Teşekkürler değerli kardeşim Muhammed Mucahid ! Çok güzel, duygu dolu bir video paylaşmışsın. İnşallah başka videoların da gelir. Size ve bütün Tanzanaya MÜSLÜMAN kardeşlerimize selam ve saygılar gönderiyorum.
@YAHYA1071AKBAS Жыл бұрын
Asante kaka yangu mpendwa Mohammed Mucahid! Ulishiriki video nzuri na yenye hisia. Tunatumahi video zaidi zitakuja. Natuma salamu na heshima kwako na kwa ndugu zetu Waislamu wote Tanzania.
@YAHYA1071AKBAS Жыл бұрын
شكرا لك اخي العزيز محمد مقاهد! لقد شاركت مقطع فيديو جميل جدا وعاطفي. نأمل أن يأتي المزيد من مقاطع الفيديو. أبعث بتحياتي واحتراماً لكم ولجميع إخواننا وأخواتنا المسلمين في تنزانيا.
@hassanmkema279 Жыл бұрын
Mashallah ❤❤❤ Vitttaaaaa 🔥
@allyomary7092 Жыл бұрын
Mashallahh 🤲 🌹🌹♥️♥️
@husseinkimwaga6387 жыл бұрын
dah sante sana kamati ya maandalizi ya maulidi haya maana si mchezo mungu awabariki sana
@hajibakari70275 жыл бұрын
Maashaallah inapendeza sanaaa
@jumajuma55704 жыл бұрын
mashaallah hakika mnakonganyo Allah nasikialaha mwenyewe
Assalamualaikum,Am much interested,am AIMAN from kenya
@sayedseko8320 Жыл бұрын
ما شاء الله تبارك الله لو حد عارف اسم المادح وشكرا
@ramadhanikimangare40498 жыл бұрын
Mashaallah nyc qaswida
@yassirammar96807 жыл бұрын
Yangu no 0714125965
@leylahidi88197 жыл бұрын
mashaallah huua napenda sana umenikumbusha mbali !!
@seifidd72746 жыл бұрын
Ramadhani Kimangare we
@asiaasia73706 жыл бұрын
mashallah mko ver good😘
@zanialimiraji50607 жыл бұрын
hii qaswida kiukweli imepigwa kiutulivu sana jambo ambalo linanifanya nijikute naiangalia kila mara mmejitahidi sana
@jumaramadhani58616 жыл бұрын
Hata mie nimejikuta naipenda yaani haiwezi kupita siku bila kuisikiliza
@husnajohn74666 жыл бұрын
Sio wale wansoingiza rusha roho
@alydaud94555 жыл бұрын
Naomba nitumieni hizi kaswida kwani mm ni twalika napenda no yangu0768908673
@barnabamugini85873 жыл бұрын
Hili ndio dufu sio wengine wanapiga mdundiko na mdumange
@omarjuma83015 жыл бұрын
Dah me mwenzen naikubal snaaaa nai sjui nyinyi wenzang?
@barnabamugini85873 жыл бұрын
madrasa iko wapi naomba namba zenu hiliikitokea sherehe ni wakodi
@mansourabdallah41887 жыл бұрын
na mm naomba nitumiwe jmn bonge moja la qaswida!
@markkulanga98576 жыл бұрын
dufu baridi ndio ugimjwa wangu
@saifulanam78914 жыл бұрын
Islam Afrika sama dengan Islam NU suka bersholawat dan berkumpul bersama (jama'ah)
@sulebendera52317 жыл бұрын
Maashaallah Allah walipe jmn nazipataje qaswayda hizi please naomba 0718448933
@abdurymohamedi1176 жыл бұрын
taqbirrrrr
@Muhammad_Mujahid6 жыл бұрын
Allahu Akbar
@mussaally23696 жыл бұрын
ALLAHU AQBARI
@husnajohn74666 жыл бұрын
Allah Akbar
@wemamartin20026 жыл бұрын
mashaallah nmekubali dufu hiyo mpo vzuri na makhan pia
@omarjuma83015 жыл бұрын
Allahu aqbar
@mwenzaboy23064 жыл бұрын
Wapo vizuli xana
@hamisisalimu69084 ай бұрын
Kama hupendi maulid funga mdomo wako kalale
@klcozgur57157 жыл бұрын
Hivyooo mashekh kweli Mtume atasema nn juu ya umma huu ,
@Muhammad_Mujahid7 жыл бұрын
Kılıç Özgür if you don't have anything nice to say please stay away from my page. Thank you.
@abeidmkumbo4175 жыл бұрын
Jamn hii qaswida nmeipend san naomb mnitumie WhatsSap namb yng n 0764-37-91-96 Pia kama mnazo CD nazihitaj napatikan kweny hyo namb asanten san.
@ibrahimsheha2155 жыл бұрын
Kawaulize wenye vilabu vya kuuza pombe
@MrJ-qy9vp6 жыл бұрын
mashaallah areyk
@hajibakari70275 жыл бұрын
Maashaallah inapendeza
@hassanally54014 жыл бұрын
Mashaaala allah awajalie kuzidisha kumswifu mtume
@twalibusaidi52815 жыл бұрын
huyo nani jamaa na marasta yake utadhani mvutabange, kwanini ulikuja hapo na rastazako wewe umetuharibia qaswida, na nyie ndo mnafanya mawahabi watusakame hovyo kwa upuuzi wenu huu, anatufundisha nini sasa, siuhunin huo????? hapana wala sio nzuri kwa sababu ya huyo jamaa kueni makini dunia nzima yaaangalia mnawashirikishaje watu wa hivyooo??? mlimkosa wakupiga hilo twari mpaka mumuweke huyo jamaaa AHHH
@saidimrisho8836 жыл бұрын
Nakuswali jamani muhimu sio migoma tuu mpo?
@muhsinsalum23055 жыл бұрын
we unagubu tu
@jumajuma27265 жыл бұрын
Kiongoz Fanya kama unakosea kunitumia tumia vitu kama HV 0717184641
@yearbah17 жыл бұрын
Brother kila ukiwa na mambo kama haya nirushie +254720087030 bila kuuliza
@Muhammad_Mujahid7 жыл бұрын
Said Baskut Zesa bro number yako nnayo teyari, Mimi ni Yule nilokuuliza kuhusu mishadhari...
@shaibumohammed60165 жыл бұрын
namimi.naitaji
@salumumambosasa74465 жыл бұрын
Nataman kupata hii qaswida
@hasanalihasani32366 жыл бұрын
Mh Astaghfiru llah
@husnajohn74666 жыл бұрын
Hasanali Hasani ndio walepingao maulid washamba nyie na hata dini yenu na dalili mkiambiwa hamna
@habibushekh72446 жыл бұрын
Na Mimi inshaalla ntumieni 0677180924
@allyshamte58206 жыл бұрын
Tupogo
@rahmashaban86937 жыл бұрын
naomba jamani nitumiwe Kupitia hii number. +968 97849484
@subiramwalim12877 жыл бұрын
Rahma Shaban
@badilamu6 жыл бұрын
tafauti nini baina yahawa na ummu kulthum na jackson na bhalo yote ni miziki hakuna dini
@husnajohn74666 жыл бұрын
Badi Lam halafu unaweza kuwa dini yako umejifunza bidaa tu
@husnajohn74666 жыл бұрын
Badi Lam utakuta umeijua dini ukubwani tena uliyojifunza wewe ni bidaa tu, mtapata tabu sanaaaa na mnateseka mno
@delabossreizer94715 жыл бұрын
Kufa sasa km akuna dini kuwa mpagan ww vp ww mwamba ss dufu tutapiga sana tu sabu dini yetu km mm naipenda kuzidi ata mke ntae kuja muowa nikimpata atapendwa ila upendo kwa din yangu 100 mke wangu 50 amsin zingine atakamilisha mbele ya safari ytu ni dini akuna namna ss ww usitu changanye na habari zko
@fadhilsaidina65475 жыл бұрын
ustadh na mimi nitumie umenukumbudha mbali sana namba +254788362924
@Muhammad_Mujahid5 жыл бұрын
Huwa ugumu kutuma... Sijui namna zake akhui.... Kwa sababu ya file size
@athumanimsangi70925 жыл бұрын
@@Muhammad_Mujahid MWAMBIE ATUMIE APP YA TELEGRAM.NA WEWE PIA UWE NAYO
@mwanambokahauliers12956 жыл бұрын
Nitumieni WhatsApp no yangu hio hapo 0676988420
@Muhammad_Mujahid6 жыл бұрын
Haitokubali size yake kubwa
@ziadaabdalah20907 жыл бұрын
nitumien whatsapp napenda sana mm 0715 530648
@Muhammad_Mujahid7 жыл бұрын
Ziada Abdalah file size haitoniruhusu kutuma kwa WhatsApp
@yasinlaizer11546 жыл бұрын
Ziada Abdalah Ishaallah
@mansourabdallah41887 жыл бұрын
namba yangu 0655276257
@Muhammad_Mujahid7 жыл бұрын
Mansour Abdallah number hii siifahamu, upo Tanzania au uko wapi, Kama uko Tz andika number na +255
@musamswahili44386 жыл бұрын
yaan mm ndo mgonjwa kabisaaaa yaan chiz saana wa hya mdubwasha 0755209918 whtsp haraka sana bi idhini llah na kila ktu kama hiki fanya hivyo man