhudia baba yake akipigwa mpaka kufa na wakoloni na wiki moja baadaye mama yake alijiua.
#BOKASSA
www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID:
goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 395
@Ali_Manzu
@Ali_Manzu 5 жыл бұрын
Aisee asanteni sana. Kama mwanafunzi wa Masters in International Relations hapa Kenya, najifunza mengi kupitia taarifa zenu kuhusu viongozi na utawala wao mbalimbali. kazi nzuri sana. Asante
@mpagazedenis8395
@mpagazedenis8395 5 жыл бұрын
Oooh, very good
@doctormauji9822
@doctormauji9822 5 жыл бұрын
uko vizuri sana mzee kwa story nzuri
@bernardjustine6524
@bernardjustine6524 5 жыл бұрын
kuna watu duniani mna sauti za vipaji........
@hasanalimbinga8874
@hasanalimbinga8874 5 жыл бұрын
Nakubari
@emmanuelsauga1817
@emmanuelsauga1817 5 жыл бұрын
Huyu jamaa huwa na penda Sana ana vo simuli,
@kombuchahluckyMartin
@kombuchahluckyMartin 5 жыл бұрын
Mze baba napenda sana unavyoanda iz makala. So good. Sauti ,mpangilio ,mifano na vionjo. Kaz nzuri mku.
@globaltv_online
@globaltv_online 5 жыл бұрын
Asante
@designerlizard4500
@designerlizard4500 5 жыл бұрын
Napenda hii.kazi endelea hivo
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
Asante kaka Ananias na Denis. Napenda unavyosimulia😘👍🏽
@patricknamangoa3478
@patricknamangoa3478 4 жыл бұрын
Your voice's quality is really incredible. Top on that are your stories' style and plot.They are fantastic! !!
@Mrpeace1900
@Mrpeace1900 5 жыл бұрын
Una kipaji kaka, love from Kenya
@ebbymbao1736
@ebbymbao1736 4 жыл бұрын
niko hapa kiambu..na enyoy sana
@nathanobiero4543
@nathanobiero4543 5 жыл бұрын
Historia nzuri sana kwetu. Nashukuru,,haswa sisi vijana wa leo.Uzuri wa historia ni kwamba inatusaidia kupata suluhu na kujiendeleza na kujenga nchi zetu vyema bila matatizo.
@salomemukani1627
@salomemukani1627 4 жыл бұрын
Alikua na roho ya kinyama kweli. na hii china iko na nini wana penda kuomba misaada huko ? Duuu hatarinkwa usalama. hata huku kwetu wame tubebesha deni la china lenye hatujui lita isha lini . Hongera edger kutujuza tusio ya jua kazi nzuri.
@allymohamedmkiwa8573
@allymohamedmkiwa8573 4 жыл бұрын
Kiongozi kwa simulizi hauna mpinza nimekukubali haswaaaa! Nakufatilia sana kwa kutuletea hizi history, hongera kiongizi
@rachellebahati7512
@rachellebahati7512 5 жыл бұрын
Napenda sauti yako. Na unafundisha vizuri
@simoniclement5133
@simoniclement5133 5 жыл бұрын
ubarikiwe
@francismkilema850
@francismkilema850 5 жыл бұрын
they way you narrates these stories, dope! fight to be a next Morgan Freeman
@temymdegela4689
@temymdegela4689 5 жыл бұрын
Shule nzuri sana in most aspects.. ila maisha mengine ukijua bora ubaki masikini
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 5 жыл бұрын
Bro upo vizuri sana kip it up 🔥🔥🔥🔥
@emmanuelnjelekela6299
@emmanuelnjelekela6299 5 жыл бұрын
Saut yako inafanana Sana na hayat mzee samado Hassan!!! Big up
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 4 жыл бұрын
Kweli,nilimsikiliza Hassan na akafanya nitamani lugha ya kiswahili.
@wazirbashir7626
@wazirbashir7626 5 жыл бұрын
Kweli watanzania tunabahati Mungu anatuepusha na maraisi wa aina hii nothing is perfect we are too far better ukilinganisha na wenzetu wengi
@ramaccr7525
@ramaccr7525 4 жыл бұрын
wazir bashir muombe mungu yasiwakute mahana Congo yetu kuanzia mababu mpaka leo akuna amani lakini sasa ivi niko zangu American
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 5 жыл бұрын
Aisee we jamaa ni amazing voice
@blesseddeebrownie7334
@blesseddeebrownie7334 5 жыл бұрын
Jamaaaan jamaaaan hii sauti 😍😘😗😙
@nafisamohammed9064
@nafisamohammed9064 5 жыл бұрын
I love this.Its good for knowing history. Hongera sana. Kindly continue with the good work.
@salehekassim7846
@salehekassim7846 5 жыл бұрын
Hahahahaha kaka unajua saaaaanaaaaaa Mungu akubaliki
@kigagamanyoya2407
@kigagamanyoya2407 5 жыл бұрын
Hakuwa lofa kama unavyofkiria nadhan kwa umri alokuwa nao kipnd hcho na kushuhudia kifo cha baba yke inawezekana ilkuwa sabab ya kufanya akili yke iyumbe!
@zephaniakilalo551
@zephaniakilalo551 5 жыл бұрын
Salute mkuuu kwa kazi yako ya uhakika....BWANA akutie nguvu
@nestorykimario3108
@nestorykimario3108 5 жыл бұрын
Big up sana broo
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 жыл бұрын
Africa itatawaliwa milele...watu ni hawa washenzi hawa mpaka wananitia uchungu...
@chadogyfrankibrahim2976
@chadogyfrankibrahim2976 5 жыл бұрын
OK central Africa ,salute man
@francismkilema850
@francismkilema850 5 жыл бұрын
Boy you killin it, been following you for a while now...
@kidawarashid2320
@kidawarashid2320 5 жыл бұрын
Eti babu zetu walipewa shanga mwee mm naona ote mambulula 2 Asante kaka
@Sifam634
@Sifam634 5 жыл бұрын
Jambo, mimi nimefurahiya saaaaa na,kwa kufwatiliya habari munazo zitafsiri muzuri, mubarikiwe saaaana
@toptictoc1884
@toptictoc1884 5 жыл бұрын
Nyie Global Nyie kuna siku mtatoa simulizi mpaka ya ANKO wetu Lol
@kulwaaugustine185
@kulwaaugustine185 5 жыл бұрын
Uko vizur sana kaka kwa story nimeipenda
@ahmelteejoalhussain6962
@ahmelteejoalhussain6962 5 жыл бұрын
Keep it up Keep on doing bro You are genius
@mwendaally2826
@mwendaally2826 5 жыл бұрын
Asante sana kwa kz nzuri kaka
@hasyno9805
@hasyno9805 5 жыл бұрын
We ni hatare unakipaji chakusimulia bablah from chuga arusha
@dianakweka1919
@dianakweka1919 5 жыл бұрын
Bro uko njema kusimulia. 👍👏
@simsotv2261
@simsotv2261 5 жыл бұрын
Tujuane
@gracengailo914
@gracengailo914 5 жыл бұрын
Hongela kaka unaleta stoli nzuli sana nasauti yako inafaa kusimulia stoli ninzuli sana sauti yako muziki kwambali tunasikiliza vizuli sana stoli
@borndorminant2701
@borndorminant2701 5 жыл бұрын
Best Narrator.
@innocentpius8083
@innocentpius8083 5 жыл бұрын
Wejamaa unakipaji cha kusimulia..
@erickfod3792
@erickfod3792 5 жыл бұрын
asant kaka
@allyramadhani1772
@allyramadhani1772 5 жыл бұрын
kwel
@mzunguonlinetv9181
@mzunguonlinetv9181 5 жыл бұрын
Nakubari story zako broo weka kitu ya Benito musolin
@tintz3157
@tintz3157 5 жыл бұрын
Sauti na story zako vinaendana kabisaa saluti kwako @ananiasegar
@salummuya5045
@salummuya5045 5 жыл бұрын
Vizur sawa. Good story
@majidshaibsaid7389
@majidshaibsaid7389 5 жыл бұрын
Thanks bro for good job
@giftgohnson2287
@giftgohnson2287 5 жыл бұрын
Nice job bro.
@franknantalila1588
@franknantalila1588 4 жыл бұрын
Kumbe kuna viongozi wa kiafrika ni magaid kuliko ata walivyokuwa wakoloni wenyewe
@yusraaboud6772
@yusraaboud6772 5 жыл бұрын
Ananias Ananias Ananias... Just passing by... Hope you have a great day!!!
@rweyemamukiobya4569
@rweyemamukiobya4569 5 жыл бұрын
Jamaa we noma
@waltermbelwa4973
@waltermbelwa4973 5 жыл бұрын
Kuwa Rais was nchi popote pale duniani ni shughuli pevu.Huwezi kuwa mjinga kisha ukawa Rais.Lazima uwe na akili za ziada.Idi Amin,Bokasssa,Nguema,Kamuzu Banda,,Trump,Saddam,Jacob Zuma,wamedhihakiwa sana lakini wamewatala wasomi wakafyata.
@ignatiussebastian9503
@ignatiussebastian9503 5 жыл бұрын
Najaribu kufikir huyu Mzee wa sukuma ndani akipewa urais anategemea nn
@annastaziavenance1735
@annastaziavenance1735 5 жыл бұрын
Fanya mpango wa Samola Machelle bac wa Mozambique hivi alikufaga Tanzania eeeehee
@fredkutiri5393
@fredkutiri5393 5 жыл бұрын
story from our own people kwa lugha ya mwanainchi
@agesag.m2476
@agesag.m2476 4 жыл бұрын
Nice and Educative scripts brother, keep it up....
@pierreoriva4131
@pierreoriva4131 4 жыл бұрын
Kazi zenu nzuri Sana mrushi na kwenye Tv channel
@powervideos2439
@powervideos2439 5 жыл бұрын
Blessed voice
@faridhassan2308
@faridhassan2308 5 жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri napenda sana nakala zenu kuanzia mtayarishaji hadi mtangazaji.
@michaelmathew8309
@michaelmathew8309 5 жыл бұрын
mapenzi ya siku hizi ni kama siti ya daladala, unashuka wengine wanakaa
@allyupete5655
@allyupete5655 5 жыл бұрын
Sakatalajaclin
@we66ooyeah
@we66ooyeah 5 жыл бұрын
kazi nzuri jamaa…
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 5 жыл бұрын
Uko vizuri
@jafaryjey
@jafaryjey 5 жыл бұрын
Very Good!
@lydiahwanjiru343
@lydiahwanjiru343 5 жыл бұрын
Nafuatilia lipindi hiki nikiwa +254, kazi unayoandaa ina utataratibu mno pongezi
@rajabmwachia6508
@rajabmwachia6508 5 жыл бұрын
Tuko pamoja sis...wasikizia pande gani?nipo Zimmerman
@asharamadhani527
@asharamadhani527 5 жыл бұрын
Nakupendaga sana broo
@globaltv_online
@globaltv_online 5 жыл бұрын
Asante sana
@shirryroad1272
@shirryroad1272 5 жыл бұрын
Uko vizur sana kaka lakin kunakitu nataka nikuulize plz. Naomba uniluhusu nikulize
@voicekitaatv
@voicekitaatv 5 жыл бұрын
nice 1
@jimmycroud8934
@jimmycroud8934 5 жыл бұрын
Aisee good sana napendaga sana story za watu wa zaman
@mikapeter1019
@mikapeter1019 5 жыл бұрын
Sauti nzuri sana, inanipa ucngizi oh jaman 😴
@balluabdul8396
@balluabdul8396 4 жыл бұрын
Taratibu ww
@ravinebianca
@ravinebianca 5 жыл бұрын
Nice voice
@Linkay89
@Linkay89 4 жыл бұрын
Wewe ungekua mwalimu wangu wa history, ningefaulu zaidi. Asante. Sikumjua huyu mtu.
@williamalex4792
@williamalex4792 5 жыл бұрын
Duh!cjui africa kuna balaa gani jmn, majitu makatili km nn
@ritagicheru5186
@ritagicheru5186 5 жыл бұрын
Pia mie nashangaa
@harunmuhia2745
@harunmuhia2745 2 жыл бұрын
Uki Tafsiri Kwa kizungu utapata views toka ulimwengu wote. love 🇰🇪
@nkwabitz233
@nkwabitz233 5 жыл бұрын
kama vile DW BONN. niceeeee asanteeee
@petermaina4446
@petermaina4446 5 жыл бұрын
Am in Kenya n I like your stories
@zennamshana5194
@zennamshana5194 5 жыл бұрын
wow Denis Mpagaze muhadhir wangu SAUT safi sana makala nzur mnoo
@ramadhanisalum148
@ramadhanisalum148 5 жыл бұрын
Greet story., big up
@justinwakudat6792
@justinwakudat6792 5 жыл бұрын
Historia tam sana duh
@nationboy2541
@nationboy2541 5 жыл бұрын
Ahsante sana kwa historia yakuelimisha
@bensonthobias8401
@bensonthobias8401 5 жыл бұрын
Nakubali.
@Mike-yg7pb
@Mike-yg7pb 5 жыл бұрын
Aisee uko vizuri!
@luckyprincejabinho9986
@luckyprincejabinho9986 5 жыл бұрын
Mapenzi yako hata sasa yako kuko wenye wana juuwa kukupenda 22🔥🔥🔥🔥 wewe ni pow
@heavenlypatric4822
@heavenlypatric4822 5 жыл бұрын
Aseeee yan adi maua unakod pipa 🛩 😂😂 kwel n hatarii
@mdomani2404
@mdomani2404 5 жыл бұрын
Kaka una saut nzr🤣🤣🤣😍😍
@elijahchegere5639
@elijahchegere5639 5 жыл бұрын
Napenda hadithi zako ni nzuri
@boniphacejohn961
@boniphacejohn961 5 жыл бұрын
Nakukubali xana broo unajua kutupa xtri
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Safi nas ndugu tunajifunza kupitia simurizi zako mwenyez MUNGU azidi kukuongoza vyema
@stevoovlogs8645
@stevoovlogs8645 5 жыл бұрын
Una saut nzuri broh
@nehemiakusaga9273
@nehemiakusaga9273 5 жыл бұрын
Sauti brother ina hualisia Sana kwakuadisia story
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 5 жыл бұрын
Ila ww kaka una sauti nzuri jamaniii😋😋😋
@wisperfect3860
@wisperfect3860 5 жыл бұрын
Mmh😍
@swahiliflava9151
@swahiliflava9151 5 жыл бұрын
Daaah! Wee jamaa ni hatari 💥 Hiyo Sauti Na Story ni Tamu Sana'a✌
@hawaahawaa4808
@hawaahawaa4808 5 жыл бұрын
Uko vzr san bro
@michaelak8082
@michaelak8082 5 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka
@ramadhankiramas1310
@ramadhankiramas1310 4 жыл бұрын
Dah upo vizuri sana yani pmja sana
@lucasjohns9776
@lucasjohns9776 3 жыл бұрын
Hujataja hata Mara moja bokasa alikuwa rais nchi gani afrika!!!? Unasema nchini humo tu, eti akawafukuza wachina nchini humo!! Kamilisha taarifa plz
@jeremialauden5710
@jeremialauden5710 5 жыл бұрын
Mzeee shukran tunahitaji Benito musolin
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 жыл бұрын
Vizuri sana alivyofungwa mshenzi bora amekufa lofa
@yoramdogezah8000
@yoramdogezah8000 5 жыл бұрын
Uko vzr brother!!
@augustinenyerere8613
@augustinenyerere8613 5 жыл бұрын
No hujatuambia n rais wa nchi gab
@globaltv_online
@globaltv_online 5 жыл бұрын
Jamhuri ya Afrika ya Kati, sikiliza vizuri mji mkuu wake Bangui umetajwa humo.
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 жыл бұрын
Mi mwenyewe nashangaa nasikia ufaransa inatajwa tuu
@samwellwiza5339
@samwellwiza5339 5 жыл бұрын
Denis mpagaze uwezo wako wakufanya habariya mtuiwe kamahadithi inayovutia imenishangaza sana upo juu
@mpagazedenis8395
@mpagazedenis8395 5 жыл бұрын
Hahahaaa
@onagivideos4937
@onagivideos4937 5 жыл бұрын
Nashukuru sana ...ila uchunge wanaokusifu kipaji chako badala la kusikiza unachosema wajua kuna Wafrika hawajui ata Rais wao wa Kwanza ni Nani?
@onagivideos4937
@onagivideos4937 5 жыл бұрын
Sikatai kile kizuri kisifiwe lakini uchunge kuna wale unaopendeza kwa sauti ila hawakuelewi
@kokudo8389
@kokudo8389 5 жыл бұрын
Tuwekee na story ya Nyerere mwl
@lasandrasandra7453
@lasandrasandra7453 5 жыл бұрын
Nimekuwa addicted na vipindi vyako na enjoy bala
@yusuphmkapa5302
@yusuphmkapa5302 4 жыл бұрын
Mungu akulinde daima
@peterelias1595
@peterelias1595 5 жыл бұрын
Una sauti nzur sana ivi ibrahim masudi maestro ni ndugu yako? Maana munafanana sauti kweli
@razackkalanje5049
@razackkalanje5049 5 жыл бұрын
Msimuliaji uko vizur sana
@dioskorimtalo2348
@dioskorimtalo2348 5 жыл бұрын
Mwanzo umeanza kama historia ya Nguema .....au 🤤
@aronlazaro4387
@aronlazaro4387 4 жыл бұрын
Kweli
HAILE SELASSIE: Mfalme  Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni!
16:02
Global TV Online
Рет қаралды 901 М.
HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine
18:44
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 52 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 738 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 7 МЛН
FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia
13:34
African Emperor: Jean-Bédel Bokassa, part 1
25:08
Naval Academy History Productions
Рет қаралды 14 М.
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
MUGABE: Rais Aliyepania Kuwakomesha WAZUNGU Wakakoma Watu Wake!
13:34
Global TV Online
Рет қаралды 527 М.
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН