Mashaallah Allah bariq hivi ndo vitu vya kusikiliza yani najikuta kama nipo peponi mashaallah mashaallah mashaallah raha tupu alhamdullah kuzaliwa ktk dini ya uislam na Inshaallah Allah atujalie mwisho mwema.
@abdulfattahnguyu74294 жыл бұрын
Abdulfatah Ibrahim nguyu from Oman 🇴🇲 very happy to day 👌
@hafidhdrogba33924 жыл бұрын
Maashalah mnanikumbusha madrasat nur yamtongan.apa ostaz haji apa kambenga kule kitogo.madrasat shiraaa pemben
@fadhilsaidina65474 жыл бұрын
😭😭😭 yani vitu hivi nikiviona nafurahi sana Yan mpaka machoz nakumbuka mbali sana Allah awafanyie wepesi kila penye uzito
@rashidomar15584 жыл бұрын
Amin Amin Amin 🙏🙏🙏🙏😩😩😩😩😩
@musayahya7024 жыл бұрын
Huku kuhemukwa tayari ni tatizo mungu awape wepesi,
@muqaddassmoshi93656 жыл бұрын
Mashaallah muimbaji mpuliza nai mmefanya dufu inoge sana hongereni sana
@hellosadeeq42427 жыл бұрын
African are real lover of Hozoor Muhammad SallalLaho Alaihi Wasallam love from India
@hemedysongano27134 жыл бұрын
Mashaallah sifa zake Nabia,Allah atujaalie kheri tuzidi kumsifu Nabii Muhammad,Waumin wenzangu wa dini yetu ya Allah ya Islamic nawashauri msibishane na watu wenye elimu za mazuko maana hao lengo lao kuu n kuuwa Uislam,hao ni Wafuasi wa Sheitwani.
@mansurmashaka12594 жыл бұрын
Hongereni jamn hilo dufu nalipenda sana mashaallah mkoo vizur
@magdyahmed83814 жыл бұрын
مشاء الله و بارك الله استمعت بكم الله اكبر استمروا شكرا لكم
@nikmatullah90914 жыл бұрын
Ajib ,,,,from Indonesia,,,sallam
@Muhammad_Mujahid4 жыл бұрын
Share with others. Shukran
@lulumaryth943 жыл бұрын
ماشا الله تبارك الرحمن
@salumallynannume67244 жыл бұрын
Muhammad , swallallaahu alayhi wasallam. It reminds me from madrasatil Buhri Mahurunga Mtwara. I miss you my people . InshaAllah we shall meet and pray together for Muhammad (P.B.U.H.M)
Mnanikumbusha madrast taalim na madrast ghazal za pemba ni watamu sana kwa dufu
@yussufsuleiman87575 жыл бұрын
Masha allah,ana hakika nakumbuka mbali sana,
@chinarogo6 ай бұрын
Hii dufu ninayoijua sasa Maashaallah
@SalimuAlly-k3u4 ай бұрын
Maashallah aaminiin
@zaynabkupaza27757 жыл бұрын
Masha Allah.
@XiaomiRedmi-mb4lg7 жыл бұрын
Zaynab Kupaza
@Gikraim5 жыл бұрын
مع الأسف لم افهم اللغه ولاكن جميل جميل جميل جميل جميل جدا الله الله
@fatumabakari72024 жыл бұрын
Nakuku Bali ahmedi
@Muhammad-g1n8d2 жыл бұрын
اللغة السواحلية مشتق من اللغة العربية واللغات الأفريقية
@fatmasaid70934 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah twari hilo nahitaji marashi hapa 😇😇😇😍😍😍😍😍🌹🌹🌹🌹🌹Volume🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@rashidgusowa62883 жыл бұрын
Qawida. Wazazi. 6👏👏👏👏👏
@yaziduhusseinkwiro.sonicem8427 жыл бұрын
Maashalah uislam raha sana . tumswalie mtume wetu kipenzi Alahmaswal wasalimaele
@Muhammad_Mujahid7 жыл бұрын
Yazidu Hussein Kwiro. so nice muve allahumma swalli wasallim aleih
@rasuliomary67333 жыл бұрын
Mashaaalah qaswida muzuri Sana
@lelaallububa57395 жыл бұрын
Mashaalh mashaalh nakumbuk jmn tz daaa
@selemaniabdallah26216 жыл бұрын
Daaah huyu mzee mwenye koti na kitambaa chekundu fund sana kwenye kucheza
@huseinsaidani9229 Жыл бұрын
Mashaalla 🙏
@allyomary7092 Жыл бұрын
Mashallahh 🤲🤲🌹♥️♥️♥️
@MubarakaRashidi-t5oАй бұрын
Mashaallah dufu raha bwan❤
@allycomm15535 жыл бұрын
Mnanikumbusha madrasat moja hv ipo huku tabora (@l ah,zab) hatwar kwa hyo mipigo wallah
@lelaallububa57395 жыл бұрын
Furaha iliyoje mashaalh
@erseneris82106 жыл бұрын
Maşallah 😊
@marymabubakary15615 жыл бұрын
tumsifu myume wetu muhammadi n saw jamani NAyo bid;aa?
@gabrielmgimba69294 жыл бұрын
Maxhallah
@angelrimoy23654 жыл бұрын
Taqbirii
@khairulkhalidi81167 жыл бұрын
akhukum fillah min indonesia🙌🙌🙌
@isshakamakame88524 жыл бұрын
Maulid nikumfurahsha mtume
@zonainformasi47196 жыл бұрын
Alhamdulillah...
@cheedinhoonlinetv73396 жыл бұрын
Napenda sana dufu la namna hii yn fulu mzki nai mtindo mmoja
@shahaabedy23683 жыл бұрын
MashaAlla....😍😍
@sakinaathumani17933 жыл бұрын
Masha llah
@josephjohn72054 жыл бұрын
Mambo ya hayo yananikumbusha kisiwani MAFIA marimbani Tisha sana
@adnansunza25024 жыл бұрын
Jaman mpaka nimekumbuka miaka iyoo Madrasa yangu ya Relwe Shamsiya kwa Mwalim Omari Allah Akulipe kwa Mazuri yako Naakupe kaul thabit Mbele yake "" Jaman Mwalimu twiri "Mwalimu haji """Wanafunzi wenzangu Zaituni""" Ally jasho Salut kwenye Yaan mlikuwa Mnanogesha Maulidi hatariii " Shamsiya Enz izo bhana Relwe moshi Oyeeeeeeeee..
@Muhammad_Mujahid4 жыл бұрын
Ameen yaa rabbal alamin
@Muhammad_Mujahid4 жыл бұрын
Watumie na wengine waone raha
@MrAbdulrahmank077 жыл бұрын
MashaAllha
@romthegreat21146 жыл бұрын
dooooh khatwaaareee sana
@maulidyahaya94595 жыл бұрын
maaashaallah
@ahlammohamed57517 жыл бұрын
daaah nakumbuka mbalii sanaa
@ruthdennis60767 жыл бұрын
Ahlam Mohamed
@mojatown96495 жыл бұрын
Mna nikumbusha mbali sana
@asiaibraahim31704 жыл бұрын
Enzi zetu raha sana bora ukeshe huku lkn cyo kwenye taarabu
@idatali38975 жыл бұрын
Jamn nmependa hii kitu walai hyu msomaji mashallah
@jumasubeti66705 жыл бұрын
Maashallah
@mbokelenially56956 жыл бұрын
mashaallah hakika mnaweza
@husseinjuma73796 жыл бұрын
daaaah nakumbuk mbl sana jamn mungu awajaze yalio Na heri
@sapijuma34405 жыл бұрын
asante
@saidtimamy98035 жыл бұрын
Mashallah
@karim_wafa2 жыл бұрын
MashAllah 🥰🥰
@mwaviturashid67255 жыл бұрын
qaswida si bidaa tumseifu .tume(s.a.w)
@mikidaditwaha23404 жыл бұрын
kwa nini mnaenda kwenye studio za wakristu wanatanguliza kwaya zao mjitambue waislam jamani
@abdulhadiayyad5 жыл бұрын
يا سلام
@athumankhalfan78363 жыл бұрын
Moyoni mwangu raha tupu izi ndio burudani za uislam allahu Akbar
@AhmadBodo-c6sАй бұрын
Yaan napenda hivi vtu na nikivisikia nakumbukaga madrasa yangu ya lideko ambayo IPO chini ya maalimu ally mkashari
@khalifasaid73385 жыл бұрын
Napenda sana qaswaida za namna hii
@hamishuka75505 жыл бұрын
Khalifa Said napenda hizi watoto wameharibu maana ya kaswida
@amnajugbar7395 жыл бұрын
Dufu ndio hili Sasa lakini vijana sasahivi wanahalibu thaman ya Dufu
@saidselemani97805 жыл бұрын
Kuwa Muslim sio adhabu ni furahaa Ndio njia salama
@mumasafi53565 жыл бұрын
Natamani kujua wanaptikana wapi hawa
@hamisihuka95806 жыл бұрын
mashaalah
@adamuchenchere22096 жыл бұрын
Raha iliyoje... Wa haki mtume
@adamuchenchere22096 жыл бұрын
Raha tupu
@mwanambokahauliers12956 жыл бұрын
Mashaaallah
@fatmasaid70934 жыл бұрын
MashaAllah 💖💖💖💖🌹🌹💖
@chajuma43755 жыл бұрын
Mashalha caswida mzuri
@zainabubakari75275 жыл бұрын
maasha Allah nimeipenda sana hongera zenu
@tahiyaally65865 жыл бұрын
Nimemwambia ni bzuUeu
@yusufmohamed88743 жыл бұрын
Namuomba Ustaadhi wangu Abdallah hapo nyuma ya anaye ghani.....
Mashaallah nakumbuka enz zangu nikiwa Madras a tnuur mkuu Kilimanjaro
@abdallahally78734 жыл бұрын
Ayman Abdallah
@jumamassawe46536 жыл бұрын
Mashaallah
@mussasadik12087 жыл бұрын
Nidhwamu ya kusimama sijaipenda, imevuruga , laakin ingekua mabrook!.
@husseinramadhan8256 жыл бұрын
mussa sadik Hakika ujasoma madrasa,, Tena inapendeza Sana wanaume mkisimama mkicheza dufu
@abdulsakibu63735 жыл бұрын
Shkh mussa hyo ndo asli ya dufu hyo
@idatali38975 жыл бұрын
Nimempenda msomaji hongera zke
@omarymchagueny83183 жыл бұрын
mashallhaa
@ferouzmwinyimvua33856 жыл бұрын
mungu awabariki!!
@justajohnmalembe63265 жыл бұрын
Ferouz Mwinyimvua mashaalllah
@aboalialjrere71695 жыл бұрын
رائع جدا
@abdallahomari86806 жыл бұрын
Raha ilioje waislamu kukusanyika pamoja na kumdhikiri mungu na kumtaja mtume kwa wema, mtume SAW amesema atakae nitakirehema na amani juu yangu nita msalia mara kumi. Nyinyi mnao pinga mazazi ya mtume mtuambie watoto wenu watamjua vipi mtume bila kutafuta vitabu vya mazazi ya mtume, kumsalia mtume silazima dufu au firimbi
@aishaabdj89137 жыл бұрын
mashallah
@chikusaid15516 жыл бұрын
Aisha Abdj
@sophiaangel61126 жыл бұрын
Sasa sisi tutafurahia Wapi Kama kila kitu ni bidaa. Napenda sana kasweda.
@majidiabdi4246 жыл бұрын
Sophia Angel -furaha iliumbwa peponi hekuumbwa duniani
@salimnkalami93495 жыл бұрын
Hata mimi nilikua mmoja wa kucheza dufu ukweli ni kua watu wa maulidi hata swala mtihani Wao ni dufu tu swala ya mashehe ndo maana vijana wengi tuliopitia madrasa za maulidi mtihani
@yusufsalimu-j4w4 ай бұрын
Nyundo hakuwa nabii alikuwa kamawewetu, mwanadamu hana uwezo wa kuharamishajambo hiyo nikazi yamungu acha upuuzi.
@hawakassanga98846 жыл бұрын
Hadi raha nakumbuka mbali sana
@jumahory30694 жыл бұрын
Nuri nawakubali nimekutanao maranyingi San kambenga mtundu was six dah hatari san
Nakumbuka mbali Sana nikiwa madrasatul muniira magomeni kidugaro
@tazemuddinuddin49664 жыл бұрын
Janani Raha kweli kweli
@omarydinya1275 жыл бұрын
Said mustafa
@jabirimabada39677 жыл бұрын
Raha bin maraha mashaallah mashaallah
@ahmadabdul99406 жыл бұрын
Subhaana Llah ndo uislam tuliobakiza
@fatumabomba84704 жыл бұрын
Nice
@mirrydauddaud47722 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@humudysaleh18697 жыл бұрын
Mashallah
@احمدالمهري-ع7م5 жыл бұрын
Jamani nauliza hizo nai na matwar yapigwa msikitini au. jamni ndugu zangu kwenye imani lazima tujuwe nini twakiwa kufanya kwenye dini yetu tusomeni jamani mungu awahidi awatowe kwenye dhullumat ila Nnuru آمين
@asiaramadhan94004 жыл бұрын
eeee raha Sana mashaalha
@mbalukutv73025 жыл бұрын
Kuna wapuuzi wanasema maulidi bidaa wakati msikitin anaenda ramadhan baada ya ramadhani unapotaka kukosoa kitu ebu jitasimini ww mwenyewe kwanza ni msafi na sio unabisha vitu ambavyo una elimu yako kwanza fuata yako je kaburini utapokelewa vipi
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Bidaa tu!!
@athumankhalfan78363 жыл бұрын
Shekhe aowanaosema bidaa achananao wapishane na mambo mazuri pepo wataisikia tu
@ismailinassry47884 жыл бұрын
Yaan adiraha sana dufu zinasikika vema kabisa
@shufaakassim27646 жыл бұрын
Kna mengi yakupinga hamyaoni haramu ni hya maulidi Tu someni muelewe xio propaganda hazifai jamaa raha ilioje kumsifu mtume muhammad (SAW)
Ni ukweli ulio wazi kwa mujibu wa wasomi wa kiislam waliobobea katika elimu ya dini tukufu ya kiislam,wale wote wanaopinga maadhimisho ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mtukufu wa darja,mbora wa viumbe kipenzi cha Allah,kipenzi cha waislam wote wanaompenda na ambae ni RAHMA KWA WALIMWENGU MTUME WETU MTUKUFU MUHAMMAD SWALA LLAHU ALAYHI WASSALAM.WANAOPINGA MAULIDI NI KWELI HAWAMJUI MTUME VIZURI NA WANA UCHACHE WA ELIMU.KWA MUJIBU WA MASHEIKH WASOMI. TUSIPOTOSHANE ELIMU NI HOJA KWA HOJA.TUMUOGOPE ALLAH NA TUMCHE ALLAH.
@abuibra6 жыл бұрын
Hamisi Shabani :MAULID YA(MTUME S.A.W.)HAIPINGWI NA MUISLAMU YOYOTE KINACHO PINGWA NI HIZO PACHANGA.KINACHO TAKIWA SIKU YA MAULID NI KUZUNGUMZIWA TOKA SIKU ALIYE ZALIWA NABII WETU MTUKUFU S.A.W.NANI BABAAKE NANI MAMA AKE WATOTO ZAKE MIUJIZA YA UTUME WAKE VIPI TABIYA ZAKE TUKUFU VIPI ALIVYO KUWA ANAISHI WAKE ZAKE NK.VIPI ALIVYO POKEA UTUME MARAFIKI ZAKE VIPI ALIENEZA UISLAMU MPAKA ALIVYO FARIKI.NAFIKIRI NDUGU YANGU KWA IMANI UMINIELEWA.
@aishaima61555 жыл бұрын
naombeni hii kaswida aliyo nayo kwa namba yangu 0655036932
@ahmadishaali50526 жыл бұрын
masha allah
@idrissatuppa39975 жыл бұрын
Hilo ndy dufu sio mnatuletea mambo yenu ya mziki moto.dufu halina kichwa wala miguu.